Рет қаралды 114,806
Avril ni mwimbaji staa kutoka Kenya ambaye pamoja na hit singles nyingine, 'chokoza' aliyoifanya na Marya iliwafikia Watanzania wengi.
Weekend iliyopita alikuja Tanzania kufanya video na Director Hanscana kwenye single mpya ya 'no stress' ambayo amemshirikisha Ay, pia alitembelea TZA kwenye studio za Millard Ayo na kufanya hii Interview ambayo aliongelea kuolewa mwakani, kuokoka, kufanya muziki wa gospel na mengine.