Daaah! Nilikuwa wapi siku zote sijaiona hii interview
@hamzaadrin9413 жыл бұрын
John umekua baba sana kitambo sijakuona brother
@E9ter93 жыл бұрын
Safi Sana kakamkuu
@Joseph-lu4yj3 ай бұрын
Dj unakosea kuwa PF.majani ndoo alitisha kwa ngoma wakati alikuwepo producer Mika mwamba
@princemajinge22062 жыл бұрын
Music ulikua zaman bhana,siyo sasa hivi et unaimba chomeka chomeka,sasa sijui ndio madudu gani
@user-yd6cv8ft1u6 ай бұрын
Natafuta wimbo wa afande unaoitwa Ndugu zangu...
@dottomsham98843 жыл бұрын
afande unamchokoza atakulipua we enderea tu
@saidomary3370 Жыл бұрын
sasa majani leo anajifanya yeye mwema kuma majini amewanyanyasa sana wasanii anaongea
@mamudidrisa3853 жыл бұрын
But Afande aliandika zaidi...nashangaa watu hawamuelewi
@jacksonsabana21503 жыл бұрын
Fact
@mamudidrisa3853 жыл бұрын
Sana mwanangu jamaa alikua mfalme wa. Rhymes si utani
@RuzoOwzy3 жыл бұрын
Bangi zilikuwa nyingi, ndo tatizo la Afande, ila alikuwa artist mzuri na mwandishi mzuri. Nmesikia interview yake hapa juzi kati, akaeleza hata lile tukio la Mkali Nani alilovua suruali akabaki na boxer. Aliongea vizuri sana hadi nkaona zamani tulikuwa tu tunapishana nae, ofcoz hata nae umri na experience haipo kama sasa hivi, so aliweza kujieleza vixur kwa hiyo interview.
@RuzoOwzy3 жыл бұрын
05:00 hiyo background instrument ni wimbo gani??
@stevenlugojeremia23233 жыл бұрын
Imekaa Vibaya
@RuzoOwzy3 жыл бұрын
@@stevenlugojeremia2323 😀😀. Nlijua litakuwa bonge la wimbo. Kumbe ni ndungurukusujo!!!
@johnpaulkirenga58243 жыл бұрын
@@RuzoOwzy hahahahahaha ninini?
@nassibabdul65102 жыл бұрын
Alikufa kwa ngoma mwana fa
@RuzoOwzy2 жыл бұрын
@@nassibabdul6510 Ni kweli. Upo juu mkuu
@saidomary3370 Жыл бұрын
sasa majani leo anajifanya yeye mwema kuma majini amewanyanyasa sana wasanii anaongea
@Joseph-lu4yj3 ай бұрын
mzee angeweka mazoea hit song asingeweza kutengeneza alafu kumbuka namna ya ku record zamani na saizi ni tofauti jaribu kufwatilia interview jinsi ilivyo kuwa kazi ku record