No video

EXCLUSIVE: Afande Sele 'bangi ihalalishwe tu Tanzania'

  Рет қаралды 167,792

Millard Ayo

Millard Ayo

8 жыл бұрын

Msanii legend wa bongofleva Afande Sele amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea kwanini anataka bangi ihalalishwe kimatumizi nchini Tanzania, tazama hii Interview kisha uniachie comment yako.

Пікірлер: 238
@edwinmaruchu5566
@edwinmaruchu5566 3 жыл бұрын
Afande uko sahihi sana. Bangi iachiwe. Hata waliofu gwa kwa haya majani ni ubatili .Nchi iliyoendelea ya Canada imeamua kuacha huru, baada ya kugundua ni sehemu ya starehe ya mtu, nakuizuia ni kuwanufaisha maaskari na sio vinginevyo na haitakaa imalizike.tunatesana tuu na kufungana bure. Muhim isivutwe hadharani Basi. .
@shaibmakame7981
@shaibmakame7981 8 жыл бұрын
afande you speak the truth tanzania ni unafiki tu mwingi wanazuia bangi ila wanachukuwa ushuru wa rizzla big up brother
@gabrieladam1065
@gabrieladam1065 3 жыл бұрын
Mzinga wa konyagi mzima watu wanabugia hafu bangi tu ndo ikatazwe, hapanaaaaaa bangi iwe free kwanza ni mboga nzuri sana
@mohamedyhassani7418
@mohamedyhassani7418 3 жыл бұрын
Uko uko sahii afande
@stevoovlogs8645
@stevoovlogs8645 5 жыл бұрын
Kweliiiiiiiiii kabisaaaa ipitishweeee
@sirialemmy37
@sirialemmy37 8 жыл бұрын
Jembe langu Afande. Hata mimi nikiigonganga, siwezi sahamu Theory, concepts, Modals zozote kwenye exams zangu. Bangi ni kama roho MTAKATIFU
@mr.dopects
@mr.dopects 8 жыл бұрын
+Siria Lemmy haahaha sawa sawa roho mtakatifu sio???
@sirialemmy37
@sirialemmy37 8 жыл бұрын
+Briznii Cluzie kabisa m2 wangu! hata hapa kwenye hichi Chuo Kikuu Cha Nairobi, Theories zinasukumwa na msokoto na Jah anabless vibaya, siku navuka border hapo Namanga kuingia Chunga, wa2 ni heeeeeeeeiii welcom Ngalelooooo
@zitadhassan2522
@zitadhassan2522 7 жыл бұрын
Sam u
@zitadhassan2522
@zitadhassan2522 7 жыл бұрын
Siria Lem
@mustaphamchumila5466
@mustaphamchumila5466 7 жыл бұрын
Siria Lemmy acha uchizi ndugu bangi sio glucose
@deusmauka9626
@deusmauka9626 6 жыл бұрын
Hongera sana kwa kudili na kilimo na ufugaji.
@aminajafari2126
@aminajafari2126 6 жыл бұрын
mazala ni mengi sio bange 2 hongera afande watakuelewa 2 unaona mbali zaidi ya darubin
@johnkaleli5231
@johnkaleli5231 4 жыл бұрын
Watu wanaosema bangi ni mbaya ndio ambao hawajai ona inavyokaa🤣wapuzi tu.....BANGI IHALALISHWE
@greenlight4893
@greenlight4893 6 жыл бұрын
Huku kwetu USA na Canada Bangi itaruhusiwa inchii zima kuanzia (July 09 2018)
@ipyanamsomba8026
@ipyanamsomba8026 6 жыл бұрын
Afande genius sana, alwayz on point we jamaa
@allyjuma4410
@allyjuma4410 7 жыл бұрын
bangi ihalalishwe tuu mbn fresh
@mustafaate3731
@mustafaate3731 6 жыл бұрын
Wanazng kweli afande sele nakubl nimekuelewa
@bitecodE345
@bitecodE345 7 жыл бұрын
kweli
@mohdmanondo7621
@mohdmanondo7621 3 жыл бұрын
Uyoo mungu si ndo ulomtukana we ndo unategemea upate baraka zake sahau rabda utubu
@ruionyango8818
@ruionyango8818 4 жыл бұрын
Bangi ina dhamani,na hiki halalishwa maskini ndio watafaidika ,wanafiki hawapendelei hivyo
@hasanoshohilali10
@hasanoshohilali10 3 жыл бұрын
hapa baada ya clip ya mungu
@rosewamboi9079
@rosewamboi9079 6 жыл бұрын
trueeee waache bangi ..I also do smoke bangi it a herb mi kwanza nikiwa mgojwa nikivuta bangi ugojwa unaisha...trueeee story let the government give us freedom
@tatunaally1510
@tatunaally1510 7 жыл бұрын
bangi ajaacha mtu salama huyu bangi zimemchanganya km alisema akifa achomwe yeye ana mungu jua simshangai
@hashimpandu5503
@hashimpandu5503 3 жыл бұрын
Si dhani kama hata inaingia akilini hii maana bangi hihii leo hii imefanya imtukane mungu je unadhani inaingia akilini je wakati leo hii imesha fanya mtanzania mmoja atukane mungu je ikaahalalishwa watanzania wangapi wata mkashifu na na kufanya mabaya kwenye nchi yake hakika Allah aifikishe Tanzania mwisho mwema na wananchi wa Tanzania Ameen!
@mamayassin6496
@mamayassin6496 8 жыл бұрын
sub- hannah Allah ewe Allah tunakuomba utusamehe makosa ye2 akhera na duniani utupe kauli thabiti maishani utuongeze njia iliyo nyooka na utupe mwisho mwema To oll Muslim (YAA HUWA YAAALLAH )
@afropanorama4730
@afropanorama4730 7 жыл бұрын
hivi afande unacheo gani mana umeongea point tupu
@dullayorashiddullayorashid6725
@dullayorashiddullayorashid6725 4 жыл бұрын
😁😁😁😁
@dullayorashiddullayorashid6725
@dullayorashiddullayorashid6725 4 жыл бұрын
Maneno konk afande
@youngtz7538
@youngtz7538 6 жыл бұрын
bangi amani kufikiria maisha tu ndiyo kz ya bng wala sio mbaya kabisa
@henryjoshua7024
@henryjoshua7024 5 жыл бұрын
Huyu jamaa kichwa sanaaa
@neziali6992
@neziali6992 6 жыл бұрын
Nakukubali kaka mm mwnywe navuta nainatia nguvu hasa nikiamua leo nataka mechi hta bao 8 sna tu nikipata bangi zngu nainjoy sna tu 😂
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 5 жыл бұрын
acha upuuzi unajua madhara ya bangi wewe hivi unaweza ona mama yako mzazi anavuta na wwe ukaridhika kwakua akivuta na yeye atapata nguvu ya kupigwa bao 8 nijibu unaonaje ?
@jamesshake8404
@jamesshake8404 8 жыл бұрын
Usicho kila wala usikitie hila.afande sele umegusa ndipo twaishi kwa dunia ilo jaa unafiki na uwoga wa tusio yafahamu na utumwa wa akili. Tulio huru kifikra tupo huru kimaamuzi pia.
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 5 жыл бұрын
kama unasapot bangi je utaona sawa mama yako mzazi nae avute alafu tuone akili yake itawaza nin?
@jamilaismail8062
@jamilaismail8062 8 жыл бұрын
kweli kabisa kuna vitu vinamadhara sana km viroba vijana wamekuwa km mazombie kisa wanachukua kodi na sigara pia inamadhara kisa inalipiwa kodi ndo wanaona inafaa kumbe awajui bangi ni kitu natural kinalimwa akiwekwi chemical lkn lkn iyo misigara na viroba wanaeka chemical za kudhuru vitu vingine serikali inatakiwa viangalie unakuta wanafunga wavuta bangi na wauzaji wakati cocaine inauwa watu kila siku atusikii wahusika wakifungwa au kwajili wahusika wakuu ndo wao?????
@sirialemmy37
@sirialemmy37 8 жыл бұрын
unakili kubwa kuliko unavyojifikiria man! duuu pia Musa kwenye maandiko kasema "Godi kaumba vyote na akaona ni vyema kwa matumizi ya mwanadamu kuna pimbi mmoja anamwambia Millard amulize Mfalme Sele eti ni dini gani! achana na Millard, kagonge bibilia fresh uone, Kazi na moshi maisha yatasonga, bila msuguano usingekuwepo.....
@bakarigunda6612
@bakarigunda6612 Жыл бұрын
Afande sele bigi ap
@dennisjulius7206
@dennisjulius7206 4 жыл бұрын
We must smoke weed always for good meditation #Afandesele tell them reality #legalizeit
@user-vw5pd3uu9o
@user-vw5pd3uu9o 8 жыл бұрын
kaongea kitu cha ukweli kabisa wara hajakosea
@halimaamini8015
@halimaamini8015 6 жыл бұрын
Wauzwe tu km mboga mboga 😂😂😂😂nilivuta siku moja nikaona kitanda kinazunguruka😂😂😂mamaee
@mubakarua8176
@mubakarua8176 6 жыл бұрын
Halima Amini haha
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 жыл бұрын
Halima Amini mh Halima acha uwongo.
@josephmakori5710
@josephmakori5710 6 жыл бұрын
Halima Amini hapo Chacha
@fanuelmulumba9976
@fanuelmulumba9976 6 жыл бұрын
Hahaa
@michaeltungu6445
@michaeltungu6445 5 жыл бұрын
Ganja kwanza
@barakalema4358
@barakalema4358 6 жыл бұрын
Oyooooo jah blessing
@elisantemrita9894
@elisantemrita9894 3 жыл бұрын
Mm situmii bangi Ila nilichangamka maneno ya mbunge Msukuma + mbunge Kishumba na Huyu Afande Sele Kiukweli naona kunamaali serikali imelala inapaswa iamke
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 8 жыл бұрын
Magufuli akiondoka madarakani atakaye mgomboa ni Afande Selemani hana akili na kipaji kama mweshimiwa Pombe John Magufuli hanayo yahongelea nikweli mtupo kwaiyo musimtusi bali msikilizeni
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 8 жыл бұрын
Facts
@henryndosi8569
@henryndosi8569 6 жыл бұрын
Wewe bangi imekuzibua unataka na wengine,
@fredinandonde3292
@fredinandonde3292 5 жыл бұрын
Safi sana hata Mimi nashangaa rizla zinauzwa madukani sijui kwa nini
@fabricemugheni2950
@fabricemugheni2950 3 жыл бұрын
Fabrice Mugheni Mumuache afande sele na amani Vita ya Mungu tumuachie Mungu Akuna ajuae Siri ya Mungu Kila mmoja na imani yake
@richardwambura3139
@richardwambura3139 5 жыл бұрын
AFANDE SELE nakupa Nyota Sita 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@enocchicago6045
@enocchicago6045 8 жыл бұрын
hapo kwel we afande
@dubabaxakazoom.5530
@dubabaxakazoom.5530 6 жыл бұрын
Mimi bangi ilinikataa katakata...nilivuta nikaendesha bike nikaona kama narudi nyuma😅
@zulfajafary524
@zulfajafary524 5 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆✋
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
@@zulfajafary524 wewe umetisha ukiendesha bike unjihisi unarudi nyuma baada kuvuta bangi
@Neighborsjiran
@Neighborsjiran 8 жыл бұрын
Umenena ukweli nibora bangi iwe free smoke weed free everywhere
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@mohdmanondo7621
@mohdmanondo7621 3 жыл бұрын
Uyo ni mshenzi tu kamtukana mungu yy anajiona ni bora kuliko munguui eeee
@hawamusumbawanghatognola4470
@hawamusumbawanghatognola4470 8 жыл бұрын
ulaya za padwa pia nidawa 👽walipuwe ni ukweli .africa kwetu walami wanakuja.kwetu .kununuwa mashamba hamjui kwa sababu gani .👊tuwamukeni.
@emanuelmbondo4598
@emanuelmbondo4598 7 жыл бұрын
Afande Sele bana....................kweli bangi mbaya sana.
@sophiahassan7993
@sophiahassan7993 6 жыл бұрын
Respect afande sele
@mordreddesantos1492
@mordreddesantos1492 5 жыл бұрын
Daaaa ukiwa huna elimu huna dini hua km myama
@lembariti
@lembariti 6 жыл бұрын
yuko right kabisa
@yangaebiasal3237
@yangaebiasal3237 3 жыл бұрын
Daah jamen unafiki wanakura kitimoto unamanisha Nguruwe et umewambia ukwer
@samweloscar3883
@samweloscar3883 4 жыл бұрын
waruhusuu mapema 2nachelewaaa
@silaslameck3654
@silaslameck3654 7 жыл бұрын
dah umetisha jembe lang
@najfathertz6542
@najfathertz6542 6 жыл бұрын
asante kwa kuitetea bangi
@cassiangeorge9746
@cassiangeorge9746 8 жыл бұрын
mim bana navuta bange
@charlcoke
@charlcoke 6 жыл бұрын
HAHAHAHAHAHAH na umeivuta kweli ahahahahahaha, hilo jasho aiseee!!
@therealmoses8496
@therealmoses8496 8 жыл бұрын
namkubali sana
@alliymkobe3949
@alliymkobe3949 6 жыл бұрын
sele mungu anakuona naukifa utaenda mueleza mungu upotoshaji wako huo
@johnkaleli5231
@johnkaleli5231 4 жыл бұрын
We utakufa mbele yake wewe
@edwinmaruchu5566
@edwinmaruchu5566 3 жыл бұрын
Majani haya ni ya Mungu Kama mchicha tembele nk.Ni urithi wetu. Kuzuia ni sheria za wanadam ktesa wenzao.
@charlesjustin4100
@charlesjustin4100 5 жыл бұрын
Huyu ana matatzo kwanza hakuna ajli ya bahat mbaya hata moja Ilieleweke hlo afende arud shule kwanza
@jay4mrinternationalsaide70
@jay4mrinternationalsaide70 3 жыл бұрын
Shenz sana we zee
@omaryh.mohamed4480
@omaryh.mohamed4480 8 жыл бұрын
Afande Sele asaidiwe hayuko sawa
@sirialemmy37
@sirialemmy37 8 жыл бұрын
fafanua
@allymnzava3839
@allymnzava3839 7 жыл бұрын
Save The Lost Dreams we ndio auko sawa cheki all comment kama hujakuta mi chache zinafanana na akili yako
@johnkaleli5231
@johnkaleli5231 4 жыл бұрын
Wewe ndio hauko sawa...rudi ulale
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 5 жыл бұрын
Aisee kwelh mm nachoma sanaa na Tanzania yetu ikubali ganja watu walime kwa week 1 nachoma ganja ya elfu 25. Tunanunua japo ni haramu na hinalimwa na kutokomeza ni ngumu haitokaa hkatokea ganja imepotea Tanzania. Mr president Atoe tamko tu watu wawe wakulima na itaingizia pato kubwa sanaa taifa letu
@abdulban9625
@abdulban9625 8 жыл бұрын
hahaha.....Afante umeisifia sana bangi.....eti yachizisha lakini haiui
@haitumikitena4978
@haitumikitena4978 7 жыл бұрын
afande ukosawa kabisa kaka
@ayoobalqasmi3062
@ayoobalqasmi3062 8 жыл бұрын
mmmmh kiama shangilien tu ila kuna mahesabu tujue
@curryxoxo8309
@curryxoxo8309 8 жыл бұрын
mfalme selemani wapili
@hawamusumbawanghatognola4470
@hawamusumbawanghatognola4470 8 жыл бұрын
afande bravo una akili sana ni ukweli .mimi navuta mpaka naenda holand .napia natumia pesa nyingi wambie wajuwe .nipesa .
@randomgaming6547
@randomgaming6547 3 жыл бұрын
Kweli sana
@vitalesaudax5897
@vitalesaudax5897 6 жыл бұрын
good sana wambie😀😀😀😀😀😄😄
@daudgaitan138
@daudgaitan138 6 жыл бұрын
Haifai kabisaaaaa!
@basagabernad4253
@basagabernad4253 8 жыл бұрын
Afande ni afande tuuuu Na afande bora ni sele maafande wengine ni viherehere tuuu
@afandehassan1
@afandehassan1 3 жыл бұрын
Wewe wacha
@hawahamisi6237
@hawahamisi6237 8 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂oyooooooooo hahahahaaa! Afande noma chanaa
@farajijuma9204
@farajijuma9204 Ай бұрын
Hapo zenyewe zinazoongea bangiii
@mosesmkami5168
@mosesmkami5168 4 жыл бұрын
Mwenye namba ya afande Sele aisee anipe
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 8 жыл бұрын
mbona jasho lamtoka jaman kasema ukweli kwenye unafik hata mm najiuliza why beer na masigara yahalalishwe na bange nisawa na sigara kasema ukweli ....
@sirialemmy37
@sirialemmy37 8 жыл бұрын
Rose, hehehehe nani kakuambia anatokwa jasho? au umemshikamshika? hahahaha
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 8 жыл бұрын
+Siria Lemmy jaman hata pic huon muangalia fresh kuna jasho na kijasho flan iv amazing kanamtoka .... wee angalia kuna mda anaongea pwent had kijasho chaazia kumtoka kwenye pua ANGALIA ANAVYO JIFUTA NA MKONO USON au ananyunyuziwa maji maana nasikia joto la tz sio lachoma yaan lakaanga mpaka watu wananukia.mishikaki
@omarjuma1888
@omarjuma1888 7 жыл бұрын
Siria Lemmy
@saleemkatundu4696
@saleemkatundu4696 5 жыл бұрын
simba dume
@rajabumkomwa2132
@rajabumkomwa2132 5 жыл бұрын
Wanachoyo yu wanaibania wavute pekeyao
@joycekengmail.comjoyce1236
@joycekengmail.comjoyce1236 8 жыл бұрын
Kali sana
@francekomba7615
@francekomba7615 5 жыл бұрын
Afande atabaki kua afande tu msema kweli
@yasinijuma6646
@yasinijuma6646 3 жыл бұрын
Nimekusoma kk IPO sawa
@user-gg3qe3sj1x
@user-gg3qe3sj1x 11 ай бұрын
Huyu jaman no mfarume wa Moro
@mostwanted8979
@mostwanted8979 7 жыл бұрын
safi
@bendasmart
@bendasmart 7 жыл бұрын
most wanted oooyooooo sele kichwa
@bendasmart
@bendasmart 7 жыл бұрын
yap kichwa
@darlinmamawatatu6411
@darlinmamawatatu6411 8 жыл бұрын
Lol 😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃afande sele jamaniiiiiiiiiiiii
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 6 жыл бұрын
Jamani
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 3 жыл бұрын
HUYU MPUMBAVU NILISEMA MANENO YA UPUMBAVU UPUMBAVU 😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇😇
@wanjirusalma6647
@wanjirusalma6647 8 жыл бұрын
yes legalize it
@jumazahoro3647
@jumazahoro3647 5 жыл бұрын
Fact
@salehnahdy5447
@salehnahdy5447 8 жыл бұрын
simba mzeeee😄😄😄😄
@saidmohammed9010
@saidmohammed9010 4 жыл бұрын
wanafiki 2. wanauza rizla na uxhuru wanachua wanategemea ina fanyia nini ina lia ganja hiyo
@gaspermganga8900
@gaspermganga8900 2 жыл бұрын
Unafiki ni kweli
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 6 жыл бұрын
hahahahahahah aiseeeeeee
@ibrahimbalhawasel5458
@ibrahimbalhawasel5458 6 жыл бұрын
MUWONGO WEWE MOROCO UKISHIKWA NA BANGI UNASHIKWA,MMJINGA SANA NA UWONGO WAKO WA KINYUME NYUME BANGI INALETA MARADHI YA AKILI NA BANGI HAICHAGUI MTU HUYU NA MPENDA NA HUYU SIMPENDI FIKRA NA MAELEZO ULIYO TOA NI YA VIBARAZANI AU VIJIWENI WACHA KUVUTA BANGI ,UKIENDELEA HUNA MWISHO MWEMA UAMUZII NI KWAKO .
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq 3 жыл бұрын
🥺
@salmonmkanula3718
@salmonmkanula3718 5 жыл бұрын
point
@dottodavid6909
@dottodavid6909 8 жыл бұрын
dah sele nae kavurugwa
@denicejoseph8632
@denicejoseph8632 3 жыл бұрын
Kichw CH madini
@marimalasmi1805
@marimalasmi1805 7 жыл бұрын
aiseeee kaongea point hahahahahah jaman mara mie pastor natembela na waimba kwaya
@afandehassan1
@afandehassan1 3 жыл бұрын
Mimi hulewa nikikunywa soda Fanta
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Mmm
@bxlrona5533
@bxlrona5533 6 жыл бұрын
yuko sawa bangi ni sawa ns pombe
@abuyabally5086
@abuyabally5086 5 жыл бұрын
kuna siku nilimsikia anasema haamini mungu eti anaamini jua sijui mwanga nikaliona jinga lamwisho kabisa eti akifa asizikwe achomwe kweli bangi mbaya unataka ihalalishwe watu wawe na akili kama zako hizo jeuri zako zakusema hakuna mungu mapema rudi ufanye toba kabla malaika mtoa roho hajafika mzee baba acha kiburi cha bangi pumzi zisikusahaulishe
@abdallahabdillah8477
@abdallahabdillah8477 6 жыл бұрын
if upo interested nakujua ukweli nasio ku kariri soma hio report apo from the national academies of science,engineer and medicine link www.nap.edu/login.php?record_id=24625&page=https%3A%2F%2Fwww.nap.edu%2Fdownload%2F24625
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 38 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 30 МЛН
Afande Sele-Karata Dume
6:16
frate mushi
Рет қаралды 126 М.
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
NDARO NA STEVE INTERVIEW YA ULINZI
8:03
Ndaro Tz
Рет қаралды 241 М.
Madhara ya Bangi | Dr Said Mohamed
18:07
Adil Twahir
Рет қаралды 21 М.
Mkasi - SO7E08 With Afande Sele
29:56
MkasiTV
Рет қаралды 118 М.