Рет қаралды 120,608
Lyrics
Chorus
Pastor kwa hoodie na.
So me naingiziaga zabe na.
Rudi na wa ghetto ka kumi na.
Wakiabudu Yahweh Yahweh Yahweh. (Ai Ai Ai) *2
Verse 1
You're the best,
Than the rest,
Ni elevate,
Waelewe,
Why we ride with YOU,
Na wajue am in love with YOU. (ai) *2
Na come base, ma champez, wajanjez, washande, hii ni ya wale hawana mshande,
wale hutumika time ya campaign,
Alafu miaka tano ni some pain,
Usijizamishe ndani ya champagne,
Surrender kwa Yesu ye ndio champe (champe)
Surrender kwa Yesu ye ndio champe (champe)
Chorus
Pastor kwa hoodie na.
So me naingiziaga zabe na.
Rudi na wa ghetto ka kumi na.
Wakiabudu Yahweh Yahweh Yahweh. (ai ai ai) *2
Verse 2
Shetani I trust you'll be gone,
Kristo ndio don,
Kingdom ya GOD,
Kui seek ndio uwaga form,
Ananidunga mistari legit na perform,
Na perform, na perform, na perform, na perform yeah
Ka tisho na, jinare na, ka hoodie na, Ka ngepa na, ka bible kwa pori kwa pori,
Nitoe ma boi kwa pori kwa pori kwa ngori kwa ngori yeah
Wambie ni wakristo ndani ya scene,
Ma rapper wana sing,
Niko holy staki sin,
Me Daudi we Goliath wapi sling,
Easy come, easy go,
Vitu za teke zitafanya upitwe na baraka,
Hii si leopard, hii ni kesho pard,
Hautafika sai unadanganywa cheetah
Chorus
Pastor kwa hoodie na.
So me naingiziaga zabe na.
Rudi na wa ghetto ka kumi na.
Wakiabudu Yahweh Yahweh Yahweh. (ai ai ai) *2
#EkoDydda #pastorkwahoodie #gospelmusic