Babu tale unaakili nyingi sana na una ongea kwa busara tuwaombee Mungu akupe mke mwema na wewe kaka yetu
@jumayussuf7746 Жыл бұрын
Sn love
@jumayussuf7746 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@daudimazengo7772 Жыл бұрын
I salute Babu Tale. Hakika hata mie naombea hii couple idumu. Hi Diamond, this time take action to this cute and humble girl Zuchu.
@daudichengula1413 Жыл бұрын
Millad ayo ni mtu pekee dunia hii ambaye unaniispire Sanaa.. Ishi sanaaa brooo
@erastomwakalukwa3946 Жыл бұрын
😂😂😂alimfanyia interview mpaka MUNGU wa usukumani aka bi zuu,Zumaridi ,harafu hacheki😂😂😂
@alymaryam2331 Жыл бұрын
Mungu akujaalie mwisho mwema tale na akutilie wepesi kwa kila ulifanyalo🙏🙏🙏🥰
@FatmaSaid-j9o Жыл бұрын
MashaAllah he is so kandy i really like him my Allah protect u ❤i wish i can have hubby like him ❤❤
@sureiamboo Жыл бұрын
I love Tale now ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mapendosafi3429 Жыл бұрын
BABU tale nakupenda sana baba unaja helkima sana Tena sana
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Nimependa Sana Babu tale umekuwa muwazi na umefunguka hongera Kwa Hilo,,
@channyanjen9047 Жыл бұрын
Nasikiya raha Sana kwakweli, Allah aweke wepesi 🙏
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Nimependa Sana Babu tale ulivyofunguka kuhusu mahusiano ya zuchu na diamond,,,nawatakia Kila la heri,,waoane inshallah,,
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Ameen Yarabb 🙏
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Amen
@annickkipisa6761 Жыл бұрын
Ni mependa
@jacklyneotieno1564 Жыл бұрын
Maybe kwa ndoto
@yusternyirenda7231 Жыл бұрын
@@jacklyneotieno1564 Mmm! acha uchawi
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Kweli kabisaa Mungu awabariki tunawapenda aa Sana Hao wawili zechu na daimond
@RabiaWahadh Жыл бұрын
Mashaallah Zuch Mungu Akufanyie Wepes Kweny Maisha Yako
@marycelestin6586 Жыл бұрын
Ameen
@khadijahali68566 ай бұрын
Babu Tale ni mtaratibu kweli Ma shaa Allah.........
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Diamond na Zuchu ni couple nzr sana KULIKO hao wazungu weusi
@Mimy_keys Жыл бұрын
Napenda Babu Tale Anavyo Ongeaga na Busara Sana 😊 MashaaAllah Tunawaombea Kheir InshaAllah 🤗👌
@FatumaDogo Жыл бұрын
😂
@wisperfect5320 Жыл бұрын
Vipi ukiwa mke wake😂
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Tale uwa nampenda sana uwa aongei Sana
@dijerbhai8388 Жыл бұрын
Aaah huyu mzee nampenda jmn khaaaa❤😢
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Nimeipenda Sana interview hii,,naomba pati 2
@Nimah_qubo Жыл бұрын
MashaAllah Tale anaongea na sauti ya unyenyekevu sana 😊
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Babu tale you're the best broo
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Allah awajalie wafunge ndoa watatufurahisha sana maana tunawapenda
@marthamushi9390 Жыл бұрын
Mungu awajaalie na awafanyie wepesi waje wafunge ndoa🙏 Pia huyu babu tale ni anaonekana mpole jamanii anaongea kiustaraabu hadi raha🥰
@mariammsumi7783 Жыл бұрын
Babu tale👍
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Wakati wanafuraha basi jambo jema ❤❤❤ tunawaombea kwenye hii dunia ya leo kupata furaha sio jambo rahisi maana wengine watajia pesa tu
@barakadaprince3742 Жыл бұрын
Millard mtu makini sana🙌🏿🙌🏿🔥🔥
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Zuhura & Nasib👰🤵Aya.. Hongera sana
@kimah9855 Жыл бұрын
I pray them to marry🙌🙌🙌🙌🙌
@kassianleo Жыл бұрын
Mungu hawabariki wawe pamoja milele amen
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Babu Tale Asante sana kwa kufunguka ndio watu wanao mdhihaki watu hawajaoea upendo wa kweli! Zuchu is being submissive kwa diamond but watu wanamchukulia anampenda diamond kushinda diamond anavyo mpenda...... Let me tell you my people, diamond loves zuchu more than anything in this world! From Sandra to Zuchu!!!!!? Na ukumbuke Mondi katoboa mwenyewe!!!!!
@jacklyneotieno1564 Жыл бұрын
😂😂😂ati more than anything????wacha kudanganya mwenzako.....anakanwa kipetero ki yesu then unasema anapendwa..... wanawake wengine wanapigwa busu tena live inasambazwa kwenye media halafu unasema anapendwa weee.... thubutu....dai yupo single
@godsdaughter2820 Жыл бұрын
Alafu zari anajidai eti Diamond loves her🥱🥱😩😆😆😆🏃🏃🏃
@lulumalima1739 Жыл бұрын
Mr. Tale you are a sensible man busara. Tunaomba Susi ndoa iwe watakuwa power couple. Diamond hajalitambuwa it's sad. Zuu $ Do, yeeeeeeeh
@lucymtuka3199 Жыл бұрын
Zuchu na Diamond nawapenda sana owaneni jamani
@pengefeza2563 Жыл бұрын
Mi nawaombeaga neema ya Mungu kila siku.
@hawababy120 Жыл бұрын
Asante babu tale kutujua zaidi.❤
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Babu tale unamtetea hapo mondy hawezi muoa zuchu zuchu anapotezewa muda tu
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
Mashallha nimefurahi sana allha awazidishie lnshallha nimefurahi
@salamanauthar5261 Жыл бұрын
Subhanallah!!!' mpole ana dini'!! innalillaih Wainnaillaih rajiuun
@saadabakar7750 Жыл бұрын
Salama nikuulize hivi wewe ni mkamilifu,unajua kesho yako. Hapa kakusudia ana hofu ya M.mungu,ndio tunavyotakiwa binadaam haijalishi uko na Imani gani ya dini,Acha kuhukumu muomble dua hofu yake izidi kwa M.mungu.
@hawasaid7151 Жыл бұрын
@@saadabakar7750 yan hata sielewi kimemshangaza nn hapo.
@salamanauthar5261 Жыл бұрын
@@saadabakar7750 sijamaanisha Mimi ni mkamilifu' huyo babu tale bora asingesema ana hofu ya MUNGU' Mwenye hofu ya MUNGU' hawezi kukaa Uchi hadharani Kama tunavyo muona
@salamanauthar5261 Жыл бұрын
@@hawasaid7151 na uelewe ili iweje???
@catherinekiwipa9271 Жыл бұрын
@@salamanauthar5261 🤣🤣🤣🤣🤣🤣unafikir Mungu awez kuwauwa wote wanaokaa uchi ili abaki na wema wanaovaa stara hofu ya Mungu ni mavazi bas enderea kujifunika
@breezybabilon5797 Жыл бұрын
Millard Ayo respect sana
@rajwaseif7735 Жыл бұрын
Hata Millard is wise The way anauliza maswali. Namkubali ni professional.
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Ila Leo ndio nimeamini, nacheka peke yangu, nilikuwa siamini wambea, ila nimeipenda hii interview, part2 please, Millard Ayo.
@neemamayco1051 Жыл бұрын
Hata mm jaman nlikua siamin kbs leo ndio nimeamini mm pia
@chttostrugglinglady Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awajalie wafunge ndoa salama🙏
@naillanalphanairakoze3880 Жыл бұрын
Leo sasa ndo kuamini kama niwapendanao.Juu @MillardAyo kasema😂.I really love this guy. Hujawapi kuni disappointed kwa maswali yako kwenye interview ❤
@shafiiwajad457 Жыл бұрын
Iv mnajua hii ndo mara ya ya kwanza uhusiano wa Zuchu na Diamond kuwa Confirmed kwenye media na source ambayo tunaiamimi na inatoka ndani kabisa😂😂😂😂 Millard 👍👍👍
@lifeofyuri4020 Жыл бұрын
I was looking for this comment una akili nyingi sana 😂
@esthermutabuzi4582 Жыл бұрын
Na sasa tunasubiri Diamond mwenyewe atuambie...let him confirm by his own mouth! The last time he opened his mouth, he said he didn't have a girlfriend🙈🤣
@auntiemylee3157 Жыл бұрын
Confirmed
@shafiiwajad457 Жыл бұрын
@@lifeofyuri4020 pamoja na wewe mama Sema tuna akili nyingi ❤️
@blessmimi Жыл бұрын
@@esthermutabuzi4582 Diamond was Jux listening party and told whole crowd Zuchu is his wife ..I bet you forgot about that ? . What about the 10 slides bday post on his instagram on her birthday for the world to see all the videos of them kissing intimately?
@julianajoseph783 Жыл бұрын
Kwa upole huu wa Babutale ananimalizanga tuu
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Mheshimiwa mjengoni🎉 Kaongea,diamond kafika...ndo furaha yake.
@productivityprogressprince5156 Жыл бұрын
Mi mwenzenu nampenda saaana babutale😊😊😊
@vumbakingvumbaking9571 Жыл бұрын
Dua mwenyezi mungu akuongoze boss talle update mke mwema amini Simba nae mungu akuongoze umuoe zuhura Amin 🤲
@MamaMama-xp4nk Жыл бұрын
Nampenda babu tale kafanana na ba mdogo wangu
@nyawamwero587 Жыл бұрын
Acha umalaya wewe
@MamaMama-xp4nk Жыл бұрын
@@nyawamwero587 mwambie mama ako aache kwanza yeye
@nyawamwero587 Жыл бұрын
@@MamaMama-xp4nk Umalaya utakumaliza, mtu hata humjui wasema kafanana na bamdogo wako!! Si umalaya ni nini!!
@RehemaSalim-y8d Жыл бұрын
Kweli
@catherinejullu6615 Жыл бұрын
Kaka yangu unaakili sana ❤❤
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
MashaAllah babu Tale
@mashiassenga8849 Жыл бұрын
Ayo umetisha sana bro 😅😅😅
@rich.kizza10 Жыл бұрын
Millard why huweki music background?
@mbaraksaary5750 Жыл бұрын
Diamond kumbe anaswalia kiwango cha pesa inamaana anamuekea mungu vigezo babu usitupake mafuta bana amna kitu
@maryamjey6340 Жыл бұрын
😂 astafirullah
@jumayussuf7746 Жыл бұрын
Babu tale nikikuon nakumbukag mbali sn nakuoneag hurum sn mpak sasa hv hujaoa dah ulikuwa unampend sn mke wako hv nasisi waume zetu tutangulie km leo watakaaa mda mrefu hivi🚶♀️🚶♀️🚶♀️
@judithsijaona9875 Жыл бұрын
Juma afu unamume😢
@noswingofficial96248 ай бұрын
This men is loyal
@Tabiatz Жыл бұрын
Nice
@gracewairimu800 Жыл бұрын
Yani nnavo mpenda babu tale mtu muwazi sana na Ana maneno ya busara sana mungu am bariki na Mke mzuri apate furaha na amani moyoni
@SalmaSalma-wz1xv Жыл бұрын
Kweli unaweza kutembea hata nawanawake kumi lkn bado ukakosa furaha ni jambo la kheri sana wamalize tofauti zao
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Leo ndo naamin kumbe kwel hawa wapenz😳😳😳😳yaan me nilikuwa nadhan km porojo za mitandaoni tu
@godsdaughter2820 Жыл бұрын
Yani nimefurahiii I wish waowane kweli😮😢🙌🙌🙌
@RaheliBeda-ho2ii Жыл бұрын
Allah akujaalie kila lililo jema
@JudithJulius-b2t7 ай бұрын
Mungu akulindie Watoto wako😢
@salumunsabimana6502 Жыл бұрын
Babu tale na kuombeya duwa upate mke mwema mshee kuleya wa toto inshaalaah.
@ElisianaGidion Жыл бұрын
Safi sana Babu tale uko na uwazi
@dorinekwizera1483 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@vickykapama8386 Жыл бұрын
Wahanga walisema MTAKA CHA UVUNGUNI SHARTI AINAME!! Lzm Zuhura ajishushe na amti Chibu na vurugu zk na FANTANA😅😅😅😂😂
@@masimangolouis4730 wapi??dai aowi leo wala kesho
@abdillahomar4541 Жыл бұрын
Kumbe unajua leo
@ismailykazumal Жыл бұрын
Mmeshaambiwa ndoa ni riziki lakini bado tu mnabisha Mungu ndo anapanga ndoa jamaniii
@ismailykazumal Жыл бұрын
@@jacklyneotieno1564 Sawa Mungu tumekusikia wala hatukupingi, Kwasababu wewe ndo Mungu 🤔
@blandinamyinga94892 ай бұрын
we're still waiting
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Bila shaka zuchu kampa kwa mpalange simba😅😅😅😅😅😅yule kwa jins tunavyomjua😅😅😅😅
@bwanabrainex433 Жыл бұрын
Kwaiyo amekion kiac cha pesa ss eeenh😂😂😂Diamond kichwa kibov
@NextoHunter-rm3cs Жыл бұрын
Ayo TV 📺ni 🔥 🔥 🔥
@yusternyirenda7231 Жыл бұрын
Inshallah ikawe heri kwao, nawapenda mno zuchu na diamond mpaka naumwa pia huwa nawaombea usiku na mchana wawe mke na mume kiukweli kabisa hii ni kutoka ndani ya moyo wangu.
@sakinaamani1486 Жыл бұрын
Mmmmm ssa hayaaa
@rajumrecords711 Жыл бұрын
Hofu ya Zuchu kutoka WCB ni kubwa. WCB itakufa. Lazima Tale amsifie Zuchu ili Asitoke WCB
@safariadrien5348 Жыл бұрын
Mulisema ivyo tena mmakonde alipoondoka. Hakuna player mkubwa kuzidi team no matter how big you are
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Hayo maoni yako tu
@ikouwasi7644 Жыл бұрын
pole sana
@rajumrecords711 Жыл бұрын
@@safariadrien5348 so wewe Kwa unavyoona WCB bado iko na nguvu? Kwa Msanii yupi?
@giztony2009 Жыл бұрын
Kuna watu wanafikilia kupitia miguu yani wcb ianguke kupitia zuchu wakati imekuwepo( wcb) kabla ya zuchu
@IsaacJames-sv3zk Жыл бұрын
💯💯💯
@aishasaidi1784 Жыл бұрын
Haya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂fantana
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Dada zuu hata ukiolewa kwa Ukoo ule na bwana ni samaki hapishi chambo uandae moyo mwengine wa spare😂 mara hii umetaka kuchoma nyumba kisa fantana
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Ile familia co😅😅😅😅😅😅
@josephmolle Жыл бұрын
❤
@allaboutnandy9288 Жыл бұрын
Damage control
@alymaryam2331 Жыл бұрын
Mi nilikua naamini km ni kiki tyu jmn 😥Kumbe ni kweli 😏😏😏😏🤐🤐
@afyamkononi4778 Жыл бұрын
*KWANINI USALITIWE NA MWENZA WAKO KISA HUMRIDHISHI*, 🥊 Unawahi kufika kileleni kabla yake, 🥊 Unashindwa kuendelea awamu ya pili, 🥊 Dhakari yako inasimama legelege, 🥊Kukosa hamu ya tendo, 🥊Kutosimamisha dhakari. *NI LAZIMA ATAKUSALITI TU*. Kuishi ni "KUCHAGUA" na uchaguzi hufanywa na maamuzi. Chagua kuwa IMARA ili uishi kama mtawala. Tumia X POWER MAN , RUDISHA HESHIMA YA NDOA UNAAMBIWA HII NI ZAID YA VUMBI LA MCONGO🔥🔥🔥 Waliokwisha kuitumia wanajua nini namaanisha Ukiitumia hii always wewe utabaki kuwa shujaa💪💪 X POWER MAN COFFEE KIBOKO YA KIBAMIA NA NGUVU ZA KIUME💪 Ni dawa yenye nguvu sana ambayo inamchanganyiko wa dawa4 ambazo matumizi yake unaitumia kwa wakati mmoja tu ➡️Ni dawa yenye kutibu tatizo kabisa na kuisha sio kupata nafuu💪 1⃣Inaimarisha mishipa ya askari aliye legea kutokana na kujichua kwa mda mrefu.. 2⃣Inazalisha homoni na mbegu kwa wingi ambayo itakufanya uwe unapata hamu ya kuwa unarudia tendo hata mara4 zaidi. 3⃣Pia inakufanya uwe unachelewa kufika kilelen kwa dk25 au zaidi. 5⃣Kwa waliojichua maumbile madogo au waliozaliwa na maumbile madogo inakuza kuanzia inch6. hiyo ndio X POWER MAN COFFEE💪 inayotumiwa na watu wengi wanapona. Inapatikana Arusha,Moshi na Manyara kwa mikoa ya kaskazini Inapatikana pia na Dar es salam na inaweza kukufikia popote ulipo dar es salam ,Mwanza, Zanzibar ,moro,mbeya ,na mikoa yote Tanzania kwa bus ama boat NB; dawa hizi ni za asili (mitishamba) hazina madhara wala kemikali ya aina yoyote Kama unahitaji piga au niachie ujumbe andika ,#Nahitaji_dawa .taja eneo ulilopo nitakujibu haraka ✍🏿Tupigie sasa upate suluhisho la tatzo lako, Call/What's U 0658283250 X POWER MAN, ni dawa mujarab kwa ajili ya kumaliza matatizo hayo
@catherinebarasa4467 Жыл бұрын
Babutela nilikuomba unioe nikulelea watoto.
@majidkhatibu6738 Жыл бұрын
Naomba kuuliza swali Dini Ipi inaruhusu Kuingiliana kinyume n maumbile Eet Zuchu ana Dini tuambie Dini Gani?
@LearnwithMadamnaomi Жыл бұрын
MUNGU ALISHA TUPA MWISHO MWEMA ni ibada tu, ila kiukwel minaona d na zuchu wanaendana na mdada safar hii kampata mvumilivu sana, ila kaka d ujatulia hufai hata kwaku lumaingia, ila zuchu AKUPE mda utabadilika taratibu, we babu tale Lea watoto tu, sababu mapenz yapo nawema wapo utapata uhataka
@anicyaedward6257 Жыл бұрын
Zuch udogo gani sasa 30 years plus au akifka 40 ndo mkubwaaa 😅😅😅...zuchu kapishana na nandy na wakina Hamisq ...wote ange sawq ...sema zuchu anajiweka kitoto ila sura yake Inaoneshs
@lucymtuka3199 Жыл бұрын
Mapenzi hayako kwenye sura tabia ni kitu muhimu sana
@مونيكمونيك-ع1غ Жыл бұрын
Mmmmmh babutale kwa uongo uongo tu hajambo😂😂ivi muoaji ni nani pale ebu tuache kidogo 😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@issasaad3403 Жыл бұрын
ALLAH akujaalie mke mwema babu tale yan hauchoshi kusikilizwa unaongea kwa busara sana
@STAVOO_WIZZIE Жыл бұрын
Holla
@sylviembirize Жыл бұрын
Good Nice babu tard
@ShadiahAtwasi Жыл бұрын
Njoo unioe Mimi Babu tale
@IsaacJames-sv3zk Жыл бұрын
Pyeeeeee
@azizaidd1998 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂wewe uko sure?
@IsaacJames-sv3zk Жыл бұрын
@@azizaidd1998 nn?
@thelight-ur3oi Жыл бұрын
Lakn tale hatukuekewi 🎉
@immamathias6600 Жыл бұрын
Leo ndio nmeamin sasa
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
Babu tale umeongea point
@modernbeauty5309 Жыл бұрын
Yes, the Lion got full or it's just me. I won't mind if It's just me
@mandelaismael5036 Жыл бұрын
Assallam walkum wallah Matulah wabarkatuh,Tale kwli ndoa?kitu hicho hakipo mnafanya biashara tu mi Mandela tokea Burundi na chatting tokea Oman Muscat nawafwatilia Miladi