Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wa mwimbaji staa wa Diamond Platnumz amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com Kampala Uganda na kueleza mengi kuhusu msiba wa Mpenzi wake wa zamani aitwae Ivan.
Пікірлер: 664
@fabempire48817 жыл бұрын
very mature enough,she looks very innovative,not easy to let go of opportunities and thats the key diamond is holding....she is an investment to invest on
@fabempire48817 жыл бұрын
Morin Timz eeeh kabisa hii ni millions walking
@jamesjay51567 жыл бұрын
V-key schwzTv Diamond is gonna be trying to get ivan's Money ,,,,thats all counts for Diamond
@fabempire48817 жыл бұрын
haahaa imagine Lamborghini mzima na towers ka mbili ivi
@fabempire48817 жыл бұрын
James Jay Diamond is smart boss he has got money meen ata akichukua ya ivan itakua tu kuongezea he is competing with me let him him try...
@jamesjay51567 жыл бұрын
V-key schwzTv yes ,,,i think now Diamond is lookin for a big bulding in New York to buy
@christinenyangoma72897 жыл бұрын
That's what we call beauty from upstairs ...u deserve the best because u are smart upstairs ...more blessings and keep strong
@shabanrasheed90207 жыл бұрын
This girl is amazing. She is icon, she is very differ from other TZ girls celebrities. She's got brain and not proudly of misambwanda as the others does. Much respect to you Zari.
@judithamagisi66587 жыл бұрын
Shaban Rasheed 😘
@shabanrasheed90207 жыл бұрын
Judith Amagisi 😍😍
@nuruomar85856 жыл бұрын
Shaban Rasheed
@BELLA-gi9sq Жыл бұрын
Is she the Zari I know 😅 She has changed a lot 😮
@sduduzilelambrance1600 Жыл бұрын
But Zari is not TZ she is Ugandan
@trishshii34687 жыл бұрын
i luv this gal, ur thinking capacity in on fleek zari God keep blessing u nd protect u, diamond is blessed to ave u
@zaudatmakula34547 жыл бұрын
ahsantee millard ayo mtangazaji yupo vizuri sanaa sanaa pole zari nimependa unavyojiamini nakupenda maana ni my mwanamke wa kipekee sanaa tofauti na watu wanavyomchukulia kweli diamond kapata mke mwenye kujielewa sio wale wauza sura mungu akuongoze pamoja na watoto wako
@lizmellissa79547 жыл бұрын
whatever the case''life has to go on' .. '...I love that😍😘and I love you Zari the world deserves strong women like you!!💪👊💞
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Melsa melisa fact
@avrilbeib88927 жыл бұрын
Melsa melisa penye niko hukosekani swirry?strong woman ever being one of them
@lizmellissa79547 жыл бұрын
Avril Lavin siwezi kosa mahali kama hapa swiiry😂😂😂...Zari is my inspiration🙌😍😘..I love her
@elishalucumay97667 жыл бұрын
Melsa melisa pamoja
@simbacoach86007 жыл бұрын
Nimempenda zari kwa kweli, shes mature en strong, why do some pple talk ill about her. pole sana kwa msiba na menyezi mungu akutie nguvu.
@jacquelinejackson61247 жыл бұрын
she is so wise I love her
@zaifathussein81957 жыл бұрын
exactly my role model, this is what I expected to hear from u, I love you so much, and our almighty Allah will keep u strong & safe InshAllah, Aise wabongo asa hao wenye team za wabongo lala jioneeni Watu wenye akili wanavyo flow point tupu. ZARI u r my Inspiration love you.
@faridabakari85117 жыл бұрын
mashallah mashallah neema wallahi ukona busara Zari...kwawakati huu watu wanavo kuongelea vbaya so asante kwa kutuelewesha kwa wale walio kuwa na dhana na kupotokaa
@tedyfrano30377 жыл бұрын
mmmhh
@samuelgratus82987 жыл бұрын
yaani huyu zari jamani
@faridabakari85117 жыл бұрын
Tedy Frano tuuuuuuuu
@byakespurity17197 жыл бұрын
i feel u zari am in the field of medizin BB 220 is serious
zari pole kwa msiba. you have made me to be very proud of my mother. May God give you strength, wisdom and blessings.
@journeywithjesus7 жыл бұрын
Never heard her speak before.. Pole sana and you are a strong woman.
@kitteluvinga95507 жыл бұрын
mungu akutie nguvu Zari ktk kipindi iki kigumu
@melineadhiambo30557 жыл бұрын
i admire this woman you are my role model. God bless you daily
@tausikasote147 жыл бұрын
zari ua just a strong woman never seen b4 dah! umetsha
@halimamasai22347 жыл бұрын
Inshaallaah mungu azidi kupa moyo wa ujasiri zari we na familia yako
@dikha75257 жыл бұрын
she's so awesome and hard working, keep on going zari.Much love from Senegal
@Marion_Koki7 жыл бұрын
Beauty with Brains.......i hate how some media outlets view you, am glad i got to watch this interview coz its like i now know the real Zari.....Much love from Kenya!!!
@kalemanjovu9087 жыл бұрын
she is smart lady bless her.. I guess she will survive coz the kids need strong mother
@tracyjustice16007 жыл бұрын
Zari amejieleza vizuri sana, Mungu akusimamie kwenye maisha mapya ya kuwa mama na baba kwa wakati mmoja, huyo Mtangazaji nikiboko lazima atakuwa ameenda kusomea hii kazi, thanks millard ayo
@claireachola73607 жыл бұрын
i love this lady so much....she reasons more maturely i say
@engr.bernardmonteongwae5637 жыл бұрын
smart woman.... very smart and articulate
@sethsmithseagal28897 жыл бұрын
Engr. Bernard Monte Ongwae that's y i lik her so much
@christineantonsson38957 жыл бұрын
she is very clever with good personality i love her.
@sharonmbodze66547 жыл бұрын
kumbe mtoto wa wenyewe ata c mbaya jaman zari uko vizuri mungu alkupe maisha marefu
@khadijambuta43607 жыл бұрын
mashaallah hii ni mali ya dunia so good woman i love so much zalian hassan Allah akupe afya na nguvu
@bintysalimchigwe45797 жыл бұрын
Hapa leo wadaku wamepata jibu, mumuache zari sasa na maisha yke, mana kumezuka mengi sana siku chache tu, pole sana daa Zari mungu akuzidishie ujasiri uweze kuangalia maisha ya badae ya vijana wako, mungu akusaidie insha Allah.
@asteriamvungi94927 жыл бұрын
Ulikuwa una kiu ya kusikia Zari ana yapi ya kuzungumza?.. Umefurahi kumsilikiliza? Unamuombea aweze kukabiliana na yote aliyopitia? plus umeAPPRICIATE MillardAyo kukusogezea Full story kutoka Uganda. Gonga LIKE
@tanzaniayetu69737 жыл бұрын
love you mdada
@mushxwaggz52587 жыл бұрын
Asteria Mvungi I have a question her sons they will change religion into Islamic? coz their Mom is a member of Islamic? (muulizen ilo swal)
@faridabakari85117 жыл бұрын
Asteria Mvungi wallahi nimefrahia binafsi ....kumskia kwakinwa chake yeye mweyewe.....
@mushxwaggz52587 жыл бұрын
+farida bakari hee!? kinywa (kinwa)
@Mchuzimbodze7 жыл бұрын
Asteria Mvungi safi
@virginiakambasha6777 жыл бұрын
I adore your POSITIVE attitude towards the whole situation. Big Well done my sister ....You did not react and that response shows your maturity and intelligence. Remain focused and you are a true role model. Remain blessed and walk with your head held high. Love you sis
@stellahmutheu92497 жыл бұрын
All the best Zari kwa kweli wee ni mwanamke wa aina yake ambayo sjawahi kuona.Mungu azidi kukubariki akupe ujasiri na hekima zaidi na utatambua kuwa Mungu akiwa kila kitu kinawezekana.Mungu abariki watoto wako wooote na Familia yako muishi kwa amani Asante kwa kutuekea kila kitu Wazi manake umejibu mwaswali yetu yote ambayo tulikuwa nayo.i love u Zari and I luv ua kids God bless you
@paige25487 жыл бұрын
must say diamond is lucky to have this woman dispute the age differences she I soo mature and worthy to invest on her .....zari keep the fire burning God knows your a strong woman and can handle this situation
@annkassa40007 жыл бұрын
This woman is just adorable if i were diamond I would stick to her whether there is love or not #beauty with brains👌
@josephinemlay6267 жыл бұрын
haaaaaaaaaaaa kwa kweli
@azizayassin36237 жыл бұрын
Ann Kassa hahahahha yup
@Waridimaria7 жыл бұрын
sure sure you r right I appreciate her too
@Nickojunior7 жыл бұрын
Ann Kassa only if I knew wat separated her with her ex husband other than that we can all act like angels outside but some diff inside 😂
@annkassa40007 жыл бұрын
NickoJunior BJMUSIC the man was violent according to her interview on the sporah show and the husbands faming were also involved
@saavakarimofficial8857 жыл бұрын
Zari you're a smart girl I trust you and no one can raise those boys like you,thanks to Diamond for being an understanding Person Alhamdulillah
@sholastika9727 жыл бұрын
wewe ni mwanamke Wa nguvu, love u zali💞
@deborakerubo81497 жыл бұрын
This lady is a Pacesetter.Damn!Love all the way.Keep strong
@bahatidan47517 жыл бұрын
anaonekana tofauti Ms Zari..yaani msiba kwa mwenzio duuuuh..pole sana dear it is well in Jesus name
@thikanatasha4687 жыл бұрын
My favorite reporter is here again,I feel nice just to see it`s him helping us understand more information regarding Ivan death,thanks and keep up
@rosehillary87427 жыл бұрын
Ayo Ayoooo....Millard Ayo na Team nzima nakukubali sana maana mnatoa ukakasi nakuwafunga midomo wanaoropoka bila kufikiri. Zari wewe sio Boss Lady wa showoff ila we Mama 1st-Unajitambua 2nd-Unaakili 3rd-Unabusara 4th-Jasiri wakupindukia 5th-Unaishi unachokiamini na Hautetereki Woman of Still Wanawake tujifunze kutoka kwa wanawake kama hawa maana ni mengi anayo mazuri.
@gertrudekibathi27777 жыл бұрын
Iron lady.... Alfa woman.... Zari you are awesome.. intelligent... sharp... ur blessed girl... may the good Lord see you through..... u gonna make it.... am proud of you.... hugs
@abigailkighombe19607 жыл бұрын
Beauty with brains...I now love her for real..she knows she is not in this world to stay so she will jus do her very best..Daamn!!
@coolmom73297 жыл бұрын
i love u zari from to day
@sumaiyaabdi86107 жыл бұрын
The reporter is so much on Point! He let us have the whole story without unnecessary interruptions. Millard,you should keep him.
@myshylysh35547 жыл бұрын
zari nakupenda
@nanciemungai38217 жыл бұрын
zari u really spoken like a really strong woman.God bless u
@jescamsambatavangu53417 жыл бұрын
Woow! She is such a strong Lady Zari.It is my pray that God will strengthen you with your family always.
@josephinemlay6267 жыл бұрын
kwa kweli this women hands up, anajua anachokifanya mungu amsaidie kwa kweli
@carrierolyne14207 жыл бұрын
so wise and beautiful inside out
@azahally92167 жыл бұрын
Unaakili sana zari love you
@subrynerysegerow13237 жыл бұрын
Daah nimekuelewa boss lady 😘😘mingming
@sistersade90397 жыл бұрын
that was a great feedback Zari, bravo, u r wise and smart young women really. i am sure those are the reasons of both Ivan and diamond loving you, apart from your beauty and your own success in life, coz there is brains that fuctions logically well. i now believe that for sure you have been behind the success of these two gentlemen. wishing you much success!
@mwanaidadam54037 жыл бұрын
l
@tinatosheenah13057 жыл бұрын
I salute yuh boss Lady Jst be strong dear no matter what pipo say..
@atwityemkolla29717 жыл бұрын
love u much zari...Maneno na uzushi mwingi mitandaoni ni kutoka kwa wale wanaokuchukia,akuchukiaye haezi kukuongelea zuri hata cku moja hata ufanye jambo gani watatafta kibaya cha kusema. hapa umezungumza umeeleweka ila still kuna watu bdo watatafuta cha kusema,don't care abt them ,tupo tunaokupenda,kukuelewa na kukusupport. one love!...
@mimifulani9487 жыл бұрын
mtangazaji yuko vizur big up to him
@bobymagez27607 жыл бұрын
nakuona sofy
@73chengosaro47 жыл бұрын
ushampenda ?? Sofy Omar???
@adamsaidi2097 жыл бұрын
sofy umetisha kila sehemu upo
@maryians70977 жыл бұрын
wow ua such strong Lady..kip it up
@sumayahnansamba40897 жыл бұрын
lovely..thanks for the enlightenment..alot of talk talk will atleast be cleared
@winniethesiren59497 жыл бұрын
very courageous,confident n wise lady,u r extremely adorable,nasibu made the right choice
@hopeshembi19737 жыл бұрын
Zari ur a strong woman, love you sana
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
woman with brain love you mama tee...bora uwanyamazishe mana kuna watu walikuwa wanataka wakakuroge eti team fulani mungu yupo nawe
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Janerose Oneya hahaha wanaudhi bana wamemsema vibaya sana sio vizuri wallah
@mwanaidihussein14627 жыл бұрын
Hassanova junior 😅😅😅😅team manyumbu watasubiri sana huyo ndo the new don zarina hassan
@rosehillary87427 жыл бұрын
nilikuwa nalia kwa maongezi ya Zari yalivyo mazuri ila umenivunja mbavu
azh zha yassin ulipo nipo wa mie wamuche jmn zari wawatu daah sio kwa maneno hayo anayotupiwa khaaa
@flomrembowakenya55247 жыл бұрын
zari tunakupenda kutoka kenya;u look matured like okothee;but we are watching to see diamond whether he have true love
@marianyari5837 жыл бұрын
yote nimapito tu, Pole sana Zari M/mungu akupe uvumilivu jmn uweze kuwalea watoto wako.
@esthersirmasirma13867 жыл бұрын
She's a mam real mum....congratulations zari I learn alots from you Zari.....congrats yao TV
@mamieamida88387 жыл бұрын
Zari you are a strong woman. I admire you,you have been my role model and pole sana. Wish you all the best
@gideonimathew64917 жыл бұрын
Hizi ni mali za Dunia na tunaziacha hapa nimefrahi huyu Dada amelitambua hilo kua cha Duniani kitabaki Duniani. Yesu anaokoa mwamini hivi leo
@annemmbone83267 жыл бұрын
she is very intelligent gal I have never heard her speaking so nice pole Dada GOD will protect you jipe moyo
@theopistermganwa43787 жыл бұрын
Mwanamke mwenzetu umejitahidi sana kuweka wazi (your Power dada)
@ericamartins12377 жыл бұрын
youre one of entelligent woman than ive never hear..respect...ican learn from you zari.mwahh.Thanks
@juliebirungi44307 жыл бұрын
Am so proud of you my role model and I will continue to pray for you.
@susanruo80877 жыл бұрын
Yaani Zari you are strong..... Ave never seen a strong lady like. Huu ni msiba wa Ivan unaongelela na nguvu ivo wakati mimi na sikuwa namjua vizuri bado ata sijazoea kifo chake... God bless you Zari and keep you strong
@agnetahjumbah11847 жыл бұрын
zarina my role model nd am proud of you .you are a teacher to upcoming mothers
@unamakcompanyltd17307 жыл бұрын
Three words: Well done Zari.
@lydiaewers29694 жыл бұрын
I Love you Mama Mama Tee that respect is adorable and to Nassib Zari really loved you. May God Bless her family ❤❤❤🤲🙏🏾
@fredickaugustin14336 жыл бұрын
Love you zarithebosslady mama tee mungu akulinde poleni musichana muzuri kuliko wote dunia
@floramwanja37807 жыл бұрын
A very smart intelligent soul, God is with you. You've asked and he will never fail you. You will raise your little ones well. Praying for you dear.
@Silverstic7 жыл бұрын
Millard your the best kaka ,,. Dah i miss understood this .... sahv niko ok na zari she is a star yaani apart from that she is a stong woman ... one day i need a girl like this yaan ... nampenda mchumba wangu anaitwa @sion alphayo ni mtu anapenda kujifunza sana sifukiriii kabisa kuwa mbali nae .... all in all your my best media man 💪🏿💪🏿💪🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@phelisgrace31077 жыл бұрын
Huyo repota anataka house girl ...Thanks Ayo one love from Kenya .
@daimavlog7 жыл бұрын
Reporter huyu ni wanguvu. Asante Zari kwa kusafisha hali ya hewa
@beatricenicholausiwasa76017 жыл бұрын
zari mungu akubariki
@jaquilinekivunge3317 жыл бұрын
jaman big up zari wewe ni mwanamke shujaa nakupenda
@audreyndukwe15047 жыл бұрын
My role model ...inspiration speech ...I respect u ...!!!
@happynesndaki14437 жыл бұрын
Story ilikua tamu sana nimetamani isi ishe aiseh... Tunakupenda Zari wetu
@kaswdladhbsbsbs19967 жыл бұрын
nimependa sana alivo ongea zari mungu akupe nguvu inshaallah
@hawasalum73507 жыл бұрын
Zari you are my inspiration women ever, love you today, tomorrow and everyday. 😘😘😘😘 much love. You explain everything in point, I catch you 😍😍😘
@sebarumoses59467 жыл бұрын
perfect woman,true definition of a celebrity
@swagosamatta60387 жыл бұрын
mungu aendelee kukusimamia my zarina
@SaraSara-gi9he4 жыл бұрын
Akili n ya kuzaliwa nayo kweli kusoma nikuongezea wako wasomi na maisha yawapiga chini masha Allah sifa yako chukua
@Utadowot7 жыл бұрын
Pole sana Zari and family...it is well Now to the Ugandan reporter...so UG speaks swahili sanifu?! heck I could listen to his swa all day to improve my Kenyan swa
@emmahtumaini73607 жыл бұрын
zari u r one in a millions,may GOD give u strength as u undergone dis difficult moment.
@mimitijara48067 жыл бұрын
zari kweli ni muisilamu kaoolewa na mkristo subhanallah mungu akuditiri waslllah mungu akusamehe na maisha ya dunia kumbuka na akher kuna munukar wa nakir toba zari maisha ya dunia ni mapito swala kufunga muhimu
@keneeuq1747 жыл бұрын
Strong lady with brains and beauty to march...God bless!!!!!!!!!!
@josekassy11787 жыл бұрын
Duh, The Boss Lady, Zari; hakika sikukufahamu, nimekuwa nikikusikia tu Zari Zari. Leo baada ya kusikia hii exclusive interview yako; Ooh,nadhani na kwa hakika kumbe wewe ni dada na mama wa nguvu. Mmh, so intelligent, so bright, so logical...... duh, sio tu suala la uzuri.....kumbe umejaaliwa mengi. Hongera sana dada....I wish nikusikilize wakati wote. POLE KWA MSIBA
@esthernyanchama35227 жыл бұрын
I love you Zari.
@simatokakiha88947 жыл бұрын
Zari pole sana.uko strong Mungu akulinde.kuwa makini sana na Mali zako maana zote ni zako na watoto.
@evekirschrosh7 жыл бұрын
Very mature lady,she know the hustle and she been there.Keep the spirit Zari 👌
@davidlubanga55277 жыл бұрын
Though she was just a socialite riding on Ivan's and Diamond's fame but hw wrong does it get. Very easy on the eye, hardworking, and with intelligence and humility to boot!
@KahawaSQ7 жыл бұрын
Wow, what a beautiful soul and woman. First time hearing her speak and she has my respect.
@eveokelloh85967 жыл бұрын
I love this women so much zari u the best,,u are such adorable l ehvy,,stand strong as always u have said it all those who are spreading rumous shud stop it now and leave you in peace,,May God continue blessing you with the such beautiful heart,team zari
@winfridainnocent28257 жыл бұрын
I like her mindset,her beauty brain,keep on it zarinah
@tynahonchabo15167 жыл бұрын
I love u zari
@tangukansuma52027 жыл бұрын
yu are smart zari
@nassilabecky26217 жыл бұрын
All will be fine soon dear.zari we love u and support u so very much..don't mind pipoz words.live yo like..kigya kugwa tofayo bby😍
@neychibu21277 жыл бұрын
mungu akulinde kweli mondi kapata mke anaejielewa
@elizabethpatrick73576 жыл бұрын
zari I love u sana u'r always my rollmodel
@roseatieno56137 жыл бұрын
zari God will give you strength to take care whatever Ivan left.
@nikitumarthinne89097 жыл бұрын
Pole sana Mama watoto. Ninacho kupendeaka tu miye huko kuongea ukweli.Mungu akuwezeshe kuenderea kusonga mbere na kwenderea kuwa shujaa.