kapombe, Zibwe, Ngoma waongezewe mkataba waendelee kutupushi kweny simba yetu maan wote toka msimu uwanze wako vzr
@SubiragaKabango2 күн бұрын
Ubaya ubwela!Simba nguvu moja! Mimi nu mkereketwa harisi wa SsC hapo tu ninapoona hicho kinywaji nimejishindia ml moja! Tuleteeni mikoani na wilayani haraka! Wenye ngekewa zetu tupo!
@gilajr66272 күн бұрын
UBAYA UBWELA 🔥🔥🔥
@MagrethCostantine2 күн бұрын
Awesome Awesu huna baya baba
@PaschalmahengePaschalmahenge2 күн бұрын
Oh,ooo Simba chama kubwaaaa
@ndilanhangereja36012 күн бұрын
Hongelen chama langu
@CikeTanzania2 күн бұрын
Ngoma abaki simba anafaa kuwa kiongozi haswaaa plz viongozi.
@MisangaNassoro2 күн бұрын
Ubaya ubwela episode ya pili inakuja 🎉🎉🎉🎉🎉 episode ya kwanza imeisha tupo juu ila hii episode ya pili ndio ubaya ubwela🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sholdaniemmanuel86842 күн бұрын
Huo inaitwa ubaya ubwela pro max ni mishindo
@HalimaYusuphLusinde2 күн бұрын
Kapombe, Zimbwe, Ngoma, Aweso bado mpo kwenye mooyo yetu tunawahitaji sana msiondoke tunawapenda mnafanya vizuri viongozi mstuuzi muwaongezee mikataba
@MooddyAkayaya2 күн бұрын
Tajir 💪💪💪💪🦁🦁🦁🦁🦁
@mpakaahmadi93712 күн бұрын
Wacheni manenooo.....Leteni Mo cola tunyweeeeeee tushindeeeee😂😂
@WaSimba-n6z2 күн бұрын
Sema zibwe kaongea nweti zaidi kaongea vizuri
@halidimgonza5945Күн бұрын
ila Ngoma dah mtu mcheshi sn 😂😂😂 ubaya ubwela ❤️💯❤️ na SIMBA NGUVU MOJA 💪💪💪
@monicachacha4552 күн бұрын
simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤❤
@BATULIALLY-x4sКүн бұрын
Jamani chondechonde ngoma tunaomba abaki simba
@MajutoBudebaКүн бұрын
Sana2
@omarysaid87252 күн бұрын
Sasa mangi atakupa kweli hiyo milioni 1 au utaipataje
@ce-082 күн бұрын
Inaonekana ww c wazaman sana maana hizo zawad zilishakuwepo sana kipind hicho kwenye coca-cola na Pepsi miaka ya 2000 unaenda kwa wakala wao mkuu au depo km upo kwenye mkoa au mangi km anayo anaweza kukupa yy wanakuja kumlipa akionyesha
Uto wanavyo subir kwa hamu watakavyo kuwa wananywea choon kwa wingi hao yaaan
@CarolinePeter-jn1ld2 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Lucas wewe
@RehemaPeter-s8n2 күн бұрын
Yaan nmejikuta nacheka Kwa sauti
@LucasRuben-x1t2 күн бұрын
@RehemaPeter-s8n unacheka nn tena Ray wangu
@LucasRuben-x1t2 күн бұрын
@@CarolinePeter-jn1ld Namh
@LucasRuben-x1t2 күн бұрын
@@RehemaPeter-s8n Unanicheka Ray
@ImaMushi-or7jf2 күн бұрын
Pamoja
@SelemanJuma-l7v2 күн бұрын
Ushakiona kilichopangwa au sio mnatudanganya 2 kwann upangiwe kinywaji chako afu et utajichagulia
@kassidpandu8662 күн бұрын
Ahmed Ali anafaa kuwa Mchezaji na yeye
@ShabanShamsu2 күн бұрын
Simba nimwemdo wahumu tu
@kibegiTv2 күн бұрын
Simba NGUVU MOJA
@WendeMposola2 күн бұрын
Mbona hamjampost Nouma jamani ila Ngoma Una vituko wewe 😂😂
@EmanuelPaulo-gn8qf2 күн бұрын
Mbona wenzetu🐸🐸🐸 HAWANA vitu kama hivi😁😁😁
@topamtu2 күн бұрын
Wa 3 leo lik jmn
@hamzaismail14Күн бұрын
Ivi uyu ngoma ni mcongo kweli
@NassoroSipemba2 сағат бұрын
Kumbe jina lako ni shomar juma salum kapombe, Sasa jina la baba Ester limetoka wapi hapo?
@issaayubu38072 күн бұрын
Hivo vinywaji vifike mikoani
@abdallahmindika16412 күн бұрын
Acheni mambo yenu tuleteeni muweke hata buku 5 tu kushinda kwa mikoan muone balaaa lake mifarakano ya wachza chandim mbona kina mangi watajuta😂
@fatumasophu58552 күн бұрын
Sasa kama wameanza matangazo ya biashara inakuwaje
@PaulMwika-p9m2 күн бұрын
Hapo kwa ka pombe uogo umeweka vyote vinazawa hapo uogo
@MachameMachame-tx3bkКүн бұрын
Ubaya ubwera leteni mzigo huwo Wana ubaya ubwera
@Elizabethdaniel-y2u2 күн бұрын
Ubaya ubwela nguv moja....
@OmaryWaprutoman2 күн бұрын
Tff iogeze idadi ya wachezaji wa kimataifa wafike 15 angalau
@IsraeliUrasa2 күн бұрын
Arusha zipo?
@abellutonja45892 күн бұрын
cha kufurahisha nyuma mwiko wataongoza mchakato wa kubashili😂😂😂😂
@Joe-tr2vk2 күн бұрын
😂😂Hujakosea
@AjuayeNgao2 күн бұрын
Tunazipataje hizo zawadi
@YusuphHatibu-m1l2 күн бұрын
Je nikishinda zawadi yangu napataje??
@JuliusMbikilwa2 күн бұрын
Hii campaign inaanzia wapi na itaenea Tanzania nzima Kwa kipindi gani
@AishaMshamu2 күн бұрын
Shomari ufanye kunipa mm hizo ela ww unazonyingi kaka😅
@RichardSingano-k2g2 күн бұрын
Jamani wachezaji tena wamekua watangaza biashara
@maikomatayo27942 күн бұрын
Acha utoto ndoo una kuona leo 😂😂
@ramadhanihabibu-xp3wd2 күн бұрын
Kitendo tu Cha kuvaa nembo ya sportpesa mchezaji ameshatangaza biashara kwa hiyo unaweza tangaza biashara kimya kwa bango au kunena kwa neno hivyo usiumize kichwa mpira pesa jasho hawamwagi hivi hivi bure uwanjani akili kichwani timu zote zinafanya biashara kupitia wachezaji
@omarysaid87252 күн бұрын
Kuna watu wanavyo penda hela nadhani wataumwa kusukari kwa kunywa mo cola nyingi ili washinde
@ChazsMassawe2 күн бұрын
Hacha bangi wewe maswala ya simba yanakuhusu nini..
@athumanmsuya26882 күн бұрын
Sio lazina unywe wanunulie watoto
@WilleSaitabau2 күн бұрын
Ubaya ubwela wachezaji wetu
@AlifaHamis2 күн бұрын
Tajili usije ukasema una pata hasrara badae
@BONGOINMOTION2 күн бұрын
Ushindi ni man made
@edennsajigwa11572 күн бұрын
😂😂
@abelimaganga4172 күн бұрын
Ubaya ubwela
@razmansisco83632 күн бұрын
jichanganyeni mashabiki mtakunywa ata 50 na hushindi