Hello team Wendy team zari, thanks Kwa kutupea morali 🎉🎉🎉
@thewendysshow2545 ай бұрын
Your welcome anytime I gat you
@stellamaries29795 ай бұрын
Wow asanti sana Wendy times zingine hao wanaona post Facebook hua hawaoneshi parts zingine so lazima tuskize update zako
@thewendysshow2545 ай бұрын
Karibu Stella😂
@AlexAlex-np6je5 ай бұрын
Ya Leo plz wensday
@thewendysshow2545 ай бұрын
Ndio nme upload nipee 10 minutes itakua imefika
@buru12355 ай бұрын
Wow am proud of you rembo bt Susan wagetoka and hizo pesa Sasa ziko wpi alipea Bian au vpi?
@thewendysshow2545 ай бұрын
Ety wapee Bien 😳😂hawawezi walizichukua ni zao
@ImeldahKuloba5 ай бұрын
Bt mbona lola na suzy wasitumie iyo doo walipewa na bien wanang'ang'ania mansion ya wenyewe heri tu uyo suzy akufe
@thewendysshow2545 ай бұрын
Hawana akili
@isintajonathan1955 ай бұрын
Wendy wewe ndio the real deal tangu nianze kuku follow sijai miss any episode ya zari aki thanks na alafu nilikua nakuomba ukue unatuletea episode ya shanga na a better life please 🙏
@thewendysshow2545 ай бұрын
Asanti sana 😂 kuhusu shanga na better life sina copies zao aki nmejaribu kutafuta nmekosa aki
@fleviahella98185 ай бұрын
Ufdudth❤❤
@thewendysshow2545 ай бұрын
Eeh😳
@JenniferBaya-zu5cr5 ай бұрын
Chochote unacho kiwe kizuri ama kibaya lazima upitie
@thewendysshow2545 ай бұрын
Watalipia mda si mrefu
@EvalineKadogo-eb5xr5 ай бұрын
Instead ya Suzy pesa wako nazo waende wastruggle nazo watafute kuwa millionaires wanang'ang'ana tu kwa mansion ya wenyewe wako na ujinga mwingi sana,wanangoja siku ifike ya kupelekwa jela maisha yao yote
@thewendysshow2545 ай бұрын
Suzy Hana akili hizo mali za mansion zitaisha watalia