Рет қаралды 78,600
Katika maisha kila mtu ana kitu ambacho anatamani yaani akiambiwa tukikupa nafasi ya kuchagua vitu kuvibadili au kubadilisha katika nchi yako ungependa kubadli kitu gani? Leo June 28 2017 AyoTV imempata katika exclusive interview kiungo wa kimataifa wa Kenya anayeichezea Tottenham Hotspurs ya England Victor Wanyama, yeye Tunajua amecheza kwa muda mrefu Ulaya na kuishi pia. Wote tunajua ameishi na kucheza soka Sweden, Ubelgiji, Scotland na sasa England, unadhani akipewa nafasi ya kubadili vitu viwili katika soka la Kenya angebadili kitu gani? majibu yake ndio haya.