#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 59,302

EastAfricaTV

EastAfricaTV

16 күн бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 138
@jaderkyser9389
@jaderkyser9389 13 күн бұрын
Nyimbo kali zipo nyingi katika album, ila nazikubali 1.nitasimama tena Ft Abiud 2.Nishaachana nae Ft Phina 3.Namuachia Mungu Ft Appy 4.Naskia Harufu ft Chid Benz 5.Nakuja Kwako ft One Six
@imranmohamed9527
@imranmohamed9527 5 сағат бұрын
Nakukubali sana ROMA
@BingwaboyPepeleboy
@BingwaboyPepeleboy 6 күн бұрын
big artistes in rap
@omolomaxfitnessbodylifetim8252
@omolomaxfitnessbodylifetim8252 10 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤Msanii wa Rwanda aliyesemwa kufariki alikuwa anaitwa Ivan Bravan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤. Big up from Kigali. Ila kama Nasikia harufu vile😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-qb1jv2dy2d
@user-qb1jv2dy2d 11 күн бұрын
Roma ni Artist mwenye Akili kubwa mnoo! Binafsi Naamini ili kumwelewa vizur inahitaji Mtu uwe na uwezo mkubwa wa Akili na Fikra. Lakini ukiwa na Akili ya Kawaida ni ngumu sana kumuelewa.
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 8 күн бұрын
Unaakili sana nilikuwa sikufatilii leo nimeskiliza na nimakufaham .mungu akuzidishiye
@basilvenance1368
@basilvenance1368 5 күн бұрын
Anajitambua sana, pia anatumia akili sana kufikisha ujumbe.
@KelvinBushesha
@KelvinBushesha 10 күн бұрын
Tunategemea hizi ngoma zisikose Top10
@KenedyKazana
@KenedyKazana 3 күн бұрын
Akika usipo kuwa makini uwezi kumuelewa mwamba mungu ni mpaji wavyote mungu awe nawe mpaka mwisho✝️
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 12 күн бұрын
All the time = wakati wote
@silvanusmasawe
@silvanusmasawe 8 күн бұрын
Love you kaka ❤❤❤❤
@millardGaiga-vh9yh
@millardGaiga-vh9yh 12 күн бұрын
Oya wanangu Roma katisha "aliyemteka Roma ndo aliyeyavamia mawingu and vice versa "
@user-qb1jv2dy2d
@user-qb1jv2dy2d 11 күн бұрын
Yeah, that's Truthfully.
@user-tt1ze2dw4x
@user-tt1ze2dw4x 22 сағат бұрын
Mweu anakujaga bondo nakurudi uyu broo ngoja siku nitakupost ukiwa apa bongo😂😂😂
@AndreaBalintanzeko-vd8yw
@AndreaBalintanzeko-vd8yw 12 күн бұрын
🎉🎉
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 12 күн бұрын
Roma ni rapa mzuri isipokuwa hajui biashara ya muziki
@RiddoRiddo-jj1bx
@RiddoRiddo-jj1bx 11 күн бұрын
Rapa wa kawaid s
@imammwasanyamba9715
@imammwasanyamba9715 13 күн бұрын
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 13 күн бұрын
tunakukubali sana hujawahi kosea kaka. Big up roma👏👏.
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 12 күн бұрын
Mkivaaa kiatu cha roma amtembei mnasaau kwambaa akuna alokamilika so ata ukiwa nawatoto so wote wataona unatenda aki lkn mzeee wetu ulitishaa
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 11 күн бұрын
Tatizo la uyo mtangazaji ana sifa hatulii anatangaza kuonekana kama anajua wakati sifa ya mtangazaji inatakiwa kufanya kaz na sio kushindana
@jaderkyser9389
@jaderkyser9389 13 күн бұрын
11:28
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 11 күн бұрын
Naona kama bando langu mmelimaliza tu mlichoandika hapo na Roma alichoongea vitu viwili tofauti
@chrispinegervas1681
@chrispinegervas1681 13 күн бұрын
Super
@HamisiWilson-kb2bj
@HamisiWilson-kb2bj 11 күн бұрын
Roma salute _$
@dreamz_d
@dreamz_d 5 күн бұрын
Bro 😎
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 12 күн бұрын
Nyinyi wapuuzi tu hakuna lolote
@joelandekile3933
@joelandekile3933 12 күн бұрын
HI CHANNEL IMEKUWA YA KISENGE SASA
@xmathematics_
@xmathematics_ 13 күн бұрын
dk 46
@josephbuddoh1577
@josephbuddoh1577 11 күн бұрын
Natamani kusikiliza hio ves walioigomea kuirusha hewan
@eliahswai1607
@eliahswai1607 13 күн бұрын
Big up to you bro since day one hujawahi kukosea
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 12 күн бұрын
Kaka nikweli lkn maumivu aliyapata yeye akuna alokamilika ata mzee akukamilika boss lkn tulimpenda mzee wetu kwa hyo ukijalibu kuvaa kiatu chaloma usingewenza kutembea
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 8 күн бұрын
Roma mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RamadhanHaruna
@RamadhanHaruna 13 күн бұрын
Roma mtanzania ivi kwanni kaka umehama bongo
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 13 күн бұрын
Kwani kuna shida gani? Yani uache sehemu yenye pesa.
@isaacbywell7081
@isaacbywell7081 13 күн бұрын
​@@angelsblackboard8008 ww Angels mbona majib yako na jina lako haviendani. Unatukana nakujib vitu visivyo.
@herbethlukogela7657
@herbethlukogela7657 12 күн бұрын
Kwani hivi Roma ni mtu wa kwanza kuishi nje
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 12 күн бұрын
Kwani kuna shiido
@dennischarles8524
@dennischarles8524 10 күн бұрын
Umesahau alitekwa kupigwa karibu auliwe?
@MATHAYOPETROGARYA
@MATHAYOPETROGARYA 12 күн бұрын
Namshauri sikumoja aimbe kuhusu flusa anazoziina huko especially masuala mazima ya biashara zinazoweza kuzalisha tukauza huko america mamen aache kutia sumu miyo.ya vijana ..coz Dunia haiitaji mambo hayoo kivile we need to hear economic issues..thanks
@joshuanyaulingo4109
@joshuanyaulingo4109 12 күн бұрын
an kwa huo ushaur wako nd umbadilishe,, akat alinusurika kupotezwa en he z still in his standing
@user-tx1yb3my3m
@user-tx1yb3my3m 9 күн бұрын
Mm kilicho nishangaja uyo mtangazaj Ana nawa sanamikono bila maji
@DitrickKidagayo-cj1cj
@DitrickKidagayo-cj1cj 13 күн бұрын
Huyu muongeaji Bado Hana sifa ya kuwa mtangazaji kigugumizi kama ametoka kunywa pombe
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 9 күн бұрын
Ngoma kama hizi zinatakiwa kuwa nafasi za kumi bora kilamara
@jeromejanson3003
@jeromejanson3003 10 күн бұрын
Is name’s jay polly
@brudatv3539
@brudatv3539 10 күн бұрын
Walioanza kukimbilia comment
@ORG960
@ORG960 9 күн бұрын
Roma ameamza kuzeeka sikuizi
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 9 күн бұрын
Wanao kutukana naisi wana upungufu wa ufam kwaiyo wasame tuu
@LukeloKibumo-uu2oh
@LukeloKibumo-uu2oh 12 күн бұрын
Kote umeongea vizuri ila kumgusa aliyevamia mawingu umefeli unaushahidigani
@juliusmix
@juliusmix 11 күн бұрын
Kuna wakati usipoelewa kitu ni heri unyamaze tu ili usionyeshe udhaifu wako. Unazungumzia ushahidi kwa mhusika mwenyewe? Mhusika kasema, wewe unasema hana ushahidi...,unataka alete ushahidi hapa ni polisi?
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 11 күн бұрын
Huyu dogo anachokonoa hatari
@idrisandaka2198
@idrisandaka2198 8 күн бұрын
Huyu ni mwamba na nusu
@chrismwanjalika9892
@chrismwanjalika9892 10 күн бұрын
Hivi bado Nyimbo mnaita mwimbo? dah! hatutafika.
@brain_ujazo
@brain_ujazo 9 күн бұрын
Wewe mwenyewe pia umekosea hakuna Neno NYIMBO kwenye Kiswahili . Ni WIMBO Tu Iwe Wingi Iwe Umoja.
@MponelaJuma
@MponelaJuma 13 күн бұрын
we mtangazaji unapapara tulia wakati unauliza maswali
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 11 күн бұрын
Wa kike au wakiume😂
@user-wy5zv2qw6t
@user-wy5zv2qw6t 10 күн бұрын
Ramadhan na ww unauliza nn ss
@user-rk9sd4kc4d
@user-rk9sd4kc4d 8 күн бұрын
Mzuri ni mchamungutu, nyie pigeni keleletu, af mnasahau Akhera
@robartifabiani
@robartifabiani 12 күн бұрын
Tano nyingi mpaka sugu
@VitukoKiwanga
@VitukoKiwanga 13 күн бұрын
Mwana, halakati huyoo!!
@ThousandPhase
@ThousandPhase 13 күн бұрын
Roma anakitu so ni mkweli Mimi sjaona ubaya wake
@MohamedBakari-lb5mk
@MohamedBakari-lb5mk 13 күн бұрын
Mwana harakati mmoja
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 11 күн бұрын
Ila yupo kijijini sana😂😂😂😂
@kareem1182
@kareem1182 5 сағат бұрын
Ulayaa ata pakiwaa shambaa sawa na masaki
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 9 күн бұрын
Mm binafs nakukubali ijapo umetukacha
@Black-sound24
@Black-sound24 13 күн бұрын
Roma 💥
@OscarPilla-oy2rc
@OscarPilla-oy2rc 12 күн бұрын
Ww 🎉❤mwamba
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 13 күн бұрын
Big up east Africa, big up Sana mwanangu Roma ,npo nawewe tangu mathematics adi leo paka na panya, kwenye maua yangu,,endelea kutusema watu wako🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😎😎😎😎😎😎(nimewa challenge ,nlikua natafuta coment50 Dil done)😂😂
@emmanuelchacha6718
@emmanuelchacha6718 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 13 күн бұрын
Kwani serikali ikikosea inatakiwa watu wasiseme? Hivi Mikundumikundu kama wewe akili mnapelekaga wapi?
@NorascoKipeto
@NorascoKipeto 13 күн бұрын
hamna bayaaa, chupa limeamka na chai,
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 13 күн бұрын
@@angelsblackboard8008 mdomo uliponza kichwa😎😎😎
@TIMOTHEOALFREDI-zf2te
@TIMOTHEOALFREDI-zf2te 13 күн бұрын
Ww nyiko kweli urafinywa nyuma serikali ni nani sio me na wewe acha ujinga
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 13 күн бұрын
Mtanzania anaeipenda nchi yake. Mzalendo ndo huyo sasa.
@ThousandPhase
@ThousandPhase 13 күн бұрын
Eee bana ee Roma ni jembe na nimegundua kitu rap iliyotulia IPO Moro na mwanza
@user-to6cg8uf3f
@user-to6cg8uf3f 12 күн бұрын
BT remind you Roma mwana fa wanatoka Tanga😊
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c 13 күн бұрын
Tatizo uyu jamaa kuimba anajua shida mpumbavu wa kupinga ata jitihada za kuvusha inch katika umasikin
@MayraTiffu
@MayraTiffu 12 күн бұрын
Acha uchawa ww kupinga jitihada gan
@SikabweChristophe
@SikabweChristophe 12 күн бұрын
Bro are you mad
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu 12 күн бұрын
Bado bongo wasiojielewa ni wengi saaana aiseee
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 12 күн бұрын
Musenge wewe
@januarysungura8119
@januarysungura8119 12 күн бұрын
serikali inajitihada gani zaidi ya kutuendelezea umasikini na wenyewe ndo kubakia matajiri,au na wewe ni mjukuu wao?
Derby (Paka & Panya) ft. Latifah (Lyrics Video)
6:01
VIVAROMA
Рет қаралды 43 М.
UFC Vegas 93 : Алмабаев VS Джонсон
02:01
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 226 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 33 М.
DC ARUMERU ATOA TAMKO DHIDI YA SOKO LA TENGERU ARUSHA
10:22
MERU DISTRICT COUNCIL
Рет қаралды 4,3 М.
Ndaro na Leonardo Waoneshana Ubabe Jukwaani, Ona hapa nani mkali?
21:33
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Eliud Samwel
Рет қаралды 66 М.
UFC Vegas 93 : Алмабаев VS Джонсон
02:01
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 226 М.