Subhanallah,yaani hao ni taariku sallah,mwislamu hajui alasiri Ina rakkah ngapi.....mwenyezi mungu tunusuru.
@zeyanaalgheithy65613 жыл бұрын
Sema mungu awahidi
@jamalathman62193 жыл бұрын
Subhanallah waisilamu wa wabagamoyo watakiwa waisome dini sana wameiyacha Dini na kuangalia dunia tu
@daudiniyonsaba11133 жыл бұрын
Subhanallah, mafundi wameniangusha kweli kweli...chonde chonde, tuyisome dini japo kidogo jamani .
@ziadasaburi23023 жыл бұрын
O
@yahyamuxsin26823 жыл бұрын
SUBHANAH ALLAH huu nimsiba tunalalamika maisha magumu ila tunasahau tumemsahau ALLAH ata kuswali kunatushindwa tutafanikiwa VP IKIWA mgawaji rizki tunamkosea ALLAH atawahidi
@khdigahk42463 жыл бұрын
Tumejisahau mnooooo waja😭😭😭
@nailaomar48103 жыл бұрын
Amin
@alhadjmugisha52163 жыл бұрын
Lahaula walaquwata ila billah ,Yaaa Allah inusur dini yet n vizzi vyet ,n muswiba 😭😭😭😭😭😭😭😭
@husnashaibu63123 жыл бұрын
سُبْحـانَ اللهِ❤️😢انا لله وانا اليه راجعون Wallah huu ni mswiba Yarab tuongoze waja wako katika KHER Yarab tujalie Elimu yenye manufaa na sisi leo na kesho Akhera
@siriyangu47243 жыл бұрын
Amiin yarrab 🤲
@Unkowngal-z2k3 жыл бұрын
Machozi tupu
@nailaomar48103 жыл бұрын
Nimeskia huruma muislam halafu hajui salaa ya laasir tujifunze dini yetu
@husnashaibu63123 жыл бұрын
@@nailaomar4810 It hurts😰 it hurts a lot
@sharifaabdullah68253 жыл бұрын
Amiin insha allah
@zainabmaulidi98463 жыл бұрын
Waalykum salaam Warhamatulah wabarakatuh MashaAllah kipindi pendwa na sheikh Ismail Muhammad
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh BISMILLAH MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH Sheikh #ismailmohammad MWENYEZI MUNGU akuzidishie uzima na umri mrefu na ma sheikh wetu wote kwa juhudi wanazo fanya kutupa ilmu wengi wanafaidika,nasi tujitahidi kuitafuta ilmu kwa ziada
@radhiaoman98283 жыл бұрын
Aamiin yarabbil àlamiin
@zaitunisinamenye17993 жыл бұрын
Allah atupe elimu ya dini yetu, uyu ni musiba kwa kweli
@siriyangu47243 жыл бұрын
Nakwambia weeeh ukhty zaituni
@safmarwa29773 жыл бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@dijahmriri523 Жыл бұрын
Uyu mtangazaji sipendi anavofanya kipindi chake haelekez vizur mfano huyo kaka kasema hajawai kuswali badala amwambie aswali na ampe jibu amwambie anamuacha anaondoka ndo nini
@shamzone3883 жыл бұрын
Subhana allah uislam si jina ni kusimamisha ibada.... Na kuwasomesha dini watt ukiwalea malezi ya kiislam watakua na kuijua dini ...
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
LA HAWLA WALA QUWWATA ILLA BILLAH huu mtihani kwa kweli MWENYEZI MUNGU atusameh tunaifukuza dunia na kuisahau Dini yetu Mola wetu atuongoze katika swiratal mustakeem na atujaalie mwisho mwema
@eshasalim54963 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
@@eshasalim5496 Amiin ya Rabbil Allamin habibty
@siriyangu47243 жыл бұрын
Allah humma mamiin 🤲
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
@@siriyangu4724 Amiin ya Rabbil Allamin
@rahmaabdulla49493 жыл бұрын
Amiin
@Unkowngal-z2k3 жыл бұрын
Huu n mtihani mkubwa sana 😢 jamani tuacheni mambo ya dunia .swala itatutea siku ya kiama... swala swala swala
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH sheikh #ismail swali la leo kweli wawachanganyq noma noma😂😂😂
@furahamossi31993 жыл бұрын
Mansha Allah sheikh tabarakallah shukran
@ibugharib3892 жыл бұрын
INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN, mtihani mkubwa sana huu Allah atuhifadhi na kuijua Dini yetu hata rakaa watu hawajui balaaaa . Bega kwa bega mpaka Firdaus
@munaahmed84993 жыл бұрын
Subhannallah tupo busy na ya dunia na twajoota waislam hali ya kuw hata maan ya laa sir na saa kumi hatujui jmn laasir ndio saa kumi na ndio twaswali rakaa 4 subhannallah yarabi tusamehe waja wako na utujaalie tuwe ni wenye kukusujudia kila kipindi kwa wale waislam wenye akili timamu amina thumma amina 🤲🏼
@zulfahussein67843 жыл бұрын
MashaAllaah yaani Ustadh Ismail huwa wachekesha kwenye kipindi hichii hila msiba kwa jaamani yetu ya kislam sababu wengi hawafaham dini
@uwimanauwimana76922 жыл бұрын
Dunia imesha kikwel bongo jitadini kufanya ibada sana dunia imewabeba sana mnashindwa na nchijirani ,inalillah wainaillah rajiun, 😭😭
Waulize kuhusu mpira sasa watakutajia ya Tanzania na ulaya iladini inapiga chenga , ndomana mitihani kila kukicha. dini tunmeiacha. ALLAH hatumsujudii , dunia tu imetukaa mnaake kama wanaswali wangelijua tu
@jasminjuma63903 жыл бұрын
MASHAA ALLAH tabarakallah
@saay42733 жыл бұрын
waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh vipi hali yako habibty #saAy hujambo
Innalillahi 😭kweli tuizingatie Elimu maana huu msiba
@maxamedahmed26903 жыл бұрын
Subxanallaah ,Al asiri raka,a moja
@noorynmohammedy60633 жыл бұрын
Innalillah wainna lillah rajiun bola wote walio ulizwa niliwaona vilaza rkn hyo wa Kwa gal aliejibu rakaa mbili jmn kanichosha wara hawaendani na majibu yao
@mifunga34143 жыл бұрын
Subhanalah😭😭💔🇺🇸 tuwisome dini jamani
@shifaaal-baity45033 жыл бұрын
Nadhani wamebabaika mbele ya camera na hawajazoea kuhojiwa
@samsungjprime-xx8re2 жыл бұрын
Huu ni msiba usokuwa na matanga mtihani mweusi kwa kweli Allah atuongoze ktk njia ili njooka hapa duniani na Akhera yani nimeona uchungu ktk nafsi yng nafsi inaniuma
@ayanaamri35843 жыл бұрын
Subhana lwah rakaa moja swalatul aswil daaaah mtihani sana, maana hata ktk hizo swala hakuna yenye rakaa 1.
@aminaathumani22572 жыл бұрын
Kwakweli Allah atuongoze 😭
@rehemaseif17853 жыл бұрын
Innalillah wainnailayh rajiu'un. Mtihan mzito.
@hasahm19952 жыл бұрын
Subhanallah, hawajawahi soma Madarasa au Sali kwa jamaa msikitini....?????
@faisalwaafrica74783 жыл бұрын
Subahllah 😥msiba huu
@rithapuran73493 жыл бұрын
Rakaa moja... innalilah wahinaillah rajiun 😭
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Haya watazamaji Dua zenu sheikh #ismail ashuke asije aka teleza
@wahidahamadali25633 жыл бұрын
Inna Lilah wainna ilah rajuun ni mtihani Kwa kweli
Tusomeni dini jamani. Raha sana kuijua dini . Majina mazuri ya kiislam lakini hamsali wala hamusomi dini. Tutapata tabu tuendako
@halimakalinga77643 жыл бұрын
ماساءاللهُ تاباركا الله
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Mtihan kwakweli.
@khadijahamza56703 жыл бұрын
Masha'Allah
@hashimalahdal58553 жыл бұрын
mashaallah
@saumusanjiama69913 жыл бұрын
🤔😭😭😭mtihani kweli
@alhabsialhabsi10983 жыл бұрын
Zote Raka nne sala.ya saa sada Laka nne na saa kumi nne
@jamilajamila45723 жыл бұрын
Subhannallah ya allah
@zainababdurlham183 жыл бұрын
Hata msikiti haujui
@ghanimaali45073 жыл бұрын
hili suala hta mtt wa nasar anajibu du msiba ulioje
@ummyremmy17973 жыл бұрын
Subhannallah 😥😥
@mohamedhamdan49563 жыл бұрын
A.aleikum vp hali zenu nyote hapo kishki tv, mimi ninachotaka kucomment wala si tukani mtu ila nasema hivi hawa watu ukiwapa maswali huwa hawakujibu swali lako ipasavyo unasimamisha mtu, hajui lolote hapo ni bora umulize mtu mwenye anadini vizuri si mtu yuko juu kwenye ujenzi eh, alafu mtu anakujibu sina chakumwambia
@shifaaal-baity45033 жыл бұрын
Muislamu anapaswa kujua dini hasa kusali..yaani hawasali kabisa?kusali ni faradhi kama kula na kunywa/kulala
@farajaally67903 жыл бұрын
INNAA LILLAAH WA INNAA ILAYH RAAJIGHUUN
@asiakheir86843 жыл бұрын
Msiba mkubwa huu, tusomeshe watoto jamani, jukumu kwa Allah
@mozasaid38693 жыл бұрын
Mashaallah,
@salmanassor87323 жыл бұрын
Innalilah 😭msiba mkubwa
@mohameeddoaan22963 жыл бұрын
Msiba kwakweli
@salmasalim60553 жыл бұрын
Waislamu munatia aibu hata rakaa za sallah hamujui 😭
@siriyangu47243 жыл бұрын
Yani aibu kweli alfu mtu asema anaswali mara moja moja
@ashaa4973 жыл бұрын
Mtihani kwakweli
@cumarjeilani23643 жыл бұрын
Masha allah
@zainababdurlham183 жыл бұрын
Mm ninachokiona ni bora kuweka group kwenye wathapp ili watu wJifunze Queen
@rwandanangel3 жыл бұрын
Ya Rabb😭😭😭
@stevensosipita28513 жыл бұрын
POLENI SANA KAZI MNAYO KWELI KWELI WAISLAM JINA PIA WAISLAM KANZU.