Wasani wa TZ niwkal mnatalent mnajua sana mko wakal naongea Niko🇷🇼 sisiote niwamoja wa East Africa tuenaumoja tuache rohombaya tupendane kama mtu anakuzdi anakua anakuzdi sema tuongezey Bidi
@kennedyonyango878423 сағат бұрын
Kenyans and Tanzanian love each other so much. Diamond and Willy Paul have their personal issues let them sort them nyuma ya tent.
@MwambuTimothy22 сағат бұрын
Every hardships are next to new brand album. Respect to simba from uganda
@MusyokaKimuyu-mb6iy4 сағат бұрын
Diamond hoyee❤
@WilliamSing-ib6wx3 күн бұрын
Wa kwanza toka Congo Nipe like zangu jamani
@anoldrichard88853 күн бұрын
Mtazamo wako n nn???
@batatukatotolabikay52962 күн бұрын
One love brother. That good response. Ubarikiwe kwa kuongeya na kuomba musamaa
@zenamtembezi492118 сағат бұрын
Safi sana unajitambua tunakupenda bure umetufikisha mbari tunajulikana juz nilikua bulundi wanakuongelea sana walikua wakiniambia mtanzania diamond anaimba san tunampenda
@Benardmutuku01kenya10 сағат бұрын
Umezoea pesa wewe weka Gari mafuta
@3leggedbird2226 сағат бұрын
Nakukubali sana simba la masimba dangote kwanza waburuze mahakamani makomwe hao
@ipyanamwasaga73333 күн бұрын
Simba una baya kaka mungu akupe maisha marefu 🙏🙏🤲🤲❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏🎶🎶🇹🇿
@leonardoundo707411 сағат бұрын
That's true Simba.❤
@benardbob7729Күн бұрын
Kutoka Kenya ♥️♥️♥️♥️♥️ respect to you brother
@jamesmuthama-q8eКүн бұрын
Toka kenya,, napenda ngoma zako simba nasib yasikutishe wenye kiki
@mzitofarafrica7073Күн бұрын
Ako na p diddy hatakutaka
@AnnieLee-ko6hi2 күн бұрын
From Kenya...😂😂usirudishe weh tumia hizo pesa zikutoke
@roselinemoshi50082 күн бұрын
Kilicho enda kwa mganga hakirudi we nyang’au mavimavi
@Shakira-Nb2 күн бұрын
Mtamfanya nn kaka yetu kwa mfano tutawaroga wote kuku nyie 😂
@derrickmidenyo35852 күн бұрын
Infact aende aone bwanake p dd
@JamilahDilunga2 күн бұрын
Zimtoke nn usiludishe hata mia mtu wao ndio kaharibu shoo
@BarakaGpesa-s9e23 сағат бұрын
Wasanii wa kenya wala hawana hakili😮😊
@ZebuBlue-n1hКүн бұрын
From Kenya diamond we steal love you hasira za wakenya zinakwisha haraka so ww tulia tu urudi badae mm pia Batman nkuone
@petermutuku1289Күн бұрын
Mimi ni mkenya ninae penda sana wasanii wa Tanzania. Kazi zao ni safi hasina ukora.
@MwambuTimothy22 сағат бұрын
Special to simba. Unajua San wee in simba msani mkuu kishinda pozee. Your the last juu wee in moto zaidi sana. Am from uganda
@StephenOmondi-n8jКүн бұрын
Respect man ongera sana simba mkuu ❤
@MawazoDavid-hg2sd2 күн бұрын
Fact maa brooo ,,,simbaaa ni mmoja tu much respect huyu kunguru akae pembeni akuache❤❤❤
@jamesevanswandera55518 сағат бұрын
Well spoken ❤
@ronzevannyboychui16612 күн бұрын
Simba la ma simba ndangote tukopamoja ❤❤❤
@agnesmuller93272 күн бұрын
KWAKWELI WAKUACHE JAMANI MDOGO WANGU TUNAKUPENDA SANA ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@NasraAbuu-d6r10 сағат бұрын
👏👏🔥🔥💯
@mariyamhappy2 күн бұрын
Mm nimkenya lakn sijui ata nyimbo moja ya will pozee 😅😅
@NassoroIssa-v4nКүн бұрын
Hii imeenda😂😂
@wilsoncrespo6544Күн бұрын
😂😂 uliza size 8 atakuambia
@HusnaChande-o1v3 күн бұрын
Mwamba ni mwamba 2 ww ni mwamba wa miamba somo lime eleweka
@PaulineMinayo-s5h21 сағат бұрын
We love Simba la ma Simba dangote
@JonathanIrankunda-i2u2 күн бұрын
Wewe simba towa kitu waturiy🇧🇮 Willy IS down for you
@DaudiNaftal21 сағат бұрын
Jamani naombeni mrudieni muumba wenu acheni kumtukuza shetani km ni pesa mmeshapata kwa Mungu hakuna wivu wapendwa wote mnaoangalia komenti hii Mungu awape wepesi amina
@pintomofh64542 күн бұрын
Mmmh simbaaaaa 🎉
@PhillipMuchemiКүн бұрын
Mungwana ni kitendo. Muziki ni biashara na lazima usimamizi uwe wa hali ya juu. Kuwepo kwa wafadhili, mameneja, mahasibu, mwasheria. wataalam wa mavazi na urembeshaji, wahandisi wa umeme na taa na ubora wa sauti sawia na miondo musingi inayoandana na sanaa hiyo. Mwenzetu Willy angelikua na hawa kwenye kikundi chake yasingelitokea hayo ya tarehe 7 Dec. Tuheshimu kazi na Mwenyezi Mungu atajaalia.
@josephmtavilalo50872 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 akiri nyingi sana endelea ongezeeni ubunifu katika usalama wewe na crew nzima ya wasafi adui huja na njia nyingi keep it up unaeleweka sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@williamdungumaro6668Күн бұрын
Daah mm diamond nimemulewa sana
@ZainabOmar-l6p2 күн бұрын
Hili limekuuma Hadi umesema ww sio msemaji❤❤❤❤❤❤❤❤
@DenisFuteКүн бұрын
Anaomba msamaha kwa shabiki zake tuu kuto perform saa linamuumaje mwezio katoka pale Leo yupo Paris Yan siku iyo tu kulivokucha kutembea saa unazan anaumia nn
@HarrisonMwasirya-dh1xk2 күн бұрын
❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
@peterkisomezi71012 күн бұрын
Is Diamond platnumz baby 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@RuckiaHamza-fo3ln2 күн бұрын
❤❤🔥
@BrendahWekesa-h5z2 күн бұрын
Nakpenda sana mondi..napenda nyimbo zako..achana na willy Paul ako nà utoto ako na chuki juu ulikàaa collabo na yeye..from Kenya 🇰🇪
@jameskamau72610 сағат бұрын
Ukweli simba
@loizbanaWazawa3 күн бұрын
Nakubali kaka
@Oman-r1m2 күн бұрын
❤❤❤
@SamuelAmbondo3 күн бұрын
Pole
@desngalaba11812 күн бұрын
Actually mm kama mtanzania nyimbo za kenya nasikiliza hasa sound yao ya Gengemusic. Ila sijaaai ona msanii wa kenya akaji humble akazungua East Africa kuingia kwenye media kupush music apart fro Sauti Soul etc. Ila wakina Fathermoh, Ssaru, Nonini. Kuna funs outside Kenya ambao wasanii wenu awataki wenyew kuwafikia. Amtaki kuvuka boda wenyew sio kama ngoma zenu azizikiki ila Kenya musician focus much on content creating than kuwork hard kuvuka mipak kujaribu show nje ya Kenya. Wakenya wakiacha kucompite na kufocus more in pushing there music kuna watu. Haiwezekanani msanii ngoma ina hit the break though song East Africa na utumiii kama fursa ya new fun tukujue as msanii unajikosesha fulsa mwenyew.
@djapa037Күн бұрын
Super haikosagi😂
@MwombeKevin2 күн бұрын
Nakupenda kaka Acha wenye wivu wakae
@RobertNguu2 күн бұрын
Inafaa wasanii wawili wakikutana Kwa stage Moja kwanza wafanyiwe interview na waongee pamoja kama dugu venye wachezaji wa mpira husalamiana Dio ,mungu uwanaridi Ivo ,udugu inafaa na umaarugu pia uheshimiwe ,na pia Kila kiwango,,mi ni mkenya
@Emily-el1ui2 күн бұрын
:Tangu atudinyie dem akamhanya na akamuacha akaenda kudinywa na P Diddy ndio niliachana naye 😂
@BarakaJum-hr9jmКүн бұрын
Kwani ulisikiya anafanya kwajili yaka 😮
@kagawamike47882 күн бұрын
Pozee😅😅😅
@KelvnMwasamila2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 alifajil au alasili
@MussaHaruna-j8i2 күн бұрын
Uko sahihi mond.maisha mengne kwanza ndomana humu kwenye show haumo.sema tumewakilisha vizur tz hata zuchu na rayvanny tumeona hapo vibe kubwa sana.
@meckalex46482 күн бұрын
Enderea kuringa ringa wenzako wananitaka staki kuwataja kwa majina Aaah🗣️🎺🎺🎺
@IbrahimChrispin2 күн бұрын
Simba hunabaya tunakukubali na Leo napenda ulivyo ongeya❤❤❤❤
@JoshuaWilliam-z3g2 күн бұрын
Nakukubal bro
@leahaduma32422 күн бұрын
Am not blaming Diamond or Willy!! I blame the managers and event organizers, they knew if diamond performs everyone will leave and no one will stay for Willy and that’s what he was afraid of, but you never told Diamond the truth! Kenyans do t keep time, start the event early and let everyone perform and pay them equally with dignity they deserve!! Pls take it from me for free.
@VictoriaLukeka2 күн бұрын
Nc
@QqambaaКүн бұрын
Huwa naskia diamond ila simfahamu vzr ninacho jua kumhusu ni kuw alikuwa ana swàlisha zamani akiwa mdg ila kuhusu muziki sijui chochote makafiri Allah anawaitaji heri niskize kaswida
@Kbank-l7s11 сағат бұрын
Genius
@Alexanderjhon-wg1iu2 күн бұрын
Nakubali san kis unajituliz yan unaongey kam un degree hulupuk bit vy hovy hufatiliy
@IbrahimSalmin-oy9pv3 күн бұрын
Alikuwa anataka Kiki kutoka kwako simba,aminia hiyo
@FredMbai2 күн бұрын
Nataka unijibu tafadhali simba plz nani anafaa kuimba kwanza kati ya wew na pozee plz jibu ili swali
@errydeo88652 күн бұрын
Hilo swali kwanini USIMUULIZE ORGANISER SIO Mondi!? Wasanii hufata ratiba waliy0pewa Na muandaji ! Na msaanii mkubwa mara nyingi huwa WA mwisho kuperform Ili watu wasiondoke! Lkn huwezi kumklisha Bila sababubu!
@JoshuaWilliam-z3g2 күн бұрын
Unauliza ujinga swali gan hilo
@aidaharuna5549Күн бұрын
Anaejua kuimba ni diamond unauliza makofi polisi @@JoshuaWilliam-z3g
@3leggedbird2226 сағат бұрын
😂😂😂😂😂@@JoshuaWilliam-z3g
@ReyvidVidboy2 күн бұрын
Pambana bob ata anae kupinga bado wanakubali ndan ya Moyo bob keep it up brooi
@dingiwear73762 күн бұрын
Achana nao Simba ....next time wagpange vizuri
@michaelpaul2455 сағат бұрын
Baba levo kasema umelipwa dolla laki moja,dollar laki moja ni m 200 na 30.which is which?
@MamaKidy2 күн бұрын
Wakenya akili zako wanazijua pole sana Simba
@KiwandaiPallangyo-lo3yy2 күн бұрын
C hata eric omondi aliwahi kusema harmonize alimpiga 😂😂😂kenya bn so funny
@RehemaSalamu-cx7rf2 күн бұрын
😂😂😂😂
@blackbajuni2 күн бұрын
Baba eeh wwe ni mjanja na napenda ulivyo kwamia kwenye amani undugu na kuwakaribisha wageni ❤❤❤
@kimuyu2 күн бұрын
Kenya is Bongo Fleva country. We like quality. Utunzi, mashairi, arrangement, mix. Kila kitu kiko on point especially kazi ya Wasafi Records na beat za Lyzer na S2 Kizi. Karibuni Kenya Bongo artists.
@EvanceDamdam2 күн бұрын
Maskin ndo wanakuchukia hawatak Kaz ila big up
@MugwikaNtaugu5 сағат бұрын
Ita gwe mai
@JamilahDilunga2 күн бұрын
Kwanza mshamba sana willy ndio maana aliacha kuimba kwaya coz ni mpumbavu
@CharlesPaul-bd8vo2 күн бұрын
Am from Kenya and the guy just wanted attention 😂
@Shakira-Nb2 күн бұрын
Attention ya nn ulidhan diamond ni sawa n yule mshamba wenu willy Paul pole sana 😂
@Yonabangilidaniel2 күн бұрын
piga kazi mwamba wa est huna baya kabxa🎉🎉🎉
@RebekaRemi-h7v2 күн бұрын
Dah nakuku mbari mondo wew haumbemberez nahera usirudish at shing kumi
Victor from Kenya............Diamond keep it up....mob love
@NeviiveAfrica2 күн бұрын
Simba ni simba tu
@errydeo88652 күн бұрын
This dude works hard, the reason he has been ot top for a while! Mondi endelea KUTOWAJIBU WAJINGA! ACHA WAJIKANYAGE!
@JumaAmstrong2 күн бұрын
Simba nisimba atabaki kua sumba tu naa anaongea kama mtu anajielewa sana big p sana monde bado tunakupenda sana kama unatupenda nawewe gonga like hapa kwangu
@mariyamhappy2 күн бұрын
Lakn ya mondy simba wa masimba ❤❤❤❤
@hassanamani2131Күн бұрын
Please Tanzanians join campaign against Kenyan footballers in Tanzania, they are about 20 playing for various football clubs in Tanzania, paid alot of money than what they get pain in their country We need to protect our own footballers, let's stand with our own, we don't need Kenyans footballers in Tanzania, charity begins at home. Please spread this campaign to as many Tanzanians as possible. VIVA TANZANIA VIVA......
@NashamcOnjaonja2 күн бұрын
Pamoja sana mkuu
@ngagishow26142 күн бұрын
Simba wewe kilasiku uko simba tu hakuna wazaidi yako apa mashariki.kenya yenyewe binafsi niinchi yavurugu sana yani watuwakenya hawaeleweki..Simba uweunajijia Rwanda inchi yaamani nitunaeshemu watu ote kwaudjumla.Diamond uko djuu zaidi
@HenryHyeraКүн бұрын
Achana na washamba broo simbaaaa kenya wote wana tu copy☠️☠️☠️☠️
Mimi n mwafrika, ningependa kuongea hiv, Tanzania kuna vipaji vingi vya kimziki ima ni gospel ama za kidunia, lakn support two kubwa ni Kenya maanake kuna hyo hali ya kutegemeana, sasa hiz kiki as kijinga zitagharimu makuzi ya sanaa hii, hebu tuache kiki za kitoto tuendelee
@ngalakupata28635 минут бұрын
Hii ndio tofauti kubwa ya wasanii wenye akili ndogo na wale wakomavu, hebu Diamond na Willy Paul jifunďisheni kwa kina Dudu Baya ama Ali Kiba...acheni utoto
@Alexanderjhon-wg1iu2 күн бұрын
Kwanz poz s msani ul underground kiwang chawat wazim han
@Varsity-r1t2 күн бұрын
ona longi yako mbaya🤣🤣
@abongdoki14533 күн бұрын
Big up Simba , wivu huo
@ddabbzfilms2 күн бұрын
Now adress us in a language we understand better.
@yudachelango68242 күн бұрын
He's not Kenyan
@aminaabdalla55712 күн бұрын
We speak Swahili but sheng so don't say we don't understand his language maybe you not us or we
@JohnsomKalu2 күн бұрын
Try English bro we don't understand
@BwenziBoyКүн бұрын
We simba nakukubali sana big
@naimarishedy15232 күн бұрын
Diamond umefanya vizuri usiumie mwanangu. Maana ungepoteza mambo mengi. Wao walichanganta siasa na starehe. Mwandaaji usimlaumu baadhi ya watu wake ustaarabu nusu.😅😅😅😅
@sophiamsangi97632 күн бұрын
Pole sana huna baya na mtu wamevuruga wenyewe tumekuelewa wajipange wasikuzushie
@maboiller2 күн бұрын
Willy for everybody ❤❤❤
@Sammylee-f1oКүн бұрын
We ni Fala umeskia Chenye diamond amesema Hana ubaya
@rizikikivumbi6499Күн бұрын
Wakwanza mimi mkenya hakuna mtu anaeza nizuiya nisisikize nyimbo zako simba..mm simu yangu imejaa nyimbo za wasanii wa tz wakwanza wewe simba wapili jux kiba mbosso yaaani napenda bongo.....ata bongo movie pia napenda saana
@bernardmutie21112 күн бұрын
simba umesema ukweli.. tunakupenda sisi wakenya..
@evajoyentertainment53952 күн бұрын
I like your calmness simba
@yudachelango68242 күн бұрын
😂😂😂shida ya Kenya wamezoea maandamano,, sasa wanaanzisha maandamano mpaka kwenye burudani jamani. Shem on you