Ukiweka UKOLO mbele huwezi kumuelewa huyu jamaa, well said 👏
@donlinechanell4760Күн бұрын
Ww kwa akil timamu zle picha na video unazo ziona ni za CCTV camera 😂😂😂?? Zle ni mtu aliwa record na yanga waliziba cctv camera na tape that means walifanya uhalifu wakarekodiwa na watu na ukifanya uhalifu uka rekodiwa sio kosa la alie kurecord kw sabab kafichua maovu
@dullahbatuf9223Күн бұрын
Huezi weka camera ndn ya chumba cha kubadilish nguo weka nje ya chumba lengo kuchunguliana
@RichardNgumbuluКүн бұрын
Hongera mpogole kwa hatua mpaka BBC tutafika tu ivo iv pigs kazi
@Sam-Pozzeh9 сағат бұрын
Samuel Rashid naqubal... Waambie chap tupitee
@therealomisakulu5416Күн бұрын
Sheria ya cctv camera hazifungwi ndani ya chumba ni nje tu.
@allymbarouk5362Күн бұрын
Sheria ya wapi tukumbushe
@dastanjohn37097 сағат бұрын
Mwishowe izi kamera zitafungwa vyooni tunakoendea uko
@madrasatulmujtabahschool3676Күн бұрын
Sehemu ya kubadilishia nguo huwezi kuweka CCTV camera kama ambayo hotelini hawaweki vyumbani usizungumze pumba muandishi
@christianjohnmwalugaja8090Күн бұрын
Huyu jamaa amevaa fulana ya essential anazungumza vitu kiushabikishabiki. Hivi kweli mtu anaweza kuweka wazi mambo ya hovyo2. Huu ni ujinga kabisa mnaleta vitoto vinabwatabwata kwenye mic upuuzi.
@abednego3876Күн бұрын
Azam ishushwe daraja manina.
@mullamtupa91166 сағат бұрын
Katumwa uyo kuitete azam uyo kolo kama makolo wengine
@johnurio91512 сағат бұрын
Tatizo mnaita mashabiki na wanachama wa Simba kuwahoji,hapo anaongea upuuzi tu mjinga huyo
@pauloegbert515Күн бұрын
South Africa mlichoma ubani hamkubuki
@humandstzКүн бұрын
Boss kisheria it's wrong kuweka cctv camera Kwa dressing room, swali je ingevuja moja ya mchezaji yupo uchi, usiongee vitu kwa uhakika ila kisheria haipo hivyo
@mahadshekh398Күн бұрын
Huyu ni Shabiki wa Utopolo.
@jossporahmsw8420Күн бұрын
Saw, mbona mlivyoshinda hamkuwa na mayowe😢😢
@mshua337Күн бұрын
Wakati.kila kitu kina wakati wake
@ObedMwankinaКүн бұрын
Daaah hiki kijamaa kiongo kweli
@johnurio91512 сағат бұрын
Huyu mjinga sijui katokea familia gani yenye asili ya ujinga na akili finyu,kamesoneshwa labda ya father kwa bahati mbaya Sasa hakajui mambo ya kisasa,eti CCTV inawekwa ndani ya chumba, puuzi Sana huyu ,na akili za makoro wengi ziko hivi
@sijaonamjungufinias48111 сағат бұрын
Azam wameonesha vitendo viovu hivyo vitendo si vya kuficha, arobaini ya ngogwe imefika
@JosephMhagama-d7oКүн бұрын
Cctv azitakiwi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo
@nancymorenje3880Күн бұрын
Hakuna timu yeyote hapa Tanzania isiyofanya ishirikina Azam washirikina sana. CCTV camera haiwekwi kwenye changing room
@wolfugangtesha5724Күн бұрын
Issue ni masindano
@RajabuKhalfan-q2qКүн бұрын
Wao awajuwihilo wanamkomowa anayetowapesa awanauruma na dangote
@iddimngazija1957Күн бұрын
Cctv camera mwisho wake ni kwenye corido sio vyumbani na hata kama iwe ni kweki wachezaji wa yanga wanachoma sindano wasingeacha ushahidi vyumbani,hili jambo bado halijakaa sawa
@AgapeIvanКүн бұрын
Usidanganye uma CCTV camera kwenye vyumba vya kubadili ngumu ni kitu kibaya
@Rolemodel_wa_taifaКүн бұрын
CCTV hazifungwi chumbani CCTV ni Nje na Corridor,
@theophilyedward2448Күн бұрын
Bora haooo wachawi waondokeee wanatuharibia mpiraaa
@andrewnangiКүн бұрын
Muandishi wa habari usidanganye watu, CCTV unapofunga, Camera ina maeneo huruusiwi kufunga mfano Chooni, vyumba vya kubadilishia nguo. Camera uwa ina rekodi tukio kama mtu akiingia au kukiwa na move ment yeyote ile ni auto matiki ina rekodi. Na kama zina fungwa basi inakuwa ni sili ya watu wa Saver room kutunza ayo matukio.
@athumanibakari-j6uКүн бұрын
We unauhakika zilifungwa tangu ZAMANI wewe ni muhusika? Acha kujifanya unajua KILA kitu.
@195941233Күн бұрын
Huwezi kusema hivyo maana mpangaji kama anazingua anaondoka. Yeye kajiondoa hajaondolewa
@chinchon2126Күн бұрын
Huyu muandishi anatumiia na Azam kuwatetea
@DripGod-js4ssКүн бұрын
We mpuuzi sn unavyofikiria Azam wanaweza kuonyesha uchi w mtu ujui km ni kosa l jinahi ebu jitafakari n maelezo yako
@kivuyohalalmeatsupply9215Күн бұрын
Sawa haivujishwi je nyie mnaomiliki hiyo cctv kamera n sawa mumchungulie pakome mashine yake achane ufara
@PoulinSimonКүн бұрын
Sasa si inafanyiwa play back
@AliJussaКүн бұрын
Ki ufupi chumbani hakufai kufunga CCTV Camera
@AllyBentaКүн бұрын
Fungal CCTV Camera Chumbani Mwako ndio utajua Ukweli
@MalcolmAbdallahКүн бұрын
Haya yote yamejitokeza baada ya kufungwa na Tabora United 😅😅😅😅😅
@qarmamabrouk4770Күн бұрын
Kwani kipindi chote icho yanga wanacheza uwanja wa azam wanajifungia magoli izo camera hawakuziona? Iweje wameonekana mabaya yao musime chumba hakitakiwi kufungwa camera
@BakariHassan-b1k3 сағат бұрын
Basi wewe hadi chooni kwako ume weka mana kote Kuna hitaji ulizi
@SalimAbdallah-mi1wcКүн бұрын
Watafuta sababu ya kuhama uwanja si mkajenge wenu mjichome sindano vizuri Na hizo sindano tumeziona kabda ya mechi ya tabora😂
@BenjaminiMwasongelaКүн бұрын
kuma labibi ako
@matiankomola2391Күн бұрын
Kwani wewe kijana Mweusi unajua sana, kuliko yanga wenyewe, Hiyu kijana anapoongelea mambo ya Yanga kulipaswa kuwepo na Msemaji wa Yanga ili aweze kukamusha yasiyo sahii, kutoa uelewa kwa yale yanayopotoshwa kuhusu Yanga. Kuliko hawa wanaotoka kwenye vyombo vya habari na mambo yao! Ili mtadi kutukera Wanachama Yanga. Hawa ndiyo aliowasema Musiba. Na nyie wenye vyombo vya habari tuleteeni Taarifa zilizohakikiwa. Msitulee watu kama hawa mnamaliza bando zetu.
Hujui Shelia kaka kama kungeashilia ulinzi wangeziweka hata kwenye vyumba vya kulala
@susumantalanta8505Күн бұрын
Huyu fala tu, security gani isiyozingstia privacy ya watu....basi ziwekwe na chooni, kama watu wanaweza vujisha picha za matukio ya dressing room unauhakika gani kama hawana footage za watu wakiwa ktk Hali ya kubadirisha nguo...?? Huyu mwehu kabisa....hii ndo shida ya kuacha professional na kuzama kwny mahaba ya ushabiki na umbea wa mjini
@allymbarouk5362Күн бұрын
Mpaka museme kilicho watoa yanga pale daaadek
@francisc.mwinami9916Күн бұрын
ETI KACHELO😆😆😆😆😆
@iddysonyo1356Күн бұрын
popati ni kiongozi wa azam fc lakini sio kiongozi wa uwanja acha uongo binti
@GeboNdaruКүн бұрын
Sasa ule uwanja wa azam ni mdogo lakni uctgemee kupata mashabiki kama watu wana hama
@mussastephano4938Күн бұрын
Aisee, huyu mtoto Hana akili, yaani hata choo mtu anajisaidia ulinzi Sasa unalinda haja kubwa, mkojo au usalama wa choo.
@EmmanuelNdaki-e7qКүн бұрын
Ww hujui kitu unatetea usichokijua
@malietamalietКүн бұрын
Nasikia ety wafanya kazi na wasimamizi wa uwanja washakulwa kichwa 😂😂 property ndo Bado amepewa muda ajitafakari
@barakamwantolwa4336Күн бұрын
Acha uwongo kijana..Azam kwanza anataka kulinda uwanja wake.
@FilipoBahava-x8yКүн бұрын
Kwani yanga lazima kucheza AZAM?
@RiziwanikupazaКүн бұрын
Mchambuzi wacha uongo yanga wachawi
@AminaMsimbeКүн бұрын
Fredrick mjinga wewe na wazazi wako na madunduka wenzio
@HassanNdauka-x1zКүн бұрын
Jamaa kaongea vizur nitakupa kolo mmoja umpididdy,
@omarkhamis3909Күн бұрын
Sasa mpangaji wako nimchawi anawasumbua watt wako wanini kumng'ang'ania
@TwahirBurhanКүн бұрын
MBONA KUONDOKA YANGA AZAM MADA MMEIKUZA SANA? LKN WKATI SIMBA AMETANGAZA KUHAMA CHAMAZI AKIDAI KUHUJUMIWA HAMKUFANYA KUWA MADA KUBWA??
@TexnoNamesКүн бұрын
💚💛💪
@emanuelkilinga9196Күн бұрын
Simba hajaondoka kwa ajili ya masindano
@fikirininasoro5272Күн бұрын
Yani hapo ndio ujue yanga ni timu kubwa sana hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla
@derimkongwa5965Күн бұрын
Hapo haiongelewi Simba Acha utimu
@JosephChrisantКүн бұрын
Tatizo siyo kufunga CCTV Camera tatizo ni kutumia CCTV Camera hizo kuihujumu Yanga.
@matrida.lunyilija5196Күн бұрын
Umeongea point ndg sio wengine wanaongea vitu wasiovijua
@frankhoffa8356Күн бұрын
Hakuna timu inayofanya kazi bila uchawi! Mwaka 2002 kwenye kombe la dunia senegal ilisafiri na waganga 200, Simba ilikuwa inasafiri na professor maji marefu sababu ya kufanikisha mamboyao, mohammed mwameja wa simba alishawahi nyang'anywa taulo aliloweka golini pindi akiwa Simba, kagere wa Simba alivuliwa hirizi akiwa uwanjani, kwahiyo hapa msijitoe ufahamu kabisa.
@robertphilip385Күн бұрын
😂😂😂😂😂 nakweli asee Simba walifanya uchawi FNB south Africa
@AbrahamMohamed-o4qКүн бұрын
Kuma wewe kagere ajavuliwa hilizi ilikua cheni
@robertphilip385Күн бұрын
@@AbrahamMohamed-o4q Sasa chaajabu nini ? South Africa mlikua mnachoma nini uwanjani ?
@robertphilip385Күн бұрын
@@AbrahamMohamed-o4q halafu usipende kutukana watu
@barbiepixie92Күн бұрын
Yanga wachawi usilete stories za wengine hapa tunaongelea yanga
@maliadii4829Күн бұрын
Hizo video zilisambaa watu wakinyuyiza dawa ulikuwa umedoro acha unyambi
@abdallamohdhiyonineematush408Күн бұрын
Azam usifokir wanashida hiyo
@SharifuLubuvaКүн бұрын
Acheni ujinga vumbani hakufungwu kamera
@hamzakimaro3764Күн бұрын
eti azam anahitahitaji million 5? wapumbavu nyie,kwani bakhressa ana machine ya kutengeneza pesa? anauza akwaju wa mia mbili azikatae milioni 5!!
@mohamedtorado9075Күн бұрын
Hamna kitu hapo
@anithawidambe75432 күн бұрын
WEWE MWANDISHI UNAUHAKIKA? MBONA MIAKA YOTE WAMEKITUMIA HICHO KIWANJA?WASEME WAMEKIMBIA SABABU YA UCHAWI KUFUNGWA KAMERA NI SAFI SANA. ILI WABAYA WAJULIKANE.
@chaliiyawenger2331Күн бұрын
Huo uchawi na ww uliuona hapa kinembe kinakuwasha
@fimboonlinetv5282Күн бұрын
Acha hasira mumepigwaaa@@chaliiyawenger2331
@LinusKyandoКүн бұрын
We MCHAMBUZI mwenye T-shirt nyeusi ni MJINGA,alichokifanya AZAM ni sawa na kumpangisha nyumba MTU NA MKE WAKE HALAFU UNAPIGA PICHA YA UTUPU WAKIFANYA MAPENZI NA KURUSHA MITANDAONI,MPANGAJI GANI ATAKAA HAPO???
@UMOJACHOIR-k7yКүн бұрын
Huyu jamaa hajui hata anachoongea
@fredrickanathesarakikya18902 күн бұрын
Yanga wajinga na uchawi umewazidi sanaaaa
@bcozhenry2698Күн бұрын
Wewe mwenye akili Mbona bado mpumbavu tu?
@JumaKilyamandaКүн бұрын
Ww ndio mjinga kamauchawi unasaidiw kwanini nanyie msitumii
@matrida.lunyilija5196Күн бұрын
@@JumaKilyamandaWakati wao walishapigwa mpaka faini ya uchawi sijui wanajisahulisha nn makolo hao
@GamaRacing123Күн бұрын
sawa nani asie jua naww nimchawi
@KamugishaLushakuziКүн бұрын
Uyo mtu hatumie sindano na hanajua kuwa nikosa arafu haache watu waikute Azm uwanja wao sisalama
@seciliamchalo562713 сағат бұрын
Ni mchezo huo kuwachafulia Yanga je kama wenyewe wameziweka tutajuaje
@BenjaminiMwasongelaКүн бұрын
mkundu wa bibi ako ata auna ukwel niujingatu mwandishi wawap ww
@SupetySalimuКүн бұрын
Hivi vichambuz vinatokaag wap lakin
@OS-pf6opКүн бұрын
Sio lazima uonyeshwe wewe? Na kama nani?
@devotabashome1090Күн бұрын
Nimeamini yanga ina maadui wengi. Mti wenye matunda ndio unairushiwa mawe
@LauMagwajaКүн бұрын
Mti upi 😂😂😂😂utopolo bado hamjasema shida wazeee
@FrankMsuya-x8zКүн бұрын
Unawatetea azam tu
@jokertv3073Күн бұрын
Uongo bhn zinakaa mlangoni
@meckcassius3983Күн бұрын
Unataka mbaka uone kwani hizo zimevujaje
@khadijayusuph5815Күн бұрын
Hawakuwa wanalipa unaogea.uwogo pesa gani wamelip
@FgldesignsКүн бұрын
Viwanja vyote huwa vinalipiwa hata vile vya serikali, bora unyamaze kuliko kuropoka
@SumbiIdebeКүн бұрын
Wachawi wamekwama wanalialia tu madawa ya kuongeza nguvu yanga hawajambo
@creedjeyКүн бұрын
Wewe Huna akili kabisa kama kweli watu wanatumia dawa za kuongeza nguvu kwann wasishitakiwe maana kwenye mpira hairuhusiwi
@TexnoNamesКүн бұрын
We ndo uliwachoma au umekuripuka unataka jambo muwe na uwakika co mna lalama tu
@shabaniajaha4327Күн бұрын
Na wewe Katumie, Kwani wachezaji wakiumia huwa hawachomwi sindano? Au umeanza kuangalia Leo Mpira? Angalia kinachoongelewa wewe na sio hayo unayo yasema wewe
@salmamlokela1987Күн бұрын
Kwani mabomba ya sindano yana shida gani unataka kuniambia wewe tangu uzaliwe ukuchoma sindano wachezaji pia ni binadamu
@DM_15Күн бұрын
😂😂
@remigiuskaijage-c2gКүн бұрын
Timu zote zinatumia uchawi
@LauMagwajaКүн бұрын
Na madawa ya kuongeza nguvu je
@NeemaMushi-wj1znКүн бұрын
😂😂😂😂😂
@FilbertKalembe-fy4oqКүн бұрын
Wapumbavu nyie
@amsiabbas3809Күн бұрын
Hivi kwani Azam Fc wanashida namilioni Tano au kimi za Uwanja kukodishwa!!.... Maana a tujifunze kuacha kushobokea watu navitu vyao Simba Yanga tumezidi Shobo ndio kinachotuponza
@ramadhanijohoiddi2899Күн бұрын
Usiwe na akili matako ingekua aziwafai wasingekodishwa
@willymdeka6034Күн бұрын
Ndio muache uchawi sasa
@bernardmboma1461Күн бұрын
Waongo yanga wachawi hao
@TexnoNamesКүн бұрын
Naomba jibu timu zote za Tanzania Yanga ndo mchawi peke yke nijbu tu
@bernardmboma1461Күн бұрын
Ndo maana wamekimbia Azam complex . Camera zimeambua na sindano zao.
@malietamalietКүн бұрын
Nasikia ety wafanya kazi na wasimamizi wa uwanja washakulwa kichwa 😂😂 property ndo Bado amepewa muda ajitafakari