endeleeni kusema mwema mpaka mfukuzwe wote ndo mtajua ujinga, woga na kujipendekeza ni milango ya utumwa
@musalazaro79432 ай бұрын
❤❤❤❤
@user-gy5gu1mn4x2 ай бұрын
Amwana Kasi wew
@jackisonmlaari45562 ай бұрын
Masai ni masai 2 maneno mengiii utadhani kuna mtu anapingananae
@lembrisgodfrey4232 ай бұрын
Hapo kwenye kuanza kumsfia mama Samia kwenye masuala ya Mila. Ni vitu viwili tofauti wamsai hatuna uchawa. Ungezungumza vitu vinavyoendana na tukii
@meroymollel91562 ай бұрын
Kopkop mmetisha wakuu
@dicksonisrael54912 ай бұрын
Yani Hadi Sisi Wamasai tumeanza kuingiza siasa kwenye shughuli zetu hii Ndo nini sasa
@user-gy5gu1mn4x2 ай бұрын
Wew toma ni muisi
@BarakaKasao-du5yp2 ай бұрын
Nawatakia baraka kubwa katokan na video yenu
@elijahnkoidela42622 ай бұрын
Uoga ni mbaya sana, mnasema Samia anatupenda, matukio ya Ngorongoro yalikuwa ya kinyama sana, haiwezekani kuwa mama anatupenda kwa nija ya mtutu wa BUNDUKI. Entoliki ilmaasai esipata, na emintoki aalej, kiba Enkai enkinyala, enimimbamba intae,,Nkt. The leaders we have, are as puppets to the president, it hurt wen the Govt of Tz Volues the foreigns business companies more than the lives of it's ppl.