Vita gani? Wenye silaha hawakuwa wazanzibar akina Okelo wamewauwa maelfu ya wananchi hata wasiokuwa na hatia, wanawake na watoto Allah awalaze mahala pema peponi amin. Baba yako na wana mapinduzi wenziwe walikuwa na uchu wa Madaraka. (Tamaa mbele mauti nyuma ) kama mna akili muwaombee dua wazee wenu kila alieshiriki 12/1 si siku ya kuadhimisha kwa ngoma na fashifashi iwe ni siku ya maombolezo.
@jimj82852 жыл бұрын
Khatari bin khatari!!!! Dhulma ya waziwazi!!!
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Hawana haya mauaji tu uvamizi kutoka tanga ekatekwa nchi ya zanzibari elfu kumi NA tano waliouwawa ombeni mungu awasamehe
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Mungu amrehem Sheikh Ilunga aliongea mengi kutuzindua lakini tatizo bado tumelala usingizi zaidi ya pono !
@mzuvendi3 жыл бұрын
Wallahi umenena!
@andrewnyamwaro51743 жыл бұрын
Karume alidandia Mapinduzi.
@samo53153 жыл бұрын
Inajulikana wazi ni mbinu za waingereza kumtuma nyerere kuichukuwa zanzibar baada ya kuomba uhuru kamili kutoka kwa Britain. British protect waliona kero na uchungu wazanzibar na sultan kudai uhuru, wakapewa kwa chuki 1963 wazangu wakasema mutaona cha mtema kuni. Waingereza wabaya sana wameharibufu nchi nyingi. Zimbabwe, Kashmir, etc.
@alawiali34753 жыл бұрын
Waingereza walitusaliti kwa kubariki mapinduzi coz itawezekanaje serikali inayoendeshwa na kuilinda ipinduliwe kirahisi rahisi na nchi nyingi zilizo tawaliwa na uingereza zina migogoro mpk kesho,waingereza ni wabaya sana
@misscoast31743 жыл бұрын
Ni kweli kabisaaa wametutia nuksi mpaka leo
@hadijarajabu53123 жыл бұрын
Kwani wewe ulitaka utawaliwe na nani🤔
@misscoast31743 жыл бұрын
@@hadijarajabu5312 hatutaki kutawaliwa na yeyote
@hadijarajabu53123 жыл бұрын
@@misscoast3174 Kwani anatawala Nani hapo Zanzibar ?
@ndimimaskati36413 жыл бұрын
Zanzibar imekombolewa kutoka kwa wakoloni ili iwe HURU, lakini leo ZANZIBAR haiko HURU imetawaliwa na TANGANYIKA, mpaka viongozi wanachaguliwa Tanganyika.
@saidsalim37283 жыл бұрын
100%
@alwattanihaji98383 жыл бұрын
Si ungetulia na kunyamaza tu,wasingekujuwa kama bado hujuwi...Leo kuna Tanzania na sio Tanganyika - poyoyo wewee!
@alwattanihaji98383 жыл бұрын
,Kwa hiyo hata hukushiriki uchaguzi oktoba 2020? Hamjielewi hata mnachokiongea?
@uledimtumwa24063 жыл бұрын
Jiulize kwanini karume alikimbilia Tanganyika,Abdurrahman babu na Hager walikuwa wakifanya nini Tanganyika!!?? Kwanini Waingeleza hawakuiamini Tanganyika kwa Siasa za Zanzibar wakati huo??? Kwanini Karume anamkabidhi Nyerere wanaye ktk wakati mgumu kwake?? Zanzibar bila Tanganyika mngekwama wabaguzi nyie.
@solomonadams63373 жыл бұрын
@@uledimtumwa2406 Zanzibar hatuwahitaji watanganyika nyinyi ni papa tuu kwetu sawa¿Zanzibae iko juu ya mikono ya Wazanzibar wenyewe sawa¿
@MrKhatibu3 жыл бұрын
Sasa ndio mjue kuwa makomredi walishiriki kuipindua serikali ya kisultan . Ndio maana Abrahman Babu alimtarifu k mwandishi wa habari Mohamed Amin kuwa ajitarishe kwenda Zanzibar kwani kuna tukio kubwa litatokea Zanzibar .
@mangofish90793 жыл бұрын
Mhe banda aliwachukua kwasababu kule ndio nyumbani kwao mzee karume
@hilmialiomar19833 жыл бұрын
Ahsante kwakutuhadithia historia ya Mapinduzi ya Zanzibar.
@abdulpires90913 жыл бұрын
Story nzur! ila umezingua iyo kukata kata badhi y sehem!
@rewardjuma41923 жыл бұрын
Mzee mwenye nehema,,,
@felixmagulu61423 жыл бұрын
Asante sana Mzee karume kwa story ya kusisimua.
@hilalal-busaidi40072 жыл бұрын
Assalama allaykum jamani huyu amani Karume nimtu mpole sana nilisafiri nae kutoka unguja kwenda Pemba ndani yaboti nilikua nikitapika kwa sababu ya bahari kuchafuka alikua alkinipa pole pale nilippkua nikitapika nakumbuka lama leo namupmba alla anikutanisshe nipate kumkumbusha
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Stori nzuri sana!!!
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Wewe jizi to usijikoshe umeiba vya kutosha pamoja na kamati zako pumbav umetuweka na njaa zanzibar toka ukae wewe na mjinga mwenzio sheni mashavu .hamuna moja mlolifanya zanzibar wewe huna tafauti na huyo NYERERE. Mjinga mkubwa sasa pesa zetu mlo tuzulumu zinakwisha unajifanya mtu sio . Hakika zulma haijengi. Mwangawewe
@@aishakhmohammed7995 mie police pia wa huko huko zanzibar nitakulinda kama tunavyo walinda wabakaji watoto .
@hassanrashid81823 жыл бұрын
Kumbe yupo huyu mzee
@amosmoses78003 жыл бұрын
KuMbE haTA WaYaHuDi waLishiLiki
@topaviator3 жыл бұрын
Tyf
@natafutamatatizo43823 жыл бұрын
HUU NI UONGO MTUPU, KARUME ALIKUA TANGANYIKA WAKATI MAKOMRED WAKIPINDUA NA ALILETWA NA BOTI YA NGWANDA ALISHUKIA KIZIMKAZI, YAANI HII NI STORY YA UONGO MTUPU!
@suleimanpandu89553 жыл бұрын
Yeye ndie baba yake kwaiyo ukweli wote anaujua yeye
@fatmas73383 жыл бұрын
Ni kweli ata bi fatma karume alisema karume hakuwepo
@MrKhatibu3 жыл бұрын
Inajulikana kuwa wote kina Babu, Khanga na karume walirudi siku ya pili yake kwa boat ya myahudi. Haikuwa boat ya Ngwanda. Google Maelezo ya Ahmed Ameen. mwandishi. Kuna picha ya propaganda alipigwa picha Babu " eti baada kusikia Mapinduzi akarudi Zenj na ngarawa!" kiukweli baada kushuka kwenye boat akao a mtumbwi akamwambia mpiga picha ampige picha huku anapiga upondo.
@amosmoses78003 жыл бұрын
KuMbE KaLumE aliPeLekwA na NyeLeLe na AliTumwA na NyeLeLe huKo ZBAR kuFanyA maPinDuzi.
@solomonadams63373 жыл бұрын
sio kalume basi ni Karume sawa¿huyo ni muheshiwa kwa Zinjibar sawa¿
@jamilambarouk47463 жыл бұрын
Kutamka hujui basi ata kuandika pia usaidiweee ni Karume sio kalume
@johnmwangove99283 жыл бұрын
story safi saaana lakini ni fupi tupeni full story
@oyay28213 жыл бұрын
Alichukua kwa bunduki na kutolewa kwa bunduki
@ndimimaskati36413 жыл бұрын
Huyu Amani anasema Uwongo mtupu, ni kasumba zao za kibaguzi na kutengeneza chuki kati ya Wazanzibari, msikilizeni dada yake Fatma alivyosema kwenye twitter.