Sabato ni Amri ya Mungu kwa taifa la Israël na sheria iyo si sabato tu bali ni Amri 10..kwa hiyo msishike sabato tu bali sheria zote maana ninyi ni wa Israël. Sisi ambao ni kanisa tutashika neema ambayo imetuleta katika wokovu kwa kumwamini Yesu ( Mungu)
@kucha_home_service74725 жыл бұрын
Pole Sana maana usipo itunza hiyo unayo iita ya wa Israel bado hujampenda yeye