I don't really comment but because of mama chiku i do. I respect and salute you, can't blame you for the action.
@harrietkambua139918 күн бұрын
Nipitie please ❤️❤️
@User-c6h9x18 күн бұрын
@@zamakamumwenyewe2643 yes indeed. That woman deserves respect. She had a toxic mom in-law who was selfish and greedy..
@GithamboWanjiru18 күн бұрын
True
@georgembugua684918 күн бұрын
Mama shiku is a strong woman she endured the wrath mother in law. Baba shiku please listen to Mama shiku and bring sanity to the whole situation.
@loseeal344018 күн бұрын
True
@irinewachira658919 күн бұрын
Mungu nakuomba In the coming years wakati my son atafika wa kuoa, I treat my daughter in law with respect and love...hizi ni aibu gani sasa .😢
@johnorina595218 күн бұрын
Huyu Jose ametupa network
@harrietkambua139918 күн бұрын
Nipitie please ❤️❤️
@GithamboWanjiru18 күн бұрын
Same
@hildanjoki831718 күн бұрын
Same provide he don't take my daughter or son in vain
@jetitahkarimi18 күн бұрын
May God give you good doughter in-law
@faithgathoni399719 күн бұрын
Mother in law is the worst mchawi and intimidating ,mama shiku did what any other woman could have done
@harrietkambua139918 күн бұрын
Nipitie please ❤️❤️
@paulkangucia615218 күн бұрын
Ire makosa naona uyu mama chiku arifanya baya angekumbali baba ciku kulala na baba mzazi ya watoto wake angemwambia ukweli ameoleka
@barygarcia312818 күн бұрын
Si hata wee utakuwa mother in law 😂😂
@GithamboWanjiru18 күн бұрын
Volume
@GithamboWanjiru18 күн бұрын
No wonder she's extra big
@mwanarabuosore150219 күн бұрын
Mum ciku did Wat she knew was right, n God brought her an angel from heaven. Let mum in law sort his son na story Ya Doo.
@keziahwanja818719 күн бұрын
Kabisa
@simonwaithaka339218 күн бұрын
But mama chiku haja zaa na huyo mwanaume wa pili na alimcon pesa eti amebuy plot,akamweka box jina iwe yake,na hakuna mtu alimuuzia , maybe father in law aliwekwa box or alikua amugeuke second man after mjengo imeosha otherwise Kila mtu atoe mjengo na property zake kwa plot ya wenyewe,uone Bibi ambaye ametolewa mahari akirudi second man apotelee
@poulinemurima116518 күн бұрын
Mama shiku you're very smart👍👍👍 keep it up.. Wewe si cucu ....
@irinewachira658918 күн бұрын
But frankly speaking, mana ciku is beautiful
@jngnjugunaКүн бұрын
Sana😊😊
@treasureforashes349718 күн бұрын
10 YEARS' YOU ARE NOT IN TOUCH WITH YOUR WIFE ,SHAME ON YOU
@PeterJuma-n5z18 күн бұрын
I totally agree with you, how can you do that? Send 100k, but you can not book a flight to see what is on the ground. It is shame brother
@jetitahkarimi18 күн бұрын
I'm sorry for this
@iremwa77618 күн бұрын
Thats a very descent dress... wewe baba chiku wacha kisirani😮
@ElishaNyariki18 күн бұрын
Mama shiku, kuhusu document zako police case, huyu mama ako na kiburi sana na amevunja ndoa ya mtoto wao
@Irangatwarose18 күн бұрын
MAMA CIKU FROM HERE JUST GO BACK TO UR HOME AND STAY WITH THE MAN WHO HAS BEEN TAKING CARE OF YOU HATA HUYU SIO MWANAUME WA KUISHI NAYE HE TRUSTED HIS MUM MORE LET HIM LEARN A LESSON
@stephensonkimeu750418 күн бұрын
A bitter lesson at that.
@simonwaithaka339218 күн бұрын
Kwa plot ya Nana???
@simonwaithaka339218 күн бұрын
Kwa plot ya nani ???
@christine407218 күн бұрын
Hawa wazazi waliuza na huyu mama shiku akajua inaunzwa akaambia huyo mzee wake wa pili anunue,then ikaandikwa kwa njina ya mama shiku soo ni yao wamenjenga kwao@@simonwaithaka3392
@marydavid963519 күн бұрын
Nduru kwa sababu hataki kuulizwa pesa alipeleka wapi na kwa nini alifukuza mama chiku
@paulmoyo364118 күн бұрын
All the mama's boys learn from this man's experience 😂😂
@nancykabari148718 күн бұрын
Kabisaa
@barygarcia312818 күн бұрын
Untill uzae sons and daughters waoleke.. u cant have a picture of this drama. Panua mdomo for now
@megaumojakitchen159918 күн бұрын
Eeh!
@artlover900318 күн бұрын
🤣🤣🤣
@MerveilleHamuli21 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@assumptamuhia882618 күн бұрын
Shameless mother in law this is what happened when you dont trust your wife, a woman who carried your kids for 9 months ..I support Mama shiko.Mother in Law Nonsense
@sandraawour18 күн бұрын
Mother from hell😢😢😢thts why some ppl moved on n forget about their parents n relatives...the pain is too much to baba ciku😢😢
@emeldernyamwaya257318 күн бұрын
Olitnaa koro
@OmanOkk-y5i18 күн бұрын
Namuunga mkono huyo mkee kuondoka hapooo huyo mama ni mkorofiiii cnaaa
@irinewachira658918 күн бұрын
Ghai !!!!! This grandma is heartless and arrogant
@harrietkambua139918 күн бұрын
Nipitie please ❤️❤️
@athulumargaret837218 күн бұрын
Hiki kibaba...was sending cash to his mom...shindwa!
@DasMasters18 күн бұрын
The heart of that old mama is full of hatred!
@sky-nj1nq18 күн бұрын
A real witch
@GithamboWanjiru18 күн бұрын
Ati nani wa church I would like to know which church maybe be she thought the son will never come back
@Sharin-e5f17 күн бұрын
@@GithamboWanjiruhata Jacinta alikuwa chairlady Wa women's guild.
@annkariuki328118 күн бұрын
I salute yu Mamaa cikoo cz your calmness wee.Mother in law is wicked thou
@GithamboWanjiru18 күн бұрын
The hatred is too much mama chiku did what is right
@eliudmwangi202518 күн бұрын
Hua nafikria in-laws huonewa saa nmekubali vile n wabaya some of them
@Getrude-ro5ve18 күн бұрын
Am a witness
@DavidMachira18 күн бұрын
They are terrible unless one stands with your wife.mama inlaw are dangerous.
@treasureforashes349718 күн бұрын
This is what happens to mamas boys,when you do not have a mind of your own to manage your family independently
@SoziSozi202018 күн бұрын
mother in law wewe umemaliza your son mum sasa your son hana mbele ama nyuma mum wewe ni ngaidi😂😂😂
@merabshibuyanga272918 күн бұрын
Jose , it is evident that your mother became your wife and everything. mwiba wa kujidunga hauna dawa.
@daynesakulu316918 күн бұрын
Holyoke kimama kiko na mazarau sana , huyo mke ni Muzuri sana na adabu na hekima.
@moseskamau751718 күн бұрын
This man is a joke 10yrs without talking to his wife and believing so much on his mam .He's to be blamed.
@wacherakinyua78418 күн бұрын
Very shameful mother in law! 100,000 per month× 12 months ×10 year =12,000,000 TWELVE MILLION SHILLINGS!😣
@beatriceawuor307718 күн бұрын
😮
@annettenekesa637518 күн бұрын
Imagine, and she has nothing to show eti mwanamke anajenga nduru. Shame on her. Mr wa SA mamako amekufinjia ndoa rudi SA uendelee na maisha yako huko,next time trust your wife coz nyumba hujengwa na wawili sio jamii nzima
@sky-nj1nq18 күн бұрын
@@wacherakinyua784 ....iko kwa tumbo na pombe...S.A. is not easy like Europe and USA....they got good exchange rates to kenya shillings....Imagine in S.A. its S.A.. R1= Kshs 6,8...weeeh ...take a few minutes to fear parents...
@deeruta989418 күн бұрын
So sad 😢😢😢😢
@loseeal344018 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢
@faithi721618 күн бұрын
Mama boy she is very wicked to her son
@ediephil419418 күн бұрын
Mama chiku you are beautiful and smart be strong
@alicenjoki376518 күн бұрын
Mama Jose ndiye mbaya
@sarahwanjiru19118 күн бұрын
But this man never spoke to his "wife" for ten years.. Shame on him, shame on that wicked mother in law.
@GithamboWanjiru18 күн бұрын
Mother inlaw from hell
@stephensonkimeu750418 күн бұрын
I'm wondering how this man is foolish n lucks love kabisa, anataka Nani aongee na wife wake😮😮😮😮
@MargaretteQuite-me3xs18 күн бұрын
Iyo plot, baba Jose ni kama ameuzia mama shiku ki siri siri, mama shiku si mjinga ajenge kwa plot ya wenyewe
@ruthymwangi623618 күн бұрын
Hapa naona baba ya kijana asha uzia mama shiku hiyo samba...jamani
@kenyamedia-t2e19 күн бұрын
ataanza unaniuliza pesa mm mama yako nitakulaani ukufe bila bibi na nyumba na hana kitu sasa kijana uko na shida kwanza umezeeka bila akili
@harrietkambua139918 күн бұрын
Nipitie please ❤️❤️
@Mariam-v2i18 күн бұрын
Huyu mama ako na roho mbaya sana
@GithamboWanjiru18 күн бұрын
Kamati ya roho chafu
@NAOMIWANJIRU-ri4th18 күн бұрын
Zaidi ya shetani .
@joymuthoni697518 күн бұрын
Huyu mama Jose aliambia kijana yake bibi yake ako na wanaume wengi ndiyo pesa ziwe zinatumwa through yeye sasa ona yeye ndiye chanzo cha kuharibu hii alafu ana ji defend na kusema atalaani Jose. Hata haiwezi mshika ni mdomo tu
@hylinemokaya772518 күн бұрын
Baba ulikataa kuongea na bibi yako direct ama hata watoto, I don't blame mama ciku
@cinta-cs4cd18 күн бұрын
Mama ciku is beautiful inside and out. Am happy she moved on
@eddahwanjiru152918 күн бұрын
Baba shiku don't blame mama shiku
@mungaikimani332818 күн бұрын
This woman looks and speaks like a good wife,,,the mother in-law....can be the SHAITANI here...she hates this woman..accusing her without evidence...
@Briana_B-t9j18 күн бұрын
That's how Africa is
@MaureenMonda18 күн бұрын
Ni kuficha ukweli ndio asijulikane ndio maana ana mwambia wasirudiane
@ichaihellen203318 күн бұрын
Mama shiku is so respectiful juu wee hio matusi mimi siwezi taka kujua......aki ya nani .....
@AnnNjeri-yy1hr18 күн бұрын
Watu wenye wanaitwa wanjiku ni wabaya sana
@User-c6h9x18 күн бұрын
WACHANENI NA HUYU MAMA ABREATH.... MAMA SHIKOH YOU MOVED ON. PERIOD.! TOKA KWA HIYO FAMILIA KABISAAA... MAMA SHIKO DID WHAT A MOTHER HAD TO DO.. PERIOD.....! MAMA SHIKO HUNA HATIA SWEETIE.
@nxjjfj492318 күн бұрын
Mm kijana wgu aoe siwezi igilia bibi yke😢😢 nitamuheshimu hyu shosh sio mama mzuri n sumi😢😢😢😢 Hana utu
@Winfred-n4b18 күн бұрын
Mama juwa mungu siyo athumami
@Sharin-e5f17 күн бұрын
And the crown of the year goes to mama shiko,hajalalia maskio,Wachira rudi soko.
@janewangui225718 күн бұрын
The worst mother in law of the world. I hate her. She has destroyed her son's life. Shame on her.
@rosebullens515518 күн бұрын
Mama rudi kwako Godbless you mama
@MwanaidiNguluma19 күн бұрын
No wander mama ciku alitoka kwa hiyo boma...how can u kol someone dota malaya sually😢mama ciko move on na baba mlezi achana na huyo southafrica man....coz hata yy akona family huko mamake alisema wazi
@Sharin-e5f17 күн бұрын
Imgn and is the yf of the only son.
@Annekangethe-x8v18 күн бұрын
May God help me to be a good mother in law... inshallah
@lucymatindi862618 күн бұрын
I almost went through this mama chiku God is with yu i thank God some parents will never be happy aki chuki za watoto wawenyewe ya dunia ni hapa hapa
@judykamau612118 күн бұрын
God have mercy. Some mother's.
@hawababy12018 күн бұрын
Mama mubaya san mnarudisha nyuma mtoto wenu.😢mama chiku endelea maisha naule mwanaume ungine
@leahwanjiku356618 күн бұрын
Mwanaume ajielewi kabisa...how comes una tumia mamako pesa...na bibi yako yuko
@MugisaAustrine-s7e18 күн бұрын
AKI Jose pole Sana.. Haya ni majaribu kweli mungu atakusaidia tuu
@loseeal344018 күн бұрын
Kuliko kukua na wazazi kama hawa better kukosa wazazi 😢😢😢 very sad
@dianambura718018 күн бұрын
Makosa yote inarundi kwa huyu bwana kwa kumpatia pesa mama yake. Angetumia kila mtu yake hakungekuwa na vita kubwa. Kazi ingekuwa rahisi .
@virginiawanjikuwanjiku390918 күн бұрын
Mama kubuka uko na wasichana?
@TheTopPoint-l1j18 күн бұрын
My real mum used my money in a very wrong way. She lied and rejected my son. Some mothers are evil 😈. Huyu mama ni shida kubwa.
@DavidDavid-wf5ug18 күн бұрын
Dunia ys leo bado unstuma pesa kwa mama akuwekee wakati benki za kimataifa zipo tele unaweka south Africa na kuja kutoa kenya vipi bwana amka
@maggieshi69018 күн бұрын
Mama mbaya kabisaaaaa sasa utakosa yote😢😢😢😢 Ngai
@elijahkariukiagreatstoryit959418 күн бұрын
Never trust anyone with your property and never invest blindly to your friend or spouse
@elizabethmatolo651218 күн бұрын
Mama shiku be strong na uendelee na maisha yako na yule mzee alikusaidia time ulikua down mother in law saitani
@OmanOkk-y5i18 күн бұрын
Mama ni mbayaa cnaa huyo mama kama alikuwa hampii pesa afanye nn lazima atokee hapo
@mwoso18 күн бұрын
Hao wazizi ni wabaya sana! Walidanganya kijana wao! Na Huyo kijana wao hana akili nzuri! Mbona hukua ukiwasiliana na bibi yako kwa miaka kumi? Uliowa bibi na ukawachia wazazi bila kuwasiliana nae?
@lucyngarry940417 күн бұрын
😂😂😂😂Haka kaa mama inlaw Kako na ujinga mingi sanaa siwezi taka mama anakaa hivi kisirani mbaya sana
@kamoingannah922618 күн бұрын
Hakuna laana itakupata ndugu yangu. Usiohope vitisho ya mama. Hakuna makosa umefanya ndio laana ikufuate. Mimi ni mchungaji nakwambia.
@danitohmusick316918 күн бұрын
Aibu aibu aibu sasa mama ndio anakumbuka yuko na kwao😂😂😂😂
@aomealaome493318 күн бұрын
Huyu mamaa anaongea tu ujingaa ..mm na hii hasira yangu naeza sahau nimpinge kofi
@jetitahkarimi18 күн бұрын
Wow the truth is announced here now ❤❤❤
@maulidwhyder884818 күн бұрын
Pole sana bro samehea bure
@johnwaweru320518 күн бұрын
Kweli hio tumbo niya kukula😮
@CharityWachira-zw9cf18 күн бұрын
Mother in-law is a narcissist.huby ni bwege.mama chiku I salute you
@Briana_B-t9j18 күн бұрын
Thanks bana shiku umejua ukweli
@gladyskemunto615218 күн бұрын
Wanaume wengi and yet can’t name even one.. should b ashamed of herself.. am very sure mama shiko never cheated.. that old woman just hated dil.. and came up with unnecessary nonsense just to send her away
@rahabmwangigichuki949418 күн бұрын
HATA MAMA SHIKU NI.MPOLE HAKI.....
@Roz-m2z18 күн бұрын
Mama shiko mungu alkulinda atamwenyewe siwezi kaa miaka kumi na wazazi awakutaki sasa aliamini mama angalia mama venye anaongea wacha akae kwa bibi yake saith africa
@kamoingannah922618 күн бұрын
Hio nguo ni sawa
@djyondergigi102718 күн бұрын
Huyo mama ndie Mbaya saaaana tena saaana
@NdeshyKileo-xd7oj18 күн бұрын
Ndo ukome kuachia mke mbwa.
@stephensonkimeu750418 күн бұрын
This matter is getting crazy guys, this Shush has completely destroyed the son. Mothers please help your kids grow in life.
@evansnyokwoyoonyancha294618 күн бұрын
Mother inlaw.. is awkward bure kabisa ... this woman she has a pure heart even though little misunderstanding..
@johnorina595218 күн бұрын
Huyu mamas boy haoni kitu hapo ask your mother
@victormaina934318 күн бұрын
Shameless mother she's so greedy...wah wah, úyú mutumia ni murogi
@josefra71018 күн бұрын
Uyu mama Jose ni mbaya sana ,sumu,,Ile inaua
@lucynjoroge380118 күн бұрын
Mungu nisaindie for my three dotas inlaw to be ,I don't know where u will come from I won't mistreat you
@sylviaokoth-x8q18 күн бұрын
Bt huyu mother inlaw yawa 🙆🙆🙆🙆.kumbe my mama Inlaw ni mzuri hivi ubarikiwe mama
@samuelochieng943418 күн бұрын
When dealing with stupidity a mother full of ignorance now I can support this woman as a fan,as a lawyer,as a witness,as a man and as a judge she is not to blame all others are hot air from this wicked mother
@charlesongoro481118 күн бұрын
Huyu mama in-law ni mbaya sana😢
@davidwalondi-wj2el18 күн бұрын
So sad really ten years wasted some parents are not good haki. I feel for this man. The woman had a right to move on, these parents are something else. Having such parents is a nightmare. Parents always need good things for their children, I wonder the kind of parents these are!!!!
@simonmuchiri156018 күн бұрын
Mama shiko God delivered you from this evil mother in law, if she can do this to her own son what about mama shiko.May God have mercy kwa sababu huyu mother in law got so much hatred.
@Ivan71-o4k19 күн бұрын
Huyu mother-in-law 😂inafaa achinchwe hii Christmas 😂😂tukunywe supu na jamaa Wa South Africa juu pesa mama alitumia kujenga mwili😂😂😂
@essy202318 күн бұрын
Huyu hawezi kulika she's so bitter like a bile,roho chafu na mbaya
@Stiveke18 күн бұрын
😂😂kiu gitumia ti kiega kime maliza kijanake
@janetwangari44016 күн бұрын
Weeeh hiki kishosh kinakaa my former mother in-law, I saw dust niliitwa malaya, mchawi 😢😢😢😮
@JanewambuiWambui18 күн бұрын
Kuna kitu hapa Mzee ameweza kua waliuza shamba na huyu mama chiku na akagaiwa pesa dio walinjenga nyumba na huyu mume 2 anyway wacha tungojee mambo inajileta🤔
@MbulwaMunyao17 күн бұрын
Mm boys kazi kwenu
@muchokimunyiri482518 күн бұрын
Mamako ndiye shinda. Pia wewe ulitumia mamako pesa bila kufikilia bibi yako
@RoselineMusau18 күн бұрын
Huyu mama chiku is a wife material
@Juliusk7mando18 күн бұрын
Some mothers are real witches. Huyu mama kazia kabisa. Wasting the son's savings really