2025 mwaka wangu wa kurejeshewa tumaini langu ni kwa Yesu nitang'ang'ana na Yesu mpaka nirejeshewe Afya, Uchumi wangu,Furaha,Nuru na matumaini katika uso wangu na vyote nitarejeshewa na Yesu
@bettymwiti98255 күн бұрын
Nami pia
@MosesMagasha-b2z2 күн бұрын
Na mm pia
@hillarytheworshipper3 жыл бұрын
Kenyans🇰🇪 Where are you Kama umependaa huu wimbo 👇Fanya ile kitu hapa
@vusinkuna4533 жыл бұрын
Mungu bariki hii team ❤️
@epifaniamwinuka74903 жыл бұрын
Piga kelele kwa bwana
@waihiga1243 жыл бұрын
We are here na tumefanya ile kitu.
@suzannzuki69513 жыл бұрын
Iko super glorious. Loving Essence
@ahadimbindi41353 жыл бұрын
Mungu afanyike baraka huu wimbo umefanyika baraka kwangu
@minmianzi3 жыл бұрын
Hii ni duniani, imagine mbinguni tutakavyokuwa tukiimba.... hakika sitamani kukosa siku ile
@brendachibura60403 жыл бұрын
Tunaojua siku moja tutaenda kuimba na malaika mbinguni na Bwana tujuane tafadhali👏👏💃💃
@austinebyagashani53802 жыл бұрын
Tupoo kwakwel na hakii
@muhirefrancktorres5681 Жыл бұрын
Hallelujah
@lovemusicnoreen9185 Жыл бұрын
Amennnn
@willyderansonkipenzichawat9534 Жыл бұрын
Ninashangilia kwa bwana mwokozi wangu
@flemmingsikali Жыл бұрын
Glory to Jesus
@zainabuhashim69163 жыл бұрын
Kwa yesu kuna raha bhana wewe acha tu.....kwa wimbo unaawezaje kutoka uweponi mwa mungu...aiseeee mungu atusaidie kuketi kwake milele na milele
@mwamvitamhongole93203 жыл бұрын
Najivunia kwakwel kuwa miongini mwa watanzania ...Mungu ameibariki Tanzania Kuna watu wanao mjua Mungu mpaka shetan anaona wivi ..Mungu iponye Tanzania sio kwamba tunastaili ila na kusihiii Kwa huruma zako tu Mungu
@justrach84632 жыл бұрын
T7🤗
@justrach84632 жыл бұрын
0l
@ulemuchitenje977Ай бұрын
The song is a soul lifter.I am a Malawian visiting Nairobi Kenya. Yesterday I went to Eastleigh Market and whilst there I came across this song. Since yesterday I have put it on repeat. I have added it to my favourite 🎉
@paulclement253 жыл бұрын
Kazi kali sanaaaaaa mbarikiwe sanaaa 🔥🔥🔥 na ina upako
@johncharlessingano85513 жыл бұрын
Huku shangilia kule...HATA SASA WEWE NI EBENEZER...🔥🔥🔥🔥🔥
@hillarytheworshipper3 жыл бұрын
Saanaaaa
@saraphinaenos15593 жыл бұрын
Amen mtumishi
@lauralkinyaha3 жыл бұрын
My best line...... Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze, Msifuni kwa matari na kucheza, Msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi.... Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana. Msifuni Bwana! Shangiliaaaaaaaaaa
@judithwanyonyi63842 жыл бұрын
Me too
@graceyohana58672 жыл бұрын
@Lilian ⁹⁹9
@tabithamwasi77542 жыл бұрын
May the Lord Receive All Glory,
@jorycyber3716 Жыл бұрын
amen
@paulinewakere4414 Жыл бұрын
⁶you....j😊😊
@dannmburu3 жыл бұрын
How many Kenyans 🇰🇪 are here for good gospel music.
@florianflorian96062 жыл бұрын
Wimbo wa kusisimua Sana haki mpaka watu hawajapenda uishe wakaamua kujiimbia🙌🙌,kama uko Tanzania na umrudia zaidi ya mara kumi tujuane kwe like hapo👇
@elizabethclement76446 ай бұрын
😂😂😂
@ullyamos42053 жыл бұрын
Biblical content 100% Vocal arrangement 100% Music arrangement 100% Stage, Light & sound are perfect. May God Bless @essenceofworship for the great Praise offering to him and being a pathway leading us to worship.
@tetemallya99213 жыл бұрын
Agreed 100%
@johnalbert83373 жыл бұрын
100% God Glorified!
@jaqueeen13 жыл бұрын
@@johnalbert8337 up
@freedriwa70503 жыл бұрын
Audience participation 100%
@violletechepkemoi7 ай бұрын
Dressing 100%
@stellamrema53033 жыл бұрын
Kwa sifa hizi wacha Mungu ajichukulie utukufu maana ametukuka milele
@ben-s4o7i2 жыл бұрын
It had to be from Tanzania. I love how they are reserved and the art of the old cross kind of worship and praise . The Gospel of Jesus Christ cannot be " modernized " .
@derickmarton3 жыл бұрын
Na kuna watu eti wanatafuta chanjo jamanii wangapi tumepata chanjo kwa kusikiliza wimbo huu🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥chanjo ya rohoni fam essence of worship hawajawahi niangushaa mbarikiwe saaaanaa
@gracekasege7777 Жыл бұрын
Tuliofika kusikiliza tena baada ya Mwl Mwakasege kuimba huu wimbo leo 21.04.2023 Dodoma gonga like
@foodie26603 жыл бұрын
Wakenya are you ready for this team this coming November? Drop your likes here. Due to public demand Evelyn Wanjiru must bring them
@Muyeshi3 жыл бұрын
And not virtually please 🔥🔥🔥
@ev.vincentomusa12413 жыл бұрын
Tunawangoja sana
@speranzakiragu38483 жыл бұрын
Really???u mean essence of worship?
@annelemalon30533 жыл бұрын
My favourite from tz karibuni Kenya with love❤️
@jaykasili43513 жыл бұрын
We want them ASAP
@benjaminmunkondya3 жыл бұрын
Tanzania Is Blessed With 2 (Two) Things Mount KILIMANJARO And The ASSENCE OF WORSHIP.🙌🙌🙌
@barakakamugisha81823 жыл бұрын
And so much more 😂
@d27music323 жыл бұрын
Bro u just made my day hahahahahaha.Essence wamenibariki ila bro kwa namna nyingine na wewe umenibariki pia
@ennymaphie843 жыл бұрын
😂😂😂😂 Jaman jaman
@einotilarashi61782 жыл бұрын
Amina sana kaka 😊🔥
@Godwillbabette13 жыл бұрын
I loooove it am blessed and energized. God bless essence of Worship
@dicksoneremiah3 жыл бұрын
I'm happy to hear from you Tanzania we wants to speak with our God that he's mighty forever
@speranzakiragu38483 жыл бұрын
We love u too Godwill Babette... God bless u and increase u
@witsonjames3 жыл бұрын
Oooooh yeeeeesssss.. celebrate Jesus. I love u Jesus, i love my Tanzania
@speranzakiragu38483 жыл бұрын
God bless Essence of worship abundantly👍
@berryhamso10033 жыл бұрын
GODWILL my fav artist
@agathakatheu27912 жыл бұрын
Hapo sasa!! Kongole Tanzania👏🏾👏🏾 Neema zake Mola ziwatoshe👌🏾👌🏾
@Wakio2313 жыл бұрын
Tanzanian people don't joke with the gospel, I can see even the youths. This is super awesome.
@belindack3 жыл бұрын
A pure breed is also rising in Kenya 🤗
@Wakio2313 жыл бұрын
@@belindack amen to that
@gloriousgmuhulo50572 жыл бұрын
Yyyyyyyyyty9uhui9
@carolinembinya42322 жыл бұрын
@@belindack sure
@meshacknzioka4662 жыл бұрын
kamare
@mercyremmy95803 жыл бұрын
Who else is here after the 72 hours of worship at Kingdom seekers Nakuru Kenya. Church without walls we were blessed. You guys are on fire for Jesus,a blessing to this generation. More Grace
@joycekcanadacontentcreator3 жыл бұрын
We’re here
@Believe_on_Jesus_Christ3 жыл бұрын
True
@Alumiracle_alumaprod2 жыл бұрын
@@joycekcanadacontentcreator mmm which content
@perisngatho6609 Жыл бұрын
Am here after 24 hours of worship @KSF...these guys were such a blessing.
@angie-the-chosen Жыл бұрын
@@perisngatho6609It was 72hrs and we were really blessed to have them feels like yesterday 🙌🙌
@patrickkubuya3 жыл бұрын
It was a glorious day. Acha Mungu atukuke milele
@robertmgaya64223 жыл бұрын
True
@rapahelkamwela68083 жыл бұрын
Kaka..Huduma yako Ni njema....That song ya midnight prayer inaupako Sana....Kwa maombi
@ladyvictoriaug.90893 жыл бұрын
0💄🏠🔜🔜🔜@@rapahelkamwela6808 k5>p
@kevinjuma57393 жыл бұрын
Amen you are great men of God
@peternkanga11793 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana watumishi
@fortunemmanta98273 жыл бұрын
Shangilia🙌 heard this for the first time on Trace gospel and was so blessed. Here I am praising God in a language I don't know but absolutely love. Love from Nigeria 🇳🇬 P.S: I'd really appreciate the lyrics .❤️
@veeJesus3 жыл бұрын
Ure welcome
@christinaalexander12133 жыл бұрын
God bless you,this is SWAHILI lg from East Africa.Shangilia means shout out /rejoice .
@marysadock52583 жыл бұрын
Amen,be blessed.
@herryowuor12503 жыл бұрын
un official Shangilia Piga kelele kwa bwana Shangilia Msifu Bwana wa Mabwana Ametukuka milele x6 Shangilia Piga kelele kwa Bwana Ee Bwana jina lako la milele Kumbukumbu la vizazi hata vizazi x2 Mataifa yote msifu Bwana Enyi watu wote Mhimidini x2 Msifuni kwa mvumo wa baragumu Msifuni kwa kinanda na kinumbi Msifuni kwa Matari na kucheza Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana Ametukuka milele, ametukuka
@danielnolo53313 жыл бұрын
This is Swahili language from Tanzania(East Africa)...Shangilia means shout out/ rejoice....
@emmanueljohn73 жыл бұрын
Brother Gwamaka Lazima Ufike Nchi mbalimbali Kubwaa Kuanzia Africa hii sehemu nyingi, Marekani, Europe, Asia na Hata miisho ya Nchi wewe na Team yako.
@kutswastanley74653 жыл бұрын
Essence of Worship is East & Central Africa's equivalent of Joyous Celebration...much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@zolakazira54283 жыл бұрын
Totally agree on this
@stevenlevittt3 жыл бұрын
God bless you
@hellennyasimi70922 жыл бұрын
couldn’t agree more🙌🏾♥️
@severnamadege32572 жыл бұрын
@@zolakazira5428 llv
@anzilakondwa25102 жыл бұрын
@@stevenlevittt ĺ0ppp
@worshiplibrary71572 жыл бұрын
My baby is 10 months old and he hums to this song every time it plays. YES, LORD continue to speak to my sweet baby boy!
@gloryutukufu63433 жыл бұрын
Hii siku ilibadilisha maisha yangu. Sifa zimwendee Bwana Yesu
@ESTHERKIARIE-hn5tj10 ай бұрын
Ametukuka katika maisha yangu milele apewe sifa
@mwanjokaully49043 жыл бұрын
TANZANIA is blessed to have you Gwamaka and the whole Team hasa kwa kizazi hiki..... God bless you...!! Ametukuka..... Milele Ametukuka....
@Delkapena13 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩na hapa kwetu kongo tuna upenda Sana wimbo uhuu lakini mungu wa binguni aongenze neema
@pastorsafari60873 жыл бұрын
Wow! Congratulations. Powerful song
@pastorraymondelphace46003 жыл бұрын
Hello Pastor Bwana Yesu asifiwe! Can I have your contacts please?
@SamuelErnest3 жыл бұрын
Exactly Pastor!!!!!!!
@mosesngeni13543 жыл бұрын
Hongera mchungaji
@ayubumisheli81193 жыл бұрын
Powerful indeed
@happyvero9337 Жыл бұрын
Kaka ubarikiwe sana huu wimbo naupenda sana
@johncharlessingano85513 жыл бұрын
Shallom my lovely brother ...nawapongeza kwa kazi kubwa ya MUNGU na kama unaamini Tanzania we are going the next next next levels in praise and worship..weka like yako hapa twende sawaaaa...
@robertjunior99163 жыл бұрын
Kazi nzuri vijana nahitaji kupartner na nyinyi 😍
@wasalipaharembo163 жыл бұрын
Mbarikiwe sanaa watumishi wa MUNGU!
@ireenndanshau65323 жыл бұрын
Nawapenda sana essence nyimbo zenu mbarikiwe sana napatika kinondoni revival church
@wambui_davids3 жыл бұрын
How beautiful and blessed is this!! Sending all the love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. God bless you guys!!!!
@petronillalhmaloba20433 жыл бұрын
Kwani it's from which country
@wambui_davids3 жыл бұрын
Essence is a music ministry from Tanzania❤️❤️❤️
@hannahskitchenke3 жыл бұрын
I'm seeing you leading this song very soon 😊😊
@gladnessmugisha40383 жыл бұрын
🐷tþ5řu…
@lenahmwangi23153 жыл бұрын
I am here because of you @Rhozee, your status made me be aware of their existence
@shaddymcheshi70853 жыл бұрын
I guess we Kenyans 🇰🇪 are your biggest fans. Thank you for the beautiful song 🎵 as we make a joyous celebration unto the Lord.
@kinigarm82392 жыл бұрын
Thanks Kenyans for being with us always.
@hawamdee8811 Жыл бұрын
Jamani mmejipanga kwa yesu mmbarikiwe
@shaddymcheshi7085 Жыл бұрын
@@kinigarm8239 you are welcome
@shaddymcheshi7085 Жыл бұрын
@@hawamdee8811 Asante Sana
@masungajp1 Жыл бұрын
We love Kenyans our bloody family.
@Lolo_makota Жыл бұрын
I’ll sing this song on my wedding day❤️ when the time is right the LORD will make it happen 🙏
@danielkawanga4131 Жыл бұрын
woooh amazing comment
@irenehmbatha77453 жыл бұрын
Sifa zote kwa Mwenyezi Mungu...i can't imagine the feeling in heaven if I myself is this happy
@alexkaishamimoh32373 жыл бұрын
Wimbo ulioje huu. Mungu wetu kwa kweli anastahili sifa za mioyo yetuu. Kazi nzuri Essense of Worship. Napendezwa na sauti hiyo ya wanaume(Bass) perfect rendition and arrangement. Soxophonists perfect work. Mungu ametukuka milele
@savian10723 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na huu wimbo Mungu azidi kuwainua katika viwango zaidi na zaidi
@MiriamSagini3 жыл бұрын
Hii wimbo is such a vibe, and is a millennial hymn! Thanks for putting up the translation too for those who won’t understand the language, so that we can Shangilia the Lord together. God bless you! Love and joy from +254 🇰🇪 .
@Delkapena13 күн бұрын
Mungu a kumbariki saana Kwa wimbo uhuu
@nathalietshibuabua55243 жыл бұрын
Very nice, everything it is perfect and I'm blessed with this song from 🇨🇩, I like Tanzania gospel Mungu ni mungu too
@josemayelechampion92411 ай бұрын
❤❤ wahou Gloire a Dieu soit bénie abondamment j aime bien la chanson
@Ksammusic6223 жыл бұрын
This is sooo amazing.. Mungu awainue zaidi. Everything is just in order.. Nawapenda sana @essence of worship.
@Ksammusic6223 жыл бұрын
@@essenceofworshipministries Amina. Nyinyi ni wa baraka. Nawaomba tu msikawie sana kuziwachilia hizi nyimbo🙏.
@nelsonleyian19063 жыл бұрын
Kwa kweli neema ipo, mungu azidi kuwa bariki, mkija kenya mtuarifu mapema, Blessings blessings, 🙏🎶💞
@SurprisedLotusFlower-ve2wj11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉shangilia...kwa hakika aametukuka🎉🎉🎉🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@johnwainaina65423 жыл бұрын
Kila kilicho na uhai kimsifu Bwana.. Hallelujah..Shangilia ni wimbo ambao umetoka kwa wakati. Asante sana Essence of Worship..the vocals are on point..sops,tenors and the the deep bass voice the bgvs are amazing..mpangilio wa wimbo uko sambamba.
@jjjeremy46509 ай бұрын
Oooh yeaaa Shangilia👏🏽👏🏽 Happy Labour Day 🇰🇪🇰🇪👍🏽
@christinahallai95213 жыл бұрын
GLORY to GOD.....POWERFUL, AMAZINGLY, BEAUTIFULLY 👏🙌❤😍💖
@stevecarleyooko42803 жыл бұрын
Your great fan over here
@philomenanzuve23233 жыл бұрын
Mnatubariki sana ,,, na Bwana azidi kuwapa nguvu ya kuendelea na huduma yake, ametuita tuijenge nyumba yake Daudi iliyoanguka, tuijenge maanguko yake tuisimamishe . Amina.
@jaymushy56003 жыл бұрын
I love it am blessed and energized. wow thanks GOD, "Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya. GOD bless essence of Worship
@chikuamedeus87002 ай бұрын
Hii siku ibadilishe maisha yangu ikawe siku yabaraka yenye furaha na Amani ya moyo kwenye maisha yangu na family yangu kweli ametuka milele ametukuka milele🙏
@stellaakinyi-uk3ye8 ай бұрын
🤩👍💖i love it
@lifecoachghosnr.99633 жыл бұрын
Several things stand out in this video production of shangilia - First, it's all about Jesus Christ, then you'll notice that the production is all about excellence, then the joy of the Lord is evident, and the vocals and the instrument are amazing, I would rate this as one of the best worship videos I Have come across in East Arica. Kweli Ametutuka Milele. GHO Snr.
@samwelmwaijumba60183 жыл бұрын
Amen hallelujah....
@Wakio2313 жыл бұрын
I agree sir, Jesus Christ, Excellence and the joy of the Lord.
@rodahjerop45823 жыл бұрын
I agree a hundred percent. To Gods glory
@Serah34332 жыл бұрын
Don't forget the dressing code 💯💯💯
@mgosingwa20005 ай бұрын
Mbarikiwe sana Essence of Worship kwa kuvaa nadhifu na kujisitiri. Endeleeni hivyohivyo msiige mavazi ya Bongo Flava! Nimewapenda bure!!
@freedriwa70503 жыл бұрын
This is what we can call Worship. When people are lifting the name of Jesus and not bragging about their wealth and riches... Hope Tanzanian gospel artists will Learn from this group..
@HamisaMashambo7 ай бұрын
Napenda Sana huu wimbo jmn unanibariki
@MariaEnock7 ай бұрын
Nipo kwa kitanda halafu nacheza pekeangu juu ya huu wimbo, kristo Yesu awainue zaidi na zaidi.
@abrahamterah63163 ай бұрын
HallaluYAH! Praise be to Yahusha... Barak Tele!
@dionesiasarakikya79632 жыл бұрын
Wooooooooooow shangilia piga kelele kwa Bwana
@reganmahene63583 жыл бұрын
Samahani mimi naomba kuuliza,,,,,Kuna baadhi ya maneno kwenye wimbo sija yaelewa,,,,,,,, Hv ni Ee Bwana jina lako la milele Mungu nguvu la vizazi hata vizazi,,,,,,,,, Au pote panaibwaa E bwana jina lako la milele Kumbu kumbu la vizazi hata vizazi
@brinnalevison79262 жыл бұрын
Nawapenda sana jamani majua kusifu 🇹🇿🥰🥰 ametukuka yesu amen
@AustrianDesigns7 ай бұрын
THIS IS IT.AMEN,AMEN,AMEN😎💯💯💯🔥🔥🔥🔥
@DORCASCHELIMO-ej1cw8 ай бұрын
I need these songs offline suggest an app that I can use ,,this song has been a blessing to me more so at this point in my life when alot is happening,thank you God for being faithful
@kijacosmas98923 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana na performance nzuri pia may God bless u all"the essence of worship "
@aliceokoth35403 жыл бұрын
Acheni Mungu atukuke milele! Shangiliaaaaaa...!
@gloriousnp3 жыл бұрын
Hakuna kama YEYE Ameketi pahala patakatifu 🙏🏿🙏🏿
@JacksonLokusi9 ай бұрын
Mataifa yote msifu bwana❤❤❤
@gladnessshola27183 жыл бұрын
Jamani amkeni amkeni amkeni Tz yetu kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️ hii nyimbo itakuwa international anthem maana kila kitu kipo katika viwango vyake 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@pilijohn14783 жыл бұрын
Ama kwel inapendaza
@marywilliam32852 жыл бұрын
Hongereni Sana sifa zote kwa Mungu ametukuka milele
@AlexJoseck3 жыл бұрын
YAANI WATU HAWAKUTAKA WIMBO UISHE YAANI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jamesmumo98632 жыл бұрын
Still making a spiritual impact in 2023.............zidi kutukuka bwana Yesu.
@johnchege12803 жыл бұрын
God is raising a generation of true worshippers,essence of worship great vessels in the potters hands🙏🙏🙏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@faithjulliet1622 жыл бұрын
Amen
@HappyGreyElephant-kk3ih10 ай бұрын
Wimbo mtamu kazi nzuri sana!
@nurukipato54712 жыл бұрын
Mungu awabariki Essence of Worship....napata wivu mnavyomtumikia Mungu kwa bidii. Mungu awabariki, you are inspiration to many in Christ.
@PeterMkonyi-cc2bt Жыл бұрын
Nataman siku moja mungu anibariki nipate kujiunga na nyie🙏🙏🙏🙏😢😢
@KatOyoo2 жыл бұрын
Truly, This is the sound of heaven. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🌞🌞🌞🌞🥳🥳🥳🥳!!!!
@marthanyambe81553 жыл бұрын
Nimemuona Bwana katika Nyimbo hii 🙏🙏🙏
@ruthg.lyanga80833 жыл бұрын
That's my family Essence of worship.... All the glory to almighty God..
@lynnnkinda69732 жыл бұрын
Ametukuka milele...Shangilia piga kelele kwa Bwana. Congratulations,nice song,Glory to God
@tabithamarami81333 жыл бұрын
Great worship song, exalting the Lord with a shout of praise!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@bonfacewitaba7 күн бұрын
indeed ametukuka milele huyu Yesu
@charityshikuj88913 жыл бұрын
This song is beautiful beyond words 🔥 Shangilia 🙌🏾🙌🏾 Tanzanians are not joking with the Gospel ♥️
@bensombithi2 жыл бұрын
sure
@mercymwigani45782 жыл бұрын
Amen that is a good song to our salvation life
@annemumbe22313 жыл бұрын
Yeeeeeeyeeee!! Soo powerful,,,,ametukuka milele ametukuka 👏👏👏
@isaackamando84843 жыл бұрын
Wow wow wow wow wow! What an extrimely perfomance, good music, good musician, good singers, good soloist, awesome music and song, aise hii song ni ya moto, imejaa utukufu! MUNGU awabariki sana kuwatumia zaidi ya hapo! Nimenyoosha mikono 🔥🔥🔥
@samuelmtasha9272 Жыл бұрын
Awesome 👌 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏
@ndayishimiyeelysee37953 жыл бұрын
I'm from Rwanda but I am so Impressed with this Incredible song. let us make a Joyful song. AMEN
@kelvinokwembamukoya4715Ай бұрын
This song makes me think about heaven and how we will be praising with angels
@emilynjuguna19133 жыл бұрын
I’m here after this group led worship in Kenya - 72hrs of worship and I’m totally sold to their songs! Praise God!!
@giftedfingers30272 жыл бұрын
VERY NICE BGVs ...am in Love.... God lift you guys
@sipyfavoured29903 жыл бұрын
Mataifa yote msifu Bwana.... Halleluyah.. Praise the name of the Lord from everlasting to everlasting❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@winniefavour35822 жыл бұрын
Kama Bado upo hapa tafadhali eeyyyy🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌Shangilia piga kelele Kwa Bwana
@karenkimambo368610 ай бұрын
Yesu Yesu asifiwe
@billyrique3 жыл бұрын
Hakika wimbo ni mzuri sana. Na ujumbe ni mzuri sanaa. Mashangilio yote yanampasa yeye na tusipomshangilia na kumuimbia mawe hakika yataimba badala yetu. Be Blessed!!
@GodisGreatThroJesus Жыл бұрын
Anastahili sifa za mioyo yetu, hallelujah Hallelujah Vigelegele kwa Yesu Shangilia Piga kelele kwa bwana Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana (Shangilia) Shangilia (Piga kelele) piga kelele kwa bwana (Shangilia) Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Shangilia Piga kelele kwa bwana Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana (Shangilia) Shangilia (Piga kelele) piga kelele kwa bwana (Shangilia) Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Huyu Yesu Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Eeh bwana, jina lako la milele Mungu nguvu la vizazi hata vizazi (Eeh bwana) Eeh bwana, jina lako la milele (Kumbukumbu la) Kumbukumbu la vizazi hata vizazi Mataifa yote msifu bwana (Enyi watu wote humu ndani) Enyi watu wote mhimidini (Mataifa yote) Mataifa yote msifu bwana (Enyi watu wote mhimidini) Enyi watu wote mhimidini Msifuni kwa mfumo baragumu Msifuni kwa kinanda na kinumbi (Msifuni kwa matari) Msifuni kwa matari na kucheza (Kila mwenye pumzi) Kila mwenye pumzi na msifu bwana Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Huyu Yesu) Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Huyu Yesu) Ametukuka, milele ametukuka (Huyu Yesu) Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka (Huyu Yesu) Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Shangilia Piga kelele kwa bwana Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana (Shangilia) Shangilia (Piga kelele) piga kelele kwa bwana (Shangilia) Shangilia Msifu bwana wa mabwana Shangilia Piga kelele kwa bwana Shangilia (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana (Shangilia) Shangilia Piga kelele kwa bwana (Shangilia) Shangilia Msifu bwana wa mabwana Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka, milele ametukuka Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka Shangilia
@gloryvictor701310 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Nashangilia na wewe mungu wangu mwaminifu umetukuka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@shyakaryizaathanaseofficia3973 жыл бұрын
Woooooow, Nice song, I missed you so long, Africa is able, Blessings, Love from Rwanda 🇷🇼
@margyimbanga86922 жыл бұрын
Praising Jesus Christ in an African way keep on until Jesus comes,be watchful in prayer