Safi Sana, I like those rymes, lines zina akili na ubunifu mkubwa, we want to listen to u more.
@abuumanyati41857 жыл бұрын
“ma undergroung ndo wanafanya hip hop inangara” Respect brother Professor J
@richardcastro23867 жыл бұрын
🙋
@myriamshafii8977 жыл бұрын
nikki sio anaburudishia tu ni anafundishaa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@jumayusuf16947 жыл бұрын
Umezinguaaa niki2 halaf mbona hujiaamini unaoneshaaa unatizama saa kila sekunde. Mleteni nchama the best& haidary scoba wafanye yao
@jacksonmkwela68247 жыл бұрын
kiukweli mzee baba sijakusoma kabisa narudia tena sijaona kama mchama!! the best
@didamugya60397 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongoza kwa Lylics skills bongo, the man is genius though dakika 10 zimemuangamiza😁
@jackkileo67407 жыл бұрын
dida mugya inaitwa lyrics sio lylics
@hassanwazir34586 жыл бұрын
dida mugya acha kupotosha kwa lipi alofanya na Ana lyrics skills zipi upuuzi kafanya fala uyu asiejuaa kuchana miaka yoteee nilioiona kwenye game in short hawezi
@barakamshiu71466 жыл бұрын
+Hassan Wazir we unajua sana kuchana eee???
@hassanwazir34586 жыл бұрын
dida mugya sana nangoma zangu kaliii mzeeee
@baloziubalozini50747 жыл бұрын
Ana midondoko mingi mikali + lyrics tamu Ila hajatoa mzigo wa Kutosha so binafsi naweza sema hajazitendea HAKI DKK 10 ZA MAANGAMIZI
Freestyle inakuwa tamuu wakiitwa marapper maundergraund bhana huyu star anazingua
@zaituniathumani86597 жыл бұрын
hiphop is harder than math's nikk you have killed it..#from R chuga tunawakilisha™
@yusufmsuya97 жыл бұрын
weusi blessed........nikki poa sana
@zerpaul89817 жыл бұрын
umefanya poa wasiojua awaoni wameshikilia tu apo ulipo uliza mda
@mtokambali8017 жыл бұрын
Only under grounds can kill 10min, some one like Scoda mc, Nchama the best & Maarifa big thinker.
@omillomi12067 жыл бұрын
kweli an
@jordaninosenti35493 жыл бұрын
Noma sana nakumbushia Dk 10 zirudiwe tena
@ahmedkhatibu53877 жыл бұрын
ebana weeee,,,,,,salute mkubwa Nick wa pee
@mbishitrump56217 жыл бұрын
Nikki wa pili kazana tizi mzee umepwaya japo una mistar ya kurudia
@billycage56727 жыл бұрын
kaishiwa mistar nn mbna anaomba pooo....
@jaystar10047 жыл бұрын
Mtu kaimba vtu special lakn mnaleta ujuaji mwingiiiii........mnashkilia tu hapo anapouliza mda......kwel anasizi sana lakn co kwamb kashndwa..#nikki katisha bn
@franklampard3427 жыл бұрын
hizi dk 10 za maangamizi kuna siku zitakuja kumwaangamiza baadhi ya emcees
@daud305gtv7 жыл бұрын
frank lampard hahahahahahahaha kweli jamaa
@gloriaringo93637 жыл бұрын
holaaa holaa !!!!!!!!!! nice Kaka
@edsonmtatiro26226 жыл бұрын
Yuko fit jamaa aisee
@mussadembelle28457 жыл бұрын
Dakika 10 ni nyingi sana kwa ma fake rapa lakin siyo mbaya umejitahidi
@ramadhanthabith66684 жыл бұрын
Lunya na s2kizzy kam nawaona
@gilesbashaje7754 жыл бұрын
Nakubali kaka
@mbishitrump56217 жыл бұрын
Haidary scouda & selementally bado wameangamiza dakika 10 mpaka leo hii
@anohwizman66053 жыл бұрын
Aliuwaa Sana mkaliwade wa R
@lomgoldtz9076 жыл бұрын
god bro good blees
@isacknguvumali34457 жыл бұрын
Huyu ku flow hawez hivi vitu ana weza young killer. Napenda music wa nikk wa pili ila kwa hili limekutoa Ko
@zakariagerald63817 жыл бұрын
Hahahah mzee baba dk zimekutoa jasho...... umejitahid though
@elishamachilu54147 жыл бұрын
Aisee sijaona aliYEweza kumfuniKa HIDARY ESCODA A YOUND KILLER kwenye dk 10 za maangiziii...hawa wengine wanazinguaa saaana
@heriprince61666 жыл бұрын
Elisha Machilu ushawah iona ya Bonta Maarifa ww?? Jamaa ana'flow had anaambiwa muda umeisha bad0 anataka aendelee..
@chikirasaid65756 жыл бұрын
oyyya nakubali babbu unajua had uunakera
@rashidimkunjila80963 жыл бұрын
Oa irudiwe nawaona wauni kibao lunya na frida oyaa s2kizz nawauni kibao
@mariameena56306 жыл бұрын
we mkal brow big up xnaaaa
@dobidotz36964 жыл бұрын
Aibu yako bro
@theoriginals32407 жыл бұрын
nickiii mavina
@dastanherman.kingdicetv18407 жыл бұрын
mnaobisha mnaweza
@dhatianafi44097 жыл бұрын
Niki uko vzr sana kaka
@tomplexbrigedier22823 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.....hadi unaomba pooooohhhhhh!!!!! rapa mzimaaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀 #UMEANGAMIZWA KAKA.... MPKA JR. ANAKUAMBIA HII BEAT BADO HUJAITENDEA HAKI 😂😂😂😂😂😂😂
@madeduwatanashat63427 жыл бұрын
yuko njema sanaa jamaa
@sonofjesus18326 жыл бұрын
dula nakuomba tuletee na six O'Clock ktk dakka10
@justinwella81192 жыл бұрын
Niki we ni nomaa
@dr.abdinassir68077 жыл бұрын
ningeomba #Nikki angalie alichokifanya *#Maarifa* alafu ajiulize *niaibu msanii mkubwa umeshindwa kumaliza dakik 10 dah* 😂😀😂😀 I can't believe kk
@emmanuelmzava41916 жыл бұрын
Dr. Abdi Nassir kafanye ww hzo dakika 10
@officiallyimo67726 жыл бұрын
Hapana
@mnedykareem39277 жыл бұрын
Nimekuelewa nikki ila dzaini ka beat zpo chini sana
@aliceangelo70285 жыл бұрын
Niki ninoma sanaa weusi
@ToyTz7 жыл бұрын
jamaa ana mistar mizur sana tena yenye ubunifu ila anasiz sana
@hajjichibu81175 жыл бұрын
namuelew xna niki 🎧🎤
@musasadiki38987 жыл бұрын
Sometimes Lina mistari interesting lakin limezinguaaaaa, limepwaya li Nikki. Hahahaaaaaaaaaa.amepotea
Naona kila mara anacheki saa kwa ukuta kweli hakuna kitu hapo.....bado lunduno watakuwa hip hop harisi siooo haoo....
@suleishdishelectronics41407 жыл бұрын
dk 10 zijaona zaid ya chemicaltz na coyo master....ila niki wa pil we endelea kukaataa kaz ..ila michano umefel
@chandenyatto24972 жыл бұрын
Huna lolote bora uimbe taalabu sio Mc wew
@allytunda84896 жыл бұрын
Kalii @daddyboy
@zompasevenludovick517 жыл бұрын
afu ndo mnajiita wakali wa Hip-hop bongo...tumuacheni Chidbenz abaki kuwa Chidi aseee
@amourmohd35107 жыл бұрын
duh kweli verse for money broo
@swaggadiv5 жыл бұрын
Nacheki young lunya na S2KIZZY Kumbe walikua wanajipanga saizi ndio baba yao
@nassoromaduhira84807 жыл бұрын
Nikk ¡¡ big up but umepoa sana broo
@sambayoo64414 жыл бұрын
Niki ww bado me namkubali maktric noma
@mudyhamady58597 жыл бұрын
juuue hawawez kufanana wote m namkubali huyu anatoa mistar mikali sana
@tchipppo7 жыл бұрын
ua sana mweusi haters utawajua tu.
@mrramadhanimsangi70737 жыл бұрын
Zimekutoa jasho dk 10
@boyclassic51227 жыл бұрын
Saafiiiiiiii sanaaaaaaaa
@juliusjohn46857 жыл бұрын
Young killa kiboko yao niki ame zngua xana
@frankjokonea56537 жыл бұрын
masuperstar wanazingua tuu
@wilsonsamora18835 жыл бұрын
Gonga like kama umemuona foby
@kibwamoko87676 жыл бұрын
Kimtindo kajitahidi, haikuwa mbaya sana ila asipende kuulizia dakika kila saa.
@titholongo7086 жыл бұрын
chid benz ndo baba laooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
@sefagomez68836 жыл бұрын
Da Unajua mpaka unaboa Niki
@fdkdonard84897 жыл бұрын
mwenge Wa Uhuru sio #Bamaga
@promramson807 жыл бұрын
vituo vingi mnooooo
@hisammaziku46587 жыл бұрын
good show man
@samsonkusupa68097 жыл бұрын
sasa maanake nn AF wakisema yang killer anawakalisha mnaanza kutoka povu
@oscarjoshua92842 жыл бұрын
Nan kamuona s2kiz
@eddiedonald74836 жыл бұрын
Nikki ana mistar mikali ila dakika kumi hapana maana tunataka mtu atakaetupa mizuka sasa nikki toka dakika ya kwanza anachungulia saa af ana sizi sana adi anakata stimu.. laiti angeunga bila kusiz siz angekua ametisha saana
@mtokambali8017 жыл бұрын
Kaangamizwa na dk 10😸😸😸😸😸😸
@mnyakitz20077 жыл бұрын
midundo iwe ya hip hop ...tuu uyoo DJ sometimes anawazingua rappers ...
@evelinekaaya5864 жыл бұрын
Full xanah ding
@donaldtarimo92807 жыл бұрын
Dakika kumi za maangamizi mpaka sasa maunderground ndo wametisha hawa wenye majina hamna kitu
@atikombogolo23567 жыл бұрын
Donald Tarimo tukiunganisha zinakua dk 6 tuu hizi kwakweli
@nicholauswiliam88765 жыл бұрын
Ngumu nyeusiii haina kwereee
@peterregy66606 жыл бұрын
Duh duh Nikki kasoma ase wengine wameliwa tu ada😂😂😂
@meshakimmale20036 жыл бұрын
kumi za mangamizi wote mmeka kwa watoto wa kike stosh na kiu girl
@miltonemusumbah25447 жыл бұрын
Amelemewa. Hivi hakuna msanii ambaye ameweza kuangamiza dakika kumi za maangamizi akazizika kama CHID BENZ.... Naomba kujua ni saa ngapi hii show huangushwa live kwenye radio ndiyo niwe naitegea live
@mzalamohalisi67545 жыл бұрын
Hawa Jamaa amnakitu kabisa wana bebwa na miadia to nilijua atanimalizia MB zangu Hip Hop aiwezi kabisa puzi akuna mistari myepesi kama karatas
@andrewbajuta47506 жыл бұрын
Ni hatari sanaaaaa
@mickskillstechnology75117 жыл бұрын
Mastar kwenye dk kumi za maangamiz wanapwaya, leten ma-underground ndo wanayoosha au legends wenye mikato ya freestyle kama zila na stamina
@Mwakito20137 жыл бұрын
umezingua mbaya bro
@costantinomnyanga80377 жыл бұрын
Mpumbavu huyu Hamna kitu apo
@salimh.mshaam67147 жыл бұрын
hawa wasanii wakubwa wanajisikia sana maranyingi wanazinguw Mzee umezinguwa balaa
@sanyaatv63145 жыл бұрын
KWANZIA NIZALIWE SJAWAH KUPATA LIKE KZbin NIONEENI HURUMA JAMAN 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mkuluwaukae22217 жыл бұрын
mbona beat iko chini aisee
@stevenkaria67 жыл бұрын
hiz dakika wangekuwa wanapewa underground, hawa wakubwa hamna kitu
@jovinoryoungpoisonjames62707 жыл бұрын
nyinyi nima k mnaocomment kua Nikki si kichwa mm nampa miamia
@benardjames57186 жыл бұрын
chini ya kiwango nick
@bboymnyachy98457 жыл бұрын
zerooo ,akunaga uwezo hpoo
@kaniyahiouise14745 жыл бұрын
*Nikki wa pili umetisha Sana kwenye freestyle 🔥*
@jumakasanda40576 жыл бұрын
Wasanii wakongwe siwapendi napenda wanaotoka wanakuja na style mpya makongwe nimeshawazoea