mungu akubariki dada maana wewe umetuwakilisha wakurya vizuri❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
@JumaSalumu-t6u20 күн бұрын
Amuongezee miaka~♥~♥~♥~~♥~(灬♥ω♥灬)(♥ω♥ ) ~♪
@simionmagson68856 жыл бұрын
Hongera sana dada yetu usikate tamaa...zaid kaza buti na wakurya tujifunze injil kupitia nyimbo zako utaongoa wengi AMINA
@selinabmwita1783 жыл бұрын
1c n Llĺjñ0o
@reginamanguye18802 жыл бұрын
Huuu wimbo unanikosha Sana nawapenda najivunia kua mkurya
@Mary-xi2rl4 ай бұрын
Hunger sana dada mkuria nasikiza nyimbo zako toka San Antonio Texas ❤your song
@charlesgamsa8392 жыл бұрын
Mm niupenda Sana hii wimbo maana huyu dada katuwakilisha kuwa wakurya kwamba tunaweza. Sio ubable tu hata ubabe wa kwenda mbinguni tunao mungu anatupenda Sana ubarikiwe sans
@martinjrnyakarare33785 жыл бұрын
Yesu achele!!! Daaaah.....hongera xana musubhati weito......wakurya tupo juu xana.
@GETHESEMANE2 жыл бұрын
Shalom sister keep it up.hii wimbo inanibariki saana
@ZephaniahThe5th2 жыл бұрын
Those who followed this song from tiktok, thumbs up 👍👍👍
@nancynelima13992 жыл бұрын
Nice song Mwenyezi Mungu akubariki sana
@zablongirimwa3500Ай бұрын
MUNGU AMUBARIKI KWA WIMBO MZURI WA KIKURYA
@MwitaJames-gq2vi5 ай бұрын
Hongera sana dadaagu ubarikiwe MUNGU akupeleke azidi kukupeleka kwa viwango vya juu🙋🙋🙋🙋🙋🙏🙏🙏🙏
@naftalyondara30545 ай бұрын
Mungo akubari popote uendapo na mungu awe kiongozi kwa nyimbo zako zinapabari mioyo yetu.