Kiukweli mnatufurahisha, na pia ni shule tosha.Big up sana
@BIGbone.9422Ай бұрын
Nanga full mikwara ya milimani, uncle hapo huna budi kushuka chini 🤣🤣
@tafboy9146Ай бұрын
muwe mnabadilisha location nanga sio kila siku hizo hizo
@Kabeya410Ай бұрын
Wape wewe location muhimu content mpya hutaki usiangalie tupo sisi washabiki wake tutaangalia
@adrianorayner6551Ай бұрын
Wewe unasikiliza contents au location?
@mwanetuАй бұрын
Location matters bro
@Kabeya410Ай бұрын
@@mwanetu umenena vizuri kwa content hii imeendana na location hii sasa angepata wapi location inayoendana na content hii. 🤣 Hapo hakuna kosa usilalamike tu
@edithaeugeni9695Ай бұрын
Kama unataka kutalii nenda hifadhi za taifa sie tuachie kivuruge wetu tumeridhika na Khali yake👌👌👌👌