EXCLUSIVE: KIJANA ALIYEKUWA GEREZANI NA SABAYA ASIMULIA TUSIYOYAJUA

  Рет қаралды 60,528

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 жыл бұрын
Pole sana kamanda, dunia ndo ilivyo, hongera kwa kutoka salama na wenzio watatoka
@mwana4599
@mwana4599 2 жыл бұрын
Bright intelligent innocent guy.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
SAFI SANAA.USHAURI MZURI.
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
Pole sana Tena sana Kaka tuko paamoja sana kwa hakika
@geofreyruta1723
@geofreyruta1723 2 жыл бұрын
Pole ndugu
@shaneshane4175
@shaneshane4175 2 жыл бұрын
Unatakiwa kupumzika kwanza kwa sasa embu acha kuhojiwa kwa sasa
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Hawa madogo walizungua sana hapa Arusha.
@christeternallifetv5959
@christeternallifetv5959 2 жыл бұрын
Walikuwa wanafanyaje?
@leonardbrown181
@leonardbrown181 2 жыл бұрын
Wambie uchawa sio mzuri
@vanderjoe2551
@vanderjoe2551 2 жыл бұрын
Dah
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 жыл бұрын
Eti "ukimuona kijana unatamani umpige kibao" Kumbe gereza limekufunza, basi fanya shughuli za kilimo achana na upambe na ubabe wa kipumbavu. Pamoja na kuachiwa na mahakamav dhamira yako iendelee kukuhukumu katika kweli!
@marcominja8850
@marcominja8850 2 жыл бұрын
Sio kweli kwamba hamkufanya makosa bali, kasoro za kiutaratibu na mapungufu ya kisheria yamewaweka huru. Muombeni Mungu awaokoe na visasi vya jamii.
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 жыл бұрын
Marco, Nakubaliana na wewe!
@fatymnyama2839
@fatymnyama2839 2 жыл бұрын
Acha usenge unauhakika gani walifanya uharifu mapumbu ya mama yako mzazi
@marcominja8850
@marcominja8850 2 жыл бұрын
@@fatymnyama2839 pole sana na matusi hayakusaidii kujenga hoja. Ukweli videos za cctv camera ziliwachukua wakufanya uhalifu ndani ya duka la mfanyabiashara, ndio maana nasema kuchomoka kwao ni kwa mapungufu ya sheria na sio kwamba hawakufanya kosa
@fatumakhamisi1002
@fatumakhamisi1002 2 жыл бұрын
Uko sahihiii kabisaaaa
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Watangazaji wa tz jaman ni majanga iv kumuuliza mtu kwanza ilikuwaje akakamatwa n kwanin alikua na case mnapata hasara gan?? Mnadhan wote tulikua tunafatilia iyo kes mahakaman mnazingua sana nimesikia maparachichi njombe nimesikia vijana wadogo wapo jela ila sijasikia ni nin kilichomfanya akakamatwa.
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" kwani kosa si amesema mwenyewe uhujumi uchumi"au inakuwaje
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 hata mimi namshangaza
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 Uhujumu uchumi wa kuchonga au vp!!!
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 жыл бұрын
@@mamboshepea8888 kama ule sabaya aliowatengenezea wapinzani wa ccm
@simongalahenga6858
@simongalahenga6858 2 жыл бұрын
Ningeshauri wapewe muda kwanza midia ziwape muda wa utulivu
@nesto3587
@nesto3587 2 жыл бұрын
Fidia vp bro
@JosephuSwai
@JosephuSwai 8 ай бұрын
Umechiwa na wanadamu je kwa MUNGU
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 жыл бұрын
Kwahiyo yule mshikaji aliyepigwa milioni 90 habari yake ndiyo imeisha hivyo? . Yani mjasiriamali anadunduliza hela zake mpaka zinafika m 90 halafu zinachukuliwa na muhuni fulani halafu hakuna kesi?.. Mambo yanatia hasira sana..
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 2 жыл бұрын
Rudi tena ushirikiane na wahuni kama Sabaya.
@kilianamapunda3170
@kilianamapunda3170 2 жыл бұрын
Mbn unaonesha wewe n jeuri sura na unavoongea
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 Жыл бұрын
Hapana. Kijana anajielewa sio mjeuri.
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 жыл бұрын
Mshkaji umeongea point sana, una akili kubwa sana MUNGU azidi kukuongoza
@barakaathanas4030
@barakaathanas4030 2 жыл бұрын
Vitamin u
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 2 жыл бұрын
Kama hujuwi, kesi imeanza upyaaaaaa !!! Sabaya kisha pelekwa Mahakamani Arusha Serikali imekata rufaa, wewe jibaraguze tu muda simrefu utakamatwa muunganishwe tena.
@sabatoelia312
@sabatoelia312 2 жыл бұрын
Hapo kwenye kulala saa 9 ningekufa tayar
@tulinavemgeni210
@tulinavemgeni210 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@westmanmoses541
@westmanmoses541 2 жыл бұрын
Sabato nimecheka hadi nimetoa machozi
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Sasa Nani atalipia huu.muda ambao umepoteza bure huko mahabusu.?.
@froma3732
@froma3732 Жыл бұрын
Sabaha ndio atamlipa
@maximemasinga9504
@maximemasinga9504 Жыл бұрын
Mkipataga nafas na nyie mnajifany km miung mt kummae sabaya
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Amna mtu wa Arusha ambae ana muombea mema sabaya,Afungwe tu shezi ata miaka 40 katutesa sana apa Arusha.
@wannaproducts
@wannaproducts 2 жыл бұрын
Alikufanya Nini?
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" kwani sabaya kaifanya nini arusha? Wakati alikuwa mkuu wa wilaya ya hai
@happinnesspius9854
@happinnesspius9854 2 жыл бұрын
Ndoumechelewa maombi yako sabaya ataachiwa
@gracesamwel1338
@gracesamwel1338 2 жыл бұрын
Mmmh
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@happinnesspius9854 Kwanza Mungu asikilizi Maombi ya mchawi maana kazi ya mchawi ni kuwaombea watu majanga...amechelewa sana!!!
@msemakweli9626
@msemakweli9626 2 жыл бұрын
Acheni usenge kuachiwa na mahakama sio kuwa hawajafanya makosa, leo haya majambazi mnayataka kufanya ni macelebrate...issue kitaa kitawakubali!?
@felixhaule7071
@felixhaule7071 2 жыл бұрын
Ulikuwa Chawa wa Sabaya,huo ukulima ulipokamatwa kule Oasis Apartment Dar ndio ulikuwa unalima kule enh!!!najua mlifanya mambo ya ovyo sana na huyo Sabaya wako wala hamkuonewa kushtakuwa,sasa fanya tena ujinga mtaani,naamini umejifunza
@christeternallifetv5959
@christeternallifetv5959 2 жыл бұрын
Una ushahidi wa hizo shutuma?
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 жыл бұрын
Huyu alikuwa ni chawa mwenye njaa, na kufata mikumbo.. Hayo mambo ya kilimo cha parachichi ni zuga…
@heraldnkya2098
@heraldnkya2098 2 жыл бұрын
Mnawapa airtime vibaka hao wezi kabisa alafu loliondo habari kama hamzioni yaaani 🚮🚮🚮🚮
@sebastianmboya6702
@sebastianmboya6702 2 жыл бұрын
Mbona haumjauliza maswali ya msingi ,yeye na sabaya walikutana vipi ? Mazingira gani yalifanya akatuhumiwa ?
@omaryahya337
@omaryahya337 2 жыл бұрын
@@sebastianmboya6702 hongera kaka umeona kitu Cha maingi wew ni bonge la muaandishi
@johnsiju1059
@johnsiju1059 2 жыл бұрын
Pole ww mwenyew kibaka
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Kesi za simu una zimaani kwa kuwa nyinyi mukizulumu watu mamilioni fack
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Uyo dogo hata dumu hapa duniani.
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
@@christeternallifetv5959 hawa madogo kiongozi walikuwa wapambe wa kuma sabaya na huyu hana cha ukulima huyu alikimbilia dar na alikamatiwa huko dar aptimeti ya oassi hotel,hawa ni majambazi waache waje mtaani waone kitacho wakuta.
@claudbusumilo3979
@claudbusumilo3979 2 жыл бұрын
We ni MUNGU NI MUNGU PEKEE ANAEEE JUA NANI ATAISHI MDA GANI
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
SABAYA AKAMATA MAMA ANAPIKA GONGO, "USAMEHEWE WAKATI UNAUA WATU"
5:22
Magaaladii isku xirtay Afrika iyo Dunida - Saylac || Zeila Africa’s Trade Hub
45:37
Geedi Sahan - Somali Traveler
Рет қаралды 158 М.