DUWA YA KUWATOA MASHETAN KWENYE TUMBO

  Рет қаралды 50,679

NNC TV- new nuru cinema

NNC TV- new nuru cinema

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@FaithdullyDully-tr3kn
@FaithdullyDully-tr3kn 18 күн бұрын
Yarrrab kupitia dua ihi nipone maradhi yote yanayonisumbua ninayoyajua na nissiyoyajua Amiin
@janeemmanuel3615
@janeemmanuel3615 3 ай бұрын
🤲🤲🤲Allah napokea uponyaji mwaka huu nikaitwe mama kijacho nikabebe mtoto Amen 🙏
@FATUMAFULUGU-mb2eu
@FATUMAFULUGU-mb2eu Жыл бұрын
Asantee Sanaa maalim mwenyezi mungu akuzidishie Kwa maombi maana nimgonjwa wa tumbo asantee sanaaa
@HadijaWanders
@HadijaWanders Жыл бұрын
Wa'aleikum salaam warahmatulliah wabarakatuh.... shukuran yaa sheikh love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@KariiMohammed-m4i
@KariiMohammed-m4i 10 ай бұрын
Mungu akuogezee imani mara dufu sheikh
@asmakarama3675
@asmakarama3675 22 күн бұрын
A alekium warahmathu allha wabarakatu niko na mama yangu amefura tumbo mja kwa mwili
@saadashoje313
@saadashoje313 2 ай бұрын
Allah Akbar! Kweli Quran ni shifaa, Allah akuhifadhi sheikh wetu nimesikiliza siku 2 tu nimepata matokeo, nilikuwa sipati hedhi kw mwezi w 3 sasa na tumbo kuunguruma n kutembea kitu lkn ajabu y Rahmani nimeona hedhi yngu ndani y siku 2.Namuomba Allah azidi kunifungua vifungo vote vy kishirikina n majini ktk mwili wngu
@babuzube2035
@babuzube2035 Жыл бұрын
Amina rabil alamina shekhe Allah akupe umri
@SalhaaSalhaa-k7x
@SalhaaSalhaa-k7x Жыл бұрын
Shukrani sana mungu akupe umri mrefu nitakutafuta hoctaz namba
@SalmaMamdogo
@SalmaMamdogo 24 күн бұрын
Amina yarabi inshaalah
@AzirajMgweno
@AzirajMgweno 11 ай бұрын
❤❤❤mashetan watoke kwenye miili ye2
@SofiaS-i5r
@SofiaS-i5r 4 ай бұрын
Amiin yarabi nakuombea uniponye maradhi yanayonisumbua kupitia tua hii
@fadhiranatosa3795
@fadhiranatosa3795 Жыл бұрын
Allah akuzidishee kisomo uendelelee kutusaidia tuliokwama na mashetwani na vitimbwi vyake
@Hafsa-c7c
@Hafsa-c7c 3 ай бұрын
Mashallaah Amina thumma Amina
@MariyamOmar-lx4ez
@MariyamOmar-lx4ez Жыл бұрын
Asalam aleikum mmi niko Kenya nimeumwa kwa mda wa miaka 16 mmi naumwa tu sijulikani naumwa na nni shekh wangu nakuomba unisaidia nimelaza pesa nyingi sana sina raha hata mumewanfu amechoka kabisa wadinyi kazi wa nadani pia wanikimbia kwakua siwezi saidia chochote naomba usaidizi wako Allaah atakulupa inshaallah🙏🙏🙏
@MwanabibiTsuma
@MwanabibiTsuma 3 ай бұрын
Inshallah
@AsiaIdd-iz8hb
@AsiaIdd-iz8hb 11 ай бұрын
Amiin Amiin Amiin
@MwanaidijumaMkawa
@MwanaidijumaMkawa 4 ай бұрын
Amin mwenyezimungu aniponye maradhi yangu kwa dua hii
@margaretzacharia5877
@margaretzacharia5877 Жыл бұрын
Shukulani sana kwamaombi niopee kwa Mimi nimgochwa kwatumbo 🙏🙏
@Nanahshubayra
@Nanahshubayra 11 ай бұрын
A alaykm warahmatullah mm nasumbuliw na tumb Kil niingiap mwezin naumw mpak naishiw nguv mwil mzm nachemk joto hatar
@AidanKostantine-o4p
@AidanKostantine-o4p 11 ай бұрын
Pole sana
@JumaJayjay
@JumaJayjay Жыл бұрын
Allah Akudumishi Akupe UImri Mrefu Ya Sheh
@OmanShinas-b3d
@OmanShinas-b3d 2 ай бұрын
Alhuma.amin
@SaidiKaita
@SaidiKaita 3 ай бұрын
Yarab kupitia Dua hii nipone .aradhi yoote Yao mdoke
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 3 ай бұрын
Na mm Allah atanidanyia wepesi ishaa
@aisahi4702
@aisahi4702 8 ай бұрын
Mashalhaah mungu akujalie maisha marefu
@SaideSide-uv6wd
@SaideSide-uv6wd 3 ай бұрын
Amini yarabili alamini
@ElsieMunezero
@ElsieMunezero 3 ай бұрын
Ya allah kupitiy dua yko iyi nipate kupona yarabi
@SaidUkwama-q1f
@SaidUkwama-q1f 3 ай бұрын
Allah naomba niondolie maradhi katka mwili wng
@ZawadiAbdala
@ZawadiAbdala 4 ай бұрын
Asante mungu akubark
@JoyceJohn-n7l
@JoyceJohn-n7l Жыл бұрын
Alhamdullah🙏🙏🙏
@mwangubilionea8503
@mwangubilionea8503 4 ай бұрын
Amin yaabi napokea uponyaji wa tumbo langu lipone lillah🤲🤲
@FatumaNyondo-x4g
@FatumaNyondo-x4g 2 ай бұрын
Nisaidie shekh mana hapa nilipo nasikiza kisomo chako Mimi lakini Niko kwenye hedhi lakini nasikia tumbo languruma nikisomo cha kutoa sihiri tumboni
@ashaamina
@ashaamina Жыл бұрын
Amini❤❤❤
@jokhanassor3507
@jokhanassor3507 Жыл бұрын
Amina yaarab 😢😢
@salamabakari8384
@salamabakari8384 4 ай бұрын
Ahsante amiin
@MwanahamisiAbubakari-ti5sr
@MwanahamisiAbubakari-ti5sr 8 ай бұрын
Amina
@RahmaRujaina-qq3cd
@RahmaRujaina-qq3cd Жыл бұрын
Jazakarwa shukrni...
@FatumaNyondo-x4g
@FatumaNyondo-x4g 2 ай бұрын
Asalam walekum shekh Mimi ninashida shida yangu ni kuwa na wasiwasi kila wakati na roho kupasuka na kudunda mbio mbioo nahuwa nikisikiliza kisomo huwa kwenye mwili napiga tukuta kwenye mifupa ya mwili
@sikudhanimwamgumi3341
@sikudhanimwamgumi3341 Жыл бұрын
Àamin yarabbna alamin 🙏
@AsmaAbdallah-k3u
@AsmaAbdallah-k3u 4 ай бұрын
Mungu atusimamie ote tulio skiliza duwa ili tuondolewe na malazi
@BiashaAli-w6o
@BiashaAli-w6o 3 ай бұрын
Alhamdulillah
@margaretzacharia5877
@margaretzacharia5877 Жыл бұрын
Amen amen
@RukiaIsmail-f7m
@RukiaIsmail-f7m 4 ай бұрын
Aminaa🙏🙏
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh 8 ай бұрын
Amanda Amene Amine AminAmiin Amin 🕋 Amiin 🕋 Hierdie 🎉💥💥💥💥💙💙💙💙💙🇰🇪🇰🇪 Amine Anina 😢😢😢
@mwanakomboom1643
@mwanakomboom1643 10 ай бұрын
Ameen yarbi
@NaziaMakame
@NaziaMakame 4 ай бұрын
Asaramwarekum mm naitwa watende nipo unguja nasumbiriwa kuto kushika mimba ostazi naomba unisaidie
@OmOioio
@OmOioio 8 ай бұрын
Shekh Allah apupe umuri murefu 2:19
@drbettiktok001
@drbettiktok001 8 ай бұрын
Amin😊
@lovenesdickson1824
@lovenesdickson1824 2 ай бұрын
Unapatikana wapi
@wardakatana
@wardakatana 4 ай бұрын
Asalam aleikum jina ni Warda niko kenya nilishutuka kitu kwenye cm mpaka sahi haitoki kawaikili yangu naomba unisaidie sijui nifanyeje mimi
@latifasuleiman7527
@latifasuleiman7527 Жыл бұрын
Shukran sheikh
@angle3600
@angle3600 Жыл бұрын
Amiin
@FadilaRashidi
@FadilaRashidi 6 ай бұрын
Asante shekhe wetu samahani mbona hizo namba zote hazip wasapu kila unajo jalib haipo
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br Жыл бұрын
Amiin🤲😭😭
@BabySheni
@BabySheni 2 ай бұрын
Shukra
@liliancheruto6708
@liliancheruto6708 Жыл бұрын
Nami naumwa na tumbo naitaji maombi
@Salome-i9r
@Salome-i9r 5 ай бұрын
Mi naumw tumbo naitaj maombi akii
@Maseda-ch7lo
@Maseda-ch7lo 5 ай бұрын
Mesaid
@angle3600
@angle3600 Жыл бұрын
❤❤❤
@tvdlm2121
@tvdlm2121 Жыл бұрын
Shukurani
@DjamilaUwamwezi
@DjamilaUwamwezi 2 ай бұрын
Shukulani
@AliceMwendwa-lg4pt
@AliceMwendwa-lg4pt Жыл бұрын
Shukulani sherk
@salamabakari8384
@salamabakari8384 9 ай бұрын
Miin
@ashrafyyousuf6821
@ashrafyyousuf6821 Жыл бұрын
Toketi shaytan katika mili yetu😢
@KhadijaJuma-z6t
@KhadijaJuma-z6t Жыл бұрын
Amin
@AnastasiaKayombo
@AnastasiaKayombo 6 ай бұрын
Amina
@JoyceJohn-n7l
@JoyceJohn-n7l Жыл бұрын
Amin
@kuludhumadam8169
@kuludhumadam8169 10 ай бұрын
Amiin
@SaidiKaita
@SaidiKaita 3 ай бұрын
Amin
@AshRona
@AshRona 5 ай бұрын
Amina
@MwanaishaMgandi
@MwanaishaMgandi 4 ай бұрын
Amiin
@Fatumasaid-j2i
@Fatumasaid-j2i 2 ай бұрын
Amina
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:45
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 36 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 16 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 31 МЛН
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:45:26
Complete Ruqyah for Healing Magic, Jinn, Envy, and Evil Eye | Powerful Recitation
59:33
Everyday Ruqya كل يوم رقية
Рет қаралды 4,5 МЛН
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:15
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:37
DUA YA YASIN MUBIN KUVUTA RIZKI NA KULETA MAFANIKIO
28:51
NNC TV- new nuru cinema
Рет қаралды 33 М.
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН