I wish this Topic iende kwa Watu wenye Upeo zaidi ya hao watangazaji.
@MwambaJimwamba8 күн бұрын
Sana. Wajinga sana hawa watoto. Wanahitajika watu wanaoelewa nini kinaendelea. Huyu jamaa angejadili na mtu kama Saleh Jabir ungependa hii interview namna ingekua ya moto
@SabanaSipemba-v8j11 күн бұрын
Content zuri sana tatizo anayeuliza swali yupo darasa la pili b anayejibu maswali yupo chuu kikuu mwaka 3 tatizo ndo lipo hapo
@lugebeatzz874711 күн бұрын
😂 nimefika sehem anauliza ujinga kaka.
@jumazahoro353711 күн бұрын
Kero tu
@jumazahoro353711 күн бұрын
Hapa ilibidi awe lill ommy au soggy doggy au fedrick bundara
@AmissemomadeMomade-y2i9 күн бұрын
Kweli
@islandinsuranceagency80089 күн бұрын
Unaakili nzuri sana
@LaeranceChiduo2 күн бұрын
Nicco Track Kalewa au? Mwambie hajaongea Vzr...Mwambie Abaki the Base,
@BeBestEverElevet10 күн бұрын
Hakuna bongo flava aliyoanzisha Dully Nico track anapotosha umma. Taji na wenzake hawajaanzisha muziki wowote they just coined a term Bongoflava,muziki wa kizazikipya umeevolve wenyewe kutoka kwa vijana wakitanzania walionza kuimba miondoko ya muziki wa hip-hop, Rnb kwa kiswahili, na kuna baadhi waliimba tuu juu ya beats ambazo hauwezi kiziweka kwenye genre yoyote inayofahamika duniani, hawa wote ndio waliingia kwenye kundi lililoitwa wasanii wa bongo flava. Credit ya uasisi na Ubunifu wa huu muziki unatakiwa uende kwa wasanii wa mwanzo na wataarishaji wa muziki wa awali.
@zuberimohamed4310 күн бұрын
Bro kilichoongelew hapo ni mahadhi ya muziki wa kizazi kipya wa kuimba ukimtoa Dully mtaje msanii aliyekuw anafanya aina hiyo ya muziki? Hao waliopita nyuma wote walikuwa wanafanya R&b na hiphop dully alikuja na sound mpya iliyokuja icon ya mziki wa Bongo kwa nyimbo za kuimba hususan kwa kizaz kipya ukimsklza nuruely au mr paul ni tofaut kbsa na sound ya dully mpeni maua yake kaka Dully hata kama hampendi maana hiyo sound ndo imewaleta akina Mb doggy, matonya, Diamond, Ally kiba na ndio ikabeba beba had hilo jina la Bongo flava ambalo myke Mwagama aliliasisi kwa maana ya jumla ya mziki wwte wa kibongo hususan kizazi kipya hata watu wa hiphop walianza kujiona wao cyo Bongo flava
@fj831710 күн бұрын
Wewe ni kichwa nakubaliana na wewe
@fj831710 күн бұрын
@@zuberimohamed43huyo dully mnalazimisha awe na sehemu kwenye bongofleva haipo hiyo unamjua James dandu kwanza
@GoldfreeHagai39 күн бұрын
Hakika ,
@XxlTheotherside9 күн бұрын
Umeelewa na bado hujaelewa
@zulfikakalumba197711 күн бұрын
Nice topic, tatizo anaeuliza swali upeo wake ni mdogo. Nafikiri ilipaswa huyo dogo presenta angefafanuliwa kabla ya interview maana ya hiyo mada then ndo angeendelea na kipindi. Kwanza inatakiwa ujue Rap pekee siyo bongofleva(muziki wa nyumbani) au R&B Ya kiswahili siyo bongofleva, bali bongofleva(muziki wa nyumbani) ni namna radha ya huo muziki unakua ni milindimo ya hapa Tz tu mf miziki ya Dully au TID....
@beka36o382 сағат бұрын
DAAH HAO PRESENTERS 💔💔 WAMEYUMBA SANA KWENY KUINTERVIEW
@islandinsuranceagency80089 күн бұрын
Madogo hawana uwezo wa kumuhoji jamaa, Wameyumba mbaya😂😂😂 wameshindwa mmbana vizuri
@lucianoluciano67957 күн бұрын
...hawa madogo hawajui chochote na pia hawajui historia ya mziki wetu
@hafidhimarijani496111 күн бұрын
Milioni 70 hata ungekuwa wewe 😅😅 Dj Nicko Track mwenye Track zake...
@bignunda48010 күн бұрын
Wee acha uongo!!!! Hizo ngaz Tatu tofauti Ngwea kwenye free style hakua na waku shandana nae. Vivyo hivyo chid Benz hakukua waku compet nae wakat ana ingia Ila Godzilla alikuja kwenye kipindi cha ma freestyle walikua wengi, Niki mbishi,aleluya, Rich male,stick iki, na machiz kibao. We acha kupotosha Watu
@athumanmwilima11448 күн бұрын
UMESIKILIZA VIZURI AU UMEJIBU TU
@mahadmatebe977511 күн бұрын
Wakwanza leo
@salimmwabundu95810 күн бұрын
Tatizo watangazaji haswa Rich uelewa wake mdogo sanaaa
@uwezokinahi787010 күн бұрын
Hawafanyi Tafiti kabla ya kuja kwenye vipindi
@GwamakaMwakabungu-n6p8 күн бұрын
Machungu unapozimwa ili ufunikwe na asieweza
@emmanuelkyandochali9904 күн бұрын
Ndo akaletwa joh makini tuzo zao zote wakampa joh makini
@MickeEdward11 күн бұрын
Hawamini katika kiba au diamond wawili Wanaamini ni kumshusha mmoja ili mwingine awe dili
@salehezimbwe639511 күн бұрын
Cha kupewa hakishibishi ukipewa lazma ukumbushwe dunia mwendo wa ngisi kung'aa sio lazma star ashushwe
@josephrichard24110 күн бұрын
nikki mbishi chid benz godzilla c wamerap kwenye kizazi hicho au mm sielewi mtu anapodai freestyler bora wakati gani huo mm sikuwa na uelewa mbn mnatuchanganya
@jimmyx84129 күн бұрын
kwa uelewa wangu na upeo wang mdogo nawaza hivi (bongo flavour) ni mziki wote unaotoka bongo, sasa hizo flavour kwamaana ya ladha ya muziki wa bongo ikiwemo hiphop, RnB kutoka bongo
@jeremiaaugustino71878 күн бұрын
kuna jina....alaf kuna kazi yenye hilo jina....watu wa HIP HOP walilikataaaaaaaaaa
@bwenyenyemfalme73058 күн бұрын
Huyu jamaa anajichanganya Kwa kueleza maana ndio muhimu kuliko matamshi...Flavour na flava ni sawa tu... (Ladha)..hip hop ni culture haiwezi kuwa kwenye bongo..flavour ni Jana la mziki unaomaanisha ladha ya Tanzania... Na imesimamia mziki..wa bongo flavour... Alietoa jina ndie muanzilishi
@BinHakim11 күн бұрын
DJ Niko anajaribu kuwaelewesha presenters lakini presenters hawaelewi
@tidbit-v1210 күн бұрын
Gen Z ...... wanahitaji kuupdate taarifa zao kuhusu game la zamani
@beka36o382 сағат бұрын
Shida nyingne hao presenters hawaujui mziki wa zamani hauwez kuleta facts za Google definition
@HusStler-n3j11 күн бұрын
Watangazaji vichwa box 😢
@eliadaniel21610 күн бұрын
Ndo haya anayo semaga dudu baya
@shukurusaria852710 күн бұрын
Hawa machaliii ni weupe Sana kichwani
@audaxmlowa995310 күн бұрын
Unamuachaje unju unapowataja MA freestyler
@Baisah12010 күн бұрын
Kwa mm nilivyoelewa na ninavyoelewa dully alikuja kuleta Aina ya muziki wa bongo Fleva muziki wa kuimba
@gadimbajo10 күн бұрын
Wasanii wa bongo bwana sijui wanahangaika nini hapo, bongo flava hakuna ubunifu mpya wowote, ni hip hop na rnb tu, ambazo zimeimbwa kwa kiswahili, tofaut kubwa ni lugha, lakini pia na midundo kidogo p funky na master jay wapewe maua yao, walibuni midundo flani hivi inayotautiana kidogo na ya marekani.
@MussaRobart-w2y3 күн бұрын
Kushuka apande mwingine ndio kanuni ya kila tasnia Sema mcs wamekalili
@GoldfreeHagai39 күн бұрын
Master j anamaelezo mazur sana kuhusu hayo majina ,radha ya bongo baada ya nyimbo kuombwa kwa lugha ya kishwHili wakauweka katika makundi 1)rnb 2)hip hop 3)zouk 4)Ila dully na wengine wa kuimba imba ikaitwa bongo flava. Hapo ndio tunampa DuLLY mwanzilishi wa mziki . Ila Taji liund na Mike Mwahagama walikuwa na kipindi cha kupiga mzik kwenye radio kuna stive B
@Moshi_klm9 күн бұрын
Semaaa haoo watangazaji wanazinguaa coz kipindi ni nakuaa kinaa kipindi kilikua kinaitwa latha za bogo
@issasaid831910 күн бұрын
Cjaelewa chochote naona mnanichanganya tu
@cdemido560810 күн бұрын
kama huelewi si kwa ajili yako
@jeremiaaugustino71878 күн бұрын
mtoto wa 2000
@MussaRobart-w2y3 күн бұрын
Kuna akili ndogo inatumika tofaut ya bongo Flava na hip hop hakuna tofauti bongo Flava nimkusanyiko waaina tofaut za muzik Tanzania 🇹🇿 hata Hao waasisi wanajichanganya akili zao ndogo pia kushindwa kutoa ufafanuz kwa jambo dogo kama hili
@BonifaceMatutu11 күн бұрын
Ukiwa unaelezewa kitu uliza maswali ya kueleweka.
@jeremiaaugustino71878 күн бұрын
presenters watoto wa 2000...............vichwa vigumu....vinahitaji UDAKU badala ya stori
@amonijajila121811 күн бұрын
uyu mwamba yuko pw 😂
@MwambaJimwamba8 күн бұрын
Hawa madogo hakuna kitu wanajua. Wanahitajika watu wanaoelewa nini kinaendelea. Huyu jamaa angejadili na mtu kama Saleh Jabir ungependa hii interview namna ingekua ya moto
@lucianoluciano67957 күн бұрын
...good, Salehe Jabir na Lilly Ommy
@Moshi_klm9 күн бұрын
Hivi hawaa dogoo wana kumbuka latha za bongo kipindi hichoo
@ququtheringtones408911 күн бұрын
Issue ya Bongo Fleva waulize wakina Tajiri hundi wajibu huyo jamaa uwezo wake mdogo kwenye kujibu hilo swali mziki wa dully bongo flavour imetoka majuzi tu
@rogertuga00710 күн бұрын
Mbona jamaa kafafanua vizuri hata Master Jay pia kaelezea hivyo hivyo utofauti wa bongo fleva na Hip Hop. Kuna aina ya uimbaji kama kina Dully ndio bongo fleva.
@joshuamakota67149 күн бұрын
Sio tajiri hundi ni Taji Lihundi boss
@jeremiaaugustino71878 күн бұрын
watoto wa juzi wabish sana
@afropatriot776911 күн бұрын
Hivi vitangazaji vigumu kuelewa
@Mabokitz11 күн бұрын
😂😂😂😂
@JohnsonMbelwa-rv7jy10 күн бұрын
Presenters rudin shule.
@LaeranceChiduo2 күн бұрын
Tena Taji ni Boss wa Nicco.Mwambie Aache Ujinga
@mohamedymkopi588711 күн бұрын
Muulizwa maswali alitakiwa akutane na lili ommy amchape maswali ya msingi hawa watangazaji vitoto vya 2000 usingizi sana …
@LilianPendaeli11 күн бұрын
Yaan t -shirt Kwa kizungu na tisheti ya kiswahili item ni Ile Ile Kuna form Six round collar za jezi zote ni tisheti
@AlliJuma-pk7oq11 күн бұрын
Mimi ninaswali bongo flava nimziki wakizazi changapi? Kwasababu ninavojua mm music is a game of generation
@kaponatz11 күн бұрын
Bongo fleva ni mziki wa Tanzania ,Yani ni utambulisho wa taifa kama ilivyo amapiano umetoka S.A ndio unaitwa bongo fleva na kwenye bongo fleva Kuna taraabu,singeli,minanda, rap ,afropop nk ila kuimba tusiejua ndio wanauita bongo fleva