Jamani I know this lady, alikua jirani yangu. She is just a sweet soul. She has a strong faith jamani. Mama B nimefurahi kukuona tena sweetheart ❤️
@zahrababygarl1568 Жыл бұрын
Anakaa dar sehemu gani
@dianamsuya4854 Жыл бұрын
I know her too ...ni m2livu na mchamungu mno dadaangu
@cesilialucas2458 Жыл бұрын
Mungu ni mwema anajibu kwa wakati sahihi
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
MUNGU WA MAMBO YASIO WEZEKENA 🙏🏿AMEN AMEN MAMA HUYU ❣️
@jamilajamal1584 Жыл бұрын
Huyu mama mmmmh roho ngumu 🥲dada ww ni kupe hongera sana👏🏽👏🏽👏🏽
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😂😂 kabisa mama roho ngum mi hata nigombane Vipi na Mzee siwez Acha watt wangu isitoshe Baba angle ni Baba mzuri mdada anahekima
@zurrychannel235 Жыл бұрын
Nilijua mimi tu ndio nimeliona ilo😃😃🤔
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Usiwe mwepesi kulaumu mpaka ukiona Mama kamuachia mtoto Baba mengi yalihusika
@maajabumaridadi8756 Жыл бұрын
Ana roho ngumu sana yn sijui anachinja ng'ombe. Ila huyu dada anamjua sana Mungu ndy maana ana furaha na amani yn kasahau yote.
@aminamakobola7386 Жыл бұрын
Hongera Sana angel
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Mungu ni Mungu asiyeshindwa, Mungu azidi kukuinua binti, umeinua imani za watu wengi, nimekupenda sana...na kulikubali hili Neno MUNGU WA YASIYOWEZEKANA...yale tunaona hayawezekani Mungu hufanya njia🙏🙏
@hubamwinyi2441 Жыл бұрын
Je huyu mama hakupata ht kujua ndugu za mtu aluyezaa nae au ht wafanyakazi wenzao...licha ya mawasiliano kuwa magumu ila miaka 40 ni mingi mno kutokujua kabisa habari za mwanao. Mtoto sehemu kubwa ni mama, hakuwahi ht kupata mshtuko kuwa kizazi changu hakiwezi kupotea, angetafuta ht bdugy au jirani ili apate kumuona na kujua kuwa mama yeye yupo. Ni huzuni kubwa sana hii...wajukuu utawauma mno wakikua na kujua. Ni ngumu kuunganisha udugu. Mungu tusaidie na utusamehe.
@magrethpastory4311 Жыл бұрын
Mungu ashindwi yeye ni muweza wa yote.Hongera kwa ulilofanya kumtafuta mama ,hakuna kama mama
Yesu nilijua movie. Big up sweet heart kumpata mama.
@LucyMwasu Жыл бұрын
Hongera dada kwa kuweka Imani kwa Mungu Ni kweli hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Maskini🙏🙏🙏 hongera Sana kwa kumpata mama ako mzazi kweli una fraha kubwa moyoni.
@lovegodwine7868 Жыл бұрын
Mama ana roho ngumu , sijui ni hasira daaah🥲🥲
@neemaloy889 Жыл бұрын
Maombi Yana nguvu Sana Dada hongera kwa kumtanguliza MUNGU
@shamzone388 Жыл бұрын
Hakuna kama mama kwa kweli Hongera dear
@Neema9358 ай бұрын
Huyu mama , moyoni mwake, hamna furaha, sijuwi anakumbuka alicho fanyiwa na mwenza wake. Hongera sana dada.
@zawadizawadimussa23 Жыл бұрын
Uyu mama ni mtata hakuwa na uchungu na mwanae
@Papaa_Hillary_Mrema Жыл бұрын
Vitu kama hivi vikitokea huwa vina Ishara nyingi mfano inawezekana Mama ameishi kwa majonzi na amekuwa akimuomba Mungu kabla hajaondoka Duniani akutane tena na Binti yake. Huyu Binti afanye Ibada ya Shukrani pia afanye mpango yeye na Mama yake waende Tabora kumuona Baba yake ili Wazazi hawa waombane Msamaha. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@husseinally5550 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@kadokemarco9966 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@mengikiguruwe6750 Жыл бұрын
Inawekana pia huyu binti alitaka kuonana na mama ili amuoneshe wajukuu na mkwe wake kabla hajatwaliwa; suala la kwenda Tabora si muhimu kwa sasa kwani mzee ana maisha mengine
@mercygibson1379 Жыл бұрын
Glory to Almighty Living God. Amen
@NextoHunter-rm3cs Жыл бұрын
Dada unaimani kubw sana na mungu
@hildahtemu Жыл бұрын
Nafrah sana mama angu yupo....mungu ahsante kwa ili ❤pia naiman baba yangu nawe utakuepo na wish nikuone ...mimi ni mzima na wishi nawe nataman nikuone baba ata sekunde moja❤....daaah sijui ntampata wapi mana najina moja tu nalolijua....Temu❤
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Huyu mama hakuwa anamuhitaji kwa sababu alikuwa na watoto wengine🤔. Namshangaa alivyomsahau mtoto wake kabisa😢
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Pengine ameona din yke tofaut
@marthamungure1777 Жыл бұрын
@@saynabmohammed6263 Alimwacha akiwa mdogo. Hakuna sababu yoyote. Mtoto mdogo hajui dini. Alimtafuta mama alipojua wokovu.
@mwitaagness455 Жыл бұрын
Usishangae miaka 41 ni mingi jamani huez kumkumbuka mtu
@marthamungure1777 Жыл бұрын
@@mwitaagness455 Alikuwa wapi mpaka akafika miaka hiyo?? Hata baada ya mwaka au miwilu hakutaka kwenda kumwona alipomwacha?
@mamachris6811 Жыл бұрын
Dada anajua kujieleza,( anatiririka kama Mtangazaji) Conguraturations 🎉
@sifatiiman Жыл бұрын
yuko vizuri kama mimi tu
@husnaameen9309 Жыл бұрын
Huyu mama alijitoa muhanga dah, Bora tu umeonana nae lakini amama yako ana roho ngum sana
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Inaonekana mama kweli anaroho ngumu hata mwonekano wake kwenye picture hachangamki
@msaphirimagallah5781 Жыл бұрын
Huyu mama asamehewe tu... nawasihii wamama wale hizi roho achaneni nazo! Mnawatesa watoto wenu wasikuwa na hatia...
@yasmine937-so4mi Жыл бұрын
Kuna wamama wanaroho mbaya miaka 40 hujui mwanao anaishi vipi looo huyu mama anaonekana anaroho ngumu kweli ata ongea yake kwanza anaona aibu looh😂😂😂 Ahsante mama angu kwakutukuza watto zako nitakupe daima❤❤❤
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Yani huyu mama Hana hata aibu
@michaelchristopher2452 Жыл бұрын
Bi mkubwa samahani lkn wew ni mtu mbad sana
@narlt229 Жыл бұрын
@@michaelchristopher2452 😂😂
@maajabumaridadi8756 Жыл бұрын
Huyu mama ana roho ngumu kwa sababu angekuwa na nia ya kumtafuta mwanae angeweza kwan mzazi mwenzie alikuwa ni mtumishi wa serikali ni rahisi sana. Na baba wa huyu Angel ni mtu mzuri inaelekea maana angekuwa nunda angemwambia labda mama ake alikufa siku nyingi lakini hajamficha kitu. Huyu baba akapewa maua yake.
@dominamsonge3088 Жыл бұрын
Huyu mama anaonekana hasira ya mwenza wake aliihamishia kwa mtoto maana kama vile bado anahadira jamani. Mungu atusaidie wamama
@justinalyimo7966 Жыл бұрын
Kahsmishiaje Sasa wakat baba alitaka mwanae
@sebastianmwantuge5597 Жыл бұрын
Una psychology kali sana,hata mimi nimegundua hilo
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Yani pia naona HUYU mama hajafurahi
@memoryngambi7570 Жыл бұрын
Unamaanisha yupo kama bibi Ester yaani wa kwenye CD ya teke la mama,umenifurahusha ndugu yangu.
@itanzaniaAS Жыл бұрын
@@memoryngambi7570 🤣🤣🤣🤣🤣
@HappinessTumile Жыл бұрын
Hongera sana Mungu amejiinua na hakika ni Mungu wa yote yasiyowezekana,
@uwinezajohara8362 Жыл бұрын
Maman ni maman tu hakukulea ila unatamani umuone .upendo wa mama na mwana ni wakipeke
@lovenessfrancis5547 Жыл бұрын
Dah!mama komando professional ps but matendo commando jmn miaka 2-40 hujui Hali ya mwanao dah!! hongera dada nimekupenda bure
@nururaymond5 Жыл бұрын
Hawajafanana hataaaaa!!!!Ila binti ana Mungu ndani yake Walezi wake pongezi kwenu
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Ila uwezo wa kila mtu kumtafuta mwezie ilikua inawezekana kabisa sema hawakutaka
@frankbella4271 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni hashindwi
@EdithaMosha5 ай бұрын
Mama roho ngumu amegawa mtoto na kumsahau kabisa miaka yote inaima Dada Imani yako kwa Mungu ni kubwa ubarikiwe kabisa mm hana mapenzi na mtoto kabisa
@minamina8024 Жыл бұрын
Ila uyu mama kauzu sana
@ElizabethEnock-ub5vv Жыл бұрын
Namuomba mungu kila siku anifunguliy njia nikutane na mama yangu hakika nitafulai sana
@saurasoso1543 Жыл бұрын
Uyo mama mwenyewe Sasa ongea yake tu ana kiburi zarau na roho yake ngumu kinyama mbona haonyeshi kumfurahia mwanae khaa 😂😂😂😢
@annehk8185 Жыл бұрын
anasikitisha kwa kweli yaani hana furaha hata ya kuigiza ile ya kinafiki aibu tupu kwake kama mzazi
@fideahyera2599 Жыл бұрын
Aibu na kujickia mkosaji kwa mwanae
@joycemwankusye4872 Жыл бұрын
Hata mi huyu mama simuelewi duuu...
@namsamson3443 Жыл бұрын
Alafu mtoto anamkumbatia yeye wala, ndugu zake Angel ndio wamefurahia ila huyu mama 😢
@lylianvegulla7555 Жыл бұрын
Ni aibu. Watoto wanaPotezaga Baba siyo Mama.
@marthajohn9120 Жыл бұрын
Hongera sana my dear kwa kuwa na imani kubwa sana
@lilianimikaeli Жыл бұрын
My
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Uyu mama ana roho ngumu sana miaka yote iyo umekaa hujui mtoto wako yupo sehem gani du
@waimani5550 Жыл бұрын
Nazani ndio sababu ya Mungu aliamua kumtenganisha na mtoto wake, vinginevyo binti angekuwa kama mama yake
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Yaani jamani
@salminasalim5630 Жыл бұрын
Pole kwa kutopata mapenzi ya mama udogoni na hongera kumpata mama yako ukubwani ingalau uweze kuonja mapenzi yake MMUNGU awalinde and continue to cement your relationship
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Nikwambie kitu ndugu, sio wamama wote wenye mapenzi kwa watoto wao, kuna mtoto analelewa na mama mzazi lkn mitihani anayopitia! Na kuna mtoto analelewa na mama wa kambo ukiambiwa sio mama yake huta amini! Tunategemeana na moyo wa mtu. Japo mama ni mama
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Nikwambie kitu ndugu, sio wamama wote wenye mapenzi kwa watoto wao, kuna mtoto analelewa na mama mzazi lkn mitihani anayopitia! Na kuna mtoto analelewa na mama wa kambo ukiambiwa sio mama yake huta amini! Tunategemeana na moyo wa mtu. Japo mama ni mama
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😢😢mi nilikaa 7yrs bila mama na alivyorudi hakukaa akafa
@carolineelias5847 Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema sana kwake yote yawezekana
@ifadatalizam8607 Жыл бұрын
Huyo mama wala haoneshi furaha kakalia kiroho mbaya
@mwajumahamisi2006 Жыл бұрын
Kabisa
@salmamlokela1987 Жыл бұрын
Mimi nahis kama moyo wake umekufa ganzi sijui amini amin
@aminakasim1198 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Astaghafirullah
@sifaupindo Жыл бұрын
Kakika, pia atakua Hana mapenzi nae sababu hajamzoea, na mazoea pia yanaongeza upendo
@maimunamsakamali9152 Жыл бұрын
Hongera bibi sahili Kwa kumpata mwanao
@marselinarweyemamu4034 Жыл бұрын
Kwa mtazamo mama haukuwa na mapenzi ya mwanao.kiukweli haiwezekan we miaka yote usimtafute mtoto
@rahmaidd1246 Жыл бұрын
unajuaje wewe
@sifasanga7866 Жыл бұрын
Mimi ukweli nimeingia leba siwezi kuacha mtoto wangu Mdogo bila kumfuatilia
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Sahihi angalia hata uongeaji wake amerilux Sana
@ChristianDondo Жыл бұрын
Kumbukeni mawasiliano ya miaka 40 iliyopita yalivokuwa, mtu akihama mkoa asiporudi yeye alipokuacha na ww ukawepo ngumu kuonana
@hamedhabsi2752 Жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu Mimi Mtoto ndie atafutae wazazi wake. Yeye kafika Hadi umri huo wa karibu miaka 43 kutoka na stori iliyozungumza happy kua wametengana wakati akiwa na umri wa miaka miwili. Kea Nini hajamuuliza babake kuhusu Mamake?
@abdulkaleemmbarak66706 ай бұрын
Tenda wema wende zako. Mama ametoa pongezi Kwa binti yake na clouds TV akamuacha mzazi mwenzake alie kuza.Baba nakupa hongera Kwa kukuza binti yako jazza yako iko Kwa mungu.
@NaomiMshana-lj4tc5 ай бұрын
Barikiwa sana dada enjo
@mariamnkenzi3651 Жыл бұрын
Oh glory to Jesus❤
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Barikiwa San dada mama ni mama kns🎉❤🤲🙏👏🔥
@ellybrown5989 Жыл бұрын
Mungu ni mwema Angel Barikiwa Sana na Mama,wabarikiwe pia waliokulea.
@happymau2809 Жыл бұрын
Waoow Asante Mungu
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Mama Amejaa Asira Sijajua Kama Anajisikia Vibaya Kwa Kukaa Mbali Na Mtoto Bila Kumsaka Au Bado Yuko Na Asira Wenda Kati Yake Na Mmewe Awakua Na Mawasiliano Mazuli Sasa Bado Amejawa Asira
@robertmwangomale Жыл бұрын
Jamani ni jambo jema sana,,,,nami namtafuta baba yangu mzazi tangu nizaliwe sijawai kumuona naitwa Robert mwangomale ( ila Jina baba niliambiwa anaitwa mlewa A mlewa anaasili ya iringa na dodoma
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Siqezi kuachia mtu mtoto wangu hata km niko na Hali gani we!
@floraflora57178 ай бұрын
Inavyo onekana uyu mama sio poa kwake ajapenda afu anasema anaelekea kuwa mubibi wakati kishazeeka unamuachachia mwanaume mtoto wako eti yupo mikono salama duh dada pole sana pia onger
@ScollaLeba-qm3rv Жыл бұрын
Dah furaha ilitawala sana hongereni jamani ❤️❤️
@Mommy4147 Жыл бұрын
Mungu yumwema jmn tumregeshee sifa na utukufu 😭😭😭🙏🙏🙏
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Glory be to our God almighty
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Mashallah 🙏🙏 nimefurahi sana kusikia umeipata pepo yako🔥🔥🔥
@hemedytengu5718 Жыл бұрын
Pepo ya Dunia ni mama🥰
@halimaabdul4805 Жыл бұрын
huyu mama noma duu
@esterkiyabo1329 Жыл бұрын
Mmmhh! Wewe mama! Muda wooote miaka 40?
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Ila huyu mama mmmmh 41 yrs
@habibaomarykiponda4036 Жыл бұрын
Sasa kwann alimuacha mdogo akachukua wakubwa mdogo simuach ht kwa dawa nitamuiba tu
@lydiahbhoke2284 Жыл бұрын
Najifunza kuendelea kuwapenda wanangu sana sana Mimi ni wa maana sana kwao
@MARIAMDOE-gb2po Жыл бұрын
Magamba wooow nyumbn
@baghabaghaingwengwe1750 Жыл бұрын
Ni kweli wanacho kifanya clous Fm ni huduma ya Mungu
@prettypretty9745 Жыл бұрын
Kweli mama ni mama hata hivyo furaha ya mtoto kumuona mamake imekithiri zaidi ya mama kumuona mwanawe nimeangalia kwa kina hata hivyo mungu azidi kuwapa mapenzi na muhitimishane kwa salama
@aishaulengesabry9672 Жыл бұрын
Yaani. Soo painful but tumuachie Mungu, tusihukumu. Lkn how comes mama hakustruggle kumtafuta mwanae.
@brytonypeter5348 Жыл бұрын
Mm nilitelekezwa na baba yangu nikiwa na miez mpaka Sasa Nina miaka 25 nimefanya jitihada za kumtafuta mitandao mpaka nikampata ila kiuhalisia waalimu Wana tabia ya kukimbia watoto alihama kikaz akahama mazima
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Mama Na Mtoto Wote Watata Miaka41 Eti Usisake Mama Mzazi Kweli Jamani Du Wote Wakosefu C Mama Wala Mtoto Wote Wakosefu
@sifatiiman Жыл бұрын
mama ndio alitakiwa kumtafuta mtoto mtoto toka anamiaka 2 unaakili wewe?
@nasseralhabsi1483 Жыл бұрын
Kwa kweli wanafanana hasa. Huyu kweli ni mama yake.
@RehemabakariAbdalah Жыл бұрын
Huyu mama ana roho ngumu mtoto wako wa miaka miwili unmuacha baba kweli umesema ilimuacha huyu ikaondoka wengine kwanini usiwaache hao wakubwa ikaondoka mauti mdogo?wewe mama noma
Hello Clouds naomba muanzishe na ya kukutana na baba japo ni ngumu lakin tutawashukulu❤
@mrsmumewangu4907 Жыл бұрын
Nilichogundua mama Amna hapa eti nilijua yupo kwa baba yk atakua salama mzima kweli ww mqwanao hata umuache kwa bilionea kumtafuta muhi dah we dada unamoyo Sana Kama mm mwenye roho ya kinyama sizani Kama ningekutafuta thubutuuuuui
@SelemanMuhamed-ir5zl Жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA SANA. KILA KITU KINA WAKATI WAKE JAMANI. MAMA YANGU NAYE HIVYOHIVYO ALIACHWA NA MAMA YAKE AKIWA NA MIAKA 3 NA AKUFANIKIWA KUKUTANA NA MAMA YAKE . LAKINI KATIKA KUMUOMBA MUNGU NA KUMTAFUTA. 2022 AMEFANIKIWA KUMPATA MAMA YAKE AKIWA AMEZEEKA HUKO KIJIJINI MOSHI.
@bahatimalundi3593 Жыл бұрын
Inaonekana mama wakati anakuwa alikuwa na hasila sana ndio maana ilitokea iyo changamoto pole sana dada
@michaelchristopher2452 Жыл бұрын
N sahihi kabisa mama kama angelikua ayupo na asira asingeshindwa kupata taarifa ya mwanae lkn yeye alisusa kwakweli bibi kazngua
@majaliwawilson9372 Жыл бұрын
Najiukiza sms za Jambo hil nizakibinaadam lakin Jambo hili angekuwa baba vingetawal matusi nalawama nyingi tujifize kujuwa makosa hufanywa naote Ila wanawake niwepec Sasa kutuhum wababa pale wanapo Bak nawa toto
@eashaeasha9776 Жыл бұрын
Kwenye cm mama qlichangamka mno ile ck ile nashangaa live mama kapoa kiasi hiki hajachangamka sana haoneshi furaha
@esthersissamo1120 Жыл бұрын
Mungu mwema Jamani
@muta-news2786 Жыл бұрын
Ndugu zangu wapendwa,hizi story za kuachwa na mama kwa baba ukiwa mtoto mdogo zisikie kwa jiran isikupate eiseee. Mimi mwenyewe niliachwa nikiwa na miaka minne ila naisi mpaka Leo hii maumivu ayajawahi kuisha rohoni. Nimefurahi wamekutana ila lazima ukweli tuseme,wanawake wengi uwa wanaogopa kuogopa na watoto wa mwisho au wadogo Sana kuogopa usumbufu wa maisha.maana mtoto wa miaka 2 uwezi kumuacha kwa baba yake na kuondoka na watoto wakubwa iyo Nini Sasa. Of course mm siwez kudanganya hii kitu uwa inanisumbua akili Sana mpaka naisi ivi au nilikuwa sipendwi na mzazi wangu au tatizo ilikuwa Nini mpaka akaniacha na kuondoka na watoto wakubwa na kuniacha mm mdogo kiasi kile. But anyway tupendane tu na maisha yaendelee ndugu zangu. Ila tujifunze kitu wazazi tunawaumiza watoto kuwatupa wakiwa wadogo kiasi kile.but kitu Cha kumshukur mungu imenifundisha kuheshimu mke wangu na kuwapenda watoto wangu sitaman ata second kuishi mbali nao au mama yao kunitelekezea watoto km ulivyo kuwa kwangu. Kuna mda inanipa moyo wa uvumilivu Sana kwenye familia yangu.Nimeipenda hii story japo imeniumiza maana nimekumbuka mbali Sana.naisi tuna la kujifunza kwenye Aya maisha.
@sagboison6297 Жыл бұрын
Pole sana
@ramadhanideu6444 Жыл бұрын
Pole bro mwenyez mungu mtukufu awajaalie mema ww na familia yko
@ebonybhoke5321 Жыл бұрын
Pole sana kaka,Hongera Mungu amekuwa familia yako
@pudensianamhasi5364 Жыл бұрын
Pole sana,pole mnoo,samehe tu
@farhatomar78 Жыл бұрын
Pole kaka Mungu ndo mpangaj wa yote
@baghabaghaingwengwe1750 Жыл бұрын
Hakika cloud ni kiboko mno big up
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 Жыл бұрын
Wapo wameru furani wakiona hii vedeo cjuwi wanajiskiaje kwa kweli maana hao wameru ninao wataja watupa mtoto wa miezi 6 kwa baba mpaka sasa huyo mtoto yupo zaidi ya miaka 23 na hawana hata muda wa kutaka kujuwa yupo au la 😊
@aloycebabene6239 Жыл бұрын
Hata anavyoongea huyu mama ana moyo mgumu sana.
@aishaulengesabry9672 Жыл бұрын
Yaani dah. Sijui Mwanamke mwenzetu anakumbuka nini jamani. Hadi umtupe mwanao miaka yote hiyo
@annehk8185 Жыл бұрын
@@aishaulengesabry9672 labda anakumbuka aliyoyapitia akamtoa mtoto kwa baba maana hana furaha kwa kweli Mungu amsaidie asamehe
@evertheobald1811 Жыл бұрын
Huyu mama mzazi ni changamoto
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Hakuna linalo mshinda Mungu!!!
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Mama mbona amkumbatii mtoto jamani huyu mama Amesema neno moja eti nilimwacha mtoto akae na baba yake kwa kuwa nina wengine. Lo hatausifanye juhudi ya kujua yuko wapi.
@Aiuoex Жыл бұрын
Uyu Maman siyo Maman muzuli ila dada Yangu Maman ni Maman tu njo Mungu amekupa ila kwa bingine Mmmmmmm ana roho ya Jiwe njo wa kwanza nasikia hana upendo wa mutoto !! Myaka kama iyo yote!! Apana sija kubali mimi
@evankya1955 Жыл бұрын
kuacha mtoto wangu na kufunga milango ya kumuona tena for 40yrs jamani hiyo ni roho ya namna gani? i feel for Angel
@thomasraiton7760 Жыл бұрын
Kweli damu nzito kuliko maji🙏🙏🙏🙏
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Mmmmh, Mungu ni mwema.
@gracemadondola7331 Жыл бұрын
Mungu anisaidie niwalee wanangu mpk mwisho wangu
@hyacintagugu7 Жыл бұрын
Amen
@mteulefaini Жыл бұрын
Amenn
@fathatsaid367 Жыл бұрын
Mtt anahaja na mama ila mama sielewi duu Allah atutie imani
@lilianimikaeli Жыл бұрын
My
@aminaibrahim4148 Жыл бұрын
Mungu yu mwema
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
HONGERA KWA KUMPATA MAMA, USHAURI WANGU USIHOJI CHOCHOTE KWAO KWAMBA NI SABABU GANI ZILIFANYA WASIKULEE PAMOJA. MAMBO YA NDOA TUNAYAJUA SISI WENYE NAYO.
@sololuchagula6362 Жыл бұрын
Kaka ndoa ni ngumu sana
@JeremiahSebastian-v5g Жыл бұрын
Ukweli anaujuwa mama was binti
@lilianmsafiri5392 Жыл бұрын
Ongera saaana dada
@reginalongwe8701 Жыл бұрын
Mungu nimwema
@ashurakodd1589 Жыл бұрын
Sasa mlitaka apige mayowe ya kinafki ama anaonekana huo ukimya alishaathirika kisaikolg kama unamwelewa mimi nimemwelewa kwa sababu nimeyapitia kama sio Mungu da! Ilikuwa ni hatar ya wangu kunisahau kwa ajili ya mjinga mmoja
@aloycemwakatala2796 Жыл бұрын
Hakuna upendo hapo ndiyo maana kila mmoja hana furaha sana na mwenzake.
@hidayaomar5783 Жыл бұрын
Naomba namba
@leokamil6284 Жыл бұрын
Mama samahani ila unaroho ngumu sana mtoto wa miaka miwili?
@MwajumaOmar-sg1ob Жыл бұрын
Hata mimi niliachwa namamaangu nikiwa namiaka 2 nikajakumpata nikiwa namiaka 19 yote nichangamoto zawazazi wakitibuana mmoja anasusa matokeoyaje ndohayo
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@MwajumaOmar-sg1ob Pole sana
@rahmaidd1246 Жыл бұрын
Ulisikiliza historia wewe
@MwajumaOmar-sg1ob Жыл бұрын
@@leokamil6284 Asante dear ila inauma yaani changamoto zawazazi anaeumia nimtoto mama aliniacha katika umri huo na hakujaaliwa kupata mtoto mwingine hukokwingine lakini hata kuwaza kua niliacha mtoto mdogo huko mtu yupo bize namaisha mengine na istoshe nikalelewa nababu mzaa baba lakini ndiovo hata nilivoenda kumtafuta ajabu hakunijua japo tumefanana kiasi flani ila kwakua hakutalajia kuniona ukizingatia kwa umri aliniacha ila mama nimama nilishagamsamehe baada yakunihadithia changamoto alizopitia kipindi yupo baba
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@MwajumaOmar-sg1ob Pole sana sana Mungu akujaalie katika maisha yako
@happyness577 Жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakat
@vumiliawambula1716 Жыл бұрын
Amen Amen Sana Mungu nimwema
@KabijSaib Жыл бұрын
Suala la mama mzazi ni zito mnoo❤❤
@ummuaisha5559 Жыл бұрын
Yani Hadi nimebubujikwa naachoz, mungu ni mwema
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Dah😭 miaka yote hiyo hatimae umempata Mama yako mungu mwema lakini pia baba yako ni mtu mzuri maana ingekua baba mwengine angekwambia Mama yako ashakufa haswa ili usimtafute