Mwanamume unakuwaje na baby face, I can't date you!.

  Рет қаралды 62,469

Ebru TV Kenya

Ebru TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 189
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 16 күн бұрын
Huyu msichana wa kwanza huna heshima kabisaa hata kama kijana haendani na umri unayoitaka mjibu kwa nzuri tuu ataelewa
@SydneyMburu
@SydneyMburu 10 күн бұрын
Huyu ni cousin yangu na ametoka place inaitwa ngoliba ati kileleshwa 😂😂😂benji ulienda nairobi lini😂😂😂
@monicamahale
@monicamahale 10 күн бұрын
Relax 😂😂
@benjamin-k9t
@benjamin-k9t 10 күн бұрын
Enda uoge💀
@_pookie874
@_pookie874 5 күн бұрын
@@benjamin-k9t 😅😅😅😅we jibu ulienda Nairobi lini
@PriscillaWambui-qg4sv
@PriscillaWambui-qg4sv 4 күн бұрын
😂😂😂
@benjamin-k9t
@benjamin-k9t 2 күн бұрын
Iyo kierereee mkonayo muache... Mi simjui
@victormuturi8576
@victormuturi8576 5 күн бұрын
Akikuuliza what do you bring to the table unamwambia nyash😂
@EricNdambuki
@EricNdambuki 4 күн бұрын
😢😢😂😂😂
@user-ed8ig5lf3c
@user-ed8ig5lf3c 14 күн бұрын
Dem: you're not my type Boy: na nani amesema wewe ni type yangu Me:🤭😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@TropenaMukiri
@TropenaMukiri 11 күн бұрын
😂😂😂
@kefamwachala2703
@kefamwachala2703 14 күн бұрын
The third lady is so mature, hao wengine wote ni gold diggers
@Bizzoh
@Bizzoh 7 күн бұрын
A guy who explains how hurt he was by their exes is a professional liar😂😂😂😂, I am in that category,,, 😂😊
@stephenngala1048
@stephenngala1048 11 күн бұрын
Hizo feelings mob ni ju ameulizwa what she can bring to the table😉😉😉..maringo na anaga doo
@SusanWambui-wb3je
@SusanWambui-wb3je 10 күн бұрын
The guy ....he's a student at kiambu National polytechnic A great model,an engineering
@benjamin-k9t
@benjamin-k9t 10 күн бұрын
@kevingathoni-q4x
@kevingathoni-q4x 15 күн бұрын
The third girl is a sweet soul🎉
@Eng.bundie
@Eng.bundie 11 күн бұрын
I agree,
@irenebor1457
@irenebor1457 11 күн бұрын
Agree too but the guy analeta makasiriko from hao madem wengine to her
@LydiaChepkorir-q7t
@LydiaChepkorir-q7t 9 күн бұрын
Dem: " unakaa myoung" Boy:"enda uoge" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Stonexjunior254_
@Stonexjunior254_ 9 күн бұрын
😂😂😂
@SandraAtieno-xp7es
@SandraAtieno-xp7es 8 күн бұрын
😂😂s
@joaqimkhesser
@joaqimkhesser 10 күн бұрын
Buda, ulichachisha kwa huyo 3rd girl. Tunaelewa kwa nini, lakini naona ni juu unatafuta ile 'perfect.' Out of 10, mimi nampea 9.9. Alikuwa soo cool, na juu ni m-dark, mrembo, polite sana. Aesthetic isikudanganye.
@CarolineIrungu-jp5cm
@CarolineIrungu-jp5cm 15 күн бұрын
My opinion ni ati huyu mdame wa kwanza anaringa sana alafu hataki boy child aongee........nywele ya kijana ni neat kwani anataka mtu kipara😂😂
@DorisKaranja
@DorisKaranja 6 күн бұрын
Love third girl the way she is interact 🤩❤️🤩
@Edel-r9x
@Edel-r9x 11 күн бұрын
The girl number 3 she's 🔥🔥
@vincentsamuel1796
@vincentsamuel1796 3 күн бұрын
Sai Ako 24 years anataki mwanaume but akifika 40yrs atakuja Kwa social media kutafuta any man this will shock 😯 everyone
@judyhope867
@judyhope867 8 күн бұрын
Third girl is very beautiful and respectful ❤️❤️🤩
@DorisKaranja
@DorisKaranja 6 күн бұрын
This girl first she is after money
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 16 күн бұрын
Wasichana maringo....halafu mko after money sio mwanaume wa bidii acheni ujanja ndio maana muna uwawa anything for money mko
@susannyambura7387
@susannyambura7387 5 күн бұрын
My thought too standard na hawana any
@mercymiraj
@mercymiraj 10 күн бұрын
i like this guy tbh so much composed
@SandraAtieno-xp7es
@SandraAtieno-xp7es 8 күн бұрын
I love how patient tha 3rd ladyvis...bt this guy is trippin on her
@EstherJuma-v5u
@EstherJuma-v5u Сағат бұрын
Uyu wa kwanza anataka to pesa pia mimi napende pesa😂😂😂
@Lil_Smarta_Madolla
@Lil_Smarta_Madolla 3 күн бұрын
Uyu Dem wakwanza anabohh sanaaa aende akaoge
@mansoursaid8
@mansoursaid8 Күн бұрын
Uyu dem wa kwanza anajifananisha sana na yuko kama mkola achana nae kabisa. Fukuza yeye
@EstherMwinza
@EstherMwinza 6 күн бұрын
Hiki kidem cha kwanza daaaah kinakaa sura tu😢ata amenibore na iyo kuogea shet zzzzz sijapenda
@briantusu.8938
@briantusu.8938 16 күн бұрын
team kusoma comments mko wap😊😊
@joycewanjiku3886
@joycewanjiku3886 9 күн бұрын
Niko apa
@virginiawanjikuwanjiku3909
@virginiawanjikuwanjiku3909 Күн бұрын
Huyu boy ni mgood sana haki hana makasiriko
@ababagfx
@ababagfx Күн бұрын
Huyu wa kwanza anafanana Shiru mwingine wa Thika. Standards mingii, tumaringo tuingi, na ujuaji mingi na ukimpea 100 ama umleweshe kanusu anakupea githambutha free 😢🤮🚮
@MaryWavinya-u1l
@MaryWavinya-u1l 4 күн бұрын
Bona me naona huyu boy ako sawa ❤❤
@Nzioka-v8t
@Nzioka-v8t 20 сағат бұрын
Ati hukai mtu wa Kileleshwa😢😂😂🤣😭
@armilliondreams2287
@armilliondreams2287 16 күн бұрын
Huyo dem wa kwanza anabore, maringo mob, na dungaree ya ufala
@maggiesanita8162
@maggiesanita8162 15 күн бұрын
Atii inaitwa aje iyo kitu enye amevaa😂😂
@venessahmdorah6751
@venessahmdorah6751 12 күн бұрын
dungaree😂😂​@@maggiesanita8162
@inexcutee1844
@inexcutee1844 10 күн бұрын
But amem ambia ukweri juu ya mwanamke aesi leta 50 na mwanaume alete 50 juu kasi ya mwaume si ya mwanamke wanaleta 50 50
@junixclive961
@junixclive961 3 күн бұрын
too much maringo si you will end up having a cat instead of a man the third girl I personally respect you❤❤❤❤
@alexmzuzu2431
@alexmzuzu2431 16 күн бұрын
Nipewe io mifupa ya mwisho nijinyonyee bone marrow😊😊
@HighTechAutoSales
@HighTechAutoSales 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂bana joh...u got jokes!
@_pookie874
@_pookie874 16 күн бұрын
Sioni shida na huyu boy infact he has s my type 😅😅
@Hey.Its.LowKey
@Hey.Its.LowKey 2 күн бұрын
Benji anaulizwa kama alipaka Colgate asubuhi😂😂😂😂. Yeye tu ndio haoni ameparara, damn
@briantheetishbite2759
@briantheetishbite2759 2 сағат бұрын
That first lady is the current problem we have in this country...mapenzi si pesa jameni
@Kemunto25
@Kemunto25 16 күн бұрын
Mlisema nani ndio DJ😂😂😂😂😂😂😂😂.... maybe mshikaji wa DJ Afro😁😁😁😁
@anthonyrukwaro96
@anthonyrukwaro96 10 күн бұрын
Hawa kwanza wawe wanapitia comrade flavour coz wengine ni pesa tu
@cpabrysonjk9389
@cpabrysonjk9389 15 күн бұрын
I dislike ppo who demean others ...kila mtu ako unique
@HighTechAutoSales
@HighTechAutoSales 14 күн бұрын
True..true. ..
@charlzmatimu5132
@charlzmatimu5132 Күн бұрын
mnaendanga dates na akina nani hawa
@carolineoganda4277
@carolineoganda4277 12 күн бұрын
You tube Kuna inbox 😂😂😂 kuna mtu napenda ❤
@paulpapa9354
@paulpapa9354 10 күн бұрын
Kunayo hapa 😂😂😂
@happylifeTv247
@happylifeTv247 23 сағат бұрын
😂😂😂😂
@thekidlaroifan1
@thekidlaroifan1 16 күн бұрын
Dem maringo na dressing code ya Thao🥲😂
@winniemayoyo5974
@winniemayoyo5974 11 күн бұрын
😂😂😂😂
@lucywanjiru2940
@lucywanjiru2940 4 күн бұрын
😂😂😂😂huskii thao umeipea mingi😮
@esthertashah
@esthertashah 7 күн бұрын
Number 3 lady type yake ni wazungu💯💯💯💯
@wizkidkidyz1661
@wizkidkidyz1661 3 күн бұрын
Ebru still exist?
@vincentsamuel1796
@vincentsamuel1796 3 күн бұрын
Sasa wenye tuna pata salary ya below 👇 10k tutashinda single au juu wamesema mwanaume akue na doo mob😢😢
@DorisKaranja
@DorisKaranja 6 күн бұрын
Bicycle kijana 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@HalikeGaweli-ro6jm
@HalikeGaweli-ro6jm 5 күн бұрын
I like girl number 3 , she is my type😊
@emilywilly2306
@emilywilly2306 5 күн бұрын
Me ni tween wake😂😂😂
@FAITHNKATHA-g4i
@FAITHNKATHA-g4i 18 сағат бұрын
Sasa rent do inasumbua huyu aaarrghh 😅
@Bizzoh
@Bizzoh 7 күн бұрын
Alafuuu, hapa mtu anaruhusiwa kupiga mtu kofi😂
@OwenMark-s1o
@OwenMark-s1o 2 күн бұрын
Hasira unavumilia tu
@art.by.vill3
@art.by.vill3 4 күн бұрын
brathe angemwambia ka hawamatch stori iishe😂😂 na venye huyo dem ako na meno ka za dragon
@travisnillerke3842
@travisnillerke3842 16 күн бұрын
The last chilee❤
@anastasiaawuor3829
@anastasiaawuor3829 3 күн бұрын
Most young people are into this with their expectations which are unrealistic. Rich men aren't found in this manner
@DorisKaranja
@DorisKaranja 6 күн бұрын
Hiii first nipewe huyu Benjamin 😢😅😅😅
@lindseykariuki4169
@lindseykariuki4169 Күн бұрын
Mimi napenda maturity kwa dates when talking hata kama hatufaani tuheshimiane
@evanskilia4000
@evanskilia4000 8 күн бұрын
25yrs tukae single bana😂😂
@castonsambu4405
@castonsambu4405 10 күн бұрын
Where can I get the last lady❤
@emilywilly2306
@emilywilly2306 5 күн бұрын
am her sister😂😂
@melisamburu1215
@melisamburu1215 2 күн бұрын
Dealing with immature guy like this is so sickening,so rude so mean alot of nonsense in him
@_Marcos254_
@_Marcos254_ 2 күн бұрын
mnataka kuniambia hii kitu sio scripted😂😂😂 upuzi iko hapa zii😂😂
@NormanMutua
@NormanMutua 6 күн бұрын
Hii show siwezani nayo,naona nkisamba mtu kofi hapa😂😂😂.... anyway gen z mkona shida sana
@thomasnjora6527
@thomasnjora6527 7 күн бұрын
I pity this young guys Kama Hawa Dio mutaoa muko na shinda kweri kweri😢
@Ayziggo254
@Ayziggo254 14 күн бұрын
Kijana amee ndevu kwanza alafu arudi perfect match 😂😂😂😂😂😂😂
@CarolMbinya-b7v
@CarolMbinya-b7v 13 сағат бұрын
Kijana mjinga sana,
@hillarycheruiyot7484
@hillarycheruiyot7484 16 күн бұрын
The first lady is so bully
@LydiahNyaboke-s8e
@LydiahNyaboke-s8e 3 күн бұрын
The boy is hundsome hebu anitafute,,hao madem ni wakonde n wako na maringo
@RkDogo
@RkDogo 14 сағат бұрын
Huyu dem ni sheet 18 + Kwa mzazi nakaa kufanya nini weee nyoko
@jonascatalyst6864
@jonascatalyst6864 7 күн бұрын
The guy is so immature and illiterate tf
@vincentsamuel1796
@vincentsamuel1796 3 күн бұрын
Uyo Dem wa tatu ni Kienyeji but anataka maisha ya juu how comes unalipwa 30k alafu ukae nyumba ya 12k
@lilscorfymtb
@lilscorfymtb 7 күн бұрын
No one is talking about pspspspsspsspss😂😂😂😂😂
@benjamin-k9t
@benjamin-k9t 2 күн бұрын
We wachaaaa😂
@CarolineIrungu-jp5cm
@CarolineIrungu-jp5cm 15 күн бұрын
Itabidi mmejiundia watu wenu
@davidachola2454
@davidachola2454 3 күн бұрын
Hujatuambia poa
@davidachola2454
@davidachola2454 3 күн бұрын
Wewe ni type Yangu
@nickjohn279
@nickjohn279 15 күн бұрын
The guy attended mens conference 😂
@andersonacer8220
@andersonacer8220 2 күн бұрын
wacha ivo mnasema 40k ni kidogo, niko hapa naenda ata three days bila job, na kuna mdem hawezi pata usingizi kama hatujaongea. bro kwani unatafuta mdem wako ama wh*re?
@judyhope867
@judyhope867 8 күн бұрын
Boy anataka dem light skin na yeye mwenyewe ni dark skin gosh
@Nzioka-v8t
@Nzioka-v8t 20 сағат бұрын
Ati umeparara😂💔
@CatherineAdhiambo-z2p
@CatherineAdhiambo-z2p 6 күн бұрын
Huyu wa tatu ni kienyo bt you can wash her at least she has some respect
@peterwainaina8491
@peterwainaina8491 10 күн бұрын
Short girl mko na kimburi sana
@lucywanjiru2940
@lucywanjiru2940 3 күн бұрын
We wainaina weee😂😂😂😂sio sisi wote😅😅😅
@Lil_Smarta_Madolla
@Lil_Smarta_Madolla 3 күн бұрын
Wacha hivyo akona hairline inaeza cheza football pitch 😂
@choshmongash4286
@choshmongash4286 7 күн бұрын
The third girl 😍😍😘
@MkalaNzaka
@MkalaNzaka 15 күн бұрын
The first girl ako sawa but huyu boy ........ako na utoto ya shule
@EmmanuelMwambaji-g9s
@EmmanuelMwambaji-g9s 11 күн бұрын
Nakuona mwanangu👋👋
@happylifeTv247
@happylifeTv247 22 сағат бұрын
Sawa? Na hiyo kiburi yote? That's how people get into toxic relationships.
@doreenkanario
@doreenkanario 17 сағат бұрын
First place nooo respect btn two of u sooo Kila MTU atafute type yke
@SSk5k
@SSk5k 4 күн бұрын
The first woman is toxic and disrespectful
@davidkiruthi3869
@davidkiruthi3869 16 күн бұрын
First girl is a red flag
@brantonamos
@brantonamos 4 күн бұрын
True😂😂
@doreenkanario
@doreenkanario 17 сағат бұрын
Na watu Wacha ujinga ya hii swali etii mlifanyana ni Nini na ur ex's none of ur business build yours that quiz ni ya premature & jokers pple
@lornahshibikhwa
@lornahshibikhwa Күн бұрын
Huna gari mrembo babako ana gari alipata na miaka ngapi eti 40
@damariskemuntoorina6018
@damariskemuntoorina6018 16 күн бұрын
Hizi ni mawat??😅plz mimi nipe order ya kuwapikia mlo tu😂😂😂
@DrKasukufxMedia
@DrKasukufxMedia 13 күн бұрын
40k amemake 😢😢 sasa Uyu kijana weeeeeeh😮
@Ianwolf-u8h
@Ianwolf-u8h 3 күн бұрын
kenya ni home...😅😅
@TITANIANJUGUNA
@TITANIANJUGUNA 2 күн бұрын
The guy is handsome,,
@SkyletGwedea
@SkyletGwedea 14 күн бұрын
Uyu Chali Ako poa n nimutu understanding
@TarusVictor-e5m
@TarusVictor-e5m 5 күн бұрын
This conversation doesn't make any sense ,hawa wote ni watoto wa wazazi ,
@Scholasticah-f3t
@Scholasticah-f3t 16 күн бұрын
😂😂😂man roasted
@AgnesNyaga69
@AgnesNyaga69 2 күн бұрын
Ladies know how to hold conversations,this sounds soo childish
@PytahGachokiwizz
@PytahGachokiwizz 18 күн бұрын
Still waiting for it
@stephenmugo1885
@stephenmugo1885 16 күн бұрын
Watching 🎉🎉🎉
@euniceomutula5164
@euniceomutula5164 8 күн бұрын
The boychild ni mtoto
@nellywairimu
@nellywairimu 10 күн бұрын
Achat nicheke initoke....Sina maoni
@benjuma8941
@benjuma8941 15 күн бұрын
You answer very critical question girl, you tripped because the you are a cheater. Girl let a gentleman compliment you then then bring your bad manners later....I just don't like this girl's energy.
@evanskilia4000
@evanskilia4000 8 күн бұрын
💯💯
@EricNdambuki
@EricNdambuki 4 күн бұрын
40k sio pesa mko serious na maisha
@cratics_collo
@cratics_collo 12 күн бұрын
Both the guy na uyo dem wa kwanza red flag
@damarismukethi163
@damarismukethi163 11 күн бұрын
Huyu mtu anafaa apate perfect match mtoxic apigwe ngoto abehave kama mwanaume
@victormakaveli5945
@victormakaveli5945 11 күн бұрын
That's right. Ako na umama mob sana
@carolmwikali6054
@carolmwikali6054 9 күн бұрын
Msichana wa kwanza maringo miiiingi ya pesa nane .....
@Moraavenic-h5y
@Moraavenic-h5y 8 күн бұрын
Hata haifiki nane😅😅😅ni moja😂😂
@susannyambura7387
@susannyambura7387 5 күн бұрын
Plus sura mbaya
@dominicpingo3401
@dominicpingo3401 2 күн бұрын
Huyu Dem ni mdomo tu
Wewe unakaa Karau uaeza piga bwana kwa nyumba. #ebruperfectmatch
54:29
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
UNBELEIVABLE: Ghetto Man Chased Out By His Date
54:22
Ebru TV Kenya
Рет қаралды 162 М.
TWINS PRANK ON A MOTORBIKE RIDER [BODABODA]
8:43
Twinstars Africana
Рет қаралды 161 М.
KRISBABY anajua kudance waah😍
1:14:28
St Rembo TV
Рет қаралды 363 М.
OBINNA SHOW LIVE: REVEALING THE DARK SCRETS-  Caroline Nyanga
1:40:49
Obinna TV Extra
Рет қаралды 74 М.
I have money it can never be removed from my life! #ebruperfectmatch
1:03:59
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН