#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 28,629

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@hassanzizi8420
@hassanzizi8420 Жыл бұрын
Thanks Global TV and brother KC very inspiring story.
@jeffyjerry8129
@jeffyjerry8129 Жыл бұрын
Safi sana brother nime jifunza kitu kutoka kwako
@juliuschagama7304
@juliuschagama7304 Жыл бұрын
Nataka spea, naomba namba ya simu. Tafadhali
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Asante sana,ni mfn bora na ni mhamasishani kwa vijana kutokukata tamaa.
@justerrwegoshola6395
@justerrwegoshola6395 Жыл бұрын
Big up KC and company God bless you.
@jimmykimaro4250
@jimmykimaro4250 Жыл бұрын
Hongera sana bro kweli maisha ni kupambana
@MangureIbrahim-xn8fi
@MangureIbrahim-xn8fi Жыл бұрын
Uko sawa bro! pambana
@kibonaamenye6878
@kibonaamenye6878 Жыл бұрын
welaaaaaaah,, nimekwelewa one day napita hapo hiyad
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 Жыл бұрын
Hongeera
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Ndugu mtangazaji dada jiweke sio unauliza umepita na wadada wangapi ushaambiwa jimbo liko wazi
@BoniphacePeter-ih2st
@BoniphacePeter-ih2st 2 ай бұрын
No ya cm boss
@aminasaid7769
@aminasaid7769 Жыл бұрын
Kwakweli usimjaji mtu na Mali yke hujui kapitia mangapi ndio kafikia hopo alipo..hongera sana kaka ulipambana sana..
@MwanamkuluShabani
@MwanamkuluShabani Жыл бұрын
Kaka mm mfanyakazi wa ndani oman nataka nije kuja kufanya kazi huko uingereza mm nitapataje boss naomba nisaidie mtanzania mwenzio hata kuosha vyoo nipo tayari
@zephaniamayeye4902
@zephaniamayeye4902 Жыл бұрын
Dada oyeeee kakupelekaaa uingereza na umetoboa🎉
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Жыл бұрын
Good
@mycaexaud1789
@mycaexaud1789 Жыл бұрын
Kaka siku Nyengine Wakija ao watangazajii wajee na maswalii ya takaooo jenga brand ya kampuniii yakooo utajikuta unapoteza muda wako bila kunufaikaa
@awesomeaugustine
@awesomeaugustine Жыл бұрын
Jah bress your madungu I know you work had
@HurumaMbwambo
@HurumaMbwambo 5 ай бұрын
Shikamoo mimi mahitaji maalumu ninashida tuoongee upo Tanzania
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 10 ай бұрын
Mtangazaji zero haelewi hovyo badala ya kumuongoza ktk mambo ya muhimu
@InnohubGroup
@InnohubGroup Жыл бұрын
Ni ushenzi sana kumfata mtu wa kupiga kazi na kushinda kuulizia mambo ya ngono. Hapa mbadillike. Mmeharibu muda wake Chris kwa maswali ya ngono, mmeharibu muda wangu nikifikiria ni mambo ya kikazi halafu mnaleta ujinga wa ngono. Mmenikera kweli. Kawafate Mario na mdangaji wake mkawahoji mambo ya ngono kenge nyie! Wasted opportunity
@modestmkali3436
@modestmkali3436 Жыл бұрын
Mtangazaji mpuuzi sana, hivi anauliza maswali gani labda??? Dakika 30 nzima maswali yakipumbavu tu,
@mrsolargrid
@mrsolargrid 10 ай бұрын
Mwandishi anamambo ya hovyo. Muda mwingi anakazia stori kwa kwenye mambo yasiyo na ulazima wakati mtu alishaanza kumwagika madini
@estermgata9617
@estermgata9617 Жыл бұрын
Yaani niliposikia Lukosi nikajua ni mnyalukolo
@mycaexaud1789
@mycaexaud1789 Жыл бұрын
Chawa ni vyamotoo AKA miguuu yakukuuu ajatakaaaa kuweka waziiii eeeeeeeeee
@thomasmwasongwe7790
@thomasmwasongwe7790 Жыл бұрын
Ninashida na huyo brother nampataje anipe ushauri
@bonnymwajombe779
@bonnymwajombe779 Жыл бұрын
Yeye anafanya biashara ushauri gani tena?ukitaka kutoboa acha mademu
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 Жыл бұрын
Mi namfahamu Ali Mabodi wakati ule akiishi ziwani Kirando
@erickmachua8829
@erickmachua8829 Жыл бұрын
Sijamuelewa Mtangazaji.
@gadisonmichael7805
@gadisonmichael7805 Жыл бұрын
kc nakubali sana nataman kuwa kama ww
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Mtu kama mimi eti wewe nani usioshe vyoo sindio mnajiita wasomi kuna wengine wanaogesha vibibi vibabu uko kama lisu mbona anaogesha wazee uko ubeligiji kazi nyepesi tu iyo watu wanapakua vyoo afrika itakuwa iyo kutumia maji bwelele
@godsonkimaro1440
@godsonkimaro1440 Жыл бұрын
Dada una maswali yakijinga, yana nilitegemea uliza mswal ya how to invest namna ya ku endesha biashara kubwa kama hizo unauliza machawa na na wanawake alio tembea nao...
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Hovyo kabisa
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt Жыл бұрын
Huyu mwamba mbona mna mpa airtime kubwa sana kuna kipi kipo nyuma ya pazia maana haiwezekani kila saaa au ndio biashara yake kuitangaza 🙆😃🙌🏃
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Anzisha naww upewe airtime
@meshackgerald4032
@meshackgerald4032 Жыл бұрын
Mnaongea hayo manen baadae mnakuj kutuomb msaad
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Mnaboa bwana ana nn kwani kuutwa kumuhoji tu au matangazo ya biashara mnajifanya exclusive 😏
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Kwaiyo huoni anachokifanya?
@sweetrayuzuwiya8375
@sweetrayuzuwiya8375 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@sabibiraphael1622
@sabibiraphael1622 Жыл бұрын
Baadhi ya maswali yanayoulizwa hayana maana.
@amaningalla9420
@amaningalla9420 Жыл бұрын
Unogage mnyalukolo?
@nickmsemwa3732
@nickmsemwa3732 Жыл бұрын
Swala niusafiligani pls anaejua anieleweshe
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu Жыл бұрын
Dada umepooza na maswali yako
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Apewe uteuzi uwaziri au ukuu wa mkoa
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Huyu naona hawezi hizo hapendi manyanyaso.
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 Жыл бұрын
Atashindwa kufanya kazizake huyo Mkuu wamkoa mshahara hauzidi milioni nne
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
@@sadikidaudi460 endelea kujidanganyaaaa nenda kwenye dictionary ya Kiswahili angalia maana ya neno kuupiga mwingi usilinganishe na Viongozi wa serikali sababu ya biashara unayomiliki
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 Жыл бұрын
@@fredrickmatiku7783 Tatizo naona unaamini saana katika kutumwa yaani kua chini yawatu mm najua kwa hatua aliofikia huyo kimafanikio sidhani Kama anatakiwa kufurahia teuzi Labda ateuliwe kwa maslahi ya selekali ila sio kwakunufaika yeye
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 Жыл бұрын
Dada acha dharau sema asilimia ndogo sana ... please ...dada sijapenda dada
@hadjihadji197
@hadjihadji197 Жыл бұрын
Uongo tu hajataka kusema ukweli. Mbali na unyang'anyi na utapeli, cocane pia imechangia mapato yake. Awadanganye wasio mjua.
@alawifarahani4788
@alawifarahani4788 Жыл бұрын
Ni Muuza Cocaine!?
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Жыл бұрын
Koma.wee na wivu wako
@briancyrax3104
@briancyrax3104 Жыл бұрын
unprofessional reporter😑
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
FEI TOTO ATIA NENO USAJILI WAKE SIMBA SC DIRISHA DOGO
2:42
Nyanga Online Tv
Рет қаралды 25 М.
Молдавия готовится жить без российского газа
1:13
Россия атаковала Украину более 100 дронами
1:11
Euronews по-русски
Рет қаралды 50 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН