Been a fan of brother Chidi for a long time,apart from his good vibes of music,I admire his personality and the facts his speaks,,on point my G,,real recognise real.mobb love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@glorianikiza394011 ай бұрын
Hakiri kubwa respect chidi❤ ila kubali usaidiwe unakitu ndani yako na utafika mbali
@yusuphrashidi-dr1kb11 ай бұрын
Jamaa yupo sahihi Allah akuongoze kwny njia sahihi lnshaallah
@raphaelchuche628111 ай бұрын
Harmonize angepiga ngoma na mwamba chid ingekuw ya moto sanaaaa
@tusaidiannyatiboy695411 ай бұрын
King 👑 ❤ Huna ubaya sikuzote msema ukwelli hawamuelewi 🎉
@Doctor_micky07211 ай бұрын
Huyu chid ni mtu noma sana once comes kwenye interview, ana kill kinoma 🔥🔥
@Myplusbee11 ай бұрын
Angekuwa na akili angeachana na uteja na kuanza kuwa responsible na maisha yake!! Acheni kumjaza ujinga, HANA AKILI!!
@shebbypro11 ай бұрын
Kikubwa sana🙌🙌 Salute Rashid Makwiro big bro
@waltergodwin252910 ай бұрын
Chid mara zote yupo very transparent, very frankly person. naanajiamnin
@dogobonge11 ай бұрын
DARESALAM STAND UUPP !!! 🙌🏾
@FredyKatawa11 ай бұрын
chid kaka mungu akupe maisha malefu...
@mamsamohamedy903211 ай бұрын
Chidi atabaki kuwa Chidi tu the living legend ✊🏽✊🏽
@jaymwadzi685611 ай бұрын
This guy is a LEGEND💪Wakenya tunakukubali CHIDI!
@giugliojuma460011 ай бұрын
Kabisa
@yohanamsagara199911 ай бұрын
leo ameongea point sana chid 🎉🎉
@marafikistation11 ай бұрын
Sikuile alikua kalewa
@IssaMgeta-ej6ue11 ай бұрын
Daaah, Asee Leo ndo nimetambua Chid ni Mmoja tu, Hakika Leo Umeonesha Kiakili upo Sawa, Nakuombea kwa MUNGU Uendelee hvyo hvyo....
@GeraldGspack11 ай бұрын
I remember when he was kicking with Nonini and they did remix of kadhaa.. he's one artist i respect alot, Kenya chidi anakubalika
@Dee_7611 ай бұрын
Hakuna kitu kizuri maishani kama kutake responsibility and steer your own life,huyu bwana anatupa lawama wakati dhamana ya maisha yake iko mikononi mwake..Allah amfungulie njia zake
@geraldgeorge8811 ай бұрын
Adui wa chidi ni Chidi mwenyewe,hataki kutake responsibility of his own damn life
@abiboseleman164911 ай бұрын
Unajua uongeacho
@Jukwaa-711 ай бұрын
True,hata tukisaidia tusingoje shukurani.mtu kurudisha shukuran ni yeye mwenyewe kutaka.chidi afocasi maisha yake.awajibike juu ya maisha yake na si kilaumu laumu watu
@Lundege_Hips11 ай бұрын
On pwent
@jaymwadzi685611 ай бұрын
@@Jukwaa-7 tuache kujadili kihisia! chidi hajalaumu mtu na ameongea maneno mazito sana
@tystanjeepsy476911 ай бұрын
In Kenya ,chedi is real maturity🇰🇪🇰🇪💯✨
@matumokimatumoki642411 ай бұрын
Kweli chi2 dar stand up nomaaaass tuko pamoja mwanetu 💕💕
@tomsijohni11 ай бұрын
Perfect you said brother
@kelvinomondi851511 ай бұрын
You are a wise man Chidi 👊👊
@abiboseleman164911 ай бұрын
Comment nying zakumponda chidi za watoto wakike nikiona mtoto wakiume ameskiliza hii interview akaandika kumlaum chidi ntajua kazaliwa miaka ya 2000 hajui nini maana ya maisha na hela
@RuweidaMacool11 ай бұрын
True
@flacskillz341111 ай бұрын
For real
@piusdeo938011 ай бұрын
Leo umeongea point mama kweli wamegusa pabaya
@-KINKAU11 ай бұрын
Huyu jamaa ana akili nyingi sanaaa god bless u CHIDI benzi
@ikramalmas703911 ай бұрын
Anakili sawa lakini abebwe Vp?
@ramsojimmykelly337911 ай бұрын
Watu kama nyinyi ndio mnamfanya azidi kupotea kwenye mihadarati
@jaymwadzi685611 ай бұрын
@@ramsojimmykelly3379 kama unaona miadarati kwa hii interview ata wewe umelewa!
@VIPSwahili11 ай бұрын
@@ramsojimmykelly3379Kakosea nini kwenye mahojiano haya?
@ramsojimmykelly337911 ай бұрын
@@VIPSwahili angekuwa yuko sawa angeachana na madawa kwanz
@nesty974011 ай бұрын
Chid ni mtu mwenye akili Sana pia na nimtu mkweli Dully Alisha wahi kusema kuwa tuna mapungufu mengi ila kila mtu anakitu ndani yake wengine ndani mwao Wana chuki,wengine uchoyo, wengine uongo lakin Chidbenz ndani mwake yupo na ukweli. Chid hajamlaumu mtu ila amejaribu kueleza uwalisia wenye ukweli kwa wale ambao wameenza kumfatilia huyu jamaa baada ya kupitia changamoto zake kamwe awawezi muelewa chid, huyu jamaa kwanza amekubali hali alio pitia na anasema ukweli, Chidbenzi ni mtu poa Sana, amewasaidia wengi kwenye muziki, wakina Tundaman,mwana FA, Diamond, mwasiti TUMPE HESHIMA YAKE NA SIO KUMBEZA NA KUMDHARAU MAANA HAKUNA ANAE JUA HATIMA YAKE NI KUOMBA MUNGU TU. Na nyie waandishi wa habari msiojua Ethics za kazi zenu mjaribu kuwa na heshima na familia za watu, zenu mbona mnaficha wazazi wenu wako wapi muwaweke kwenye camera pumbafu kabisa.
@sportstartv378111 ай бұрын
Chid kaongea vizuri sana leo
@jaymwadzi685611 ай бұрын
Chidi yuko na point 100% na wenye wanamdis huyu jamaa hawapimi maneno yake kwa usawa! consent inaweza kukufunga. muache kumdharau mwamba kwa maisha yaliopita, tambua hujafa hujaumbika.
@saidchombo595211 ай бұрын
Jamaa yupo poa sana mi huwa namuelewa kinoma
@flacskillz341111 ай бұрын
U talk real
@ulimbombonaulindi508811 ай бұрын
Consent kwenye lipi labda? Hapo kwenye mama unahitaji ruksa ya mama mwenyewe tu kuongea naye, maana yeye ni mtu mzima wa umri na afya ya akili, hauhitaji ruksa ya mtoto wake kuongea na mama.
@STEVENKAJUMBA11 ай бұрын
Safi .
@AIInsights2311 ай бұрын
Mshkaji anakili nyingi saana pure love hana noma na mtu huyu OG mdar es salaam
@Derevamkongwe686411 ай бұрын
Chidy ana akili nyingi sana, wenye upeo ndio wanaomuelewa lakini vilaza, lazima wa comment ujinga tu
@tuijengenchiyetu667411 ай бұрын
For real
@PanchoValentino-wh7wt11 ай бұрын
Chid chibenzino 🖐🏾💯💥🎶🎵🔝🎤📽️🔊 Nomà Saana aisee Akili mingi 💪👊
@PowerNET_airFiber11 ай бұрын
Atarudi 😢kwenye njia hiyo ni mapito tu anapitishwa ili wengine tujifunze kupitia yeye but trust jamaa anajua na Atarudi kwenye njia Mungu amfanyie wepesi 2
@gun60jgt4011 ай бұрын
Jamaa yuko sawa ❤
@paulkifuku973011 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akusaidie kwenye mapambano
@geofreybukwali961111 ай бұрын
Mungu amsaidie
@francismwakiokimburi706811 ай бұрын
Chidi is a genius. Once you listen to him you get to understand the truth of the matter
@Yegon25411 ай бұрын
Mad respect kwa Rashidi. Wengi hawataki kumwelewa kwa sababu anazungumza facts. Walichokifanya wasafi ni kubaribia brand Chidi hata kama anamapungufu hakuna haja ya kutangaza.
@RashidyChillah10 ай бұрын
Bro anaongea point sana
@HouseofClassTailors11 ай бұрын
King Kong speaking his mind . He's castigating those of who don't mean well. Let's support him . He's a gem. Tz 🇹🇿 wake up
@MultiKenyana11 ай бұрын
Translate for your people bro 😂😂
@TaarabChannel11 ай бұрын
Sijawahi kumsikiliza kwenye interview....this guy in spite of being an X addict his IQ is very high...really smart guy with fat memory, good orater and very debatable mind.... Aki smart sana
@danielmwita213611 ай бұрын
Hatumii tena hivyo vitu aisee, anakunywa bia na pombe nyingine tu. Achana na wambea man.. Kama hapa si unaona walivyom violate kwenda kwa mama.
@RuweidaMacool11 ай бұрын
@@danielmwita2136kweli
@ramadhanjuma924411 ай бұрын
Imenigusa sana ya mama chidi
@merinadaimon42511 ай бұрын
Natamani watu wamsaidie Chid bila kuwaza faida😢
@BarakaJoseph-es7tx11 ай бұрын
Nakubali sana chidi umenyooka sana aiseee
@grandpa772011 ай бұрын
Ana vitu very very SENSITIVE ambavyo anaviongelea ukituliza kichwa ndo unamuelewa
@Adrext11 ай бұрын
Jamaa anaongea point Sana
@alexmdam746111 ай бұрын
Chidi very tarent Sana
@Nimebarikiwa11 ай бұрын
Andika tu kiswahil😂
@IbrahimUwesu-vq3df11 ай бұрын
Genius ☀️☀️☀️🙌
@KhalfanSalim-v1x9 ай бұрын
tatizo wasani wa tz mwambino anawatumia kiakili wao bila kujua sababu kaona sasa hivi Hana show za nje awajiulizi zamani mbona alikua afanyi nao colabo kwanini sasa hivi sababu kaona harmonize wasani wanamkubali jinsi anavyo fanya nao colabo akaona abadirishe tabia zake na kuringa chid yupo really
@aliuali469011 ай бұрын
Mfalme wa ilala pure fact!!
@aminanamoyo8311 ай бұрын
😂😂 kigomaa 😂😂 much ❤ chid
@clintztravellah323711 ай бұрын
Chidi ameongea FACTS kabisa..
@BrownLaizer11 ай бұрын
Chid benzi one ❤️
@matumokimatumoki642411 ай бұрын
Mwaanaaaa
@adamabdallah124211 ай бұрын
Chid is very genius
@JJ-sx7ne11 ай бұрын
Baby Kabaya anapaswa kumuomba msamaha Chidi, kamkosea sana kwenda kumuhoji mama bila kumshirikisha
daah kiiing kooooong CHID BENZ mwamba wewe noma sana wasamehe tu: dah inauma sana chid hanakili sana tu
@ammaherman339111 ай бұрын
Mungu nisaidie nipate pesa ili nimpe support huyu mwamba Chidi Benz.
@frosttgp151011 ай бұрын
Kilichopo watu tu wanataka kumtumia huyu mchizi ila hawampi msaada wa dhati na wala hana matatizo he is real.
@idrissajuma730811 ай бұрын
La familia for real ❤❤❤
@chigosolid357911 ай бұрын
Pua😂😂😂
@tensotv11 ай бұрын
Rap familia
@ukhutfatumah115411 ай бұрын
Chid BEBEBENZIIIIE AUNA ISHI BHANA MAISHA YAKO MAANA UMEFUNGUKA KISAWASAWA LEO NIMEKUELEWA ASWAAA
@michaelmatonange63011 ай бұрын
Nilitaka kuskip lakini nimejikuta naangalia mpaka mwisho na bado natamani aendelee kuongea dah! Akili kubwa sana uyu mwamba sikujua😮
@amour769311 ай бұрын
😅😅😅😅 mm pia
@danielmwita213611 ай бұрын
Nilijua tu kwa kuangalia ile interview kuwa Chid hajashirikishwa na atawa mind.
@mohammedkidody561811 ай бұрын
Chidi benz legend❤❤❤🎉🎉🎉
@GdollerMan11 ай бұрын
Chidi ni level nyingine basi tu watu wanashindwa kumpa heshima yake
@ikabako245411 ай бұрын
All in all Chid anahitaji msaada wa kwenda “rehab” ! Anajifanya yupo sawa lakini hayupo sawa hata kidogo.
@mustafaosman183811 ай бұрын
Chidy nimekuelewa uko sawa
@MoBunsen.00111 ай бұрын
Chidy is real and is talking real
@ShauriChaka11 ай бұрын
Chidi Wala usiwaze,,, 1 and only chidi,,, hakuna bro
@HammyLone-jy2ho11 ай бұрын
Uyu dogo manara amtunze sana anajua kuhoji
@salimmwabundu95811 ай бұрын
Hpo kwa Mama kaongea point sanaaaa
@sabinaonline657511 ай бұрын
Kumbe Chidi kaongea vizuri sana kule Clauds walimuhoji akiwa kapiga tungi ndio mana
@Sarah-tq2vc11 ай бұрын
Yh n kweli ata mamake alisema hivyo juu hapa anaongea vizur tu
@ikabako245411 ай бұрын
Itakuwa alikuwa kapiga Konyagi ya kutosha siku ile sio bure 😅
@PeterBaton-v9z11 ай бұрын
Mimi Nnahimani kabisa Chidi Hana enjoy Sana Maisha Ya Sasa kuliko hata Ya Zamani Nahana Vuta Madawa Kwakupenda Nahakiamua kuacha Hanaacha kwamahamuzi Yake Mwenyewe Kwasababu Nikimwangalia Chidi Kwa Jicho lapili hanakitu Nyuma Ya Pazia Nahanakijua kuusu Mziki Wa Sasa Mziki Wasasa Umegubikwa Na Ushetani🤣🤣🤣👍👍
@SultanSultan-p7z11 ай бұрын
Ukweli kk
@DicksonMwita-lo6sw11 ай бұрын
Chid bezz 🔥🔥🔥🔥
@chekakizenjyzanzibar415311 ай бұрын
The point is chidi anachongea kua yey aliwasaidia kama ndugu zake sababu yeye hana ndugu wengne kama sio wao lakin now hawatak kumsadia wakat yy aliwasaidia wao wakiwa chini so sion kma akilalmik anakosea he is right na anaongelea reality ya maish yetu watz wanaume tunakuf san kw kubeb mazito vfuan vyetu ila tukiongea tunambiw tumekua kma wamama😮💨
@CharlesJohn-c6f11 ай бұрын
Duh kumbe chidi upo makin sana,
@Sarah-tq2vc11 ай бұрын
Chidy yupo vizur sanaa huyu jaman wasanii wamsaidie bila kuhoji hali yake binadamu hujafa hujaumbia kupanda na kushuka n kawaida ya sisi binadam
@dostovan514211 ай бұрын
Huyu ni phatjoe wa interviews za bongo😊
@godlovetweve32911 ай бұрын
Shida wana ogopa kufungiwaa mzeee ana tukana sanaaaaa akitumia kilevi
@MabulaLufumbo11 ай бұрын
Sawa kweli Ana akili ndiyo hata mie namkubali,shida huyu brother anatakiwa ajitambue nikiwa na maana kwamba unapopata deal's lazima uwe na adabu,ustaarabu na mambo ya kipuuzi hayana maana kabisa,sasa Leo analeta lawama kwa mdogo wake ifike hatua aconcetrate na maisha yake siyo hadithi Mara ohh ,bado kipaji anacho Sana Tena kikubwa ,shida ulevi kumisbehave yaani utovu wa nidhamu
@ayk2011 ай бұрын
Sema jamaa kaongea ukweli maisha ya msanii yabaki kwa msanii kama yy hakutaka kumuingiza mama yke kwenye maswala yake binafsi kwa nn muende kumuhoji bila kupitia au kufanya mawasiliano na msanii husika?bila ya chid huyo mama mgemjua vp? Wakati chid yuko vizuri kwenya mziki hamkuwah kumuhoji mama yke leo ndo anatafutwa mama sio jambo zuri sana
@jaymwadzi685611 ай бұрын
true... unaenda kumuhoji mamangu ww kama nani! wamemchukulia Chidi poa kwa maisha yake ya saivi! kupiga picha mtu bila utaratibu husika anaweza kufunga! leo hii unatafuta pesa kupitia mamake mtu! inauma sana shame on them
@Ayyub_Semtawa11 ай бұрын
Chidiiiiiii....His deminor is so natural....ila hapo kwenye "Samaki anawakaanga na sukari dah!!!...😂😂😂 Bless up Chidi Man
@Cendrillon141711 ай бұрын
Apo kwa kutafuna godoro🤣🤣🤣🤣
@marygregory756611 ай бұрын
Nampendaga tu Chid sijui ata kwanini
@D-Man.B-Free11 ай бұрын
Good point 👊👊👊
@1232287911 ай бұрын
Kila ukipewa dili unaharibu,Acha mambo ya kulaumu..wewe the best unaweza kusimama Mwenyewe kama ukiamua kuacha mambo yale
@mp354311 ай бұрын
King🎉
@Malimbika11 ай бұрын
child yupo very nice
@emanho-kps11 ай бұрын
God bless chid
@Dayotz11 ай бұрын
Ofcoz chid Leo mekuelewaaa u a good guy sem ni fitina tu za wahuni
@ramadhanimango3511 ай бұрын
KAKA RASHIDI 🔥👑
@johariyahaya879411 ай бұрын
pole sana bro, bt keep it up
@idybwoytz848511 ай бұрын
Puwa kaziiii anaoooo😂😂😂😂😂
@abdulkarimmtumwa303911 ай бұрын
Huyu ni genius
@amour769311 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅iyo goma ya dar es salaam ata miaka buku bro ngoma ya tz
@aishandayishimiye512711 ай бұрын
Apo kwenye madem kugongana nimeipenda kidume 😂 ila kaka uko fresh akili sana ❤❤❤❤
@othumanlorenzo26011 ай бұрын
Nyingi mno mno mno
@AlwiFauziAhmed11 ай бұрын
Daaah guy has spoken too much sense wow
@dottomsuya659711 ай бұрын
Fact clouds wamezingua sanAa
@boyclassc91911 ай бұрын
Huyu mwamba siku akipata mtu wakumsimamiwa kwe kazi alafu na yeye atulize akili bongo hii hakina msanii wakumkalisha wala kumwambia kitu