EDNA | PART 11 | EDNA KAFAHAMU SOPHIA NI NANI, KAPANGA MPANGO.

  Рет қаралды 11,884

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

Күн бұрын

Пікірлер: 114
@hdhjdh775
@hdhjdh775 5 ай бұрын
🎉❤❤❤❤❤❤mambo ni 🔥🔥🔥🔥
@melissaivanyi
@melissaivanyi 6 ай бұрын
Nimechelewa jamani ❤❤❤ EDNA itaenda hadi sehemu ya ngapi ❤❤❤
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
🌹🌹 lakn hijulikan mzigo hatow Edna duuh
@melissaivanyi
@melissaivanyi 6 ай бұрын
@@TeklaNdekeja inaonekana hii siyo yakuisha saizii
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp 6 ай бұрын
Mambo yanazidi kuchemka asante lucas kwa hii simlizi tamu sana yamapenzi na maisha ninainjoy sanaa
@EstherMlai
@EstherMlai 6 ай бұрын
Wapenzi wa Lucas hamjambo tena tumekutana mara nyingine jmn like zenu pls cjachelewa saaaaana 😂 hii story inazidi kua🔥🔥msinisahau naoembeni
@Salhah-v9h
@Salhah-v9h 6 ай бұрын
Namm nimeai jaman. Musie wachoy. Mupe lk nasubil kusikiliz vilivy m hum. Kwa EDN&ROMA❤❤❤🎉🎉🎉
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 6 ай бұрын
Roma unaniudhi kwatabiya zakurara nakiramwanamuke Lukas shuran zangu zigufikie untupa tunacogipenda kwawakati✌️✌️✌️arafu unipe namba za Rama namutaka avec uku Bujumbura
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
😂😂
@kisaagustino3278
@kisaagustino3278 6 ай бұрын
Akikupa namba ya Roma usisahau kunitumia namimi😂😂😂
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 6 ай бұрын
Me ananiķera kwa kukusanya maadui kila sehem maadui wengne wakuwpotezea tu mna anajenga maadui kwsbb ya wnwke tu
@LeeYanOm
@LeeYanOm 6 ай бұрын
Enheee tuendelee na mautraaam🎉
@KhadijaKassim-k8d
@KhadijaKassim-k8d 6 ай бұрын
Wanafamilia wa Lucas Lumbas mnalala humu jamani nawapenda sana ❤❤❤❤❤
@SofiaKhamis-ol1bn
@SofiaKhamis-ol1bn 6 ай бұрын
Wa kwanza😂😂😂😂🎉🎉🎉
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
❤❤
@Jennysolange8989
@Jennysolange8989 6 ай бұрын
Haha 😂😂😂jaman nime wai leo wa nne like 👍kwa kaka lucasi plz❤🎉🎉🎉
@FloraManeno
@FloraManeno 6 ай бұрын
Shagweeeee🎉🎉🎉🎉🎉
@ibrahimummu5127
@ibrahimummu5127 6 ай бұрын
Haya haya team roma and edina amjambo kbs naona mambo ni fyaaaa
@lareineminah1353
@lareineminah1353 6 ай бұрын
Aaah sawaa Kumbe Kamau yumo katika walio suka mpango wa ndege kupoteya... Roma ni mtoto wa muheshimiwa Senga na Blandina
@nellylewa4457
@nellylewa4457 6 ай бұрын
Asante sana❤❤❤
@Sur-v9s
@Sur-v9s 6 ай бұрын
Mambo ayooo yanazidi kunoga ataliii kaka lucas tuletee vitu ivooo❤❤❤❤
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
❤❤❤ Asante Lucas tuko pamoja sn and kitumbu Cha Edina kieleweke na🔥🔥wa Roma, leo Tena nadai like zenu ote, naambao hamtoang nipeni bas japo nimecherewa nipenit.🙏🏃
@MUNEZEROZaïnab
@MUNEZEROZaïnab 5 ай бұрын
@TyT-h5l
@TyT-h5l 6 ай бұрын
Yaan hii simulizi kila siku kwatokea familia mpya
@mercykarimi7407
@mercykarimi7407 6 ай бұрын
Mama grace kutoka Nairobi nitamu sana his ya edna
@susansamira8137
@susansamira8137 6 ай бұрын
Asante kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤❤
@ElizabethIsaya-io2bn
@ElizabethIsaya-io2bn 6 ай бұрын
Nimewahii jamaniiii
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 5 ай бұрын
Nimecheka 😂😂😂 eti kama jambazi
@AjrasMobile-q8j
@AjrasMobile-q8j 4 ай бұрын
Roma malaya sana hadi anakera baada akae na mkewake waongee wamalizane yy kakazana umalaya tu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 6 ай бұрын
Roma kazi anayooo yani anapata wanawake bikra huyuu mwamba siapatee hata ukimwi iliatulie mana anagawa sana hiloo hogoo lake
@haluwaharuni4564
@haluwaharuni4564 6 ай бұрын
Kwani mwalala KZbin jamani😂😂😂😂
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 6 ай бұрын
Wapili 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
🌹🌹
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 6 ай бұрын
@@TeklaNdekeja 🙏🙏🙏♥️♥️♥️👏
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 6 ай бұрын
♥️♥️♥️🤣👋​@@TeklaNdekeja
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 6 ай бұрын
Aisee huyu roma ni noma kweli kweli jamani duuuh 😂😂😂😂❤❤
@FatmahHgfy
@FatmahHgfy 6 ай бұрын
Jamani Lucas naomba utupe Roma atusaidie ukukenya
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 6 ай бұрын
Njooni huku wanalucus lumbsi simulizi kigongo tayari
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
Tupo❤
@israeluronu9958
@israeluronu9958 6 ай бұрын
Yani ndonilikua nawaza kwamba ww Lukas unatutafuta nn wanafamilia wako?! Mara naona paaaaaah EDINA huyu hapa😅😅 ❤❤❤
@Aisha-oj9cx
@Aisha-oj9cx 6 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤leo kuwai
@zuhuraomar-dw4hg
@zuhuraomar-dw4hg 6 ай бұрын
Kaka lucas unaonaje kutolea part mbili mbili kwa sikumaana Hot sana hiisimulizi
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 6 ай бұрын
Vida na matukio ni vinh mi nachanganyikowa😂 na huyu roma Hadi story iishe hajapata ukimwi😂😂😂😂 sijui tu
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 6 ай бұрын
Huyo ni mfu alie hai wadhani atapata ukimwi kweli
@salmambalami1545
@salmambalami1545 6 ай бұрын
Woyoooo🎉
@DoriceKilawe
@DoriceKilawe 6 ай бұрын
Jamn hii story ni zuri mno
@SofiaKhamis-ol1bn
@SofiaKhamis-ol1bn 6 ай бұрын
Musisahau like jamn nimewahi na mm leo❤❤❤❤
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 6 ай бұрын
waaoow kumbe mambo yameiva bila mie kuwa na habari duuh acha nikae mkao wakula bila stress ama makasiriko ili nimwone Edna anavyo mbeba Roma ujinga bila kujielewa kuwa yeye ndie jinga
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
Hahahaaaa Edna yp mkenge Roma azidi kuchanja mbuga navitubua vyake kl mutaa bkira km zote😂😂
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 6 ай бұрын
@@TeklaNdekeja yap Edna hana usemi kwani sheria kaziweka yeye ila hakujuwa kuwa mapenzi haya jaribiwi kwani alijuwa hataangukia uwepo na vituko pia ubabe wa mshikaji nakumkaribisha kwake hakujuwa kuwa amwonavyo Roma yeye sivyo wengine wamwonavyo wao wanamwona wa maana na kumwona Roma kuwa jinga akajisahau kuwakuna watu wamepewa neema yakupendwa na kudhaminiwa hivyo tuu bure hatakama wao ni maskini ila nimaskini roho safi roho dhahabu ilio jawa hekima na moyo wenye utu na uliojawa na upendo kwa kila apitae anga zao ila sasa wivu umeanza kukuwa maana Edna ndio anajiona kuwa anapoteza ila anaogopa kumweleza mshikaji sasa acha ale kimawazo wengine wazidi kumpa Roma utamu ila ipo siku mkataba utamshinda nakujisalimisha kwa Roma
@AnjelaSilayo
@AnjelaSilayo 6 ай бұрын
Mimi pia leo nimejitahidi wa
@QueenDenise-i9u
@QueenDenise-i9u 6 ай бұрын
Tamu sana aisee
@janekipsang425
@janekipsang425 6 ай бұрын
Thanks for being consistent!
@ChristinesifaRuwa-jx4qw
@ChristinesifaRuwa-jx4qw 6 ай бұрын
Ok na Mimi nko sasa nmewahi Leo Sophia huna chako hapo
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 6 ай бұрын
wote katika michepuko ya Roma ni Rozzy tuu anakanafasi kadogo tuu kwa Roma wengine niwakumtoa tuu hamu za Roma na kumburudisha tuu ila Edna ndie kila kitu kwa Roma ni wakati tuu tunaungoja
@AnnaLuhanjala
@AnnaLuhanjala 6 ай бұрын
Haya bana utamu unaendelea😊😊❤❤
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 6 ай бұрын
Huyo blandina ni mama yake na Roma na Roma ndie Denis, ila Roma mwenyewe amezidi rakini wakulaumiwa ni Edna kwanini amubanie Roma kisa mukataba🤣🤣🤣🤣🤣 na bado Edna ataumia asipo towa muzigo.
@lucywangesh4208
@lucywangesh4208 6 ай бұрын
Tuko pamoja lucas
@RehemasiryaKabahasha
@RehemasiryaKabahasha 6 ай бұрын
🎉🎉🎉
@AleKhan-k3z
@AleKhan-k3z 6 ай бұрын
Jamani edina sio wakulaumiwa hapa hiyo ni tabia ya roma hata kama anamubania mbona asiwe na mchepuko mmoja? yy kila rinda anapita nayoo hee!!
@fatumamwinyikai7439
@fatumamwinyikai7439 6 ай бұрын
Jamani usituelezee kimumbo watukata stim aki..tupe kw lugha ya kiswahili mwanzo mwisho..please..wapenzi I need your support please..mambo kiswahili tupagawe vizuri
@ElaineAkimana
@ElaineAkimana 6 ай бұрын
Mbona kama sitaki kuamini kama Edna ndo zedoni jamani isiwe kwel mk wa raid wakeny ni mama yak ramos
@bentahmasiemo2742
@bentahmasiemo2742 6 ай бұрын
Ety Rais kamau kamau wa kenya?? Huyo alikuwa Rais wa mwaka gani?😂😂😂😂😂, am dead 😂😂😂.
@RehemasiryaKabahasha
@RehemasiryaKabahasha 6 ай бұрын
Hivi huyu Edna atampea Roma kitumbua lini, maana naona mwatuzungusha 🤦🤦🤦
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
Acha akbanebane🤣🤣 Roma bikla zinaongezeka kumfuata😂
@RehemasiryaKabahasha
@RehemasiryaKabahasha 6 ай бұрын
Bikra za mchongo😂😂​@@TeklaNdekeja
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 6 ай бұрын
​@@TeklaNdekeja😂😂😂
@Melaninmengi
@Melaninmengi 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MariaSimon-wu9pk
@MariaSimon-wu9pk 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉waooooo kaka lukasi unatisha
@RuthMajimbo-k5t
@RuthMajimbo-k5t 6 ай бұрын
Sasa nimemalisa maandamano uku Kenya nimerudi kwa simulizi yetu ya Edna
@ChristinesifaRuwa-jx4qw
@ChristinesifaRuwa-jx4qw 6 ай бұрын
Eeeh jamani yaani 8 minutes 18 comment
@MwanajumaNdegwa
@MwanajumaNdegwa 6 ай бұрын
Nimewahi leo nipeni like
@rauhiyasuleiman4626
@rauhiyasuleiman4626 6 ай бұрын
Mm simulizi inaanza kuniboa, roma anazidi kufanya uzizi pia sababu ni Edna, kil nikisubir edna afunguk kwa roma ila patupu, nasubir angalau Roma awe anajal hisia za edna ila hana ueo mda. Ishaanza kuboa
@FestoMasunga
@FestoMasunga 6 ай бұрын
Kumbuka mkataba hauwaruhusu dear 😅
@fatumamwinyikai7439
@fatumamwinyikai7439 6 ай бұрын
Ata cjui mi niwangapi ila wapenzi nawaombeni likes zenu❤🎉
@chantalmavandu4950
@chantalmavandu4950 6 ай бұрын
Huyu Roma FBI wetu juu ya kupenda kitumbua hata lala na mama yake bila kujijuwa huyu ni mama yake mzazi
@khadijahamisi6558
@khadijahamisi6558 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🥰❤😍🙏
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 6 ай бұрын
Kuna wa Kenya huku🇰🇪🇰🇪
@Esther-dd6th
@Esther-dd6th 6 ай бұрын
Wapi part 12
@mumbikibathi7036
@mumbikibathi7036 6 ай бұрын
Mumbi Wa Naivasha Ndani wapi likes
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 6 ай бұрын
Woooyoooooo
@MwinyiDady
@MwinyiDady 5 ай бұрын
Hii simulizi kuanzia 35 inarushwa lini?
@roserosef1261
@roserosef1261 6 ай бұрын
Itabidi ndugu Lukas upunguze kizungu bwana
@Fathum763
@Fathum763 6 ай бұрын
Atimae nimeenda kwa roma n Dennis
@lareineminah1353
@lareineminah1353 6 ай бұрын
Roma umezidi😢😢😢 Khaaa😅
@TyT-h5l
@TyT-h5l 6 ай бұрын
Roma nae Aache umalaya aaah😔
@FestoMasunga
@FestoMasunga 6 ай бұрын
Sasa ataachaje na hana mke 😂
@TyT-h5l
@TyT-h5l 6 ай бұрын
@@FestoMasunga si Edna
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 6 ай бұрын
Niko ndani ya simulizi ya Edna na musimuliaji lucac pamoja na mashabiki nione like zenu🎉🎉
@pilifarhani6049
@pilifarhani6049 6 ай бұрын
❤❤❤❤
@RuthMajimbo-k5t
@RuthMajimbo-k5t 6 ай бұрын
Sasa nimemalisa maandamano uku Kenya nimerudi kwa simulizi yetu
@ZulfaSeif-p2s
@ZulfaSeif-p2s 6 ай бұрын
Nilikuwa nasubilia kwa hamu
@Esther-dd6th
@Esther-dd6th 6 ай бұрын
Story ni poa endeleza part 12
@Saada-y6v
@Saada-y6v 6 ай бұрын
❤🎉❤🎉❤
@Kellyperry947
@Kellyperry947 6 ай бұрын
ᴺᵒ ᶜᵒᵐᵐᵉⁿᵗ 😅😅😅
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
❤❤👏
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 6 ай бұрын
Mbona dear
@candidekaneza8587
@candidekaneza8587 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@Rehemaa-uz8rj
@Rehemaa-uz8rj 6 ай бұрын
Mm nahisi denisi niloma mtoto wabulandina
@AleKhan-k3z
@AleKhan-k3z 6 ай бұрын
Roma anaboo na tabia ya uasharati shenzi kabisa
@FaithNdenge-k9i
@FaithNdenge-k9i 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@RashidiDuru
@RashidiDuru 6 ай бұрын
jmn jmn hat mm leo sijachelew san 25 leo
@FaithPeter-j4w
@FaithPeter-j4w 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Munira1044
@Munira1044 6 ай бұрын
Hakuna kuchelewa ukitoka maandamano
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@hadiaali5517
@hadiaali5517 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@nyamvulafatuma5383
@nyamvulafatuma5383 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🩵
@ibrahimummu5127
@ibrahimummu5127 6 ай бұрын
Haya haya team roma and edina amjambo kbs naona mambo ni fyaaaa
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 ай бұрын
Hatujambo
@kisaagustino3278
@kisaagustino3278 6 ай бұрын
Jaman Nani anaeza nikumbusha tulipotoka mm nimesahau
@HappynessDamian-gl1iw
@HappynessDamian-gl1iw 6 ай бұрын
❤❤❤
@Salma-id4yl
@Salma-id4yl 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 6 ай бұрын
❤❤❤
@zuhramwavyoni8400
@zuhramwavyoni8400 6 ай бұрын
❤❤
EDNA | PART 12 | BABAAKE EDNA YUPO HAI NA SIO ADEBAYOR | ALIKUWA ANAMCHORA TU.
3:00:33
EDNA | PART 17 | ROMA KAINGIA CHA KIKE | KAZIDIWA AKILI
4:09:31
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 11 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
EDNA | PART 13 | KUMEKUCHA! | MAMA YAKE ROMA AJULIKANA, ANAMTAKA MWANAE
3:08:22
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 12 М.
EDNA | PART 16 | EDNA KACHARUKA, AMWAMBIA ROMA ACHAGUE KATI YAKE YEYE AU SEVENTEEN
3:02:23
#HEKIMA YA WAKATI#NA FREDY MSHANGAMA
5:18
MN CHANEL
Рет қаралды 91
KUMBAKUMBA EPISODE 3
13:59
NEW STAR RECORDS - PEMBA
Рет қаралды 48 М.
BEDROOM | AJUTA KUWA NA WANAUME WAWILI KWA WAKATI MMOJA
2:08:45
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 6 М.
Ayat Kursi 7x,Surah Yasin,Ar Rahman,Al Waqiah,Al Mulk,Fatihah,Ikhlas,Falaq,An Nas By Saad Al-Ghamdi
3:45:05
Ayat Al-Quran Live - آيات القرآن مباشر
Рет қаралды 270 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН