We!nikama mwangojeanga tu mtu akufe mpate content😢😢😢did you ever visit his home when he was alive😢😢😢
@PashwaTV5 сағат бұрын
🙄🙄🙄🙄
@peresngugi69255 сағат бұрын
It is true.
@carolynemuthami-gb7wz5 сағат бұрын
Aki Kenya kuwa celebrity ni ngumu acha tu ufe
@carolynekadesa4 сағат бұрын
Exactly ata mwenye kufiwa hawezi pata amani
@janepherkhisa85814 сағат бұрын
Sure
@vincentatuti52435 минут бұрын
Kazi yenu ni kungojea mtu akufe mkimbie kwao na camera na wengine Wanalia mbwa nyinyi
@SashaHussein-g1e5 сағат бұрын
Nyinyi bloggers mko na tabia mbaya Sana, nikama mumekosa content,ata haja zikwa mshakimbia kwao ma mbwa nyinyi 😢😢
@johnorina59525 сағат бұрын
Nyinyi ni maumbwa sana
@hellenadhiambo48163 сағат бұрын
Imagine aki eeeeeh
@Roxana-q5j5 сағат бұрын
Ushakimbia huko vile ulifanyaga kwa akina erico sasa uambie watu otuoma hajajenga pia,next utuonyeshe kwenu pia
@SashaHussein-g1e5 сағат бұрын
Wana boo 😢😢
@PashwaTV5 сағат бұрын
😭😭
@MillyOrangi5 сағат бұрын
Surely mbna mtu akifa ndio munamuanika
@MillyOrangi5 сағат бұрын
😭😭😭😭
@hellenadhiambo48163 сағат бұрын
Hii sio tabia nzuri kabisa
@fridahombaki32723 сағат бұрын
Mnatafuta views nyinyi tunawajua, wakati alikuwa hai hamkuenda huko😢😢
@TabbyMaithya4 сағат бұрын
Kweli umbea haupendi uzembe
@syliviahokero231144 минут бұрын
Hawa so called bloggers wenye wanataka content kutoka kwa kila kitu makwenu ziko aje?this is so wrong 😢
@beatriceobilo50654 сағат бұрын
Kwani Otuoma is not from Busia ama ? Kifo huleta mingi sana
@AminaYasser-y6j4 сағат бұрын
Maashaallah kwani kenyaa mahindi yameiva?tayar
@halimaabdalla485618 минут бұрын
Shenzi sana mbona alivyokua hai hukuenda panya buku ww na wenzako
@besonwanda60413 сағат бұрын
Hawana kazi
@PashwaTV3 сағат бұрын
Ukweli kabisa
@AnnAnnie-ow4tnСағат бұрын
Tuonyeshe kwako
@bakariken10692 сағат бұрын
Mlingoja afe mpate content 😢😢
@Lashymreal96Сағат бұрын
Tulikua tukilima hizi sides
@PurityAnn-yr3hd46 минут бұрын
Hii ni ujinga ...umewai enda kwao before...saa tuonyeshe kwako na kwenu🚮🚮🚮🚮
@eunicemuenioyugi81215 сағат бұрын
Why after his death bona ukuenda wakati alikuwa mgonjwa?
@PashwaTV5 сағат бұрын
Tulienda
@MwaruaСағат бұрын
Mtu akufe ndio mpate kutangaza biashara zenu shame on you..
@carendeborah5687Сағат бұрын
kufa uone watu wamishene 😂😂this world thoo
@johnorina59525 сағат бұрын
Nashangaa na hawa watu wa media mko ma tabia mbaya help akiwa alive
@Lashymreal96Сағат бұрын
Kwendeni uko bila hawa mngejua ni wapi??wenye magari waone barabara ili wajipange sijaona kosa lao
@esendilumula462146 минут бұрын
Wewe hawa wafu kabla wafariki ulikua wapi kufika kwa boma zao na utujulisha kwamba hawaja jenga ? Sasa tupeleke kwa mwingine wiki ijayo kumwanika ilitujue vile kuko . Ukisha maliza tupeleke kwenu tuone kama wazazi wako kajenga au wewe kajenga kama waona ni furaha . Mwenye dollar usimcheke asiye na dollar . 😏
@berynesusan6811Сағат бұрын
This is so wrong of you 😢
@kawirakirimi32863 сағат бұрын
Yaaaa mama otuma amejenga
@CarolinMuch6 сағат бұрын
Mkuu Asante kwa bidii yako ,then nauliza hapo umeingilia kutoka main road kunaitwaje
@PashwaTV6 сағат бұрын
Ramula junction
@CarolinMuch5 сағат бұрын
@PashwaTV thank you brother
@filexoulet4126Сағат бұрын
Kwan hujui njia za kwenu
@CarolinMuchСағат бұрын
@filexoulet4126 natoka turukana county,na kumulizia sijakosea kama nimekuuthi pole