SIMBA kishasema kuwa atakaemgusa MBOSO atadili nae, haya sasa jichanganye umletee vurugu bwana KILUNGI, na sisi kama fans wa WCB tunasema kuwa atakae msumbua MBOSO atakiona kilichomtoa kanga manyoa 💪💪
Utu upi wa kutembea na wanawake na kuwazalisha hovyo😅😅😅😅, huna watotooo eeeh
@AzaAzamhmod3 сағат бұрын
@Happizo si wanawake wenyewe cheap sku hz
@deuskusaga81563 сағат бұрын
Kwaio ww ulitakaje?aczae nao au azae naww?kuoa ni mipango ya mtu cyo lazma@@Happizo
@deuskusaga81563 сағат бұрын
@@AzaAzamhmod yes wanawake wenyewe wamejiraisisha sn ckuiz Yan utumii Nguvu nyingi unapewa uroda
@HassaniSalumu-jl5yi3 сағат бұрын
@@HappizoSiku hizi kuna wanawakeee au MATIPWI
@rulimbiyesaid59076 сағат бұрын
Sema baba levo uwa hadanganyi Ila anasema kabla ya wakat tu
@LettyLussi5 сағат бұрын
😂😂😂 ndio
@jacobmaganga33544 сағат бұрын
😂😂😂aki hii comment imenifraisha😂😂
@andrewjoseph56976 сағат бұрын
Simba kama Simba
@halidanehaibati4885 сағат бұрын
Sawa nasibou mougo nahouzidishiye barzraka ❤❤❤❤❤
@PlickaChacha5 сағат бұрын
Kiswahili kwako shida ila fresh tumekuelewa
@ashuramanya92825 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@PlickaChacha
@theopistertheodus17493 сағат бұрын
Badilisha simu utakuja kutukana wakwe bure😅😅
@BigZhumbe3 сағат бұрын
Kumbe Tembo na Chui walikua wakorofi wakalipishwa. Mbosso si huyo amejitoa for free
@mohamedslh5478Сағат бұрын
😅
@JOSEPHSANGA-i8lСағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂chawa lipo NYUMA ya watu wenye pesa zao mjini 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@khadijabbykhadijabby13896 сағат бұрын
Simba
@AllyBabu-kr6lg5 сағат бұрын
Ila pdd😅😅
@christopher-shilax6 сағат бұрын
B levo baaa anacheka kwa aibuuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@beyondmediatz16075 сағат бұрын
Ila njaa mbaya baba levo ka jinga
@NduwumwamiEnock5 сағат бұрын
Simba ashsema😊
@latifamiluko-gr9iw3 сағат бұрын
Baba levo tena😂
@witnesskagirigiri37632 сағат бұрын
Kumbe baba levo alikua sawa .Bosi hajaongea tofauti na fundi manyumba
@rosemahenge90715 сағат бұрын
Na Simba la Masiiiiiiiii😂😂😂haya mshaupata ukweli sasa mtulie😂
@GeorgeJusto-y4v4 сағат бұрын
Maisha bhana 😂
@stārbōyPlātinum-i8c3 сағат бұрын
Hapo Tumeamini sasa
@susanwanyama15943 сағат бұрын
Baba na pua kubwa
@YamunguMatamya5 сағат бұрын
Chawa kama chawa anatamani interview iendelee😂😂😂
@GodsonPalangyo5 сағат бұрын
Sas huyo baba levo anajichekesha nn anatamani km angehojiwa yeye cjui
@LettyLussi5 сағат бұрын
😂😂😂😂yn
@ashuramanya92825 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@francifrancisco617031 минут бұрын
Hoya ukiwa karibu na bosi bro unacheka chochote anasema ata akikohoa wajipata wacheka Sasa b levo ba muache😂😂
@liboriusbabile1197Сағат бұрын
Ukubwa Sio umri ukubwa busara.. that's why the do call you Simba.
@mpendwalove43903 сағат бұрын
Hii clip this month ndo itapata views wengi hapa millard
@happygervas74893 сағат бұрын
Ngoja tuone😅😅
@ItangoMsabila2 сағат бұрын
wapi unaoachana nao vzur kama unavosema hawackik kimuzk waksha toka wcb ebu tueleze nyuma ya paziaa kuna nn mbona harmonize anawika ad saiv na ametoka wcb bila kuelewana vzur na ww afu kna rayvanny ,mavoko wamepotea labda ngoja tuone mboso kama ujamfanyia figus za kuyeyuka kimzk uson unacheka kumbe moyon unaumia na olewako mboso asing’ae kuma makeeeeee
@RanadhanjumaOmmar3 сағат бұрын
nimependa mwisho wenu umekua mzuli
@adamsengo18694 сағат бұрын
Baba level kama jinga vile lina jichekeshachekesha kama zezeta
@MaombiElias-d1g3 сағат бұрын
Chawa ni kufarahi tu
@jacobmaganga33544 сағат бұрын
Tried to show that its not always about money❤
@HASSANBAKARI-q9c4 сағат бұрын
UMESAHAU BRO,,MBOSSO KABLA YA KUWA MTOTO WAKO,,ALIKUWA MTOTO WA YAMOTO NA ALISHAPENDWA,,WE UMETUMWA NA MUNGU UJE KUJAZIA NYAMA TU...NA HILO NI DONGO TU HAKUNA CHA KUHESHIMU MTU INGEKUWA IVO UNGEMFREE HARMONIZE NDO ALIKIWA KIPENZI CHAKO.
@LettyLussi5 сағат бұрын
Baba levo😂😂😂😂
@ashuramanya92825 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂sijuwi naceka nini mimi.
@LettyLussi4 сағат бұрын
@@ashuramanya9282 Yan😂😂😂
@sarahzuberi75305 сағат бұрын
Baba levo
@chibudangote01265 сағат бұрын
UKUBWA ALIONAO ALI KIBA ANASHINDWA KUWAPELEKA KINA K2GA NA TOMMY FLAVOUR MJINI??MBONA HILI SWALA WATU HAWALIONGELEI??
@frankpaul59515 сағат бұрын
😅yeye mwenyewe hajaenda atampeleka nan😂
@BoyFamous-e5i4 сағат бұрын
ZINGATIA SIJAMTOZA HATA SHILINGI MIA
@JeannetteManirambona-o6m6 сағат бұрын
Simba la masimba amesha sema
@SharifashabaniAbdallah5 сағат бұрын
Huu ndo utu sema Kwa harmonize sijapenda kuhusu Angela ningekuwa na uwezo yule dada ningemuinua kimziki wallai
@DenisDonat-lg4gh5 сағат бұрын
Simba la masimba dangote
@IklaatzIklaatz5 сағат бұрын
Diamond ni mtu poaw sana sema mauzi ya watu yanamchukiza sana
@NezhoudnerdunaiyyahAyoubKhamis5 сағат бұрын
Yeah kaz yako imeisha simba bb wakuze af wajitafte wenyew hio ni nzur na huo ndo udugu yaan unamsapot mwenzio pale anapokwama
@joesplatnumz3 сағат бұрын
Kwa ivoo ina maana mbosso peekeee ndio ulikua wampenda saana 😂🤣 jee Konde na Ray??walikua mahasimu wako sio?wacha unafkii mwambino coz aliekua mwandishi wako wa nyimbo zako ni Konde then alipotoka ukamganda chui then sai mbosso nae atoka cjui itakuaje 😂😂
@brunobruntix51774 сағат бұрын
Huyu mziki wake kwisha sasa....
@ToshaMill4 сағат бұрын
Bado yupo 🔥 🔥🔥🔥
@bakarimbena5 сағат бұрын
Sasa baba levo anacheka cheka kama choko vile
@jamesjeremiah94165 сағат бұрын
Huyu ndio Simba nakubari juhudi zako
@RandB_Channel5 сағат бұрын
Mbona hamumuulize kuhusu Zuchu??
@mohdmassoud30526 сағат бұрын
Kwaio raivan amelipa hukumpenda au😂
@Hamylove_254 сағат бұрын
Niwape habari za ndani zaidi baada ya Mbosso kutaka kutoka WCB Konde Gang yajibu mapigo kwa kutaka kumsaini Msanii mpya anaeitwa Hamy Love anaetamba kwa wimbo wake wa Subira andika Subira by Hamy Love ukamuone huyo Mwamba anajua sana mpka anakera ukiingia chanel utube yke usisahau kusubscribe, kushare, kulike na kucomment ili kusapoti kazi yake iende mbali zaidi
@Happizo3 сағат бұрын
We muongooo na hatuendi kuview ...hatuna mabando ya kuchezea😂😂😂😂😂😂😂
wewe acha uwongo awezi msani yoyote kutoka kwako bila kulipa malipo au sema tu ukweli kama kamaliza mkataba wake harmonize alikua anakupenda na kukuheshim akakupa malipo uliyo yataka nabado ju yake ukataka kumzamisha shimono kama sio maga hakuna mtu yoyote angemskia tena harmonize konde boy jeshi izo story za mbele ya camera tunazijua sana ndani sasa