😭😭😭😭😭 mtumishi unajua kuliza wewe, tangu nilipookoka nikausikia wimbo wako wa kutesa nililia mnoo, leo tena nasikia umeondoka😭😭😭
@benardkavula59033 жыл бұрын
kweli 😷 Dunia Imejaa tabu na sio jawabu na kumejaa crab kuliko neno la mungu,gonga like kwa ngoma Kali hii hadi wakati huu tunavaa barakoa😷
@asiaminja35563 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mtumishi ingawa ulipotea muda kwenye tasnia hii..kweli dunia tunapita
@kusebadilisheihi56043 жыл бұрын
Mwansasu jamani... Umeniliza.... 😭😭😭😭😭... Jamani kifo hiki, nimeumia Sana... 😢. Daah, lala vyema mchungaji. R. I. P
@janethmwita99723 жыл бұрын
Hakika duniani siyo kwetu.mwendo umeumaliza.poleni familia Mungu awefaraja kwenu.
@jovianbrighton79243 жыл бұрын
Umeona ee
@anangisyemapunda76863 жыл бұрын
Mwendo umeumaliza,imani umeilinda,umeokoa watanzania wengi kupitia utumishi wako,Mungu akuifadhi kwa Aman pastor
@ImaniPaschal2 ай бұрын
Niwatakie mwisho mwema Tanzania na Duniani Kwa ujumla 👋🙏🙏 MUNGU awe pamoja nanyi/nasi Hadi mwisho wa dahali 👋👋🙏🙏
@barnabasngungo3521 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu anayenibariki sana uimbaji wake
@paulinajohn5911 Жыл бұрын
Amen, huu wimbo unanikumbusha mbali sana, nilikupenda mtumishi wa Mungu , huduma Yako bado inadumu.
@japhethmbusyamwanaufufuona46463 жыл бұрын
Brother bonny nakupenda kwa moyo wako safi,,,unakubali Ku upload nyimbo za wengine na kukumbali huduma za wengine
@kakumukishamoses1089 Жыл бұрын
Umenitosha dunia nikwel Mwaitege ongera kabisa kutuwekea nyimbo hii ya pastar mwansasu tutamkumbuka kabisa from Burundi.
@giftyjackson24613 жыл бұрын
Moja ya watu wanzilishi wa mziki wa injili wewe pia ulifanya kazi kubwa sana mpaka Leo inili inahubiriwa
@nitikemwakapesa34583 жыл бұрын
Pumzika kwa aman mtumishi wa Mungu tutakukumbuka milele daima,,, Mungu akawe faraja kwenu ndugu, familia na marafik
@phabiankauki7139 ай бұрын
Kazi imebaki kwetu je tutamalizaje ER Mwansasu kamaliza kazi tayar
@janethkasege50703 жыл бұрын
R. I. P ephrahim mwansasu nimeumia Sana na taarifa za kifo chako, hakika tu wapitaji duniani
@lacksonbanda29367 ай бұрын
When I visited Tanzania, a way back, I randomly picked on his album . It became my favourite back home in Zambia. Am really touched learning he is no more, when I searched and played his songs on YT. MHSRIEP .
@elyzerdeshow14413 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mwalimu wa imani yangu, ulinifunza kumjua Mungu, nakosa neno kusema 😭😭😭
@kennedymatiba32122 жыл бұрын
1 yeah since u left us 😭😭I av never believed.. May be am dreaming 😭😭
@NzirubusaGrodien Жыл бұрын
Ongera Muimbaji Mungu akubariki Bony mwaitege kwa upendo wako.
@kdfitness35803 жыл бұрын
Tunabarikiwa sana na nyimbo hizo. Naomba pia u-upload wimbo Wa Mwansasu mzabibu mwema
@adamfundikira7422 жыл бұрын
Jamani tujitahidi sana kuangalia nyimbo za kuimba mtumishi hapa alijitabiria kua dunia imemchosha
@florakabadoelkana67643 жыл бұрын
Mwendo umeumaliza Baba pumzika kwa amani
@rebeccanashoni46182 жыл бұрын
😭😭😭 pumzika kwa Amani mchungaji wangu wanao bado tunashinda kukusahau lakn Neno moja ulituachia msimuache Mungu
@neemagervas42775 жыл бұрын
Anaetazama 2019gonga like kweli tutaiacha dunia ya mateso
@isaacvtv5474 жыл бұрын
Mimi 2020 bado naangalia maana neno halichoki
@alfredyyakobo77703 жыл бұрын
Utukufu kwa MUNGU Mwenyezi maana mbegu uliyoipanda kwenye Mioyo yetu ni njema mnooo,,roho yako ifurahi huko uliko maana ni suala la muda tu tutaonana tena,,we loved you so much,,but GOD loved beyond
@clintonmwaisaka71173 жыл бұрын
Umemaliza mwendo nenda salama
@meckitilidatushabe Жыл бұрын
Oooh Mungu Atusaidie umelala Mtumishi WA Mungu
@joiceelimu78184 жыл бұрын
2020 nakusikiliza mwansasu mbn kimya nyimbo zako zinanibark
@erickmbua50343 жыл бұрын
Mapema Sana Ila hakina namba pumzika kwa amani Kamanda Wa Yesu
@mahulazialex1574 Жыл бұрын
Nami imejipanga sana nyimbo zake.
@rosekanael8853 жыл бұрын
Rest in Peace Pastor 🙏🏼
@faresjakson97082 жыл бұрын
Vema Sana kazi nzulisana
@caslidajosephat89123 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 nilikupenda sana Mungu ndiye anajua wewe ndiye ulianza kufanya niioende injili
@JacoboChizogolo Жыл бұрын
Nilikua namkubali sana
@chollejr_3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭daaahhh we kifooo🙏🙏🙏 wainnallilah
@derickluhaga7383 жыл бұрын
Umevipiga vita vilivyo vyema, imani umeilinda, mwendo umeumaliza..kamsalimie mzee Kulola, amen!
@saraphinawillson9393 жыл бұрын
Pumzika kwa aman baba nilikupenda sana kupitia nyimbo zako
@phaniceariviza43992 жыл бұрын
Iam happy my brother because you are now at home rest on our father's chest ,,,I love you much brother you are an inspiration
@kingmwaxoh64204 ай бұрын
endelea kupumzika kwa amani mwansasu you are missed a lot
@adamfundikira16203 жыл бұрын
Kwa heri kamanda wa Yesu msalimie Moses kulola
@musabalinaki58476 жыл бұрын
Amina mtumishi nakuelewa sana Mungu akubariki
@samwelmbissa-zj1ev Жыл бұрын
Nikwautufu wa Mungu tu kila mwanadamu na nimauwa tu
@nemesromantarimoromantarim67878 жыл бұрын
mmm.. mola azid kukujalia uzima tele kwan nyimbo zinatubarik sana
@wilkyegesa39329 жыл бұрын
ni kweli mchungaji dunia inapita mwenyezi akubariki
@saneathanas26673 жыл бұрын
Pumuzika kwa amani baba
@estermedisson187 жыл бұрын
barikiwa sana mtumish wa Mungu...Nakukubali sana kaka yangu
@fransicochunji3277 жыл бұрын
Mwakasitu the servant of God, I say thank you oooh may the Almighty God be with you. for good songs.
@ashapeter22303 жыл бұрын
Nazipenda sana nyimbo zake mungu azidi kukubaliki
@theopsitafrank15672 жыл бұрын
Kwakweli vizur havidum
@mussanassoro7903 жыл бұрын
Rest in peace pastor i am really saddened by this bad news of your death
@josephnziku60926 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@godfreyjosephbakeri-yi9qi Жыл бұрын
Pastor Mwansasu i remember you
@paulinacosmas63556 жыл бұрын
Nakuelewaga sana mtumishi wa Mungu
@NzirubusaGrodien Жыл бұрын
Nikikumbuka Muimbaji dunia sio kwetu.
@samsonoryema73638 жыл бұрын
Thanks Bonny mwaitege for uploading this song so that we can also access it frm uganda.God bless you
@brownkihanga6886 жыл бұрын
Nakukubali sana mwansasu
@happyfp98422 жыл бұрын
By mtumishi WA mungu
@berthasanga93843 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba
@saudanaftari41027 жыл бұрын
ni kwe pasta Vingi vilabu kuliko nyumba za mungu mungu akubariki na akupe maisha marefu .
@millicentakinyi55042 жыл бұрын
Polee,tuhpita
@estermengi7973 жыл бұрын
Lala salama baba!;
@neemafidelis25653 жыл бұрын
Upumzike kwa amani mtumishi wa Mungu alie hai,umelala vyema,umevipiga vita na umeilinda imani ,nyimbo zako, itaishi hata vizazi na vizazi.
@dayanagrace20293 жыл бұрын
Daa mwansasu
@florencemutheu64303 жыл бұрын
Ni kwema mbeleni🕊️🙏
@fadhilishabani43683 жыл бұрын
Dah no way
@elizajeremiah33617 жыл бұрын
Mungu atukuzwe milele dunia Na mambo yake tutayaacha
@aliverabambara287 жыл бұрын
Eliza Jeremiah songs Tanzanian
@sundaymapunda91126 жыл бұрын
usilingie uzuli ulio nao kumbuka dunia inapita
@mariasanga48575 жыл бұрын
Amina baba mungu akubaliki
@zedvaluers837311 жыл бұрын
Haki dunia ina mateso mengi! kwa utukufu wa Mungu tutaiacha dunia.(4rom Kenya)
@johnabery-vn7eb Жыл бұрын
Show live hii dah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@shilahkizito62799 жыл бұрын
Nice song ,kweli dunia mapito
@Coster-l3h Жыл бұрын
Umekuwa mgeni mfariji kwenye nyimbo ulizotuachia mwanga wa milele akuangazie ebwana pumzika kwa amani ameni
@silviailenji34726 жыл бұрын
Amen....dunia hii ohh....thanks brother
@newworldorder.yourunbiased60786 жыл бұрын
Silvia Ilenji vhhu th u
@atanasmkondya59522 жыл бұрын
Milele nitakukumbuka
@erickwankuru36467 жыл бұрын
barikiwa pasta
@rodgerskangwana3 жыл бұрын
its a bad news but kenya twaomboleza uenda usieleweke tanzania but in kenya ulinifanya niingie kwenye huduma enda salama baba.
@verediananyakarungu63953 жыл бұрын
Amen kwel baba
@nurumwakasambala6073 жыл бұрын
Kweli dunia tutaiaga😭😭RIP
@kadasemmanuel284011 жыл бұрын
dunia 2napta anaedhan kafka,bado hajawa na jbu sahih by emmanuel kadas 4rom buzuruga nyakato mwanza
@dorismboi5446 жыл бұрын
Thanks pastor
@nyamanimanamba76003 жыл бұрын
Buriani Mwansasu.
@williamchrispian17526 жыл бұрын
Uko vizur
@iskakashadrack64353 жыл бұрын
Kwel dunia tunapita
@sophiabanana2309 Жыл бұрын
Kweli tunapita
@dianacharles51052 жыл бұрын
Bado waish baba
@nyotamayemba58873 жыл бұрын
Nyimbo hizi zina upako usioisha
@fadhilikaminyoge96253 жыл бұрын
Lala salama Baba
@salomehaonga28633 жыл бұрын
Pumzika baba ,,,
@victormwakio75143 жыл бұрын
Rest In Peace General of God
@mahulazialex1574 Жыл бұрын
Kifo kinauma sane nitamukumbuka kufika nife .
@viiibossou32103 жыл бұрын
May ur soul Rest In Eternal Peace and Rise In Glory . Amen