Hata wanadamu waseme yao....hakuna wakuzuia makusudi aloniangia
@LoiceCharo-s5g10 күн бұрын
Nahisi kuinulia na nyimbo zako may the almighty God bless you abundantly
@kisyulabenson74267 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 congratulations 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@hillarykhavaha9204 Жыл бұрын
I like the massage bro more grace
@lumbumbulungu735 Жыл бұрын
Anayecheza na mimi anaguza jicho ya Baba❤🎉
@seacresthotel89987 ай бұрын
Yeremia 29;11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema BWANA,ni mawazo ya amani wala si mabaya,kuwapa tumaini siku zenu za mwisho.AMEEEEEEEEEEEEEN💥💥💥💥💥❤❤❤❤💯🙏
@nickyamani74022 жыл бұрын
Hakika kutoka tumboni mwa mama tumeteuliwa ........Hakuna wa kuzuia makusudi ya mungu maishani kwangu we sing saying ANANIWAZIA MEMA🙌🙌✨
@evansvalecx Жыл бұрын
Pongezi sna jpe Myo❤❤❤❤
@peytonmukunya9130 Жыл бұрын
Kaka kwakweli Wimbo huu umeniguza mungu akubariki
@MaureenOkumu-dg8tg Жыл бұрын
Huyu mungu ata uwezi kumuelewa😭😭😭😭congratulation wachira🙏🙏
@MiriamSamuelke2 жыл бұрын
Nimerudi kujikumbusha Mimi ni mboni LA jicho lake....ananiwazia memaa
@elshamahwashira2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa
@highprincekeofficial35382 жыл бұрын
kweli kaka👊
@jacklinekhausi54742 жыл бұрын
Mimi ni mboni ya jicho la baba ........ananiwazia mema💃💃💃💃💃💃🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ObbyAlpha2 жыл бұрын
You be blessed boss
@KuvunaGonda-l4f8 ай бұрын
Ahaaaah amenijua kabla zijazaliwa mngu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@evanceoduor14082 жыл бұрын
Ameeeen nimechaguliwa na baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🥰🥰
@nasijoruma9533 Жыл бұрын
Kati ya wengi tumechaguliwa
@VICTORMUTHENYA Жыл бұрын
Voice💯 lyrics 💯video💯Mungu akubariki sana kaka
@leahchepkemboi61392 жыл бұрын
Mimi ni jicho ya mboni ya Baba Woooow go go go bro moto sana
@marieclariefifiofficial5875 ай бұрын
Jamani anaimba sauti kama Martha mwaipaja akose nimwanae
@mariamapile80 Жыл бұрын
Waooooo wimbo mzuri sna jmn
@johnmwongela80475 ай бұрын
Hakika aniwazia mema
@EmilyBarasa-w2k Жыл бұрын
Hakika kutoka tumboni mwa mama❤❤❤
@armanyabdallaofficial71102 жыл бұрын
Viwango
@professor19922 жыл бұрын
Nimebarikiwa wapi like
@sarahagiko3455 Жыл бұрын
Nime barikiwa sana
@ambarimargaret2 жыл бұрын
Kazi safi kaka... Ananiwazia mema
@MiriamSamuelke2 жыл бұрын
Video✅ Audio🤜✅ Artist🔥🔥✅ Mimi kama balozi wa stunning touch 😂😂nimedhibitisha pia
@officialsham23222 жыл бұрын
😂😂 nimeikubali bazuu
@MiriamSamuelke2 жыл бұрын
@@officialsham2322 baaas
@elshamahwashira2 жыл бұрын
Asante mtumishi,Mungu akubariki kwa support yako,wewe ni WA baraka🙏
@MiriamSamuelke2 жыл бұрын
@@elshamahwashira Amen zidi kutubariki
@mwanjatabitha65542 жыл бұрын
Huu ndo wimbo nilikua nangoja Kwa hamu already downloaded,keep going Elshamah🙏🙏🥰🥰
@MalicoOgnda4 ай бұрын
am Ugandan whiching from Saudi Arabia I really like your sogs more blessings dear
@tumainistephano1457 Жыл бұрын
Hongera sana unaimba vizuri
@pamelaben44502 жыл бұрын
Wow wow...mimi nimechaguliwa na baba
@hopemandi77262 жыл бұрын
Huyu baba mzuri ananiwazia mema
@susannthenya78132 жыл бұрын
Wao👏👏👏👏Amen washira be blessed I thought ni martha mwaipaji.umekua wa baraka sana kwangu
@carolynemunyokho31782 жыл бұрын
Amen Amen Yani nikiingia tu KZbin hivi, nakuta my mentor from TZ boom keep moving mtumixhi wa mungu
@Mesh_Kingsley Жыл бұрын
Anatuwazia Emma kweli🥰🙏
@foodiezkenya36152 жыл бұрын
Oooh my God hii ni moto liz ameniambia Nikuje Kuna mambo moto kumbe ni moto kweli God bless you bro
@abednegoabeddy3358 Жыл бұрын
Umeweza bro much love
@paulineleah6512 жыл бұрын
wow kazi safi sana kakangu
@frankliiinleemy91632 жыл бұрын
Hahaha barikiwa sana
@jackso-k_oyaa2 жыл бұрын
Waaaziii Bigwaa
@douglaskaberia428023 күн бұрын
Good work
@janethkinabo3486 Жыл бұрын
Uko vizuri mno, kazi nzuri mno, Mungu akuinue
@lucyziri4960 Жыл бұрын
Halleluya Mungu ananiwazia mema..
@olivernyumi52752 жыл бұрын
Kazi njema
@kaachonjo263 Жыл бұрын
Ndio ananiwazia mema
@michaelmusyoka23267 ай бұрын
Songa mbele unanibariki sana
@shempraise85312 жыл бұрын
Kazi nziru mungu akutunze
@mejjahgamtonisaacofficial1085Ай бұрын
more grace Brotherman
@miriamgift8410 Жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu, Mungu akuinue kwa viwango vya juu katika huduma yako
@crownmusickenya49412 жыл бұрын
Asa waite moto fire
@danielmwainyekule17922 жыл бұрын
Barikiwaa sana mwana wa Mungu
@magymlaghui2123 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu kupitia huduma hii nzuri.
@neemanzemba927711 ай бұрын
Toka tumboni mwa mama nmechaguliwa na mungu nahisi machozi ya furaha hakika barikiwa sana mtumishi Elishama🎉🎉🎉🎉
@prophetessjulymwende88852 жыл бұрын
Amen mipango yake na mawazo ni mema
@Williamskenya52282 жыл бұрын
Mimi mboni ya jicho lake😍
@FARHAA-q2c9 ай бұрын
Ubarikiwe broo
@zuahina20602 жыл бұрын
Amina kwa bwana
@DoreenAngel-vz9mh Жыл бұрын
yeah mungu anatuwazia mema kila wakati ooooh niko blessed
@elizabethabilia7843 Жыл бұрын
Can't get enough of this ❤halleluyahh nmechaguliwa nawaziwa mema👏👏👏
@MarySimoni-tz3fm Жыл бұрын
Kwakwel ametuwazia mema
@winfredkakoi765315 күн бұрын
You are a blessing sir
@joycezawadikatana836 Жыл бұрын
Kwn huyu ni kijana wa martha.mwaipaja wanafanana paka sauti
@damarisnyabeki55012 жыл бұрын
Allijua kabla ya misingi ya Dunia,ana mipango mema juu yangu💃💃💃💃💃 hallelujah
@mercywangarikuria78602 жыл бұрын
Unaenda mbali kaka
@rehemamatembo11 ай бұрын
Ni Mungu pekee ananiwazia Mema. Asante Kwa wimbo mzuri kaka angu.
@edsonnjuga30832 жыл бұрын
Good bro,Mungu atakuongoza
@tinachristine12092 жыл бұрын
Nice song bro we goo
@witnessadhiambo5174 Жыл бұрын
Amen ameen
@SuzanSirya Жыл бұрын
Ànaniwazia mema baba🙏🙏
@ElnaElsie Жыл бұрын
Amen,,ananiwazia mema
@helenkahema26362 жыл бұрын
Ooh Yes Mungu amenichagua na ananiwazia mema, Barikiwa Mtumishi
@cynthiamukhola78272 жыл бұрын
Amen amen 🙏 keep going 🙏🙏
@EsterMwalongo-er1wq Жыл бұрын
nimekujulia tiktok nimejikuta na danlod nyimbonzako zote barikiwa sana kaka ❤❤❤
@jumachango2 жыл бұрын
Ananiwazia mema...achezeye na Mimi anagusa mboni ya Baba wow! Tamuuuuuuuu sana
@HelenaErnest-iw2ys Жыл бұрын
Asant balikiwa ❤❤
@ElsiewaitheraGitonga Жыл бұрын
Congratulations man of God
@kleenheart2 жыл бұрын
Baraka zishuke kwako na tubarikiwe wengi. Tunakupenda
@frankfrancis69652 жыл бұрын
Ananiwaziamema!!!!!!!!
@rodahkingoo78498 ай бұрын
Nyimbo zako zanibariki Sana, may the ALMIGHTY GOD continue blessing you sana 🙏🙏
@michaelmwendwa2001 Жыл бұрын
smart song mungu akubariki
@PeterSammy-v7z Жыл бұрын
Great song ananiwazia mema
@kleenheart2 жыл бұрын
Blessings bro
@OcircanVincent8 ай бұрын
congratulations
@onesmusnzyoka5639 Жыл бұрын
ukweli you are chosen by GOD before formed in mother womb nice one
@aaronmailuofficial2512 жыл бұрын
wow.. one of the best.. hakika mungu huniwazia mema
@pendomaureen9 ай бұрын
Congratulations bro,unanibamba na hio sauti kama ya Maths mwaipaja
@enricokarisa74052 жыл бұрын
Hii video ningeiitwa nikacheza ata part moja basi...