I love the keyboardist for her natural beauty and modesty dressing may God increase your beauty as you glorify Him without fake beauty
@espoirshabashaba22543 жыл бұрын
Amen, amen, amen, mbarikiwe kabisa. E Bwana nijaze upendo wa mbingu nao uthabithi niwe mshindaji.
@DivineModesty3 жыл бұрын
Amen.
@espoirshabashaba22543 жыл бұрын
@@DivineModesty hakuna zingine sister?
@DivineModesty3 жыл бұрын
Brother, tuna ngoja after lock down kwa sababu izi siku tuko online.
@espoirshabashaba22543 жыл бұрын
@@DivineModesty OK sawa, nashukuru.
@okitoisaac69215 жыл бұрын
Woow woow thank you lord
@umojastudio3 жыл бұрын
Praise the Lord May Almighty God bless you all abundantly
@DivineModesty3 жыл бұрын
Amen. God bless you more.
@absolu-rdc50063 жыл бұрын
C'est merveilleux,que Dieu vous bénisse...si vous ajoutez les paroles ça sera parfait
@ludovicdumessage2556 Жыл бұрын
alléluiah
@MonsieurEURUSD3 жыл бұрын
1. E’ Yesu, ingia rohoni kabisa, uniweke huru nakunitakasa, nipate kushirikiana na wewe katika mateso na raha daima! Pambio: :/: E’ Bwana, nijaze upendo wa mbingu nao uthabiti, niwe mshindaji! :/: 2. Siombi ufalme, siombi heshima, naomba kupewa neema daima, nijue ukweli wa neno la Mungu: Mtoe miili na iwe dhabihu! 3. Ingia rohoni, unichungulie, na katika yote unisaidie, nipate kabisa kusudi na nia kujitoa kwako, kukutumikia! 4. Hakuna la huku litanizuia nisifananishwe na Yesu Masiya. Nitumainije kufika mbinguni nisiposhiriki Mwokozi mpendwa!