Usitababaishe tupe Aya au hadithi inayogawa hovyo vigawanyo vya
@commandokhalidi52843 күн бұрын
Amakweli faham nayo ni rizqi😢
@salehothman6144Күн бұрын
Mie sie mshabiki wa vitu kama hivi ila tangu nilioona huyu bwana sabas anapigia debe maswala ya nyota nikajua hapa hamna kitu tena
@darajanida3 күн бұрын
muhammad bachu utajuta kuiebuwa hii mada
@IsmailSanga3 күн бұрын
Sheikh hutakaa ulete hadith ya MTUME inayozungumzia tawhid imegawanyika Mara 3,Huo ni utatu mtakatifu! Kama kweli wewe unaishi kwenye sunna lete hadith fhaifu inagawanya tawhid,Alafu unasoma maneno yenyewe unashindwa kuya tafsir. Acha kulazimisha itikadi za KIYAHUDI.Kua mwadilifu kwenyedini.Hela za saudia zisikutoe kwenye dini.
@SalumMzee-cw8do3 күн бұрын
Ukiona mtu anashindana na Wanazuon weziwe hawajui elimu zako ndogo yupo Bado Hasoma Na Hana sifa ujamungu Tusome historia Maswahaba na Wachamungu walivyokuwa naishi ktk Kutongoza Uislamu
@SaleheKhamis3 күн бұрын
Mbona bachu amekuwa mpole sana au ameshafahamu
@SaidMadai3 күн бұрын
Ukiristo upo ukazini apo hakuna icho vigawanyo vya tauhid kutoka ktk mafundisho shh y Mtume
@MaalimKhatib3 күн бұрын
Bachu umeishiwa huna hoja unasoma vitabu lakini huelewi wapi mtume ametaja tauhidi tatu wacha porojo
@ArabiMuchande3 күн бұрын
Kwani sheikh bachu hadithi ya kugawa tauhidi haipo? Mbona kauli za masheikh tyu? Kwa mfumo huo hata maulidi wakipatikana wanawachuoni wa kuhalalisha maulidi litakua jambo la sawa?
@SadickMussa-g6h3 күн бұрын
Mlishaga somewa aya za Qur'an zinazobainisha mgawanyo wa tawhiid hamtaki mnataka hadithi, je, mna akili?
@ismailsoud3634Күн бұрын
@@SadickMussa-g6h Akili zai hazina akili. Wanaiacha Qur'an wanafuata maandiko ya waarabu. Matokeo yake ndiyo haya.