Mimi S01Ep37 (TV Series)

  Рет қаралды 21,382

Elizabeth Michael

Elizabeth Michael

Күн бұрын

Пікірлер: 292
@SayuniFrank-k7w
@SayuniFrank-k7w 3 күн бұрын
Eliza anatupostia ep yake kwa kututesa🙌🏻🤣 🚮 week mbil unasubir ep 1💔🙌🏻
@naomimeshack8319
@naomimeshack8319 16 күн бұрын
kama umependa kamchezo ka nick ka leo like hapa😊😅😅😅😅
@jamesangujo1195
@jamesangujo1195 16 күн бұрын
Nicky mwanangu wew kichwa daaaaaaaaaaaaaaaaaah............ get your flowers kbsaaaaa🥀🥀🥀🥀🥀
@UnrulyHope-e9j
@UnrulyHope-e9j 15 күн бұрын
Nick nimecheka kama fala hapa kwa kweli umeweza eti shostii 😂😂😂😂😂mauwa yako Nick🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉alafu Mama Ake n steve N mrembo MashaAlllah ❤
@BerthaModest
@BerthaModest 16 күн бұрын
Yani nick jmn😢aibu naona mimi uku khaa😂😂 simtak mim
@marryofficial9143
@marryofficial9143 15 күн бұрын
Ila nick hakiii huendi mbingun😂😂😂😂 kelele moja kwa naomi wakee weweweee😅😅😅😅
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 16 күн бұрын
Aki leo mmetuchekesha haraf nick amekula chakula kingi kuwashinda wote😂😂😂😂😂😂
@JackieYohana-x4t
@JackieYohana-x4t 16 күн бұрын
Mnachelewesha sana mpaka tunasahau tulipoishia jamani
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 16 күн бұрын
Nick kubabake 😂😂😂😂😂 nimecheka leo khaaa mzee anasafisha koo unafki huo mzee mnafki anakaa na wanafki
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 16 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅 nick mpuuz so pw
@arya-star53
@arya-star53 16 күн бұрын
​Kwakweli ni mpuuz Yan nacheka cheka dharau ksma zote ila nimecheka sana😂😂😂
@alexisamani6092
@alexisamani6092 15 күн бұрын
😂😂😂😂Eti naruhusiwa kukaa tu hao kula pia😂😂😂😂😂
@happysindani6708
@happysindani6708 12 күн бұрын
@@alexisamani6092😂😂eti nicje fukuzwa wakati ndyo kwanza nimeanza kula
@soothyourmind207
@soothyourmind207 11 күн бұрын
😂😂😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 16 күн бұрын
Ila ushauri wangu Lulu ungekuwa unaweka episode 5 kama zamani, hapo hata ukikaa wiki sio mbaya, sema Nick mjinga sana aisee😂😂😂😂.
@SleepyOutdoors-zm2ys
@SleepyOutdoors-zm2ys 15 күн бұрын
Ni kweli tunasubiri mpka inatuboa😅😢
@SleepyOutdoors-zm2ys
@SleepyOutdoors-zm2ys 15 күн бұрын
Ni kweli tunasubir mpka inatuboa😢😢
@UpendoPeter-j5y
@UpendoPeter-j5y 15 күн бұрын
nick asante baba maan nilikuwa nataka kulia ungemuharibia naomi
@KingNamber
@KingNamber 15 күн бұрын
haaaaaa wenyekakazawo honger Ila Nick nimwisho😂😂😂😂😂Naomi kashaanza patikan kwakweli
@MoshiFura
@MoshiFura 16 күн бұрын
Waooooooooo turisubri kwahamu tujuane
@annasitti120
@annasitti120 16 күн бұрын
Naomi tuwahishie movie jmn tupe mwendelezo hata baada ya siku 2 jmn hizi wiki tunasahau matukio😢🎉❤❤❤❤❤ ni nzuri sana
@arya-star53
@arya-star53 16 күн бұрын
Dear kuandaa tu episode moja mpk ikakamilika sio poa kipenz
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 16 күн бұрын
​@@arya-star53kwani si inakuwa tayari recorded?
@rebeccamagoke4276
@rebeccamagoke4276 16 күн бұрын
Ndio tunasahau
@arya-star53
@arya-star53 15 күн бұрын
@GeorgeAkasha-zx2rj ndy but anaeitengeneza na kuedit ni video shooter so yeye mpk aikamilishe sio Kazi ndogo na kumbuka episode moja inaweza ikabeba scene 3 mpk 8au 10
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 11 күн бұрын
Lkn hii M.I.M.I ina miaka kama sio 2 basi 3 it means ipo tayari labda kaamua tu awe anatutumia kwa style hii ​@@arya-star53
@fathma-wp1gt
@fathma-wp1gt 8 күн бұрын
Mwendelezo Tusubili baada ya myaka mingapi tena 😂😂😂
@RozrinHenrickHove-zo5xb
@RozrinHenrickHove-zo5xb 3 күн бұрын
Kwakweli maana wamezidi sasa
@zena6203
@zena6203 16 күн бұрын
Mungu nikingeeeee namwanaume kinganga kama nick mana nikwenda polici kumshtaki basi🤣🤣🤣
@arya-star53
@arya-star53 16 күн бұрын
😂😂😂😂
@Nailaty564
@Nailaty564 15 күн бұрын
Hii siri mwisho wake sio mzuri😂😂😂😂😂
@dakeeog585
@dakeeog585 14 күн бұрын
OYAA NICKI tukiachana na uigizaji unapaswa upelekwe mirembe wakatuthibitishie kuwa ni kweli hauna mtindio wa ubongo bali ni sanaa tu
@letshavealiltalk2313
@letshavealiltalk2313 9 күн бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@Malkey4real-330
@Malkey4real-330 16 күн бұрын
Good work
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 16 күн бұрын
Waomba like wote tambueni kuwa mna afya ya akili hivyo tafuteni jinsi ya kupona.na ukiona huombi like basi jua kuwa umekuwa mzima uache utoto
@Olperbenjamin
@Olperbenjamin 16 күн бұрын
Eliza tunaomba mwendelezo jaman😢😢😢 wengine uvumilivu hatuna tunataka bandika bandua 😅
@agnesmarcus-n8q
@agnesmarcus-n8q 16 күн бұрын
Wa kwanza Leo naomben likes zangu
@RebecaSanke
@RebecaSanke 16 күн бұрын
Abuju buju buju😂😂ila nick
@NadiaAlladin
@NadiaAlladin 16 күн бұрын
Weeeh nicky weeeh umevuruga, ukawaweka sawa, ukavuruga😂😂😂😂💔 yani umejua kuiplay hii part kijana weeeh ni nouma❤️✌🏽💯...., hatariiii sana mtu wangu🔥🔥🔥
@BibianaKobelo
@BibianaKobelo 16 күн бұрын
wow! asanteni kwa kweli mwe mnawahi
@heavenlightmafie393
@heavenlightmafie393 16 күн бұрын
Jaman Nick duuuuuuh🙉🙉🙉
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 16 күн бұрын
Mtoto mzuri chuchu shema bashi 😂😂😂😂😂 weweeeeeeeeeeeeee👌👌👌
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 16 күн бұрын
😂😂😂😂
@mwanjalasayota567
@mwanjalasayota567 16 күн бұрын
Abujubuju
@Olperbenjamin
@Olperbenjamin 16 күн бұрын
Eti naweza kukaa tuu au hata kula pia, duuuh huyu mwamba hatari😂😂😂😂nimecheka sana
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 16 күн бұрын
Na mimi nikija kuoa kwenu takuja kama Nick kwa baba mkwe.
@NasmahTomasi
@NasmahTomasi 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂Nick umetisha jmn
@mariamkimati5857
@mariamkimati5857 16 күн бұрын
Nick Nick Nick jamani ❤😂😂😂😂😂😂😂kha! Mvurugaji kweli kweli
@RachelEmid-jq6eo
@RachelEmid-jq6eo 16 күн бұрын
Nick daaaaa😂😂😂😂
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂Mzee muda mwng unapenda kusafisha koo 😂😂😂😂tuite umbea?unafki?majivuno? 😂😂😂😂😂
@salmasaid4309
@salmasaid4309 16 күн бұрын
Mtoto mnzuri😂 mwaaa He he heee I miss you😅😅😅😅
@FurahaKulapha
@FurahaKulapha 16 күн бұрын
Abuju buju naomi ake 😂😂😂nick
@AnethMajura-c1u
@AnethMajura-c1u 15 күн бұрын
atoto😂
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 16 күн бұрын
Ya leo kali sana 😂😂😂 yaani Nick dah!😂😂😂😂😂
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 16 күн бұрын
Nampenda mama nina❤
@jacqieaayan3769
@jacqieaayan3769 2 күн бұрын
nick broo leo umecheza
@DoktaGidawida
@DoktaGidawida 16 күн бұрын
Niki anchekesha jamn hhahahahahahhah😂😂😂
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 9 күн бұрын
Ila Nicky 😂😂😂😂😂😂😂😂umejua kumkomesha naomi, yaani aibu naona mm😂😂😂😂😂😂
@RoynerMlowe-j6c
@RoynerMlowe-j6c 15 күн бұрын
Kubabeki nick umeua sana❤❤❤❤😂
@BerthaBrown-v8o
@BerthaBrown-v8o Күн бұрын
😂😂 kichaaa wa family
@مريممريم-ر7س5و
@مريممريم-ر7س5و 14 күн бұрын
Nick nakupende bure wata kuku subwuwa kwa juwa kali lakini sikwa hi😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@FatumaAlmas
@FatumaAlmas 10 күн бұрын
Nicky Hana akiliiii kabisaaaa😂😂😂
@omanbahla1511
@omanbahla1511 16 күн бұрын
❤❤ nawapenda
@mariamkimati5857
@mariamkimati5857 16 күн бұрын
Ahsante Nick umeokoa jahazi 😂😂😂😂
@hutahuta1170
@hutahuta1170 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉kazi kwer kwer nik
@ElishamaMulokozi-pi8nm
@ElishamaMulokozi-pi8nm 16 күн бұрын
Hey there.Naomi@Elizabeth Michael(LuLu):Action Movies,M.I.M.I S01Ep37 (TV Series).Tasnia ya Muigizaji East African.😂😂😅😅😒😒
@oscarprince2999
@oscarprince2999 16 күн бұрын
Hey Lulu, yaani sijui nisemeje. Kua mama kua zaidi na ukuze tasnia ya uigizaji East-Afrika
@michaelmkubwa8050
@michaelmkubwa8050 15 күн бұрын
Yan watu wote wameach kula wanamuangalia tu nick
@AlexjohnAlexjohn-zw3of
@AlexjohnAlexjohn-zw3of 13 күн бұрын
daaaaaah cjawahii cheka kama leo nicky wewe ni noma sana
@AgathaMrosso-z8j
@AgathaMrosso-z8j 16 күн бұрын
Tumemisi kuwekewa dabo dabo kama zamani jamanii
@shuudewizzygal8435
@shuudewizzygal8435 12 күн бұрын
Ila nick😂😂😂😂🙌
@OmanBd-s7z
@OmanBd-s7z 15 күн бұрын
Me sijapenda Nick 😂😂😂😂
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂siyo poa
@EstheurWabenga-n6r
@EstheurWabenga-n6r 16 күн бұрын
Nick ni mbwa sana😂😅kubabake wahuni sio watu wazuri kwakweli😂😂
@TunuBukile-t3c
@TunuBukile-t3c 16 күн бұрын
Iv nicky hana akili 😂😂😂
@rilianwillium
@rilianwillium 15 күн бұрын
Melisa alitishiwa maisha ata aamini kinachoendelea😂😂
@LufinaKayombo
@LufinaKayombo 12 күн бұрын
Nick amewezaaa jamn daa
@OfficialElishamaMulokozi
@OfficialElishamaMulokozi 11 күн бұрын
Hellow.Karibu sana @Elizabeth Michael kuliko ambacho Action Movie:M.I.M.I (Tv Series).
@LinahNelson
@LinahNelson 7 күн бұрын
Of course sijakukubali Ila nick bana😂😂😂😂
@shes_cee
@shes_cee 12 күн бұрын
😂😂😂😂ilaa nick
@letshavealiltalk2313
@letshavealiltalk2313 16 күн бұрын
Ila hii movie ilinifanyaga niwe namuogop Isarito😂😂yan kwa kipind hiko ningekutana nae kichochoroni ningekimbia
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 16 күн бұрын
Kama mm walah😅😅😅😅
@letshavealiltalk2313
@letshavealiltalk2313 15 күн бұрын
@@naomikisaba5785 😂😂😂😂
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 16 күн бұрын
Kelele moja kwa naomi akee😅😅😅😅
@UpendoSwaiba
@UpendoSwaiba 16 күн бұрын
Khaaaah Nick kudadadeki umenishinda tabia we kaka haaa😅😅😅😅😅😅
@pendoinnocent9648
@pendoinnocent9648 15 күн бұрын
Nick ulikua ushaniboa ilaa mekupentaaa bure😂😂 mimi ni moto🔥
@khadijahalfan1408
@khadijahalfan1408 15 күн бұрын
Ana mafumbo
@Mwajuma-bx7wk
@Mwajuma-bx7wk 16 күн бұрын
Jaman msicheleweshe sasa tunaipenda sana😊
@StephanoCharles-d3v
@StephanoCharles-d3v 15 күн бұрын
Nick unafurahisha sana nimekupenda kwa jins ulivyo wapiga pazito bila wao kujua kinachoendelea
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 13 күн бұрын
Nick eeee
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 14 күн бұрын
Nick shenzi zako😂😂😂😂😂
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂nick umetisha sana❤❤
@davidcaroli559
@davidcaroli559 Күн бұрын
Eliza malizia basi hii movie niangalie vitu vingine vya kufanya sio kila siku nakuja kwenye chanel yako alafu sikuti muendelezo inanikata sana
@arya-star53
@arya-star53 16 күн бұрын
Jamani kumeanza kuchangamka jamani, Nick kubabake nakuchukia ila nimecheka sana eti mimi ndimi😂😂😂😂
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 16 күн бұрын
Wahuni sio watu kmmk😂😂😂😂
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 16 күн бұрын
Mama alishakufa 😅😅😅 ila nick mweee
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 16 күн бұрын
Sipendi nick anavyojitoa fahamu
@MaimunaNangabo
@MaimunaNangabo 14 күн бұрын
😂😂ñick you are a crazy man😂😂bt I like how you act 😅😅much love from kenya😅😊😊🎉🎉❤❤❤
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂Nick bwana
@winniembodze5378
@winniembodze5378 16 күн бұрын
😂😂😂😂nick jamani mshenzi uyu
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂uyu nick anakicha sio bure 😂😂😂😂
@AlexjohnAlexjohn-zw3of
@AlexjohnAlexjohn-zw3of 13 күн бұрын
Napenda sana movie za huyu mwamba
@neykidoti102
@neykidoti102 15 күн бұрын
Daaah humu ndani mko very dramatic 😂😂😂😂
@Salama123-iw7hj
@Salama123-iw7hj 16 күн бұрын
Mnachelewesha sana jamani paka tuna wasahau tunawapenda sana ❤❤❤
@مريممريم-ر7س5و
@مريممريم-ر7س5و 14 күн бұрын
Nick hanaababu😂😂😂😂😂😂😂😂nakupenda bure❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@Ritaritare
@Ritaritare 16 күн бұрын
Nicky wewe Nicky umejua kunifurahisha 😂😂😂😂😂
@RayaSafari
@RayaSafari 13 күн бұрын
Nick loooo 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@paulinengeresa8649
@paulinengeresa8649 16 күн бұрын
mmeona eeeh wali na watermelon inaenda😂😂😂😂
@sophiaazizingaiwa3857
@sophiaazizingaiwa3857 16 күн бұрын
Kwani nick ni chizi jaman 😂😂😂😂 mbona kama kachanganyikiwa😅
@CarolineDominic-c8d
@CarolineDominic-c8d 14 күн бұрын
Aisee nimecheka Sana
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 15 күн бұрын
Bora iishe tu kama mnatuletea Siku mkijiskia Alafu hamtoi sababu zakuchelewa😢
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 15 күн бұрын
Huu mchezo hauhitaji hasira 😅😅😅😅😅
@rizikiMwafungo-ge7fh
@rizikiMwafungo-ge7fh 14 күн бұрын
Episode 38 sijui itatoka lini
@rizikiMwafungo-ge7fh
@rizikiMwafungo-ge7fh 14 күн бұрын
Daah nimejikuta nacheka kama Nicky 🎉🎉🎉🎉
@AshaJuma-dz6hq
@AshaJuma-dz6hq 14 күн бұрын
Aise nick mmmmh kiboko 😂😂😂😂
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 16 күн бұрын
Nick wewe kiboko meza mzima unakula pekeyako wala huogopi😂😂😂😂😂😂😂😂
@arya-star53
@arya-star53 16 күн бұрын
😂😂😂😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 16 күн бұрын
Jamaa leo kaua aisee
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 15 күн бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rj Yani hata haogopiiiiiii
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 15 күн бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rj mhh kaupigwa mwingi hatariiii
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 15 күн бұрын
@MahaSaeed-hf3gs Sio poa aisee.
@SuzyFidels
@SuzyFidels 15 күн бұрын
Daaah! Ni bonge la movie bac msichelewe kupost episode inayofata
@alaidertolatine4750
@alaidertolatine4750 16 күн бұрын
Nick😂😂😂😂🙌🏾
@LaurentDamas-en2wf
@LaurentDamas-en2wf 16 күн бұрын
Wa kwanza mm naomben laki zang
@MaryMarijan
@MaryMarijan 16 күн бұрын
😂😂😂 nimesoma Vibaya au😂
@AnethMeshackAnney
@AnethMeshackAnney 15 күн бұрын
​@@MaryMarijanAnataka Laki 😂😂
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 15 күн бұрын
Mpeni laki yake huyu jamani mwenyenayo😂😂😂😂😂😂
@GraceSadala-iu2kq
@GraceSadala-iu2kq 14 күн бұрын
Ila nick🤣🤣🤣🙌
@sammyharny688
@sammyharny688 16 күн бұрын
Nimecheka jaman nick hapana 😂😂😂😂😂
@Agathamartine-d3s
@Agathamartine-d3s 16 күн бұрын
Nikajua Ulivyokaa kimya lulu ukija utatuletea vipande vitano kwasiku eti ndio umepunguza unatuwekea kipande kimoja😢😢
@luluedward4343
@luluedward4343 15 күн бұрын
Nick umetisha ❤
Mimi S01Ep01 (TV Series)
25:19
Elizabeth Michael
Рет қаралды 140 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
MJOMBA.  /STARING MKOJANI & TIN WHITE/ new African Swahili bongo movie
1:21:54
TS Dabrina-collection interview
23:12
Taifa Star Media
Рет қаралды 10 М.
Mimi S01Ep36 (TV Series)
25:56
Elizabeth Michael
Рет қаралды 29 М.
BSS 2024 SE15 EP05 EXTRA DAR | FULL SHOW
32:35
BongoStarSearch
Рет қаралды 83 М.
KIJANA MUUZA MAJI | EPISODE 01 | 💞 Love Story
32:22
DONTA TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
MKUKI SERIES EP 3
20:57
Agent King Picture
Рет қаралды 1 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН