Eee bwanaa weee...!! Edeni kwaya mnaimba hadi shetani anafurukuta. Mbarikiwe Sana watoto wa Baba aliye Juu
@joycemanza9 ай бұрын
Kazi nzuri sana Mungu awabariki Eden choir
@bettywilson24357 ай бұрын
Its wonderful song continue be blessed with our Almighty God❤❤❤❤❤❤❤❤
@ErickSimiyu-uv5ix9 ай бұрын
Kazi nzuri Mungu Kwa kweli amewatumia kama chombo
@GRACIANGODWIN9 ай бұрын
Kutoka kwaya ya mt. Agustino wa hippo coed UDOM tupo pamoja na nyinyi katika siku ya leo hata miisho ya dunia.
@edinatabonwa31559 ай бұрын
❤
@faustunjohn9 ай бұрын
Amina na mbarikiwe sana tena sana
@SeciliaKomba-nj2cs9 ай бұрын
Amina mbarikiwe sana mdg zetu katika bwana tunawapenda mno❤
@SweliOwino9 ай бұрын
❤❤❤❤❤mbarikiwe sana kwa kumtukuza Mungu wa Mbinguni.
@AmaniMahene9 ай бұрын
Imekata powa hii
@TABUPHILIPO9 ай бұрын
Aminaa sana MUNGU awabarikiiiii wapendwa
@captainleonard57699 ай бұрын
Hongeren Sana kimsingi
@HappynessJoel9 ай бұрын
Tunabarikiwa Kwa wimbo mzuri
@SARAMHABE-dm3xg9 ай бұрын
Wow! Kazi nzuri eden kwaya Mungu azidi kuwabariki
@GRACIANGODWIN9 ай бұрын
Hakika nimebarika sana kushiriki tukio la uzinduzi
@upendomjema58989 ай бұрын
Wow mbarikiwe mno choir yangu the great one kazi nzuri mno
@gger_frikana17969 ай бұрын
Kaz ya Bwana iendelee
@DorisMbonea9 ай бұрын
Amen. God bless you guys
@SemeMwambogolo-lo8fv9 ай бұрын
kazi nzuri wapendwaaaa wetu
@sirjameskibiti19959 ай бұрын
Mungu awabariki sana.🙏
@richiusfrancisco92449 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@ElishaMafuru9 ай бұрын
Mungu awabariki Sana watumishi
@Humble-501-soulist9 ай бұрын
MUNGU awatie nguvu zaidiii mfike mbalii
@nifferyjoseph73999 ай бұрын
Muendelee kumtumikia Mungu bila kujali changamoto yoyote, tuko pamoja katika kazi ya Huyo Rafiki Mwema ....mbarikiwe sana 🥰🥰🥰...sema mavazi yenu pia ni mazuri kwakweli 🥰🥰🥰alafu Da Edna nampenda 🤓😇
@PendoSopi-us5tr9 ай бұрын
Mungu ashukuliwe kwa kaz nzuri
@JOYCEJEPSON-x8g9 ай бұрын
Ninabarikiwa sana na wimbo huu
@DianaHusein-ld7ll9 ай бұрын
Be blessed alot my dear friends
@HoseaJoseph-vk9hu9 ай бұрын
Hongereni kazi nzuri
@SweliOwino9 ай бұрын
❤❤❤mbarikiwe sana !!!
@ayubukasembe41629 ай бұрын
Mbarikiwe Sana kwa kazi nzuri 🙏🙏
@mgwenanelson95239 ай бұрын
Amina sana!!!
@AriviaMedard6 ай бұрын
Amina sana huu wimbo unanipatia faraja mubarikiwe wajori
@eunicenicholaus18039 ай бұрын
Hongeren wapendwa kazi nzur i🎉🎉
@Kwaya_Ya_Mt.Yosefu_UDOM_Tz9 ай бұрын
Amina sana wapendwa majirani mbarikiwe.Kazi nzuri imetukuka haswaaa.Tupo pamoja🙏✊
@isayambetwa65649 ай бұрын
My choir from 2008 to 2011 mubarikiwe Kwa kazi njema ya utume
@boazlungwa78659 ай бұрын
Hongeren saàn Mungu awabariki saàn
@janethlazaro-qk4td9 ай бұрын
Woooh wimbo mzuri Mungu aendelee kuwatumia Eden
@AnjerikaTeobad9 ай бұрын
hongera wapendwa nimebarikiwa na wimbo wenuu Mungu awabariki sanaa
@Barakachiremeji9 ай бұрын
MUNGU awabariki sana kwa kazi nzuri ya kutangaza utume
@AVELINAKUSEKWA-yw2mr9 ай бұрын
Eden choir be blessed❤
@EdgarAKapange-pv6mn9 ай бұрын
Good job GOD bless you EDEN CHOIR
@michaeldicksonsaboke61649 ай бұрын
Ameena, nimebarikiwa saana.. God is Good always ❤
@WinifridaJames-nw1yz9 ай бұрын
God bless u na akatimize ndto zenu ktika kusambzaa ujumbe kwa watu wakee♥💙
@DavidChaula9 ай бұрын
🙏🙏🙏barikiweni saana
@HELENALAMECK-nd4iy9 ай бұрын
Kazi bora sana.
@CHARLESLISABU9 ай бұрын
Amina sana Kaz nzur mungu awabariki sana KUIMBA ni kusali mara mbili may GOD BLEE ALL OF YOU
@dotomayunga12119 ай бұрын
Mbalikiwe kwa ujumbe mzurii
@faustunjohn9 ай бұрын
Waooooh wimbo makini sana na wenye ujumbe makini sana
@user-kz9jy8ju3qAnnasamwel749 ай бұрын
Mbarkiwe na Bwana kwa ujumbe mzriiii🎼
@hosanastudioz8529 ай бұрын
My lovly choir ...Mungu azidi kuwatumia
@mlekwasungwa89049 ай бұрын
Hongereni sana hakika kazi yenu nimeipenda
@ALBANOTANGANYIKA9 ай бұрын
Kazi nzuri watumishi
@TumpeKiwale9 ай бұрын
Mungu awabariki Kwa Kaz nzuri
@elimikatv9 ай бұрын
Mungu awabariki kwa huduma nzuri, Mungu awatie Nguvu kwa kazi yake
@mtendetv75169 ай бұрын
barikiweni. sana kw ujumbe mzuri
@finihasimfikwa44499 ай бұрын
Nice work 💯
@RenatusLeonardMillambo9 ай бұрын
Hongereni sana... Ezraaaaaaaaaaa..... Songeni mbele.... Fully subscription and likes.... Waoooh❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.ahsante kwa pendo kuu. Renatus mzee kanisa la NYASAKA MWANZA.
@MarkUshaki-w5l9 ай бұрын
Congratulations best one
@GraceJackson-qj3uj9 ай бұрын
So nice Mfike mbaliiii
@EdwardBoniphace-c4l4 ай бұрын
Kwanza mtafikiria mko Kenya mnaimba had rah
@TALIGU_ONLINE_TV9 ай бұрын
Jamani mmenifanya nimisi coed duuu🎉
@NeemaEzely-pj8cr9 ай бұрын
🎉🎉🎉
@Sir-IsaacSalehEdinner9 ай бұрын
Nipate wapi wimbo wenye kugusa na kuvuta katika uwepo? Jibu ni rahisi sana ni EDENI CHOIR.. hakika You made it.. Pongezi kwa Mtunzi wa wimbo, management yoote ya kwaya. Mungu abariki kila sikio na jicho litazamalo wimbo huu... Tunatarajia makubwa zaidi
@sylvesterzacharia15559 ай бұрын
Kazi njema
@wellofblessings.prgamaya19989 ай бұрын
Blessings to you
@DicksonSomanda6 ай бұрын
mfike mbali sana nabarikiwa sana
@jagadimasunga3 ай бұрын
Barikiweni
@JacklineSeba9 ай бұрын
Amen
@gabrielwilson71039 ай бұрын
Ameeen
@AnnySylivester9 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@NYANJUMANYACHIMWA9 ай бұрын
Mfike mbalii
@YekoniaLivingstone2 ай бұрын
Safi sana
@lwengesalamba11449 ай бұрын
Mungu awabariki
@eliasmasembo54529 ай бұрын
Wow kazi Kali, video nzur hakuna mwoga wa camera,ujumbe moto, Eden lolote Jema liwakute
@baranjohn9 ай бұрын
Be blessed all for a good message ❤
@filipobusagala55129 ай бұрын
Nitakuwepo Thietre1 kuangalia ufumbuzi wa leo
@butoke-media60659 ай бұрын
❤❤
@Thehometv79 ай бұрын
🎉
@eunicenagi9 ай бұрын
Very nice work be blessed ,can I get audios of all songs,am Eunice from St Joseph choir
@mgwenanelson95239 ай бұрын
Zinapatikana
@athumanisaidi54969 ай бұрын
Kazi maridhawa kabisa na mungu awabariki nyote kwa umoja wenu.
@eliasmasembo54529 ай бұрын
Wow kazi Kali, video nzur hakuna mwoga wa camera,ujumbe moto, Eden lolote Jema liwakute
@JacobBusia-uf1oh9 ай бұрын
❤❤
@eliasmasembo54529 ай бұрын
Wow kazi Kali, video nzur hakuna mwoga wa camera,ujumbe moto, Eden lolote Jema liwakute
@eliasmasembo54529 ай бұрын
Wow kazi Kali, video nzur hakuna mwoga wa camera,ujumbe moto, Eden lolote Jema liwakute
@eliasmasembo54529 ай бұрын
Wow kazi Kali, video nzur hakuna mwoga wa camera,ujumbe moto, Eden lolote Jema liwakute
@eliasmasembo54529 ай бұрын
Wow kazi Kali, video nzur hakuna mwoga wa camera,ujumbe moto, Eden lolote Jema liwakute