ADAM MCHOMVU : AMEFUNGUKA ISHU YAKE NA Q CHIEF / SINA TATIZO NA MTU NI WAO TU

  Рет қаралды 65,616

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 81
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 Жыл бұрын
Inspiration kama hizi inatuonesha ni jinsi gani watu wana Upendo big shout-out KWA Adam Dullah planet na huyo mdada mmetisha mpaka rahaa
@SilvanusSospeter-xx7st
@SilvanusSospeter-xx7st Жыл бұрын
Adam best presenter in africa
@robsonroby
@robsonroby Жыл бұрын
One of the Best interview kwenye huu mwaka ni hii ya Adam inakitu kwenye Hiphop
@henryckalmas687
@henryckalmas687 Жыл бұрын
Sure
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 Жыл бұрын
Tukiishi hivi ni fresh sana nawakubali sanaaaa
@newswireKenya
@newswireKenya Жыл бұрын
THE LADY PRESENTER BROWN GIRL SURA YA PESA LAKINI NYWELE LOOKS VERY SHAGGY THATS HER IDENTITY. AMAZING
@rashidkem7624
@rashidkem7624 Жыл бұрын
😂😂😂
@lesasid6494
@lesasid6494 Жыл бұрын
Very shaggyyy 😅😅 saante kwa compliments
@newswireKenya
@newswireKenya Жыл бұрын
@@lesasid6494 shukran, iko love Nairobi kariakor
@alleroStudio_pszone
@alleroStudio_pszone Жыл бұрын
Mchomvu Inc Much respect kwako
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 Жыл бұрын
Mchovu ni M2 Mbad kwenye kipaza
@ammyskills5588
@ammyskills5588 Жыл бұрын
2:25 Hilo jibu ni 🔥😂 Nimeipenda sana hii interview
@yonaphilipo1178
@yonaphilipo1178 Жыл бұрын
Namkubali xana mwamba hana baya tano🤜 za nguvu kwa mchomvu
@CharlesAyoub-hp5kc
@CharlesAyoub-hp5kc Жыл бұрын
Namkubal sana mchomvu uko poa sanaaaaaaaa
@FadhiliHamza-mz1wu
@FadhiliHamza-mz1wu Жыл бұрын
AD+ hatari sanaaaa planet mmetishaaaa shanaaaa
@EmceeMjax
@EmceeMjax Жыл бұрын
amazing guy, Adam namkubali all the time
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
oya Adam mchomvu watu wanasema ww nibangi nyingi ira sio kweli mm nakukubali sana mana atamm spend ujinga akizingua mtu mitama2
@rajabuomy487
@rajabuomy487 Жыл бұрын
Afu bangi sio mbaya bro.usISAHAU
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Big up Sana 💪 woof kwishaaaaaàaaa
@mageuzirichard8417
@mageuzirichard8417 Жыл бұрын
Nice adam
@djmsambamose2665
@djmsambamose2665 Жыл бұрын
+254🎉 Niko ndani.
@Djpapiiiii26
@Djpapiiiii26 Ай бұрын
sana
@raimajimoto1122
@raimajimoto1122 Жыл бұрын
Appreciate ad
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
Huwez kuona ngoma kama ya roma ikipewa airtime ya kutosha kwenye house media nyingi, lkn ngoma za hip hop zile lain lain ndo utazisikia zinagongwa kama zote,
@mdangulesamila6626
@mdangulesamila6626 Жыл бұрын
Weka platform yako na uweke playlist ya Roma tuuu!!!
@SalimSalim-bv3wb
@SalimSalim-bv3wb Жыл бұрын
Siku zote ukiongea ukweli unabakia pekeyako
@davidpius4764
@davidpius4764 Жыл бұрын
Ili iweje sasa na ngoma ya kawaida sana
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
@@davidpius4764 kwa masikio yako ni ya kawaida, maana ww umeshazoea zile ngoma za inama chomeka chomoa nk
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
@@mdangulesamila6626 makasiliko ya nn🤣🤣unafula kama puto
@Michoarbah
@Michoarbah Жыл бұрын
Much ❤
@rajabuomy487
@rajabuomy487 Жыл бұрын
Toka dakika 10 za maangamiz mkali ni medani the one
@reveliancyprzacharia6967
@reveliancyprzacharia6967 Жыл бұрын
Nomaaaaaa
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj Жыл бұрын
Champez!!!🙏✅
@Bandugu-b5p
@Bandugu-b5p Жыл бұрын
Big show
@alleyd.alleyd
@alleyd.alleyd Жыл бұрын
STRAIGHT UP!!!
@FakihiNapunda
@FakihiNapunda Жыл бұрын
Senkondo 🔥🔥
@jamesmakyao8103
@jamesmakyao8103 Жыл бұрын
Mchizi anaakili mingi sana
@khalidibero
@khalidibero Жыл бұрын
Another page... Mchomvu ink.. Mchizi wangu... Riiiiiiiimix
@marcfrederic1168
@marcfrederic1168 Жыл бұрын
Bonge moja la interview hii
@hemednassor4560
@hemednassor4560 Жыл бұрын
Adam apo leo umeongea vzri kuhusu hip hop
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Mi adamu nakukuligi ile noooma ama nene they way ulivyo unajiamini ile mbaya
@baricktumain
@baricktumain Жыл бұрын
Ukizaliwa Arusha ni unakuwa na akili nyingi
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Bangi mbaya
@zaynabmwanjovu1002
@zaynabmwanjovu1002 Жыл бұрын
Lina Akil hili likaka
@plastaog1150
@plastaog1150 Жыл бұрын
AD
@robinsonjames9711
@robinsonjames9711 Жыл бұрын
BM kama BM from xxl
@gogerrah447
@gogerrah447 Жыл бұрын
Hiyo beat nataka nielewe ni nhoma ya nani...from 8th minutes
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Nachojua kuhusu adam apendi dharau
@MohdMohd-hf7rm
@MohdMohd-hf7rm 11 ай бұрын
Rich msafi yupo kmya
@ernestkatyega5781
@ernestkatyega5781 Жыл бұрын
Mh huyu mdada mzuri jamany
@timoliiisaya3824
@timoliiisaya3824 Жыл бұрын
Asante kwa kuliona Hilo yaan ndo nlikua napitia coment nione mtu mwenye mawazo Kama yangu
@kibombi
@kibombi Жыл бұрын
Ana uzuri gan
@christophergeorge5490
@christophergeorge5490 Жыл бұрын
@@kibombi 😂😂 Afadhali wewe umekuwa mkweli
@lesasid6494
@lesasid6494 Жыл бұрын
@@kibombi kwahiyo nna sura ya kufunga kazi 😂😂😂
@lesasid6494
@lesasid6494 Жыл бұрын
@@timoliiisaya3824 saaaaante 😊
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Mchomvuuuuu! Wape mashavu wanaa🤣🤣🤣🤣
@RazakiMmalinda-rl3ej
@RazakiMmalinda-rl3ej Жыл бұрын
Now game inakuwa zaman haikuwa hv
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Punguza bangi itakusaidia
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Eewaaaa
@jeremiahmabula4837
@jeremiahmabula4837 Жыл бұрын
AD+
@shafysalum5670
@shafysalum5670 Жыл бұрын
Et Hamo na alikiba😂
@mohamedmanshufu-qi7gf
@mohamedmanshufu-qi7gf Жыл бұрын
✌️✌️
@bizmaterial594
@bizmaterial594 Жыл бұрын
Hii ni bonge la interview...
@onesmoshayo7880
@onesmoshayo7880 Жыл бұрын
ina muinterview muintervwiuwaaa
@bakarijuma8697
@bakarijuma8697 Жыл бұрын
SEKONDO KWA WATU WA KILINDI MAANA YAKE NIMTU WA VITA
@nivogee9830
@nivogee9830 Жыл бұрын
To the honest huyu mchiz ktk dhambi ambayo atatembea nayo mpk aje aombee toba ni kuua game na wasanii wa hiphop mlio wapa sana support ndio wameua harakat za kupush movement za hiphop ad ku stuck
@sidikassim6759
@sidikassim6759 Жыл бұрын
jina mchomvi tu inama ni ushari ssa kka jina limkponza
@saedomari3341
@saedomari3341 Жыл бұрын
Adam mshamba tu huna jipya, huja anza ww kutangaza, unaaibisha chuga
@jayutawala2242
@jayutawala2242 Жыл бұрын
Una sema una penda hip hop wakati wewe ndio umechangia kuua hip hop tanzania
@gavanajuma3664
@gavanajuma3664 Жыл бұрын
ADAM MCHOMVU
@Vitusikostantin-wy5sm
@Vitusikostantin-wy5sm Жыл бұрын
I'll III I'll y it 9
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Huyo mchomvu ni mmoja Kati ya watangazaji walioua HIP HOP , kwa kubagua wasanii fulani na kuwapa nafasi wasanii fulani mwisho wa siku leo anawacheka watu ujinga....mliwabeba watu lkn hawakua na levo za kuipeleka HIP HOP mbele.....sasa HIP HOP imepotea, mmebakiza midomo tu...!...bora UKAUSHE TU'...usiongelee HIP HOP
@josephboniface6209
@josephboniface6209 Жыл бұрын
Fuck hujui mziki tuliza kipago...
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
@@josephboniface6209 we MAKU kweli, ww ndio huna unachokijua ww Boya na huyo mchomvu Boya..!...
@robinsonjames9711
@robinsonjames9711 Жыл бұрын
BM kama BM from xxl
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 90 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 29 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 48 МЛН
Dakika kumi za maangamizi Bassat Waboe
12:44
Bassat Waboe
Рет қаралды 307
Тренер Дал Допинг Своим Футболистам 😱🔥
0:54
Смотри Под Чаёк
Рет қаралды 1,8 МЛН