Рет қаралды 21,942
Zab 86:3-5
Wewe, Bwana, unifadhili, Maana nakulilia Wewe mchana kutwa. Uifurahishe nafsi ya mtumishi wako, Maana nafsi yangu nakuinulia Wewe, Bwana. Kwa maana Wewe, Bwana, U mwema, Umekuwa tayari kusamehe, Na mwingi wa fadhili, Kwa watu wote wakuitao.