Pole sana bro Erick omondi pamoja na familia nzima Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako na familia wote nasi kama jamaa na marafiki kutoka Tanzania Mwanza tuko pamoja nanyi na tunawombea na zaidi ni mapenzi yake Mungu amina.
@BeatriceMlacha3 ай бұрын
Jaman amefariki alkua anaumwa au ni katka hyo maandamano huko kenya??
@sospeterogolla78113 ай бұрын
Hivio ndivio bwana alimwandikiasikuzake safari njema our brother one day we shall meet again. Hakika Kila nafsi itaonja mauti 🖐️🖐️🖐️
@rehemamahendeka-rm2ek3 ай бұрын
Poleni wafiwa,kazi yk Mola hufanya atakalo,Mola awatie nguvu/awapunguze huzuni ktk kipindi hiki cha maombolezo.
@RahmanAbdur-fr8uz3 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@dennismuthuri25623 ай бұрын
Wale wa basi waende kwa basi na wa airport kwa airport..... Fred kwa mchanga,life!
@mamaleslie82613 ай бұрын
Pole sana Eric na family..... Mungu awape nguvu ya kustahimili hio PAIN...
@rajabrwambow96603 ай бұрын
Kwan Eric omond kafiwa na Nan?
@ReginaOure3 ай бұрын
Poleni sana Kwa msiba uliowapata mungu awape nguvu
@martinkitungi98873 ай бұрын
Poleni sana Erick n familia yote kwa jumla
@joyobessa13643 ай бұрын
My sincere condolences to Eric Omondi and his family😢
@emilywamalwa59383 ай бұрын
Poleni sana kwa familia yote Mungu awatie nguvu 😭😭😭😭😭😭😭
@maureenopondo77373 ай бұрын
my condolences 😢God strengthen the family during this trial moments
@janemuthoni7233 ай бұрын
Sasa Terrence amenona ameanza kukaa kama kifaru aki apunguze tu Rip Fred 😢😢😢
@Felisternduku-i7t3 ай бұрын
Poleni sana familia mungu awape nguvu sisi sote safari ndio hiyo 😭😭
@JudithAtieno-ok3br3 ай бұрын
Terrence creative is one true friend!Mungu akubariki wewe na Milly:)One would hope to have such good friends in life:)Eric and Fred had a good friend in you!May Fred’s soul rest in Peace!
@DoreenMakungu3 ай бұрын
May his soul rest in eternal peace amen.
@FLQueen8133 ай бұрын
God grant you grace during this difficult moment fam. RIP Fred
@EMMANUELWESONGA-d3o3 ай бұрын
Eriv omondi and the Family sorry sorry sana for lostting Brother Fred Omondi rest in peace 🕊️🕊️🕊️
@idiamin40153 ай бұрын
Pole sana thats a journey no one will escape the likes of dictators ruto and museveni wait it is just a matter of time.
@KijanaMwepexi3 ай бұрын
Poleni watu wangu tuko pamoja
@sarahnyagowa27503 ай бұрын
May the Lord give you strength
@GetrudeSiocha3 ай бұрын
Heartfelt condolences,,,we together 😭😭😭
@leahkhatoroinjenikhatoroin61513 ай бұрын
Poleni sana mungu awafariji
@PendoKarisa-mw3nz3 ай бұрын
Poleni sana mwenye mungu wape subra
@lucywanjiru64123 ай бұрын
Poleni sana Omondi's family
@LydiaWanjiku-s1s3 ай бұрын
This people with cameras don't know boundaries, people are mourning their loved one and you're busy with cameras so annoying.
@emilysawayi57873 ай бұрын
Ati content creation, for sure wako too much
@Rodah-wm3ee3 ай бұрын
Wuuuiii poleni sana familia
@jecintaWanbui3 ай бұрын
Poleni
@NjeriGideon3 ай бұрын
Poleni sana familia
@kkkssiMJAnsnsnn3 ай бұрын
Poleni sn kw musiba
@shiksjustin3 ай бұрын
It's not easy 💔💔💔poleni sana for the loss
@alisaahamad-zr1qx3 ай бұрын
Pole sana Mungu awatie nguvu
@gasparlubaga58663 ай бұрын
Pole sana mwanaharakati Erick Omond
@MilycentAuma3 ай бұрын
Pole I Sana Eric na family
@bibianamwangi3 ай бұрын
Mola nawatie nguvu 😢
@edinahmoraa2923 ай бұрын
Pole sana bro but God knows
@betymombomombo33043 ай бұрын
Poleni sana erick
@JaneWanjiku-y4f3 ай бұрын
May he rest in peace
@CynthiaChepngetich-wl3mk3 ай бұрын
Pole
@ireneuside63823 ай бұрын
Poleni sana
@DouglasBarasa-fn4fl3 ай бұрын
Sorry for the family of Omondi,,,may u rip
@linetgechuki7183 ай бұрын
Pole sana
@lilianakeya98683 ай бұрын
Rest in peace 😭😭😭
@JohnsonBagambi3 ай бұрын
Poleni sana
@shegush10963 ай бұрын
My condolences
@sarafinaatieno94953 ай бұрын
My condolences
@immaculate47653 ай бұрын
My condolences
@EMMANUELWESONGA-d3o3 ай бұрын
Eri
@Bet-ru3eg3 ай бұрын
Pole sana Elick na family yenyu mungu awapee amani😢😢😢
@linnextraininginstitute29723 ай бұрын
poleni sana familia ya Eric Omondi and friends.Our deep condolences
@paulinef.millanzinana82793 ай бұрын
Poleni sana wapendwa Mungu Baba wa Mbinguni awaits nguvu