No video

EXCLUSIVE: BABA MZAZI WA IBRAHIM BACCA AFUNGUKA/NILIKUWA MKALI KWAKE/ATAJA CHANZO CHA KUITWA BACCA.

  Рет қаралды 130,074

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Mpenja Tv tumezungumza na Baba Mzazi wa "Ibrahim Bacca" Abdallah Hamad Bakari, na kufunguka mambo mengi kuhusu kipaji cha mwanawe lakini pia furaha yake kuona mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati Yanga dhidi ya Al Ahly kupewa jina la mtoto wake "BACCA DAY".

Пікірлер: 118
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 8 ай бұрын
Huyu dogo mtangazaji yupo vizuri saana maswali yote niliyokuwa najiuliza kichwani yeye kayauliza na Mzee kajibu vizuri saana, good interview! Dogo namuona mbali saana na golden voice anayo.
@antarfereji2219
@antarfereji2219 8 ай бұрын
Mimi nimefurahishwa na mtangazaji namna alivyofanya mahojiano na aina ya maswali aliyouliza..... bravo💯
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 8 ай бұрын
Mtangazaji upo vizuri mnoo kwa maswali yako mashallah
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 8 ай бұрын
HII NDIO TIMU YETU YA WANANCHI,TUNALIA PAMOJA TUNAFURAHI PAMOJA,👏👏👏👏👏 KARIBU SANA BABA YAKE NA BACCA.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 8 ай бұрын
Hongera sana mzazi wa Ibrahim Bacca umefanana naye saaaana.
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 8 ай бұрын
Tunashukuru kwa kutuletea kipenzi cha wana Yanga mbarikiwe wana Familia
@SarahWilliam-ik2nc
@SarahWilliam-ik2nc 4 ай бұрын
Ahsante bb baca kwa kutuletea beki bora kwenye timu yetu💚💚💛💛💚💛
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 8 ай бұрын
Matangazaji yupo vizuri Sana big up kijana 😅.
@user-yu9hn2cq3y
@user-yu9hn2cq3y 8 ай бұрын
Wamefanana na mwanae Bacca yaani kama mapacha ongera sana 🎉🎉👏👏💛💚💛
@priscamboya3091
@priscamboya3091 8 ай бұрын
Mmh..like father like son❤
@TMTZONLINETV
@TMTZONLINETV 9 күн бұрын
Uko vizuri sana jamaaa Godbless you mungu aendelee kukupa kipaji zaid
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 8 ай бұрын
Mansha allah mungu anajua kuumba..Hatariiii duuh si kwa mfano huoo
@erickegidius6625
@erickegidius6625 8 ай бұрын
Mzee anazo busara. Hongereni sana wewe ma mkeo kwa malezi bora kwa kijana wenu.
@OmaryKisuguru-vl1ie
@OmaryKisuguru-vl1ie 8 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko 💛💚🖤
@user-bw8lt8wy1i
@user-bw8lt8wy1i 8 ай бұрын
Baba hongera kwa kumlea baka vizur mungu akupe baraka
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 8 ай бұрын
Huyu mzee kajifyatua ile mbaya siyo kwamfanano huu na mtoto wake
@francepaul7711
@francepaul7711 8 ай бұрын
Sanaaaah Ana Balaaaa
@AnnoyedArchaeology-tv1zk
@AnnoyedArchaeology-tv1zk 8 ай бұрын
​@@francepaul7711😊
@user-zq6og4ps9e
@user-zq6og4ps9e 8 ай бұрын
Daima mbele nyumba mwiko,eee mwenyezi Mungu ibariki timuyangu kesho tufurahi ishaallah.
@user-ps7ej3ep4e
@user-ps7ej3ep4e 8 ай бұрын
Kesho unakufa tatu au mbili ukimaliza mpira njoo boss😂😂
@user-zq6og4ps9e
@user-zq6og4ps9e 8 ай бұрын
@@user-ps7ej3ep4e sip mda mrefu mtani maumivu yataanza kukuingia bado dakika tu
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 8 ай бұрын
Daaaah nime play baada ya kuona wanafanana
@roi2554
@roi2554 8 ай бұрын
Ata mi pia😂
@fatmamkambara3437
@fatmamkambara3437 8 ай бұрын
Kwa kweri ibra bacca amefanana sana na baba yake sanaaa,
@enockjlory1814
@enockjlory1814 8 ай бұрын
Huyu mzee amefanana na mwanae kweli
@user-zf8zt8ek1q
@user-zf8zt8ek1q 8 ай бұрын
Mzee alikua hachezi mbali na mlango 😂😂😂😂❤
@user-ir3lf1wl6n
@user-ir3lf1wl6n 8 ай бұрын
Jamaa uko vizuri sana kwa maojiano
@SeifSalim-ti5ce
@SeifSalim-ti5ce 8 ай бұрын
Dah wanafanana sana jamai
@jassontv5366
@jassontv5366 8 ай бұрын
kinyamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@ramadhanikuchuna5410
@ramadhanikuchuna5410 8 ай бұрын
Daaah yaani DNA Inajieleza kbs
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 8 ай бұрын
Hee baba umefanana sana na mwanao❤🎉
@mussahaji8420
@mussahaji8420 8 ай бұрын
Rekebisha kiswahili sema mtoto kafanana na babake
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 8 ай бұрын
@@mussahaji8420 ni memuita baba nikama mzazi wangu huyo
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 8 ай бұрын
Mzee kafanana sana na mwanae mashalla
@chinchon2126
@chinchon2126 8 ай бұрын
Kwa kweli USHINDI uko WAZI kwa Yanga inshaa Allah
@user-lq7kv7sx3t
@user-lq7kv7sx3t 8 ай бұрын
Ameen ya rabil alaameen
@hpenyika7686
@hpenyika7686 8 ай бұрын
Hongera sana baba Bacca
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 8 ай бұрын
Manshallah kafanana na kijana wake
@maryamtan682
@maryamtan682 8 ай бұрын
Bb amejizaa copy kwa baka maashallaah
@KaroliMagana
@KaroliMagana 8 ай бұрын
Duuuh kweli wanafanana
@PhilomenaSteven-tq2tx
@PhilomenaSteven-tq2tx 8 ай бұрын
Mwenyezi mungu awape afya njema mumetuletea kipenzi chetu cha yanga
@user-hf2pk9gc7y
@user-hf2pk9gc7y 8 ай бұрын
Baba kamkomba kilakitu mwana na baba hakuibiwa mzee yukovizuri
@starobioo7330
@starobioo7330 8 ай бұрын
Mtangazaji 💯
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 8 ай бұрын
Bro uko vizuri
@SundeyWanyama
@SundeyWanyama 8 ай бұрын
Hongera mzee wangu
@abdulkaleemmbarak6670
@abdulkaleemmbarak6670 4 ай бұрын
Crown TV muangalieni mtangazaji kijana mdogo kipaji kikubwa. Hakika huyu mtangazaji ana kipaji asilia mungu azidi kumfungulia nyota yake.
@FRIDAYMISANGO-br6nl
@FRIDAYMISANGO-br6nl 8 ай бұрын
Daaah Nimeiplay baada ya kuona kama kuna kamfanano kakubwa kinoma
@kabulapaul56
@kabulapaul56 8 ай бұрын
This is original one
@iddybakar1946
@iddybakar1946 8 ай бұрын
mzee kanyooka simtu wa maskhara ivoooo😃😂😂😂
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 8 ай бұрын
Uyu mzee akichezea timu inaitwa Kidike ya Kangagani nlkuwa namtizma sana😂😂😂😂
@user-xi3yj1gj5w
@user-xi3yj1gj5w 8 ай бұрын
Nice ddy❤
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 8 ай бұрын
Ukisikia au kuona baba kajizaa mwenyewe ....
@leonardclaudio
@leonardclaudio 8 ай бұрын
Amerandana sana na mwanaye
@hamzaabdallah1969
@hamzaabdallah1969 8 ай бұрын
Elo weepo
@subirajohn728
@subirajohn728 8 ай бұрын
Wamefanana sana!
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 8 ай бұрын
Mjomba ake alimtabiria kuwa mchezaji mpira,Kwa kumuita Bakayoko.
@winniembotwa9130
@winniembotwa9130 8 ай бұрын
Kopi yako hiyoooo
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 8 ай бұрын
Nafasi hii ilikua ya feisali
@NunuKupela
@NunuKupela 8 ай бұрын
Imebaki story atakula jeuri yake
@HappyBurrito-bm5me
@HappyBurrito-bm5me 8 ай бұрын
Anakula pesa zake 😂😂😂😂
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 8 ай бұрын
​@@NunuKupelawe akili huna feisal kule analipwa mshahara mara tatu ya alokua analipwa huku shida nini acheni mawazo yakimaskini
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 8 ай бұрын
Hata kuuliza maswali hujuii mpenja mzee anaeleza mwenyewe mwengn bila kuumuliza huna llt bora wale dada
@TMTZONLINETV
@TMTZONLINETV 9 күн бұрын
we unawivu sana
@shabanimbega40
@shabanimbega40 8 ай бұрын
Katoa Kopi duh hii hatari😂😂😂😂
@alloycemillinga1673
@alloycemillinga1673 7 ай бұрын
Mzee anasema anawela Mpira pale, tukimbizane
@mambomabula3545
@mambomabula3545 8 ай бұрын
Duuuh!! kafanana baba kinomaa
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 8 ай бұрын
Baca kama bacca zanbar finesse
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 8 ай бұрын
Mzee kajizaa Yeye 😂 duuuh ukiskiaga wale wanaosema Yakwangu haitokagi ukitoa inatoka na roho ndo huyu mzeee 😂😂
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@lovemwagala8259
@lovemwagala8259 8 ай бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@irenemwewe3566
@irenemwewe3566 8 ай бұрын
Wamefanana jamaniiii
@Papabravo_05
@Papabravo_05 8 ай бұрын
Mambo Irene
@Jitimawetz
@Jitimawetz 3 ай бұрын
na mm nitapambana mwanangu aje kuwa bondiya
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 8 ай бұрын
❤❤❤mashallah
@sniper93999
@sniper93999 8 ай бұрын
hapa spam imefanya kazi😂😂😂
@LewisSolomon-vz8je
@LewisSolomon-vz8je 8 ай бұрын
Damu hataariii copy and pest hujaibiwa baba
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 8 ай бұрын
Kama mapacha
@kelvinmasika
@kelvinmasika 8 ай бұрын
Huyu si baba wa bacca. Ni pacha wa bacca 2053
@MeshackDaison-oq2lu
@MeshackDaison-oq2lu 4 ай бұрын
❤mwamba huyooo
@user-mj2ir8ir1m
@user-mj2ir8ir1m 8 ай бұрын
Mzee katupa nondoo za kutoshaa
@hassaneddy5869
@hassaneddy5869 8 ай бұрын
Aisee kafanana kweli, alafu mbana bado kijana mzee kule kwa makolo si bado wanachezaa umri huuu wa baba baka!
@bennamush4616
@bennamush4616 8 ай бұрын
😂😂 acha dhambi
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 8 ай бұрын
Anafanana na mtoto wake hasa
@suleimanabdalla5022
@suleimanabdalla5022 8 ай бұрын
Abdallah apewe hana mashaka na mtu
@user-te1hl2rk8x
@user-te1hl2rk8x 8 ай бұрын
Mhh kuna wanatoaga copy duuh
@irenemwewe3566
@irenemwewe3566 8 ай бұрын
Siku wakamioji mama yake mayele jamaniii
@fabiancharles6258
@fabiancharles6258 8 ай бұрын
Haina haja ya DNA
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 8 ай бұрын
Bacca kafanana na baba yake mno
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 8 ай бұрын
Wanafanana hadi raha
@SaleheHamisi-bz2ns
@SaleheHamisi-bz2ns 8 ай бұрын
Hakuna mzaz aeoenda mtoto wake apoteee
@mohammedhimba1647
@mohammedhimba1647 8 ай бұрын
Hibrahimu bakayoko
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 8 ай бұрын
Yaan hapo pana historya kubwa lkn kuuliza maswali na kuhoji mt hujuii kbsa jadu
@BAHATIKIBA-ul6wx
@BAHATIKIBA-ul6wx 8 ай бұрын
Copy Right Kwel , Kikubw Duwa Lazm Ushindi Kwa Bacca Day Na Mwarabu Kayakanyaga Hapo....!!!!!
@marthageorge5043
@marthageorge5043 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰
@SaadaKiyungi-uz6jn
@SaadaKiyungi-uz6jn 8 ай бұрын
Pacha wa Bacca huyo
@mikamwamba3554
@mikamwamba3554 8 ай бұрын
1:31
@dianarosekaugira5608
@dianarosekaugira5608 8 ай бұрын
bacca akizeeka atakuwa hivyo🤣
@user-tq1jz3wm3f
@user-tq1jz3wm3f 8 ай бұрын
Kwel😂😂😂
@noeljuvenalmunishi75
@noeljuvenalmunishi75 8 ай бұрын
Huyu Mzee katoa copy
@user-ir6vi1bf4h
@user-ir6vi1bf4h 8 ай бұрын
Wewe dogo unajua ikikupendza nitafute nina asali yako
@AishaMsungi-hm8rd
@AishaMsungi-hm8rd 8 ай бұрын
Uyu baba kiboko,muhogo mchungu sio kwa kopi iyo
@antipascann2797
@antipascann2797 8 ай бұрын
🤣🤣🤣
@masoudwamba-wg4id
@masoudwamba-wg4id 8 ай бұрын
Copy
@user-jz5nn5tc8r
@user-jz5nn5tc8r 6 ай бұрын
Like❤❤❤
@chogokai6767
@chogokai6767 8 ай бұрын
mtangazaj uko poa sana
@kassidpandu866
@kassidpandu866 8 ай бұрын
Mtafute na kesho kutwa siku akipoteza uje kumhoji Tumsikie
@yakoubaliy7559
@yakoubaliy7559 8 ай бұрын
pua yooooo utopolo
@user-ub8zi6ft1l
@user-ub8zi6ft1l 5 ай бұрын
2:24 2:27 Ggkip
@user-tz5xh5gg7d
@user-tz5xh5gg7d 8 ай бұрын
14:35
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 8 ай бұрын
Je, baba, wewe ni Mwananchi au Kolo?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 8 ай бұрын
Ni utoporo huyo Gongo wazo
@SaidJumanne-ue2jy
@SaidJumanne-ue2jy 8 ай бұрын
Ni utopolo huyo
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 8 ай бұрын
Mhhhhhh
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 8 ай бұрын
​@@kassidpandu866😅😅😅😅😅😅
@DidaMhasha
@DidaMhasha 8 ай бұрын
😂😂😂
@maulidalyaaamiin46
@maulidalyaaamiin46 6 ай бұрын
Mbona hujasema kua wewe baba ulichezea pia ya Kidike ya mjini ole
@Pdady-tc8kg
@Pdady-tc8kg 8 ай бұрын
🎉
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 8 ай бұрын
Mzee Bacca hujaibiwa wako ksbisaaa
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 43 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 7 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 210 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 52 МЛН
HABARI MBICHI ZA SASA HIVI LE 27/08/2024
8:32
CONGO 🇨🇩YETU NEWS TV
Рет қаралды 341
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 40 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 43 МЛН