Sama wewe ndiye chanzo ya shiku kukosana na mamake juu huambii shiku ukweli.kazi yako ni kukimbia kama small boy
@nancykabari14872 күн бұрын
Kabisaa anajua ukweli siata angemutumia zile video za nyanya yao ciku ajionee mwenyewe then amuwe vile anataka
@patiencewatarethepoetmoifo9072 күн бұрын
Kabisaaaaaa
@evansmangilwa60332 күн бұрын
Sama nawewe huwezi ambia mtoto uleli
@NorineEdesa2 күн бұрын
mimi sama huniboo sazingine ati sikukuja hapa mkosane hiyo ndio neno
@FatumaJeneby2 күн бұрын
SAMAA: 'MUONESHE VIDIO MAMAKE AKIFUKUZWA, NA KUVUNJIWA SHOSHO, AKIWA ANA MIMBA!!😂 CHANGAMKA
@beuvanmgana42742 күн бұрын
Baba Shiko aonyeshe transactions ya pesa amekuwa akituma kwa mama Shiko, simple as that
@werelawrence46862 күн бұрын
@@beuvanmgana4274 hii familia ya wachira wote ni wakora .Starting from the drunkard upto shiko.The only credible person is Baba mlezi
@dorcaswambui53262 күн бұрын
Eeh aonyeshe,,,
@Zarethelovelady2 күн бұрын
Kabisa 💯 anatumia mtoto kueka vita between mama na mtoto
@micahchebii76482 күн бұрын
The problem is mama shiko, yes the real baba shiko hakutuma pesa kwa mama shiko angemwambia mtoto ukweli In state of hiding everything to her
@johnorina59522 күн бұрын
Shiko yy ni Malaya Sana angekataa kusomeshwa na Baba mlezi
@Wilky2542 күн бұрын
The Girl has no respect at all if her husband to be is watching.... Sidhani hapa kuna Ndoa....
@CharityWachira-zw9cf2 күн бұрын
Wachira alisema hakuna ndoa
@hulidahwanjiku33212 күн бұрын
Huyu wachira ni mchawi
@AthumaniSeleimani2 күн бұрын
Inshu ya hela ilaisha kwisha yule wazazi wake walisema mbele ya wote kwamba hela walikuwa wao sasa kwanini anasema uwongo wachira nimshenzi unalazimisha kwamba alikuwa akituma pesa kwa mama shiko wakati hela alikuwa akituma kwa mama yake
@rahema9072 күн бұрын
Na ww mumama ulijitakia mbona unakaribisha x wako kwako kwa wiki 3 zote
@beatriceawuor30772 күн бұрын
Surely 😮
@leahwanjiku35662 күн бұрын
Aki akufanya poa...uki move on jikubali
@mumblessed0012 күн бұрын
Hata mimi ndio nilikua nauliza if alijua ame move on na asikubali akuje huko huyu mama ni muraya tu
@iremwa7762 күн бұрын
That was not wise at all...how now🤷🤷
@tracynyambura44942 күн бұрын
The mistake mama Shiku alifanya nikukaribisha wa south Africa na hadi gari iko hapo kwake,how can she convince her daughter now
@josephwaweru4392 күн бұрын
I'm the man who is marring shiku but nimeona Hana akili just like her father 😢😢😢😢 thank God kwa kunifungua macho 😂😂😂
@graceayitso72372 күн бұрын
How sure is this? But if it is true leave this family alone and on peace ✌️
@zippykim384Күн бұрын
hana.heshims ata kidogo
@QuinNaututuКүн бұрын
@@josephwaweru439 hapo sasa
@CharityWachira-zw9cf2 күн бұрын
Samaa kama huongei ukweli kwa huyu msichana toka.
@lucymacharia41342 күн бұрын
@@CharityWachira-zw9cf sama cjui nn mbaya naye anajivuta sana
@SamiraMulama-op6bm2 күн бұрын
Exactly..he's so foolish.. alikua tu apo akisema pesa ilikua inapewa the mum n he's silent..anasinyq
@werelawrence46862 күн бұрын
Hua kanabehave like kasichana. kanajua ukweli but kananyamaza kimyia
@boboskyramaa99162 күн бұрын
Sama anakuwaga mbwa ghasia Sana,always keeping quiet watching drama while you know everything huyo wachira anadanganya huyu msichana
@ZN21-y9y2 күн бұрын
Atoke hata mimi ananisinya nonesame this is insane...
@raphaelkitwii2 күн бұрын
As long as blood father alimtolea mama shiku mali yeye ndiye anafaa kuletewa mali and that's the truth
@emmakarebe65642 күн бұрын
True
@josphatkiarie85942 күн бұрын
From the moment wachira got the opportunity to talk to her biological daughter that was the moment I knew it was just a matter of time n everything will change n whether her biological dad messed up or not ,wachira will easily take his kid back
@deeruta98942 күн бұрын
@josphatkiarie8594ok ni sawa but alipe ndio achukuwe watoto wake amelelewa na mtu mwengine alikuwa wapi? Aki ya mzee wa lory apewe mwenyewe tu. Hii ndio unaonaga kuowa mwanamke mwenye watoto inakuwa ngumu coz of this.
@stellajohn84512 күн бұрын
Respect for parents is paramount, please shiku where are your manners gal??
Responsible parents,not selfish beasts.that bibilical respect is absolute
@lucymacharia41342 күн бұрын
Hapa Kuna Siri fiche,lakin mungu atafichua yote hapa no wedding
@RoroRoserororo2 күн бұрын
Kabisa
@fatumaadam42712 күн бұрын
Wedding sio weed😂😂
@lucymacharia41342 күн бұрын
@fatumaadam4271 🤣
@Zarethelovelady2 күн бұрын
No . matter what shiko has no right kuongeleaha mamake hivo😢😢😢 pesa ngapi na tulisikia vizuri tu mamake Ex bwana hakuwai mpa pesa ,,,,,, uchungu wa hiyo ndoa mama shiko tu ndio anajuwa
@irinewachira65892 күн бұрын
I think what she meant ni mamake ku entertain baba wa South Africa kwao home for three wks...cz sio kupika walikua wanapika all that time, obviously si ni sleeping
@susannjora2 күн бұрын
Afu uliskia wachira akisema ndio maana hio kitu Hahaha ilikuwa hivo so aliskia kiatu nikumbwa kuliko size yake akakanyangia
@rosekaimuri62842 күн бұрын
Possibly ni hivo
@susannjora2 күн бұрын
@harrietkambua1399 pia mimi nipitie
@raphaelkitwii2 күн бұрын
Blood is thicker than water mzazi ni mzazi hata kama hako namna gani ukiwa mwanaume wakati unaoa kwanza fanya mahesabu vizuri hawa wanarudi kwa baba yao
@elizabethmutua16652 күн бұрын
@@susannjora😂😂😂usinimalize mwaka mpya😂😂
@janelayala29142 күн бұрын
Hapa Samah hafanyi Poa hapa
@lucymaina72162 күн бұрын
shiko respect your mother.....whether she got married or not she sacrificed because of you guys......your father is out to spoil your life after he totally failed. mum take heart.
@deeruta98942 күн бұрын
Shiko hana adabu kbsa
@MERCYMUYABILI19 сағат бұрын
Anataka aharibu kwote then arudi kwa familia yake s/Africa
@werelawrence46862 күн бұрын
shiko ameingilia vita zenye hazihusiani na yeye
@irinewachira65892 күн бұрын
I blame sama cz wakati kizee kilikua kinaongea uongo kuhusu kutuma pesa, sama hakufungua mdomo kuongea ukweli
@sammylikono67832 күн бұрын
Its the father who kept lying to her that he was sending money,in reality he was sending money to the mother,who in turn send this woman away,samaa y a u not telling this brat that,kulea watoto c rahisi,she went to school,not the father who did it?, hapa laana wanatembea,ya mama nikaliii
@priscilaithonga96692 күн бұрын
It's sama mistake u don't bring kids to there parents issues
@CharityWachira-zw9cf2 күн бұрын
@@werelawrence4686 Sama ndiye ameshangia.and soon he will regret.
@AgnesKamau-h6j2 күн бұрын
Hizo vita zinahuzu hali yake ya badaye na wale atazaa That biological father has all the blessings shiku needs if at all they were in love why didn't she not bear achild with him.imagine the man had gone beyond of forcing shiku to sleep with him what a shame?
@CharityWachira-zw9cf2 күн бұрын
Sama acha kuingia nyumba za wenyewe.juu unajua ukweli na huambii shiku the truth
@micahkariuki13222 күн бұрын
Yea! Sama anakuwanga tu hapo juu hizo ma contents zake na views coz anajua vyenye inaendelea but huzemi ukweli
@solositanikitambaa2 күн бұрын
Imagine!! 😮, Kwanza Sama anaiboo sana. Anajua ukweli na hasemi, anashindia kuuliza maswali za ujinga hapo
@ruthndinda66892 күн бұрын
Shiku why are you doing this to your mother. It is so painful.
Kwani Kuna wengine,,,apart from,,baba mlezi🙆🙆🙆🙆am waiting
@stephensonkimeu75042 күн бұрын
My question too?
@werelawrence46862 күн бұрын
wachira, baba mlezi,father inlaw, and others
@elizabethmutua16652 күн бұрын
@@werelawrence4686😂😂😂kaende sasa
@Vitalis-ih3bv2 күн бұрын
Baba mlezi ni mjinga.! Na atakula huu ata shamba atapoteza
@elizabethmutua16652 күн бұрын
@Vitalis-ih3bv huna huruma na yeye🤣🤣🤣
@JosephKimaro-e5s2 күн бұрын
Sama ni mbuzi kabisa ndio maana wengine wakisaidia kama akina jay, Dave, pastor show wewe uko anafuja nyumba zawatu
@naomymaina48972 күн бұрын
Huyu shiko atajuta this girl will never know peacd
@charlesongoro48112 күн бұрын
Huyu mama amezaa fidelis ama Jacinta😂😂😂😂
@VeronicaKeruboMogesa2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@DorisMuriuki2 күн бұрын
😢😢😢 Lakini kusema ukweli Shiko hana adabu . ..anakaa kama yule shosh
@WinfredZakayo-k9o2 күн бұрын
😅😅Anaitwa kaa huyu shosh.. Wanjiku
@QuinNaututu2 күн бұрын
@@DorisMuriuki damu ni mzito kuliko maji🤣🤣🤣
@munyasiasamuel47012 күн бұрын
Sama ndio chanzo hata kama ni content ameboo
@Sarah-e7x9p2 күн бұрын
I saw that when she called her father "Malaya"then this to her mum who sacrificed to gave birth and raised her!hata kama ni wambaya aje she should tame her mouth always kabisa!
@aphlineagina3562 күн бұрын
Ni damu ya shosh
@mukhtarsiyat42662 күн бұрын
Ata Samaritan sio msee mpoa matha anadharauliwa mbele yake ziii wallai😢
@jojoh-n5e2 күн бұрын
Matha did what she could do for her kids to get a better life ata hawakai kama waliteseka 😢
@JosephineKamau-m7w2 күн бұрын
Mama chiku an entertain upusi ya Nini? Fukiza wote na panga.kwani umesahau wewe ni meru?
@SharonJira2 күн бұрын
Shiku ata yy anaruka babake mlezi surely ju ya mtu wa South Africa mwenye amemupromise atampeleka South Africa akampe kazi
@josephinenjoki20682 күн бұрын
Huyo ni baba yake si mtu
@Zarethelovelady2 күн бұрын
Sasa hii kelele ya shiko ndio anaolewa nayo kaaah poor husband to be😢😢😢😢😢😢
@werelawrence46862 күн бұрын
@@Zarethelovelady walahi ako na mdomo and very irrational.
@Sarah-e7x9p2 күн бұрын
Nimekwama hapo kwa"huyo baba wa kambo mwenye amekuwa akinitaka"🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆it is about to go down 😮
@EXCELLENTPHONE-l9t2 күн бұрын
What I know baba mlezi paying school fees at your own risk
@felixmwanzia90812 күн бұрын
😂😂nikama kuendesha gari ya kukondisha
@fancytulula95372 күн бұрын
Samaritan, please, elezea huyu msichana maneno vile iko.
@wamzy11102 күн бұрын
Very sad. Chiku you know your father has another wife and kids. Why attack your mother? Anyway which father did your mum cheat on since you have two? As for Sama sasa hii ndio kutengenza familia? You just kept silent when Wachira was openly lying to the daughter.
@rosekaimuri62842 күн бұрын
This time Samaritan decided to keep quiet akijua vizuri shiku anadanganywa
@EUNiCEMaish2 күн бұрын
Hii ni ujinga anafanya yet he knows.the truth then the girl should respect the mother ame struggle na wao baba yao akiwa nSA the girl should listen to both side
@irinewachira65892 күн бұрын
I blame samaritan cz wakati kizee kinadanganya shiko kilikua kinatuna pesa kwa mamake, haku intervene aseme ukweli
@joymuthoni69752 күн бұрын
Alafu baba mlezi alisema hakuna nguo zake ziko kwa mama shiko meaning yeye ni kupitia tu😅
@joshuaonyi38192 күн бұрын
Sanitation required with immediate effect
@cinta-cs4cd2 күн бұрын
Kupitia for 10yrs? He was probably being sarcastic plus he travels a lot with his work
@elizabethmutua16652 күн бұрын
Ni mpangilio😂😂
@RoroRoserororo2 күн бұрын
Mama shiko ni side chick wake
@phylismwihaki4706Күн бұрын
Hata mimi niliskia hivo
@carolinerubeya78172 күн бұрын
Sama Headings zako sometimes ni tofauti na uhalisia... Kwa hii umeandika siko sure kama tutakuta kuko na Baba ungine tofauti na hao wawili tunajua...
@MolelyMolely2 күн бұрын
Napenda tu kuwakumbusha tuko na ofisi SA 😅
@PriscahWandu-xb9ep2 күн бұрын
Lakini ata niwe mbaya mtoto wangui haiwezi niongelesha hivo
@JacklineWaithera-g4f2 күн бұрын
Sama sioni ukisuluhisha mambo ya huyu mama unamuingezea shida daily
@poulinemurima11652 күн бұрын
Sure, a lot will be revealed, and no one is righteous.. Wachae sasa ibaki kuwa story
@johnkamunyu99722 күн бұрын
Sama afanye kazi yote iliofichika ipatikane..juu mama shiko she is not straight
@SerahKimani-if3iz2 күн бұрын
Sama bona unawacha ciku amtusi mamake na huongei ukweli.hii inaboo
The way Shiku disrespected her father and now her mother says a lot. Regardless of what her father “did” at least show some level of respect. She is getting married and will experience marital problems, the people she will need in her life are the very once she is disrespecting. Her Mother and Father. This marriage “could” be doomed.
@JospridahMwongeliКүн бұрын
Samaritan you know the truth na unanyamaza badala useme ukweli😢😢😢😢😢😢
@carolinerubeya78172 күн бұрын
Sama umetulia tu naunajua ukweli wote wa yule mzee kuwa alikuwa akitumia Mama yake pesa na si huyu Mama haki!I feel Sad!
@Nyabokeeuniah2 күн бұрын
Sama mbona asiweke video za shosh akisema hakupeana pesa
@carolinerubeya78172 күн бұрын
@@Nyabokeeuniah Na ndio hata niko nimemshangaa akiruhusu mpaka kunafika vurugu zote hizi...
@janegicho42092 күн бұрын
Samaritan ongea ukweli
@devinchysbeverages2 күн бұрын
Ati huyu mtoto anaolewa!...my lawld!... l pity that Young Man
Kudo's ciku, let mum and her husband mlezi wa sahau and forget 😂.. ciku ako sawa😂😂 no dowry 😂😂😂❤😮
@chrismwas60902 күн бұрын
How can you say that yet yeye ndio amemlea a akalipa school fees 😢😢😢
@marthawaithira12642 күн бұрын
Gonga kofi moja anyamaze. Mtoto mdogo na mdomo ndio kubwa...
@vinnnduri75092 күн бұрын
Samaritan will always talk when not needed but when his input is needed in saying the truth, ananyamaza kama kuku amenyeshewa
@Rm2024-x3d2 күн бұрын
True
@ThaddesusNyaenya2 күн бұрын
Anaomba TU charger 😂😂😂😂
@CatherineGathukumi2 күн бұрын
Weuh tena alikua anakutaka baba mlezi 😂
@DMoverMover2 күн бұрын
True blessing come from the biological father. Mama ciku be Wise
@irinewachira65892 күн бұрын
But mbona sama huja intervene uambie shiku what shosho said alitumiwa pesa akakula?
@sky-nj1nq2 күн бұрын
Akijua Sama will be in ciiku's hot soup..😂😂😂😂😂
@carolinerubeya78172 күн бұрын
Mtoto hana adabu kabisaa...
@treasureforashes34972 күн бұрын
She's like her father and grandparents, Evil
@margaretkibware3 күн бұрын
Other men? Ooh meaning wako wengi? Jacinta and Fidelis come for your sister
@WilsonKibyegon2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@margaretkibware2 күн бұрын
@WilsonKibyegon chemurenit korgoni
@QuinNaututu2 күн бұрын
😂😂😂😂
@anastaciawairimu77632 күн бұрын
Sure
@JosiahMaina-w7y2 күн бұрын
Well done babygirl. Get the blessings of your biological father
@evangelinemaina7322 күн бұрын
Mama Ciku be calm and let this girl be she will come back to you crying.
@QuinNaututu2 күн бұрын
Yea mahari iende kwenu Shiku. Clever girl
@janerosemaina75422 күн бұрын
Mwenye aliwafukuza Na akakula pesa zao za Shule? Si Ali confess yote
@QuinNaututu2 күн бұрын
@@janerosemaina7542 lakini ni kwao. Si unaskia mwenye aliwapeleka shule alitaka walale na yeye?
@FAITHWANGARI-vp5tn2 күн бұрын
🙆🙆🙆🙆waiting drama new year samaritan 😢
@agnesNyambura-z5b2 күн бұрын
Kuzaa c kazi kazi nikulea chiku respect baba wako kwakukufikisha hapo
@elvisbabu13242 күн бұрын
Baba au mama?
@sandraawour2 күн бұрын
yaani ciku amekana mamake just in a blink of an eye,,, like tha way christabale aliruka mamake 😢😢😢😢alfu Sama u know everything Ata mama ya mzee alisema alikula pesa ya kijana wake
@dancankamau30782 күн бұрын
Shiko you're the best 👌. I was doubting you yesterday. Keep up
@Lilianawinner02 күн бұрын
Finally Damu imekuwa nzito kuliko maji family inarudiana baba mama na watoto glory to GOD NYANYA SHIKO ULUMDHARAU MAMA SHIKO ILA ATAKUJA KUWA WA MSAADA KWAKO YA MUNGU NI MENGI
@kipepeo752 күн бұрын
Ciku, all the best in south Africa. Enda ujibambe na usiseme we didn't warn you. Hizo manguo huyu mzee anavaa zinakaa Tu toi market😅
@juhadijob72522 күн бұрын
Sama is not a good person, he is just after content but not providing solutions
@ANNEMAKA-j4r2 күн бұрын
You pple you are not getting what is happening here,wachira has already poisoned shiko and he sang the usual song his family sings of saying that mama shiko is milayas ,now that's the dose she has been given,we have all seen the kind of people wachiras family are ,they are all toxic but for wachira it's even worse because he is toxic,narcissist, liar and he has a degree in twisting information as we have all seen,he can even explain a scenario with guess work words and yet he wasn't there ,he even went ahead and said on the camera that he is going to curse shiko and true to his evil words he did it by saying that she won't get married and if she does that it won't even last for a month, watu wa eastern tv what else do we want to see to prove that this family is a no zone,ni laana kila kona and its as if cursing their own children is an achievement, hakuna kitu kina uchungu kama kuitwa malaya na mtu hajawai lala na wewe and its a pain that 99% of women have ever experienced, now they have gone ahead and they want to destroy the relationship btwn mother and daughter who went through suffering and nobody helped them,aaaai this is too much
@wamzy11102 күн бұрын
I feel very very very pained that Sama just kept silent as Wachira poisoned the daughters mind with lies. He watched Chiku cry in pain and said nothing. Sama surely. Haki I dont want to believe this just content for you😢
@EUNiCEMaish2 күн бұрын
Kazi yake ninkubmbomoa tu na hataoa shiku@@wamzy1110
@ANNEMAKA-j4r2 күн бұрын
@wamzy1110 hata mimi imeniuma haki ,why can't he even show shiko all the videos
@PaulneNjoroge2 күн бұрын
Waaa mumesikia hiyo ya baba mlezi uiii mambo ni mengi saa ndio.ituruhusu 😱😱😱😱😱
@rahema9072 күн бұрын
Huyu dem nae hana adabu kabisa ana mdomo sana
@FAITHWANGARI-vp5tn2 күн бұрын
Happy new year eastern tv funs🎉🎉🎉🎉🎉
@pamelamudogo55512 күн бұрын
@@FAITHWANGARI-vp5tn happy nolia too dear
@QuinNaututu2 күн бұрын
Happy new year
@amosomeri17472 күн бұрын
Napenda Samaritan always like problem 😂😂😂😂😂not peace 😂😂😂😂
@nambaziirakeziahzziwa90272 күн бұрын
Happy New year, Samaritan! Weldone, good job.😊
@ruthmuthuimwinja-official18032 күн бұрын
😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ blood love has won ... Shiku kanyangia hapo..
@lucymacharia41342 күн бұрын
Hakuna vile mali itaenda kutolewa na kupewa baba mlezi wachira yeye ndie anafar kupewa mali ju amenunua mama shiko already
@lucymacharia41342 күн бұрын
@harrietkambua1399 sawa
@raphaelkitwii2 күн бұрын
100%
@FelixMacharia-y3w2 күн бұрын
Yes...100%
@favournganga42582 күн бұрын
Mama ciku pole sana,this is spiritual warfare , pray, pray, pray mama.
@Mary-c7x2 күн бұрын
Shiku what you've done is soo wrong kumbuka mamako aliteseka akafukuzwa na shosho yako and being abandoned by the soo called dad😢,omba mamako msamaha ,hujui the real story
@FlorenceNaliaka-qu2kq2 күн бұрын
Shiko amesema ati baba mlezi alimchokoza au nasikia aje?
@beatriceawuor30772 күн бұрын
Surely
@MarywamboKanyara2 күн бұрын
Plz samaa show shiko full vedio ndiyo aweze ku understand everything mwenyewe ata judge what to do.because ajuwe ukweli wa mama na babayake
@faithmutua26942 күн бұрын
Sama ni kama demon ju he knows everything and yet he can't explain to the young girl He always after content
@christine40722 күн бұрын
Kwani ameingizwa box ba babake aje yawah😢😢😢🤔🤔🤔
@wacerahchege82 күн бұрын
Promised to go to South Africa
@FiranjaLukio-jr7kr2 күн бұрын
Kube Baba Ciku 2 alikuwa anatongoza ciku??? Wacha kieleweke sasa.
@SusanMwaura-fp7yp2 күн бұрын
Maajabu haya😢
@Jk70-s8o2 күн бұрын
What really binds baba mlezi n mama ciku together not even a kid ,not dowry,nothing ?
@ThaddesusNyaenya2 күн бұрын
Hio doh alinunua shamba
@christinekiunga22692 күн бұрын
Sometimes naskianga sama tu akinibore,unaskia tu babake akiambia shiku vizuri nilikuwa natumia mamako pesa and you can't tell shiku the truth yaani wewe unanyamaza tu kama mjinga na kujifanya mzuri without asking questions which we need to hear you ask but instead you act dump
@Danny_ngare2 күн бұрын
Sama upstairs hukua chini sana. Why mishandle a sensitive matter for the sake of episodes
@Moruridorine2 күн бұрын
Sama kitu nimeona unaided na huyu mzee na hakuzaidia kitu chochote but huko hapo badala uambie shiko ukweli kwamba pesa ikutolewa umenyamaza tu
@treasureforashes34972 күн бұрын
Dharau mama siku utaingia maternity ndio utajua, mama hatusuwi
@emmakarebe65642 күн бұрын
Her turn ya kutusiwa loading
@amosomeri17472 күн бұрын
I agree with shiko 💯, mama shiko anataka Kula twice , mbona alihost Baba shiko for three weeks????
@jamesabuki3812 күн бұрын
SHIKO ananikumbusha wangeci wetu aki😂 Baba mlezi alitaka kukula shiko? Sawa tuanzie hapo…
@marybae75652 күн бұрын
Mama ciku utajua watoto wasichana nkusema aje nko nao ata uchapwe waulizwe watasema ujanguzwa😂
@GitongaJosyline2 күн бұрын
Mwambie tena me nimeyapitia uyo ni WA baba fullstop
@janemumbi94162 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@christine40722 күн бұрын
Mimi siwezi kosa kusimama na mamangu
@christine40722 күн бұрын
Hii mtoto iko na ujinga hadi hajui story ilianza aje,naye sama should tell the girl the truth
@ngurenjoki97962 күн бұрын
Damu ni nzito kuliko maji siyo mimi nimesema ni Mungu weeeeeee soma na yako bwanaeee
@jackmungerezah90122 күн бұрын
Huyu mama chiku ni kama chiku ana njuwa kuna mtu mwingine apart baba mlezi na baba wa south Africa 🇿🇦
@elisemwesh16112 күн бұрын
Sama hauko serious 11,al those hours
@AnthonyMollel-s1x2 күн бұрын
Sama mbona huongei ukwrki??
@Martha-w6h2 күн бұрын
Mwenye alitolea mama shiko mahali ndiyo anafaa kupokea mahali period 😂😂😂
@margaretmuriuki1412 күн бұрын
Hii episode is confusing me Kwani baba mlezi alikuwa wapi all that time wakati wachira alikuwa kwa nyumba.???
@MargaretMwapia2 күн бұрын
Alikuwa shambani akitoa maembe akileta Nairobi kuuza
@emmakarebe65642 күн бұрын
Job akitafuta pesa
@nyaramba.interventions2 күн бұрын
ciko has seen the light of the day
@MasitaAgoya2 күн бұрын
What I don't understand is the plan that mama shiko had in welcoming his long lost husband to sleep with her at the same house
@Rachel-j2b2 күн бұрын
Sama Uko na ukweli wote mbona hukutumia Chiku previous videos?
@MuthoniKarani-e4t2 күн бұрын
This gal will come back kuomba mama msamaha😢so sad
@mosesmagumba19 сағат бұрын
Ciku respect your mum and thank her for getting you a good dad who gave you good life and education.
@wambuimwangi51232 күн бұрын
Sam unaitisha charger uende na bado una keti....unapenda kumbembelezwa sana.
@gozakoth84662 күн бұрын
mama shiko ungewacha tama na usikule pesa na Mzee na ununue shamba inje na usikaribishr Baba shiko wewe ndio ulijikorogs unakula pesa na Mzee na unakula kwa bwana
@ThaddesusNyaenya2 күн бұрын
Jamaa ameshikilia nitoke charger nitoke😂😂😂
@tabbyshiro23102 күн бұрын
😅😅😅😅
@josephwaweru4392 күн бұрын
Mama muwache aende na huko we know ur in much pain but mwache afunzwe na huyo mzee 😢
@annegitiha41382 күн бұрын
shiku, respect your mum, she has raised you and taken care of you and your sibling. huyu mzee wa SA amekudanganya. watch the earlier videos and respect your mother. utapata laana bure shiku. your mum is the best, and thata it.