ELIE MPANZU NYOTA MWENYE REKODI YA KUTISHA YA UFUNGAJI AMALIZANA NA SIMBA/FUNDI SANA

  Рет қаралды 23,245

SIMBA PRO

SIMBA PRO

Күн бұрын

Elie Mpanzu anakua miongoni mwa nyota ambao wanawindwa vikali sana na Simba SC kwaajili ya kuboresha eneo la ushambuliaji
Dullah anatupitisha katika historia ya nyota huyu na kupitia maisha yake ya soka tutapata majibu kuhusu ubora wake na nini hasa atakachokileta katika kikosi cha Simba
Kama unahitaji kujiunga na Group letu la SIMBA PRO ni rahisi tu tuma msg kwa namba 0626629644 ili uweze kuungwa katika group letu

Пікірлер: 17
@barackmoses7003
@barackmoses7003 2 ай бұрын
Natamani sana mpenzu asajiliwe
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 ай бұрын
Haijalishi ni mzuri kiasi gani wacongo ni wasaliti gsm anatembeza bahasha sana
@CharlzMajani
@CharlzMajani 2 ай бұрын
Having ni hbari za kweli kwanzu mpanzu anasajiliwa simba au uongo
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 2 ай бұрын
Mpira wa sasa unahitaji pesa simba tuache kujimwambafai na usajili mwaka jana tuliyasikia hayo hayo kilicho fuata tumekiona
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 ай бұрын
Wakati mwengine lazima pia tujiulize wachezaji wanakuja simba wakiwa wazuri sana lkn mwisho wa siku wanaboronga, au kwa sababu hatuna subira maana inafikirisha sana ama tunachezewa
@user-tg3st6li2q
@user-tg3st6li2q 2 ай бұрын
Kama nani alie kuja akiwa bora??
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 ай бұрын
@@user-tg3st6li2q onana alikua bora sana freddy alokua bora okwa alikua bora okra alikua bora lkn hatujui nini kimewakuta
@honesthenry901
@honesthenry901 2 ай бұрын
Shida yetu tunafukuza makocha Sanaa ndy maan wachezaj tunawaona syo wazur
@user-qw2vl5hi4e
@user-qw2vl5hi4e 2 ай бұрын
Ulikuwa kimya sana kiongozi
@user-jf4bj7gt4b
@user-jf4bj7gt4b 2 ай бұрын
Hivi ni kweli au ninyi waandishi wa habar na nyie ni waongo na mambo ya mtandaoni msitu laq'ayi tuambieni kweli maan hiyo Simba imetuchosha sna
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 ай бұрын
Kumbe ni tetesi. Simba ndy kazi yake wao ni usajili wa majina tuu ambapo cy kweli maana wao huwa wanasajili kwa majina tuu huwa wanawataja wachezaji bora sana kisha wanawaacha wanachukuliwa na timu nyingine.
@halimaiddiijengo7376
@halimaiddiijengo7376 2 ай бұрын
Simba wanahusisha wachezaji wazur mwishowasiku niushuzimtup yanikamavile hawansuchungu nasimbakumbuken kunawatu wanakufa kwaajiliyahicho mnachokifanya mtaendakujb ninikiama?
@user-oc4ol2ii1v
@user-oc4ol2ii1v 2 ай бұрын
Kinshasa sio kinshaha
@SimbaProSupporters
@SimbaProSupporters 2 ай бұрын
😆😆😆 dah katika yooote yaliyoongelewa umeona ilo tu
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 2 ай бұрын
Uongo wenu. Tumeuchoka
@LassonDominick
@LassonDominick 2 ай бұрын
Yaan kama mukiyasikiliza haya mumeishaaaa! Subirin simba day ndo mtaona kwa uhakika wachezaji wenu! Hawa waandishi wanatafta pesa2 hauwezi waamini sana kiviiiile japo tunawaamini😂😂😂😂tunawashukuru kwa kaz zenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@asbornkaduga6001
@asbornkaduga6001 2 ай бұрын
Anazungumzia wasifu wake
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 14 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 47 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 16 МЛН
Gaucho unilima lakini sasa ametulia!Ruto Says!
5:03
Mutembei TV
Рет қаралды 326
Former Samburu Governor Moses Lenolkulal convicted of corruption!!
30:00
Simba vs vita club 4 1 all goals Highlights
8:36
Jicholauswazi
Рет қаралды 681 М.
Mbappe Teaches Madrid Players
0:18
Skiller90
Рет қаралды 6 МЛН
15 000 000 за сутки: Роналду стал блогером
0:14
Короче, новости
Рет қаралды 1,7 МЛН
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
0:20
Celine Dept
Рет қаралды 6 МЛН
Comedy Moments 😂
0:29
L7 Football
Рет қаралды 1,3 МЛН