Hii ishawai kunikuta bro unakuta mentor anakuforce kujoin na link ya broker x iliaweze kukufundisha and as a new one unaungia kwenye mtego vzur tu. Keep pushing na knowledge unazotoa zinafungua macho Kwa watu wengi bro🙏
@jerryjeremmy68232 ай бұрын
Good bro ume share hii experience..kuna mtu umemsaidia leo.
@RaufiAbdulMtiva2 ай бұрын
Thats why learning is key without kwnowledge ...thanks bros for the recommendations👐🏾🤞🏾and details
@fxpundit_tz2 ай бұрын
Nakubaliana na wewe man
@AbdallaIddi-q4y2 ай бұрын
Yeah bro kuwa makin🧠👋🏾
@sidneymwasha80472 ай бұрын
Real bro 💯💯
@ahmadswaleh21082 ай бұрын
FACTS BUTTON 🔛💯
@ZuhuraMkumba-v2r2 ай бұрын
Io ndo the real deal learning is key🤞🏾
@frankedward43662 ай бұрын
Hakika bruh,nimeamini broker ni kitu muhimu sana apart from all forex materials...i got the lesson in detail💪thank bruh📌
@Jeff_star-w1lАй бұрын
Nimejifunza kuwa tu makini na kusoma au kutafuta knowledge ambayo naweza nisaidia kuwa forex au biashara nyingine
@Capt_WillyАй бұрын
Haya ni madini ya kiwango cha Diamond, appreciation kwako bro
@Dexzy-h8pАй бұрын
Nenda straight mzee hujib swali apo
@PatrickCyprian-l8g2 ай бұрын
Nmejifunza kitu kwenye kuchagua Brokers na issue ya Leverage,,,,,Thank you so much Mentor Amri
@athumanyahya2 ай бұрын
I remember ulutueleza haya tulipokua makumbusho be blessed kaka
@kaykudi79262 ай бұрын
They are going to hate you for this 😂, great job man you have saved a whole generation. Keep up the spirit 👏💪
@MAXIMILIANALFRED-uq1vk2 ай бұрын
This is most wonderfull than any more kwasababu nimejifunza mambo meng apart from main theme ya hii video
@Daprofx2 ай бұрын
That is reality of the game ✊
@ElvinBrighton2 ай бұрын
Thanks for you greatfull video
@JOHNMLULA2 ай бұрын
The aim is to impact millions
@godlovejohn59072 ай бұрын
Asante sana kwa maarifa❤
@nixonswai7342 ай бұрын
as we all know, for any successful trader main issue ya kuzingatia ni broker na within broker unapaswa uzingatie vitu vya msingi ambavyo vitampa manufaa retail trader kuweza kumudu na kudumu katika soko, na haya yote kwa pamoja yanakuja kuzingatiwa na discipline ndani yake...
@JacksonFabian-df6nj2 ай бұрын
Appreciate intelligence fx free content 🎉
@gabrielpweleza38522 ай бұрын
Nimejifunza sana shukrani
@kingsmansforexsociety8952 ай бұрын
official man himself 😀😀😀
@kambii_992 ай бұрын
Big guru.... Unamadini nasa kwa apa bongo sijaona
@hassankasimu92552 ай бұрын
Madini muhimu sanaa🔥🔥
@PatrickCyprian-l8g2 ай бұрын
Thank you Mentor 🤝
@Koala_pro_fx2 ай бұрын
Another one....💥💥💥
@christalized2 ай бұрын
Exposing and Exquisite 🔥
@LucyNgowi-r2o2 ай бұрын
Asante kwa maarifa haya
@YunusMali-pd1xk2 ай бұрын
Appreciated #Amrisaly
@JamesManang-mx1lp2 ай бұрын
Very important knowledge
@JacklineKenedy-j2w2 ай бұрын
Maana nimependa sana
@awamiwakubanda59262 ай бұрын
yeah fact broh
@ibrahimshita01222 ай бұрын
Top ya moto sana
@hassankasimu925521 күн бұрын
I wish to be party of ifx community
@hassankasimu925521 күн бұрын
Matapeli ni wengi sana siku izii hii itasaidia watu wengi sana kuepukaa
@peternjuu30352 ай бұрын
The best ifx
@geraldmwangosi88312 ай бұрын
Appreciate fam 🫡
@JacklineKenedy-j2w2 ай бұрын
❤❤❤
@Mizzlekingfx2 ай бұрын
🎉
@hassankasimu92552 ай бұрын
Nilichojifunza hapa before kuanza kufanya jambo lolote unatakiwa kufanya reaserch ya kutosha ili kuwa na asilimia zisizopungu 80 za information sahihi ambazo zitakufanya kufanikiwa kwa urahisii na kuepuka disapointment
@JacklineKenedy-j2w2 ай бұрын
Nimejifunza vitu vingi
@Jensarii2 ай бұрын
Video nzuri 🥂
@CheleoIFX2 ай бұрын
Naanza kuangalia tu tayali ishakua ya moto, wacha niskilize yote aisee
@bigbro-my6xj2 ай бұрын
Muda wa kuokota madini
@RonkaKisemya2 ай бұрын
Copy trade kwa begginer ni sawa?
@benjadeo57522 ай бұрын
Najua npo out of context ila nilitaka kujua kuna faida Gani ya kuTrade Shitcoins/memeCoins compared to spot/future trade! Plz kama Kuna mtu anaelewa zaidi au Kama Bwana Sali anajua - naomba anijuze
@BwixeАй бұрын
Kwamim kma ushakua na profitable strategy unaeza trade any market. Ila mfano indices zitatabia yakua bullish kadir miaka iendavyo. So nirahis sana kuzi trade kwa mda mrefu. Same as coins znavyoanza. So unaposema unazinunua katika level nzur bas utazihold kwa faida nzuri. Meaninig utasubir upate price nzur tu ili kubuy uendane na lengo lake la kutrend upside. Tofaut na masoko mengine. Huo ni mtazamo wangu.
@nathanfx192 ай бұрын
📈📉
@chicaginho78772 ай бұрын
Unyama sana mkubwa
@elishasiame63052 ай бұрын
Kwani lazima uwe na broker
@davycharlz4452 ай бұрын
jomba. umejibu maswali mengi lakini hujajibu swali uliloulizwa. watajie watu broker nzuri yakutumia . watajie broker unayotumia wewe. tunajua ndio unataka video iwe ndefu ili upate pesa ya ads . jibu swali uloulizwa ata kwenye comments kavipi
@Bwixe2 ай бұрын
Ila kweli. Ukute ni mwalimu mzuri tu wakufundisha ila hana live account anayotrade kwa muda flan kutoka kwa broker mzuri.
@Capt_WillyАй бұрын
Sasa akikutajia broker si yatakua yaleyale ya affiliate market ndio maana yeye amekuwekea vigezo wewe ndio ufanye research
@BwixeАй бұрын
@@davycharlz445 sure. Ila brokers si kutokana na uhitaj wa mtu na aina yake ya kutrade. Mfano kama unaflip account unatafta brokers wanao offer leverage kubwa unaflip. Ukipata kias kzuri. Unatoa unapeleka broker mzur aliekua na usalama zaid. Mfano labda unatumia fursa ya 100% bonus ukideposit na leverage ya 1:1000. Ukimalza unaenda broker wa usalama wa max 1:200 au hta wa 1:50 au 1:30 mana si unakia na capital kubwa. Pia kma unataka swap free labda una swing au unascalp unataka pure spreads so nadhan ni uamuz /malengo/style ya mtu. Na kama unatrade muda kdogo mpka sahz lazma utajua broker gan mzuri /wamezidiana wapi kweny ubora. Pia hta tools , labda broker flan ana offer c trader bure ndan ina risk calculator autonatic, hyo ni advantage. Au anaoffer wew kutrade direct kutokea kweny tradingview. So niwew kujua kpi bora.
@BwixeАй бұрын
@@davycharlz445 na kupewa affiliate naona ni kuamua tu kuitumia au lah. Mfano peperstone 2016 walikua na IB nzuri. Mfano labda mi ni wa east africa. Najaza form yangu nauhakika ya watu wangu watrade volume si chini kias flan na kwa uhakika. Basi ilfkia had commission zile zinakua reduced had 50%. Kwahyo kama lot size yako ni 0.1 labda fee ni 2 basi utapewa/utarudshiwa 30% na yule unaetumia link yake atarudshiwa 70%. Sio ka ni mbaya. Mana mwisho wa siku ili upate hela lazma watu wako watrade, na swala lakutrade unatakiwa lilwe juu yako halihusian na broker. Unatakiwa ujue kutrade ili hta ukjsajil na broker flan wew sio shda kwako. Labda haujapata account nzur utakayo na style yko. Na kama ana followers wengi ,ni hak yake mana ni kama chanzo kngne cha kipato. Maranying wanalpwa kutokana na volume uliotrade haikatw hela yako. Hela yako ni wew ndo unatakiwa kuitrade kwa ufasaha. Wether uwin au loose ataliwpa tu commission yake. Labda sjui brokers wasiosahihi au ni wapya ila hua iko hvyo. na wengne wanarudsha , huwa tunaita volume rebate.
@BwixeАй бұрын
@@Capt_Willysawa. Ila kwa uzoef wake brokers alotumia yeye kwney live trades. Mfano ana swing basi wap wazuri na kipind anascalp..au akiwa ana hedge. Basi mana style za kutrade ni zilezile. Na wakat wakuwithdrawal urahisi ulpo. Sidhan ka anazipromote. Anaweza sems tu labda broker flan skua na shida nae. Nlimtumia muda mref analpa vzuri na spreads ni nzuri, swap fee pia nzuri za kias flan kwa volume flan basi kamalza. 🙏