Hongera Sana mungu awabariki kwa hii kazi ya u njilisti,,,,nyimbo nzuri Sana maman maria
@JamesMoherai2 ай бұрын
Hongera, give us more songs please
@gorrettimbigamba12752 ай бұрын
I love this song
@MUTESICOTILIDA2 ай бұрын
I like the song
@pambaboniface11997 ай бұрын
Mko vizuri ....nimewatungia wimbo wa Mama Maria mzuri sana....tuwasikiane niwape
@munyanzizajoseph784 Жыл бұрын
Tunaweza pata nyimbo hizi zakuandikwa kusorufege namunagani wandugu
@AnnastanciaGori7 ай бұрын
Barikiwa sana waimbaji
@laurentlugema5933 жыл бұрын
Hongereni san kwa uinjilishaji wenu. Mwenyezi Mungu awajaze baraka tele. I really remember when I was asked to explain why the Gospel according to St. Luke is the Gospel of Mary.
@thevoiceofangelsbunda76292 жыл бұрын
Asante sawa mtumishi asante kwa saport yako
@clemencerobinson7413 Жыл бұрын
Hongereni sana. Mbarikiwe katika kazi hiyo ya uinjilishaji kwa njia ya nyimbo
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
@thevoiceofangelsbunda76292 жыл бұрын
Amina sanaa
@auzohndush459 Жыл бұрын
Great job mwarabu
@Kingdon87653 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
@thevoiceofangelsbunda76292 жыл бұрын
Amina
@missmugo12132 жыл бұрын
Ave Maria
@Kingdon87653 жыл бұрын
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
@thevoiceofangelsbunda76292 жыл бұрын
Amina mtumish
@thevoiceofangelsbunda76292 жыл бұрын
Amina
@gonzalob77743 жыл бұрын
Mungu awalinde vema mzidi kutuinjilisha vema hongereni sana kwa kazi nzuri