Leonardo ni very smart and real. Naamini atakuwa icon ya Tanzania kwenye Comedy muda si mrefu. Sijui Kama unakubaliana na mm.
@vallencymacdonalds6 ай бұрын
Yah kwasababu anapiga both English na Kiswahili itamsaidia kwenda far
@deniskatunzi1466 ай бұрын
Pia anafanana na mch, Ananja
@smprotz6 ай бұрын
aaha Ananja ana namna Yake Bhana. Kila MTU ana Radha Yake@@deniskatunzi146
@smprotz6 ай бұрын
@@vallencymacdonaldsHata pure English mshikaji anaweza. Anatutoa kimasomaso
@ziddyziddy25245 ай бұрын
😅😅😅@@deniskatunzi146
@mozeekamana6 ай бұрын
Namkubali sana huyu Mwamba, Kuna Vigingi amefaulu kuvivuka baada ya Ushindi ilikuwa ni Ishu sana Kuikalia Nafasi yake ametumia akili sanaa chupuchupu apite kuleee ✍️ Hongera sana
@ngwacahnyagwaswa99796 ай бұрын
Leonardo is so smart and very honest ❤
@gladnessfinda75346 ай бұрын
Leonardo sikuoni Tz bali nakuona kimataifa ila tu ukizidi kujitambua,kupambana kumwomba Mungu nakutafuta fursa yakupenya nje ya mipaka yetu. Keep it up bro.👌👌👌
@khadijarashidy93046 ай бұрын
Hii comment naomba iwekewe lamination , Leonard atakuja kuwa comedian mkubwa sana 😂😂😂
@timothywesonga38925 ай бұрын
Mkubwa tayari
@NadhiriFootball6 ай бұрын
Leonard ni fundi wa stend up comedy... Sana
@mississippi28594 ай бұрын
His top fan from kenya ❤❤🇰🇪
@alhajikangalawe61786 ай бұрын
Mm kama mwl. Inanifurahisha na kunifariji. Huyu ni mfano nzuri wa kuigwa Kwa wanafunzi....usanii umeshikiliwa na wasomi
@jogechi21056 ай бұрын
Fellow Eng. Namkubali sana kutoka Kisii Kenya
@EricUbalijoro-x1l6 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mungu azidi kubariki kazi za mikono yako
@thepresidenttobe54816 ай бұрын
Hongera sana dogo. Wajita wengi tuko smart isipokuwa yule Cyprian Musiba wa CCM 😂😂😂
@ElishaSolomoni-kc4zk6 ай бұрын
CYPRIAN N MSASI🤣🤣🤣🤣
@dostovan51425 ай бұрын
😂😂😂
@lazarofredy6 ай бұрын
namkubali sana leonardo so big up
@ibrahim_Kagoma.jr16 ай бұрын
Jamaa Anajuwa Sana Halafu ana kipaji endelevu
@JamalManzi6 ай бұрын
Golani, kimbiji hiyooo Safi sana kumbe uliletwa kwetu
@STAN_MACOMPUTER6 ай бұрын
Leonard nkukubali San Kaka!!!!
@EricMbilinyi6 ай бұрын
Vido ni mwanahabari mzuri sana, anajua kuuliza maswali na kutawala interview. Exclusive inayohostiwa na Millard pamoja vido ina mvuto wa kipekee sana Tuwape maua yao hawa watu jamani
@vidovidox26326 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🤝 Asante sana
@allysaid58006 ай бұрын
@@vidovidox2632 unajua mwanangu
@levinaernest43646 ай бұрын
Yeah point kabisa 💯
@Kushgang-cr4pv6 ай бұрын
nawakubali sana vido millard ayo pamoja na frida amani,meena ali pamoja na mjomvu B12 na Kennedy the ree .@@vidovidox2632
@Kushgang-cr4pv6 ай бұрын
ayo and sns...bundala
@sebastianmwakulya81466 ай бұрын
Nakukubali sana mwamba
@lelomellowtz6 ай бұрын
THE FUTURE IS LEONARDO.
@mwanamkeshujaabongoflavama71806 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki, mola ajalie uwache pombe kabisa
@SalamaNauthar6 ай бұрын
Leonard is the best
@langemwepesi6 ай бұрын
Namkubaali huyu mwamba mi nko kenya anga za kilifi mwana anaweka siku barida wakti mwingi😂❤
@mapenzisylus73256 ай бұрын
Oe wa kilifi 🇰🇪 tujuane😅
@RashidKilindi-nm4qf6 ай бұрын
Leonard is genius of his stylish....too far mile away in cognition
@yles22206 ай бұрын
Jamaa yuko very smart, interview yake haichoshi
@njuka35156 ай бұрын
Nampenda sana vido anavyohoji
@vidovidox26326 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🤝
@BakoPoultry6 ай бұрын
Leonard ungekuwa ulaya kwa mazungumzo yako basi ungeshuka sana maana kitu Kizuri ni kuiweka familia yako vizuri sasa wewe umaarufu umeshakuchanganya hadi unazungumzia pacome na Gwede.
@VenanceGilbert6 ай бұрын
Leonardo masta fundi kabisa wa hii kazi, sisi tumekukubali mwanetu piga kazi, endelea kuiwakilisha Ukerewe duniani na useme bila aibu 😄
@gayanimwansasu6 ай бұрын
Mungu akulinde leo nakesho pia
@boneyme94336 ай бұрын
YOU are BEST
@Doremi_pro6 ай бұрын
Ilii jamaa linaakili mbwaaaaa😂 nakubali kk💯💯💯
@kwisa48996 ай бұрын
ajitahidi kujifunza kupitia kina Trevor Noah
@tumpeernest96906 ай бұрын
Uyu vido ni handsome saana yaani nimevurugwa kabisaaa
@levinaernest43646 ай бұрын
😂😂😂
@HezronReuben6 ай бұрын
Shenzi kabsa,,,,, bila D 2 huwez nielewa😊😊😊😂
@Naahlyan6 ай бұрын
Minapenda anavoongea yan yuko smart unamuelewa katulia
@ChenchiKing6 ай бұрын
Kama Ahuna D Mbili Uwez Muhelewa Leonard❤🎉🎉
@rebbywealth98696 ай бұрын
Kwa uandishi huu.... una sub F zote
@digitalworld55775 ай бұрын
@@rebbywealth9869😂😂😂
@AmyeSanga3 ай бұрын
@@rebbywealth9869kiswahili Cha huyo mwamba daaaah
@georgecopter4606 ай бұрын
Karibu kenya lkn kutukomesha sahau
@msafirimfilinge82226 ай бұрын
Jamaa yupo viri❤❤❤
@chusseboywcb28086 ай бұрын
Kichwa kinamadini sanaaa ❤❤Hua nakukubali Sanaa 🎉🎉🎉
@JoesB-i5i6 ай бұрын
Aisee huyu jamaa siamini kama alichezea pesa Yuki smart sana anadanganya tu na usmart wore huo we watu sana siri zao bwana.
@KIJUKUUCHAHILALI6 ай бұрын
Alizopata kachezea lakin pesa analipwa na cheka tu kama muajiriwa
@daudikomware6 ай бұрын
Pesa hainaga usmart, kwa kuongea na kuchekesha, kuwa na akili ni kingne na kudhibiti matumiz ya pesa ni kitu kingne
@fedlob46 ай бұрын
Leonard baba mjita wee kwenu ni Mara sio Mwanza 😅
@melchadesmagongo41856 ай бұрын
mchukueni ndugu yenu anajifanya hajuhi kwao
@Rolemodel_wa_taifa6 ай бұрын
Sasa unampangia mtu na lazima ujue kwao kivipi hauwezi sema mm kwetu Morogoro hali ya kuwa umezaliwa Dar es Salaam na umekulia Dar es Salaam na huko Morogoro hujawahi fika...
@yunusjohnson41706 ай бұрын
Kumbe mjita mwenzangu yunus masatu😊
@beyondimaginations18426 ай бұрын
wewe hilo Jina yunus mmeiba kwenye ukoo wetu, I'm Yunus too