Wewe ni kijana mkweli, Unajitahidi kutafuta habari. Oruma ni wa hovyo sana sana. Alisema Chama hawezi kucheza Yanga msimu huu
@JosephSamwely4 ай бұрын
Uko sawa
@MANKungulu4 ай бұрын
Hauna baya bro w unajuwa nami nakubari baraa
@0badiaMwasongwe-rt1wr4 ай бұрын
Upo vizurii sanaaa
@magrethmakauki2354 ай бұрын
Hansi uko bora sana
@MeshackKamenya4 ай бұрын
Best Anza usichelewe
@CatherineSinakodi4 ай бұрын
Kaka uko vizur me uwaga nakupendaga sana ukiwa unachambua mpira upo vizur sana napendaga kuangalia clip zako one love broo endelea kuwanyoosha wanao kusema vibaya ukweli utabaki kuwa ukwrli nandio maana wewe nitofauti na wachambuzi wengine nakupenda sana❤
@simonIbrahim-hc8vm4 ай бұрын
Huna baya kaka ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@NathanielWilliam-hg9rj4 ай бұрын
Hapo mbna sijaelewa azizi ki Simba Tena Hans hem tuweke vzur
@ameirfaki92774 ай бұрын
Mtelezo wa ulimi 2 kak
@adenmayala92984 ай бұрын
Unamaanisha azizi kii kasain yanga au
@MikidadiKambinda-tr6rl4 ай бұрын
Hans. Raphael. Wewe. Pigs. Kazi. Bro. Usijali. Hakuna. Binadamu. Mkamilifu. Wape. Ukweli. Na. Ukweli. Utakuweka. Huru. Mdogo. Wangu. HANS. Piga. Kazi
@FredymaswiMwita-oj6gv4 ай бұрын
I like u Hans
@mustafakara13614 ай бұрын
Wewe si ulusema chama hawezi kwenda yanga
@mwanangusana4 ай бұрын
Hajawai kusema hivyo .... Labda uwe unatoka upande wa mwenyekiti
@evansdecaprio81964 ай бұрын
Azizi k kwenda Simba mbona sijakuelewa
@mwanangusana4 ай бұрын
😂😂😂😂 elewa tu ... Maana ametukanwa Sana na madunduka kuhusu hii habari ya Mwamba hivyo bado ana hofu Sana ....... Hivyo Kila akiwaza Ubuntu wanamjia akilini
@robertphilip3854 ай бұрын
Hans wewe endelea kutupa habari achana na hao Hoya Hoya wa simba
@PatrickMlungusye-yu7ms4 ай бұрын
Hans Rafael,nimekuwa nikikufuatilia Kyle wasafi ktk uchambuzi wako uliotukuka,ila sijui kwa Sasa uko media gani!nakosa madini yako Kaka,unajua Sana.
@hidayahassan80144 ай бұрын
Yupo crown media
@FaridaAbdallah-xt1dj4 ай бұрын
Saa ngap mbona cckii vipindi vyao @@hidayahassan8014
@ShabaniJuma-n7f4 ай бұрын
KUSEMA KWELI HUWA NAKUKUBALI SANA KATIKA KUONGEA NA KUSEMA UKWELI KABISA WEWE NI MTU SANA
@terrence94774 ай бұрын
Unawezaje kutaja mishahara ya watu hadharani? wamekukubalia ufanye hivyo?
@HarunaKonyy4 ай бұрын
Ukweli utabak kuwa ukweli tu tajir bahir hawez keuishi namtafuraji mwenye ndoto zake
@kassidpandu8664 ай бұрын
Mwite Mzee chama ameshazeeka na umpe shikamoo kubwa
@OmaryBuberwa-j2e4 ай бұрын
wewe uko sahihi nakukubali
@idrisadjuma93224 ай бұрын
Kwann aziz unakwenda simba siyo?
@jaffjeff69124 ай бұрын
Romano wa Bongo
@malietamaliet4 ай бұрын
Ungebaki wasafi ungefika mbali hans yani
@AbisinaRashidi-c8d4 ай бұрын
Hata akienda hatuumii maana kashazeeka aende TU kwanza aliuza mechi msenge TU na nikweli anaujumubsimba
@NelsonMatambo-ob5zm4 ай бұрын
Huna baya kaka
@Mhappy54 ай бұрын
Walitaka t asivae medali za ligikuu na FA😂😂
@Elihurumamathew4 ай бұрын
Tatizo watanzania hatufanyi uchunguzi sisi tunakurupuka kwa kuendeshwa nahisia mfano leo hii kuna mambumbumbu wa huko simba wamedanganywa enonga bacca kauzwa wakati kaondoka bure yaani free agent ila wanaaminishwa kauzwa sasa mchezaji awe namkataba wa mwaka mzima alafu akasaini precontact sijui kama kunasheria ya usajili yahivyo sasa hansi lazima Mambumbumbu wakutukane maana clatus chota chama walimpenda kuliko hata wazazi wao nawaliaminishwa hawezi kwenda yanga nao kwakuwa ni mambumbumbu wakaamini walishindwa kujua kunamchezaji anaitwa cesci fabregaz alikuwa arsanal tangu mtoto mpaka kuwa staa lakini Barcelona walipomuhitaji aliongezea na pesa yake ili aende lakini kunamwamba anaitwa luis figo huyo anastori tamu zaidi kotoka barcelona kwenda real Madrid lakini pia Thierry Henry msisahau nawengine wengi sembuse msaliti wenu chama🤔🤔
@AbisinaRashidi-c8d4 ай бұрын
Kwani kuna mwanasimba anaumia wakati lishazeeka kwanza chama ni anaihujuma Simba
@wazirmasokola59514 ай бұрын
Kwaiyo azizi k anasajiliwa simba?
@LawrenceMeliyo-oh6kl4 ай бұрын
Wewe atarii Xanax brow nakukubalii mnooo
@YacoboKidagwanduu4 ай бұрын
mwambaa uko vizry
@JamesMabuli4 ай бұрын
Uongo gan na anasema ukwel
@JuliasOnai4 ай бұрын
unasema azizikii analipwa shingap pale Simba Kua muwazi tunakuamini
@MsumariMdoe-th8gm4 ай бұрын
Mwambaaaq
@anithawidambe75434 ай бұрын
NDY MAANA ALIKUWA ANAIUZA TIMU YA SIMBA ALIIUZA KWA YANGA ZILE GOLI 5. KWA MANENO HAYO ALIISALITI SIMBA.. AENDEZAKE HUKO.
@yakobokuzenza68374 ай бұрын
Umia kivyako
@HamadiMgeja4 ай бұрын
Punguza uongo
@mwanangusana4 ай бұрын
😂😂😂 kamezee dawa ... Maana unapata maumivu ya kichwaaa