Erick Smith - Huna Mshauri (Official Video) SMS" Skiza 6388889 "TO 811

  Рет қаралды 48,231

Erick Smith

Erick Smith

Күн бұрын

Please Like, Comment, Share and don't forget to Subscribe to this KZbin channel.
To set Huna Mshauri as your Skiza Tune, SMS "Skiza 6388889" to 811.
itunes.apple.c....
written by Erick Smith
Video By Marto Kijana Msafi: 0700058983
Audio by Sam Lokua/ Fusion Media
Follow Us On:
Twitter: / ericksmithmusic
Instagram: / ericksmithmusic
Facebook: / ericksmithmusic
Lyrics:
Usiekua na mshauri ni wewe tu .
(It is only You that don’t need an advisor.)
Na kinacho shangaza ,wewe ni mkamilifu kwa yote uyatendayo.
(And what amazes is that you are perfect in all that you do.)
Washikilia majira nyakati na wakati,
(You hold the seasons and the time.)
Mwanzo na mwisho ni wewe Bwana wangu.
(The beginning and the end is you my Lord.)
Chorus:
Yahweh Jehovah Shammah,
(Yahweh Jehovah Shammah,)
Upendo wako wapita fahamu zetu
(Your love is beyond our imagination)
Jehovah Rapha, rehema zako ni za milele
(Jehovah Rapha, your mercy is everlasting)*2
Usiejuta kwa matendo yako ni wewe,
It is only You that don’t regret for your actions
Usiejutakwa matendo yako ni wewe.
It is only You that don’t regret for your actions
Hakuna kama wewe Yesu,bwana wangu
There is none like you Jesus ,my Lord.
Unayo sababu ya chochote unacho ruhusu kimpate mwandamu
(You have all reasons for that you allow to befall a man.)
Erick Smith - Huna Mshauri (Official Video) SMS" Skiza 6388889 "TO 811
Hata yakiwa ni mazito na machungu
(Even though it may be tough and painful)
Wewe unayo jibu kwa swali lolote mwanadamu alilo nalo
(You have answer, to every question a man has.)
Tena watoa faraja ambayo hatuwezi pata popote.
(And you give comfort that cannot be felt elsewhere.)
Yesu wee!
(Ooh, Jesus!)
Asante Yesu.
(Thankyou Jesus)
Chorus...
oooh! ooh! ooh!
ooh ,Jesus!
Wewe ndio ambaye hujuti kwa yale ambaye unaruhusu ya kampate mwanadamu.
(It is only you that don’t regret for what you allow to befall a man)
Kinacho shangaza unajua ni kwa nini unaruhusu kimpate mwanadamu
(What amazes, is that you are aware of what You allow to befall a man)
Bridge:
Yote ndani ya yote
(All in all)
Mtuliza bahari ni wewe
(It is You who calms the sea)
Yote ndani ya yote
(All in all)
Hata mawimbi ya tii uwepo wako
(Even the storm acknowledges your presence). x4
Hakuna kama wewe Bwana.
(There is none like you Lord)
Ni wewe tu Bwana.
(It is only you Lord.)
Wastahili , Sifa zote ni zako Bwana.
(You deserve praises, all the praises Lord.)
#HunaMshauri #WorshipSong #ngommagospel

Пікірлер: 78
Erick Smith - Wewe Ni Zaidi (Official Video) Worship Song
16:16
Erick Smith
Рет қаралды 8 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Erick Smith - KUNA SABABU (Official Video)
4:35
Erick Smith
Рет қаралды 257 М.
Niseme Nini (Baba Ninakushukuru) LYRICS - Dr. Ipyana
15:42
Dj Marita
Рет қаралды 2,6 МЛН
Erick Smith - Jipe Moyo (Official Video)
5:27
Erick Smith
Рет қаралды 43 М.
DOUDOU MANENGU - NINA HAJA NAWE
5:56
Wyldpytch Rekords / 51 Lex Records
Рет қаралды 6 МЛН
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 6 МЛН
Erick Smith -  PATAKATIFU PAKO (Official Video) Worship Song
5:11
Erick Smith
Рет қаралды 13 МЛН
NON STOP WORSHIP By PASTOR ANTHONY MUSEMBI. SMS SKIZA 5964451 To 811
23:03
Pastor Anthony Musembi Official
Рет қаралды 3,1 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН