F-16 iliyomuua rubani wa Ukraine, ni ajali au imedunguliwa? Hivi ndivyo vyanzo vya URUSI vimeripoti

  Рет қаралды 23,241

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 151
@abuhamissi9082
@abuhamissi9082 15 күн бұрын
SNS bana mmegeuka BBC. Hamtoai taarifa kamili. Msitoe taarifa msio kua na uhakika nazo
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 14 күн бұрын
Uhakika unapatikana kwa njia ipi? Au uhakika unapatikana kwa Urusi kutoa taarifa?
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 14 күн бұрын
Hamna wafuatiliaji kama SNS na watzamaji pia wasklizaj ndio sisi yupo nao zaidi ya ufikiriavyo wewe BBC Hawa waandishi wa habari Kila jona ya Dunia Sasa Hawa SNS unawafikiria vipi wewe Fuatilia taarabu aise baaablai SNS TUACHIE SISI VIPENZI
@MursalLusinde
@MursalLusinde 14 күн бұрын
​@@OnesmoEphratasafi sna umeongea vzr sna na umemptia majibu sahihi kabisa.. kwa hapa bongo hakuna kituo chchte utapata taarifa kwa kina zaid ya #sns hiki ni kituo boraa kabisa kwa taarifa sahih zilizo fanyiwa uchambuzi kwa kina.. kizuri zaidi habari zao wanazitoa ktk vyanzo vya kuaminika.. kwa sisi wafuatiliaji wa makala mbali mbali hapa sns wala hakuna tunacho wadai hawa ndgu zetu wapo vzr sna na kazi zao ni za kiwango cha kimataifa.. kwa sasa sns ndo namba 1 tzania kwa taarifa sahihi za kuaminika... hawakurupuki hawa watu makin sna tupo pamoja #simulizinasauti
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 15 күн бұрын
Ikipigwa nyingine waseme tena imepata Ajali..
@nizarrama225
@nizarrama225 15 күн бұрын
😂
@twaalibkeya859
@twaalibkeya859 15 күн бұрын
Hahaha na bdo hawajasema
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 15 күн бұрын
Zilipigwa mbili zikiwa chini kabla ya kuruka kabla ya hiyo
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 14 күн бұрын
​@@fahadfaraj6474Kwa mjibu wa chanzo kp cha habari?
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 14 күн бұрын
Bado hawajasema ukweli shogaz wanachapika
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 15 күн бұрын
Big up kaka ally kwa uchambuzi mzuri
@raayMahmid
@raayMahmid 15 күн бұрын
Poleni sana
@RosetteMagdelaine
@RosetteMagdelaine 15 күн бұрын
🎉🎉kutoka Lubumbashi Nawa pata🎉🎉
@KhalifaMkapa
@KhalifaMkapa 14 күн бұрын
Leo taarifa zenu mmezinguwa
@user-sf7by1cr5h
@user-sf7by1cr5h 14 күн бұрын
Ali masubi nakukubali sana
@Evnce007
@Evnce007 15 күн бұрын
WenyeD mbili tume kuelewa vizuri sana kaka begap
@fidelistitus5775
@fidelistitus5775 15 күн бұрын
Naunga mkono hoja
@ZHING.Tech.
@ZHING.Tech. 15 күн бұрын
Naunga mkono hoja kak🎉
@pauldotto7868
@pauldotto7868 14 күн бұрын
Marekani huwa hawawezi .maana itaharibu emage ya ndege
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 15 күн бұрын
Imepigwa iyo ngoja nyingne.
@josephkostans9128
@josephkostans9128 15 күн бұрын
Sasa shambulizi la macombora linaunganika vipi na tukio la kuanguka kwa ndege? Ikitunguliwa imetunguliwa TU haijalishi imepigwaje? Hahahaha pole sana vibaraka mtateseka sana
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 15 күн бұрын
Hizo vitu urusi kaziaribu sana ila walikua wakijaribu kuficha ila hyo sasa ni bei ghari ndio maana uraya asahivi imejitabilia kutakua na muanguko wa kiuchumi iwapo kamal harissi atashinda maana Vita itaendelea na uraya itazidi kutoa misaada kwa kila pande yenye Vita, ifike mahala uraya wakubali kua jeshi LA urusi sio Hamas, lah sivyo watafirisika mbwa hao
@josephkostans9128
@josephkostans9128 15 күн бұрын
Kifupi TU ndege umepigwa na kombora la mrusi imeisha
@yusuphdennis2730
@yusuphdennis2730 15 күн бұрын
❤sns
@HasaniKidibule
@HasaniKidibule 14 күн бұрын
Jamani mimi Ibrahim abuu ismail kutoka Tanzania dar es salaam, naomba niwe wa kwanza kutangaza kununua scrap,ya hizo ndege uchwaro za marekani ndani ya ukrein,
@IreneIssaya
@IreneIssaya 15 күн бұрын
Kaliwa kichwa huyo
@petronyereresaliboko4047
@petronyereresaliboko4047 12 күн бұрын
Kutoka Congo nawapata🇨🇩🇨🇩🇨🇩asanteni sana
@hamimhassan9354
@hamimhassan9354 14 күн бұрын
Sma atakuja na critical reality, Yuko wapi au ? Ally Mnazi sana wa western
@MuzafarSaid-k8w
@MuzafarSaid-k8w 15 күн бұрын
Wewe Ali masubi acha ujinga na upumbuvu.sema tu Ukweli shida Nini.iyo ndege imedunguliwa na makombora ya urusi.
@AlexGwiha
@AlexGwiha 14 күн бұрын
Yani ww ndio mupumbavu unataka ukwl upi zaidi ya huu .
@georgedomician5964
@georgedomician5964 13 күн бұрын
Ila watanzania haya ww tuletee habar inayoonyeshwa imedunguliwa na kombola hata urussi wnyw awajuh
@Joshuajereman
@Joshuajereman 14 күн бұрын
Atutakiii embu kueniii sriosss semeniii tu tu tu
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk 14 күн бұрын
Ni kweli anavoelezea ally masudi ukraine bado uzoefu wa kuendesha ndege
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 14 күн бұрын
Hii ndege imedunguliwa na vikosi hatari vya Urusi. Kwasababu angalia hata rubani wake alishindwa kuchomoka, maana yake ilipigwa mmoja bila ya nguvu. Tuache kudanganyana .
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 15 күн бұрын
⭐⭐⭐⭐⭐
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 14 күн бұрын
Ety mimi mwenyew nimeshutushwa 😂😂 kwa lipi
@RonnieBertin
@RonnieBertin 14 күн бұрын
F16 best of the best military jet
@sonnyr1899
@sonnyr1899 14 күн бұрын
Ndio hio sasa imesha geuzwa vyuma chakavu
@mathiaslaurent756
@mathiaslaurent756 14 күн бұрын
Basi kwa mazingira haya urusi ikiamua kuwafuata wa Ukraine na su 35 watazidungua hizo f16 maana wa Ukraine wanaonekana hawajui kuziendesha
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 15 күн бұрын
Viva urusi.
@ZHING.Tech.
@ZHING.Tech. 15 күн бұрын
Viva purtin
@hubman6780
@hubman6780 15 күн бұрын
Sio lazima kutungua ndege ilioko angani ifunguliwe na ndege nyenzie ilio angani.Kwa kutumia GPS na Radar through satellite wanaweza kulock hiyo ndege na kuidungua
@AjudeKaluwa-bp1zz
@AjudeKaluwa-bp1zz 14 күн бұрын
Hao lazima wakione cha mtema kuni
@pauldotto7868
@pauldotto7868 14 күн бұрын
Weee umechemsha kabisa kwa leo.
@ndizindeleti761
@ndizindeleti761 14 күн бұрын
Mpirani hata Tim ikijifunga goli anapew alietia presha mpak asababisha ujifunge kw hio iyo ndege imelipua bom leny mlipuko mkubw na yenyewe ikaingia kwenye matatizo imelipuka kw hio apo ni sawa na kusema imedunguliwa
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 15 күн бұрын
Kwann rubani hajachomoka kama kweli haijadunguliwa muiten dj sma mzee wa logic na fact anaweza kuwasaidia kufanya calculation
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 15 күн бұрын
Kapigwa huyo
@StellaCharles-zk4kb
@StellaCharles-zk4kb 14 күн бұрын
Nyie mashabiki wa urus kuweni na haibu mnaonekanika hamnazo kabisa toka urus uvamie ukren nyie mnaona anapata mafanikio kweli mbona vita imeingia kwenye nchi yake kama anafaniklwa
@Awatee
@Awatee 14 күн бұрын
Unaumia ukiwa wapi 😂😂😂😂tukuulize weye zelensky kapata mangapi
@HaniaAbdoul
@HaniaAbdoul 14 күн бұрын
Karuhusu waingie ili apate sababu ya kuwachapa
@GoodTeck90
@GoodTeck90 15 күн бұрын
Ndiyo imedunguriwa na Kombora hiyo ......iwe ilikuwa targeted au kubabatiza ila ndiyo hivyo, itoshe kusema kuwa "mashambulizi ya Urusi ndiyo chanzo cha ndege hiyo kupata ajari, hivyo logic ni kudunguriwa"
@GoodTeck90
@GoodTeck90 14 күн бұрын
SNS sasa wamekula wameshiba, hawataki kuumiza kichwa kutafuta taarifa na vyanzo sahihi. Bloggers wameweka wazi kabisa ndege ilivyodunguriwa, lakani wao wamechagua kuegemea vyanzo vya Ukraine.
@ngerezamsagati7581
@ngerezamsagati7581 13 күн бұрын
Msimuliaji usituchanganye Urusi kairambisha mchanga marekani ndiyo anapigana na Urusi hata huyo rubani lazima nimmarekani kiufupi tu imedunguliwa na Urusi msipepese maneno mengi maana tunajua kinacho endelea nivita unataka watangaze waonekane ndege yao nizaifu?na Urusi lazima awazubaishe ili azimalize zote
@AlexGwiha
@AlexGwiha 14 күн бұрын
Sky na ally na gps yote kwa ujumula munakaz kubwa kuwalimisha hawa vichwa maji timu uerus weusi. Yani walisha jazwa ujinga kias kwamba hawatoweza kuamini chochote tena kuhus
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 14 күн бұрын
Wamepigwa na kombora aibu kusema ukweli😂😂
@Joshuajereman
@Joshuajereman 14 күн бұрын
😂😂😂😂hooooo urussi bwana mbona Baraka zako nyingii hiviii achatuone naimba visa 💳 niende kwa puttnii ohhhhh
@tayga2031
@tayga2031 15 күн бұрын
Wamepigwa
@ericmutalemwa8040
@ericmutalemwa8040 15 күн бұрын
HAPO ulipojiuliza swali la kushindwa kuiject NI dhahiri ilipigwa
@salumkhalid9485
@salumkhalid9485 15 күн бұрын
Anachezea anga ya mrusi sio watakufa wengi
@RashidiKuji
@RashidiKuji 8 күн бұрын
Yes vp hapo 😂😂
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 14 күн бұрын
Itakua imekutana na hypersonic missile ikakunjwa kama karatasi.
@MapiMinja
@MapiMinja 11 күн бұрын
Leo mmebalance story
@songamberetv2219
@songamberetv2219 15 күн бұрын
Mi nilijua tangia yale mashamburizi yaishe picha ya yule rubani ilianza kueneya r.i.p ikafahamika kwamba kuna makombora yalipigwa sehemu kumefichwa izo ndege mbili
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 15 күн бұрын
SNS kimataifa
@pauldotto7868
@pauldotto7868 14 күн бұрын
Friendly fere huwa haiwezi kufanya maana huwa inatambua ndege rafiki
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 15 күн бұрын
Eeenh na huo ndo ukweli sio zile kelele zao nyingi marekn inakalishwa na urusi 😂😂😂😂😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk 15 күн бұрын
😅😅 ww ni pimbi
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 14 күн бұрын
Mimi najua hakika ali masubi ni mmagharibi watu hawanielewi😂
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 15 күн бұрын
Kwan iyo ndondege yakwanza kuondoka hahu kupata hajali sematu nyny mmekalia ushabik nakuangalia mazaif yaupande mmoja lakini hamsimami kwenye ukweli nyny niwapinzan wa Ukraine nasiyo vingnevyo lazma mjfunze mahana ya habari siyokukandamiza upande mmoja
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 15 күн бұрын
Wende bbc kaka utapata mazaifubya urusi kwabahati mbaya ni za uwongo… Epuka kuishi maisha ya uwongo ya wa magribi
@jut1161
@jut1161 15 күн бұрын
Jifundishe kuandika kwanza
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 15 күн бұрын
​@@jut1161mamahako hanajua
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 15 күн бұрын
Hebu kaa pale kwanza usubili maana ckuelewi. Neeext
@user-xi8cl2rx4f
@user-xi8cl2rx4f 15 күн бұрын
Shoga lazme uumie
@golebenson4597
@golebenson4597 15 күн бұрын
Masubi leo sipo na ww ungesema tusubiri nini urusi atasema.masubi leo hapana
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 14 күн бұрын
Kwan unadhani Urusi ndio ni mkweli
@golebenson4597
@golebenson4597 14 күн бұрын
@@rumdeesonsoa1811 Kwa nn atoe uhakika mapema angesubiri
@MohamedyMsagati
@MohamedyMsagati 15 күн бұрын
Imekutana na kitu kizito ile acheni kusoma habari za west
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 14 күн бұрын
Lete vyanzo vya habari vinavyothibitisha kuwa imedunguliwa na Urusi
@pauldotto7868
@pauldotto7868 14 күн бұрын
Weeeeee huwa inatunguliwa.. ndani ya km 250.
@pauldotto7868
@pauldotto7868 14 күн бұрын
Ndege huwa iko out.ila ikichapwa vibaya. Rubani lazima ufe
@egdldm4981
@egdldm4981 15 күн бұрын
😂😂 Sasa kama ndege ya gharama hivyo na best trained Ukraine pilot anaitia hasara marekani na Ukraine hata kabla ya kumkabili mrusi kuna jeshi hapo?😮
@josepheriah5977
@josepheriah5977 15 күн бұрын
Mpka putin afe
@SolomonNyandindi
@SolomonNyandindi 15 күн бұрын
Watakubali
@AzizihFarijala
@AzizihFarijala 15 күн бұрын
Wewe huyo rubani alikuwa anapiga makombora ya urusi pamoja na drone sasa kama kombora moja lilipoga ndege hiyo utasemaje kuswahili imedinguliwa maana mnasema imepata ajali katika mtindo gani mfumo wa engine au nini tuambieni ajali gani hoyi
@MuzafarSaid-k8w
@MuzafarSaid-k8w 15 күн бұрын
@@AzizihFarijala Hawa sns nao wamekua waongo wakati wanajua Ukweli wajinga Hawa wazinguaji tu ndo wale wale tu bbc.ndege hii ilipigwa na moja Kati ya makombora ya kinzal yaliyorushwa na urusi.kajitahidi kuyaripua hewani lkn moja likamkuta wakati alipokua anaishambulia dron.
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 14 күн бұрын
Ali Masubi unanikosha sana kwa uelewa wako mkubwa sana wa kugundua mambo ya Vita
@bashirksabu3540
@bashirksabu3540 14 күн бұрын
Kumbe hata nyinyi hamna uhakika kuwa imedunguliwa ama imepata ajali!!!
@pauldotto7868
@pauldotto7868 14 күн бұрын
S_400 inaditect km 400. Lenge 250km kushuti
@meckcassius3983
@meckcassius3983 15 күн бұрын
Imetunguliwa bhana
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 15 күн бұрын
Inawezekana ilidunguliwa kwa bahati mbaya hiyo
@FarajiHaruna
@FarajiHaruna 14 күн бұрын
Kama hajaliwa kichwa ameliwa nn Mrusi noma
@BigBoyTechToys
@BigBoyTechToys 14 күн бұрын
Ipo mifumo ya kutungua ndege kutoka aridhini kwenda angani.. Mufanye utafiti wa kutosha .. Uwezekono upo , uwezekono wa kutungua ndege upo kutoka aridhini
@pauldotto7868
@pauldotto7868 14 күн бұрын
Huko ni kujikosha!!!
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 14 күн бұрын
Imedunguliwa na manati
@pauldotto7868
@pauldotto7868 14 күн бұрын
Ukumbuke marekani walisema hawajui operation kusk. Sasa wamekili kujua. Hivo Plsee chunguzeni.. hiyo imechapa bila shida . Maana kuna mbuge kasema patrot ndio imedungua mkangnyiko huo.
@valerianchamlungu7268
@valerianchamlungu7268 14 күн бұрын
Hivi telegram imefungiwa maana haifanyi kazi km awali
@user-mm9qr7em8k
@user-mm9qr7em8k 15 күн бұрын
cw imepata ajali .imeteleza uwanjani.😅😂😂😂😂
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 14 күн бұрын
Sisi Russia tulijua tutaipiga soon hiyo f16 ilikuwa siri yetu Putin special forces 🔥🤨🪖🇷🇺💯 huko mitaani kyiv wanahaha
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 14 күн бұрын
Mnazungukazunguka mno hapo huyo alipigwa tu full stop.
@pauldotto7868
@pauldotto7868 14 күн бұрын
Hata bbc wanalipoti kile ambaco wanataka watu tusikie
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 13 күн бұрын
Sasa taarifa hamna uhakika nayo mnatoa ya nn? Mshaanza kua bibisiii
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 14 күн бұрын
Ukweli utajulikana tuupe mda tu
@dela78895
@dela78895 14 күн бұрын
Wewe.ripoti zako ziko za kupinda pinda na kuegemea upande wa ukraine kila siku
@mapenzisiri7133
@mapenzisiri7133 15 күн бұрын
Acha kutusumbua si ajali bali imedunguliwa ongeeni ukweli
@UkhutyNaaBsjs
@UkhutyNaaBsjs 14 күн бұрын
Nyashi😂😮
@hubman6780
@hubman6780 15 күн бұрын
Kumbuka makombora yana radio waves yawapo kwenye ndege inayotembea angani na pia na Rusia reconnaissance yake over Ukraine ni ticktock
@MohaMoha-wn5vo
@MohaMoha-wn5vo 14 күн бұрын
😂😂😂
@abdullahnassor9433
@abdullahnassor9433 15 күн бұрын
Marubani wawili waliuawa wakati wa mgomo mkubwa kuelekea Kiev, walipigwa risasi wakati wa kujaza mafuta, eneo lilitambuliwa baada ya mama yake kumtembelea mwanawe kituoni, akisema ajali hiyo ni ya uwongo.
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 15 күн бұрын
Mmmh ndugu mbona kama unanihamasisha kuendelea kukusikiliza.
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 14 күн бұрын
Ngoja zilizobaki tatu soon mtaziona moscow kwenye maonesho.
@MuzafarSaid-k8w
@MuzafarSaid-k8w 15 күн бұрын
Ukrain weseme nini. Wataongea uongo tu kwenye ukweli.oyaaa sikilizeni mabroo Kama mmechoka kutoa taarifa za kweli poteeni tu msituzingue chuma iyo imepigwa na urusi mnaanza kujing ata ng ata semeni Ukweli mnazingua.kwendeni bwana.ndo wale wale tu.
@mwenebatuetabo5515
@mwenebatuetabo5515 15 күн бұрын
Ahueleweki bwana nyinyi na bbs akunatofahuti
@CJ-vd9wn
@CJ-vd9wn 15 күн бұрын
Nyenyenye
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 15 күн бұрын
Kwani haiwezi dunguliwa,imekuwa bomu la nuke ?
@josepheriah5977
@josepheriah5977 15 күн бұрын
Ni mfumo was ulinzi wa ukrane umelipua
@albertmallya4192
@albertmallya4192 15 күн бұрын
Su-57 ukrain wameamza kuziendesha lini jamani. Mbona sijakupata hapo??
@MoïseMwikizaNamukama
@MoïseMwikizaNamukama 14 күн бұрын
Kwa Nini mkubwa wa jeshi la anga amefutwa kazi?
@allyopi6101
@allyopi6101 15 күн бұрын
Wataongeasana mwishowatasema imejikwaa nazitaisha zote mtangazaji achaubishi ndege imetunguliwa hiyo
@AlexGwiha
@AlexGwiha 14 күн бұрын
All na sky munakaz sana kuwaelimisha vichwa maji hawa Tim urus weus wao walisha aminishwa
@ericmutalemwa8040
@ericmutalemwa8040 15 күн бұрын
Huyu mchmabuzi WETU HAYUPO deep Hizo ndege zilipigwa kwenye Anga YAO MAANA zilikuwa zimepaki TENA zilipigwa kutokana na VIDEO YAIO WALIOIPOST NA UWANJA UMEHARIBIWA
@Malata_francis
@Malata_francis 15 күн бұрын
EFU SIKSITIINI😂.
@jerryjackson3464
@jerryjackson3464 15 күн бұрын
😂😂😂
@petermbuja3783
@petermbuja3783 15 күн бұрын
Rubani wa wa ukrane aendeshe SU 57?
@ZHING.Tech.
@ZHING.Tech. 15 күн бұрын
Hawezi kusema imedunguliwa kwa haraka kias hiki akisema atakosa hizo zingine alizonahidiwa
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 14 күн бұрын
Mbona hata vyombo vya Urusi havijaripoti kuwa imedunguliwa na Urusi?
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 15 күн бұрын
Kwa urus hakuna mpya hakuna cha f16 wala nn
@SerwaLeina
@SerwaLeina 15 күн бұрын
Imepigwa hahaha mrusi mtu na nusu chai vodka mchezo
@SalumuChamkulu
@SalumuChamkulu 15 күн бұрын
Uyu jamaa ajawiva kiuchambuzi mcheki yule mungine
@juliusdonard933
@juliusdonard933 15 күн бұрын
Rusia anazidungua kwa sattellite ya kuzima rader
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 14 күн бұрын
Acha umbea ww
@josephkostans9128
@josephkostans9128 15 күн бұрын
Wewe masudi utachelewa sana kama Ukraine wapo wanajeshi mamluki wa NATO wanapigana zidi ya urusi unafikili mamluki wa ndege wa NATO hawapigani zidi ya mrusi! Mrusi ni wamoto kurusha ndege sio kazi tatizo unarushia wapo?
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 8 МЛН
Battles from film - Tankist - (Dir Alexander Efremov 2020)
24:36
ThundeRMomenTWar
Рет қаралды 369 М.
Top U.S. & World Headlines - September 12, 2024
9:32
Democracy Now!
Рет қаралды 109 М.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 8 МЛН