Dakika 10 za Maangamizi na Dee Oneten Vs Poison

  Рет қаралды 60,917

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@davidjuvenary9422
@davidjuvenary9422 3 жыл бұрын
Kama umemkubari Poison Sumu😃😃 gonga like
@devdeehtv8050
@devdeehtv8050 2 жыл бұрын
Nionapo jina Poison mahali Najua Tu ni mazishi imefanyika🔥🔥💯💯
@livinusrenatus
@livinusrenatus 2 жыл бұрын
One ten kaifanya hiphop kama simple... I like the talent
@omarbwenzi7355
@omarbwenzi7355 3 жыл бұрын
Oyaaaa huyu poison mbona ni hatariii sana kwa freestyle za man to man
@gloire1965
@gloire1965 2 жыл бұрын
Poison he's so talented❤️❤️✌️
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 3 жыл бұрын
Poison inabidi mumsaidie kwani anakipaji Cha Hali ya juu Sana
@ibrahimkigomba9686
@ibrahimkigomba9686 2 жыл бұрын
Dk 5 kwa poison nlizan 1, kiukwel uy jamaa n Google let me call him POISON GOOGLE aka POISON G
@johnmboge4949
@johnmboge4949 3 жыл бұрын
Dee oneten nomaaa sana aisee
@josephrichard241
@josephrichard241 3 ай бұрын
flow nzuri sana pia maneno mnarap yanasikika
@topaztz7601
@topaztz7601 2 жыл бұрын
Poison, ana big talent ila kuna jambo moja tu, anapaswa kupata mwalimu amuelekeze kutofautisha vina vya Rap, na vina vya wana malenga, maana kwenye uandishi wake anachanganya vina vya rap na vina vya malenga sasa hii ktu inapoteza ladha kamili ya hiphop rap. cha kwanza inabidi ajue vina vya rap vipoje na pia vina vya malenga vipoje akishajua hivyo baasi atakuwa moto zaidi ya alivyo sasa, maana flow yake inapoteza ladha kwa sababu ya kuchanganya vina.
@Cococollege
@Cococollege 2 жыл бұрын
Topaz tz nkubr bro
@BUCHOSAONLINETV
@BUCHOSAONLINETV 2 жыл бұрын
@@Cococollege tueleweshe malenga na rap bro vikoje...Kwa faida y sisi
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 11 ай бұрын
Tunaomba tofauti ya vina vya rap na vina vya malenga
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 6 ай бұрын
Topaztz tunaomba kujua tofauti ya vina vya rap na vina vya malenga
@meshack2559
@meshack2559 2 жыл бұрын
D 1-10 kipengere unachora jamaa
@chazzkandila1753
@chazzkandila1753 3 жыл бұрын
Daa hip hop ni zaidi ya elimu na burudani
@rashaslim98city
@rashaslim98city 2 жыл бұрын
True definition of rap anaitwa poison,,noma sana karibu kwetu🇰🇪🇰🇪
@rashaslim98city
@rashaslim98city 2 жыл бұрын
Naeza pataje traks na video za poison
@ellykileo2984
@ellykileo2984 2 жыл бұрын
Mpo vizuri machalizangu
@bazoloemanuel5897
@bazoloemanuel5897 3 жыл бұрын
Poison kauwa saaana....sema D oneten mmekatixha na story
@hamxochagaboy8816
@hamxochagaboy8816 2 жыл бұрын
Poison Wallah Ni Mnyama🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂 Mkali kuliko Wote
@Ram_CS
@Ram_CS 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 wotee
@rajdaboy
@rajdaboy 2 жыл бұрын
Mm n yuleyule pande za nairobee 🇰🇪 Naenjoy michano🔥
@mcmifukotz7267
@mcmifukotz7267 3 жыл бұрын
Nimenyimwa ubonge ila na ukubwa wa rungu
@mwamudaniel7912
@mwamudaniel7912 Жыл бұрын
Poison ni moto kali kama pasi ya makaa. 254 namkubalia kiukweli
@anoldmichael5704
@anoldmichael5704 3 жыл бұрын
Wameuwa sanaa hatal
@kidyboymedia2034
@kidyboymedia2034 3 жыл бұрын
Kama unakumbali poison like hapa
@ivanokillerfadhili525
@ivanokillerfadhili525 2 жыл бұрын
Nakubali shaaa🔥🔥🔥🙌🙌
@geofreyjohn1099
@geofreyjohn1099 2 жыл бұрын
Poison ntakualika mahali unajua sana
@wagyabiraso7029
@wagyabiraso7029 11 ай бұрын
Siku moja mkampe Untouchable na poison
@makorabohbchannel2807
@makorabohbchannel2807 3 жыл бұрын
Wamefanya poah sana ila next time aludi KADO KITENGO na BOSHOO NINJA, itakua kizaz sana
@mkalitalkshow
@mkalitalkshow Жыл бұрын
Unyama Mwingi 🔥
@amnonushindi9942
@amnonushindi9942 Жыл бұрын
Poison hatar sana
@husseinkambiy3578
@husseinkambiy3578 Жыл бұрын
Tisha mbaya dee110
@goodluckraymondi7144
@goodluckraymondi7144 2 жыл бұрын
Nakubali wanangu
@ventureb2098
@ventureb2098 Жыл бұрын
D 1-10 Ni 🔥🔥🔥
@miseleyetutv6328
@miseleyetutv6328 3 жыл бұрын
Niko nanyi na bando yngu mpaka mwisho
@mjthefuture96
@mjthefuture96 2 жыл бұрын
Wametisha saana
@mugishaalida5580
@mugishaalida5580 Жыл бұрын
poison ni rapper Wauhakika ata ukimuamsha singizini anapita tu 😃✌
@maneylukaku9449
@maneylukaku9449 2 жыл бұрын
Daaah mwamba poison ni hatar
@sagothebest
@sagothebest 2 жыл бұрын
Tumrudeshe medani tena mwana naye anajua sana
@smartdee3757
@smartdee3757 Жыл бұрын
Poison kwa freestyle hana mpinzani
@StoperstoperSsr
@StoperstoperSsr 8 ай бұрын
Sana wana waipapu
@momdeka8255
@momdeka8255 2 жыл бұрын
Poison ni wa moto💥
@JuuboyTz
@JuuboyTz 7 ай бұрын
VP apo naomba kupiga intayvuu apo ndugu
@barackbakari141
@barackbakari141 2 жыл бұрын
Dah huyu poiso ni habar nyingine itabid aje kwa mara ya 3✊✊✊
@kasuluboytz142
@kasuluboytz142 2 жыл бұрын
Salute
@madinitv8401
@madinitv8401 10 ай бұрын
safi
@rennywikazi2793
@rennywikazi2793 2 жыл бұрын
Yuko good more
@clemintrobudie5801
@clemintrobudie5801 Жыл бұрын
Poison Unyama Mwing sana👊
@marakidtz9454
@marakidtz9454 3 жыл бұрын
Poison Gumzoooo
@josephrichard241
@josephrichard241 3 ай бұрын
nyarugusu kuna vipaji
@ismailabdalla5618
@ismailabdalla5618 2 жыл бұрын
Poison noma
@ZwingliAru
@ZwingliAru Жыл бұрын
Poison mkali zaidi yamkali
@shadowwamichongo2878
@shadowwamichongo2878 3 жыл бұрын
Gud xana wote
@sagothebest
@sagothebest 2 жыл бұрын
Poison huyu mbn ni fireeeer
@BBMBonnie
@BBMBonnie Жыл бұрын
Poison killed it, nampa
@ndyanabondyanabomkar8703
@ndyanabondyanabomkar8703 2 жыл бұрын
Poison.uyo jamaaa ni hatar Alisha kinukisha bg sunday.atar sana
@bartazariluvanga3298
@bartazariluvanga3298 Жыл бұрын
POISON KILLER I GOT U BOY
@sagothebest
@sagothebest 2 жыл бұрын
Poison kwa freestyle namuamin sana
@johnsonjohnson3365
@johnsonjohnson3365 2 жыл бұрын
Wametisha sana kwenye 10 maangamizi
@mirajiramadhani2128
@mirajiramadhani2128 2 жыл бұрын
Poison is danger
@msakagroup1695
@msakagroup1695 3 жыл бұрын
Poisoooon
@shannydizzotz6274
@shannydizzotz6274 3 жыл бұрын
Owa poision nataman wakutane na toxc
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 2 жыл бұрын
@@shannydizzotz6274 duh noma mzee
@victoroduor8066
@victoroduor8066 Жыл бұрын
Poison salute
@stephanomakwalu9281
@stephanomakwalu9281 2 жыл бұрын
Poison mdogo wangu wewe nii hatali
@irenel1494
@irenel1494 2 жыл бұрын
Young poison
@NovathJames-i2r
@NovathJames-i2r Жыл бұрын
Respect
@mcmifukotz7267
@mcmifukotz7267 3 жыл бұрын
Hiphop
@msakagroup1695
@msakagroup1695 2 жыл бұрын
Poison 🔥🔥🙌🙌
@jumahamisi5383
@jumahamisi5383 2 жыл бұрын
Mleteni Gad Go since mumpe 5mnts mukasema mtamleta tena Hadi Leo Zii
@geraldanthony1492
@geraldanthony1492 2 жыл бұрын
Poison ni hatar sana kauaaaaaa
@alexnoah2127
@alexnoah2127 2 жыл бұрын
Poison nomaaaa
@King_G514
@King_G514 2 жыл бұрын
Mor fire
@dogotwaanails_mafunzo
@dogotwaanails_mafunzo 3 жыл бұрын
🔥💪
@paulkiplagat9232
@paulkiplagat9232 2 жыл бұрын
poison
@ellyscarlxrd7380
@ellyscarlxrd7380 2 жыл бұрын
Oi poison anatumia jina gani insta
@dostovan5142
@dostovan5142 2 жыл бұрын
Celtics
@frankmakubi5325
@frankmakubi5325 2 жыл бұрын
Poison
@jumannemuhammad6827
@jumannemuhammad6827 2 жыл бұрын
Toxic mbna ajarudi Tena
@salumjuma543
@salumjuma543 2 жыл бұрын
Sumu.
@shadowwamichongo2878
@shadowwamichongo2878 3 жыл бұрын
Pooooooooooooooooooooooosooooooooooooooon
@JuuboyTz
@JuuboyTz 7 ай бұрын
VP apo naomba kupiga intayvuu apo ndugu
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald 2 жыл бұрын
Poison
@faustineelias7477
@faustineelias7477 2 жыл бұрын
Poison noma
@emanuelbiz3304
@emanuelbiz3304 2 жыл бұрын
Poizon king of fesstery
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI - F MORE MCHUNYA
10:25
EastAfricaRadio
Рет қаралды 27 М.
RAP BATLE | MTU KACHANWA HADI KAOMBA MSAMAHA - BIG SUNDAY LIVE
13:24
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 45 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 10 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 119 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 35 МЛН
Dakika 10 Za Maangamizi  - Kinya | Planet Bongo
12:14
EastAfricaRadio
Рет қаралды 151 М.
Dakika 10 za Maangamizi na Bwana Nyau | Planet Bongo
12:43
EastAfricaRadio
Рет қаралды 88 М.
Dakika 10 Za Maangamizi - MBIZE MC | Planet Bongo
13:42
EastAfricaRadio
Рет қаралды 60 М.
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI - UNTOUCHABLE
11:11
EastAfricaRadio
Рет қаралды 152 М.
Dakika 10 za Maangamizi na Bunaya
12:24
EastAfricaRadio
Рет қаралды 133 М.
BIG SUNDAY LIVE - AMPIGA BUSU BAADA YA KUSHINDWA KWENYE RAP BATTLE
12:34
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 45 МЛН